Thursday , 18 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

HabariTangulizi

Sabaya afanyiwa upasuaji atinga mahakamani na bandeji, kesi yaahirishwa

MSHITAKIWA namba moja katika kesi namba mbili yam waka 2022 ya uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya ofisi, Lengai Ole Sabaya, ametinga mahakama...

HabariTangulizi

Wizara ya afya yafunga utoaji taarifa za homa ya mgunda

Wizara ya Afya nchini Tanzania imetangaza kuisha kwa visa vya homa ya mgunda baada ya wagonjwa 17 kupona kabisa huku kukiwa hakuna kisa...

AfyaTangulizi

MOI wakana kufyeka kiholela miguu majeruhi bodaboda

MKURUGENZI wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dk. Respicious Boniface amesema si kweli kwamba majeruhi wa ajali za bodaboda hukatwa miguu...

Tangulizi

TEF wakomalia mabadiliko sheria ya habari

  MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile amesema kusudio la maboresho ya sheria za habari nchini, yanalenga kuwaondoa wanahabari na...

Habari za Siasa

Samia ateua makatibu tawala wa mikoa wapya, saba watemwa

  RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 28 Julai, 2022 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa wapya saba na kuwahamisha vituo vya...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Halima Mdee na Wenzake kuanza kusikilizwa kesho

KESI ya waliokuwa wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18, ya kupinga kuvuliwa uanachama wa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awaibua Chegeni, Serukamba, Chalamila, Hapi atupwa nje

RAIS Samia Suluhu Hassan, amewateuwa Raphael Chegeni, aliyekuwa Mbunge wa Busega na Peter Serukamba, aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Mjini, kwenye wadhifa wa ukuu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Serikali yapiga ‘stop’ Vumbi la Mkongo linalodaiwa kuongeza nguvu za kiume

WIZARA ya Afya kupitia Baraza la Tiba asili na Tiba mbadala limeifungia dawa ya Hensha ambayo ni maarufu kwa jina la Mkongo yenye...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kesi ya Kisena, wenzake yatua Mahakama ya Mafisadi

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoa wa Dar es Salaam – Kisutu imefunga jalada la kesi mbili kati ya tatu za uhujumu uchumi...

Habari za Siasa

Mbunge amuangukia Samia ujenzi barabara kuelekea Burundi

  MBUNGE wa Buyungu, wilayani Kakonko, Mkoa wa Kigoma, Aloyce Kamamba, ameiomba Serikali itoe fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara inayounganisha mkoa...

Habari MchanganyikoTangulizi

TUCTA: Kumwongezea mtu Sh. 8,000 ni dhihaka kwa mfanyakazi

RAIS wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhokya, amesema kitendo cha kumwongezea mtu Sh. 8,000 licha ya kutoongezewa mshahara...

Habari za Siasa

Kinana awapigia debe wanawake, vijana uchaguzi CCM

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, ametaka wanachama wanawake wapewe kipaumbele katika chaguzi za nafasi mbalimbali za uongozi wa...

HabariMichezo

Simba, Yanga wakamia Wajifua usiku na mchana, Nabi, Zoran waumiza vichwa

  ZIKIWA zimebaki wiki mbili sawa na siku 14, kabla ya klabu za Simba na Yanga kushuka dimbani kwenye mchezo wa ufunguzi wa...

Habari za Siasa

‘Mbunge’ Mtambile aaga dunia

KIONGOZI Mwandamizi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani wa muda mrefu wa Mtambile, Masoud Abdalla Salim amefariki dunia leo. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia: Dodoma ni makao makuu, hakuna kurudi nyuma

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa Serikali imedhamiria kwa dhati kuendeleza maono ya shujaa Hayati Mwalimu Julius Nyerere kwamba makao makuu ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Nyongeza mishahara kuikutanisha Serikali, TUCTA

SERIKALI inatarajia kukutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) kwa lengo la kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara...

HabariMichezo

Stars yaibuka mbabe mbele ya Somalia

  TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0, dhidi ya Somal;ia katika kutafuta tiketi ya kufuzu...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo: CCM ikileta Katiba pendekezwa tutahamasisha wananchi waikatae

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitatumia Rasimu ya Katiba Pendekezwa katika mchakato wa upatikanaji Katiba mpya, watahamasisha wananchi waikatae...

Habari MchanganyikoTangulizi

Polisi kuchunguza utata vifo vya mapacha Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limeanza uchunguzi wa vifo vya vijana mapacha waliofahamika kwa jina la Khalifu na Khalifa,...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee, wenzake wafungua kesi rasmi kupinga uamuzi wa Chadema

  HALIMA Mdee na wenzake 18, wamefungua kesi katika Mahakama Kuu Masijala Kuu ya Dar es Salaam kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, baada...

Tangulizi

Pape Sakho amkosha Mo Dewji, ampongeza

  RAIS wa heshima wa Klabu ya Simba SC, Mohamed Dewji ‘Mo’ leo taerehe 22 Julai, 2022 amempongeza kiungo mshambuliaji wa timu hiyo...

Habari za SiasaTangulizi

Kenyatta: Dunia itatuheshimu EAC tukipata maendeleo kwa umoja wetu

  RAIS wa Jamhuri ya Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Uhuru Kenyatta amesema wananchi wa Jumuiya hiyo wakiungana na kushirikiana...

Habari za Siasa

Rais Samia mgeni rasmi siku ya mashujaa

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani anatarajiwa kuwa ngeni rasmi katika sherehe za kumbukumbu ya mashujaa itakayofanyika kitaifa...

Habari za SiasaTangulizi

Wakuu wa EAC wataka miundombinu bora kuwezesha soko huru

  WAKUU wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamesema ili mataifa hayo yaendelee inatakiwa kuwe na miundombinu bora ya usafirishaji pamoja...

Habari za Siasa

Rais Samia ataja mbinu kuinua kilimo Afrika Mashariki

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezihimiza nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Masharik (EAC), kuboresha sekta ya kilimo, ili uzalishaji wa...

GazetiHabariMichezo

Haji Manara afungiwa miaka miwili, faini Sh20 Mil.

  KAMATI ya maadili ya shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemfungia msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara, kujihusisha na mchezo...

Habari za SiasaTangulizi

Wadau wataka ushirikishwaji kamati kufumua vyombo vya dola

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ameshauriwa kushirikisha wadau katika uundaji wa kamati ya kushauri namna bora ya ufumuaji wa vyombo vya haki jinai...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri Ndumbaro: Katiba iliyopo ina mapungufu

  WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk. Damas Ndumbaro amesema  licha ya kuwa Katiba iliyopo inafaa lakini ina mapungufu yake ndio maana Serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aunda Kamati kufumua vyombo vya haki jinai

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameunda Kamati ya watu 12 na sekretarieti ya watu watano kwaajili ya kuchunguza na kumshauri muundo mzuri wa...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri Ndumbaro: Katiba iliyopo ina mapungufu

WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk. Damas Ndumbaro amesema  licha ya kuwa Katiba iliyopo inafaa lakini ina mapungufu yake ndio maana Serikali imetoa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wambura, Kingai mabosi wapya Polisi, Sirro apelekwa Ubalozi

  RAIS wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan, amemteuwa Camillus Mongoso Wambura, kuwa mkuu mpya wa jeshi la polisi nchini (IGP). Anachukua nafasi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Msuya: Mjadala wa Katiba uishe

WAZIRI Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya amesema ingependeza iwapo mchakato wa Katiba mpya ungefikia mwisho, ili kuruhusu Watanzania kufanya kazi, huku akisisitiza elimu ya...

HabariKimataifa

Sri Lanka waandamana kumng’oa rais aliyekaimu

WAANDAMANAJI wamekusanyika katika kituo cha treni mjini Colombo nchini Sri Lanka kutaka kaimu Rais Ranil Wickremesinghe aondoke madarakani. Ranil aliteuliwa kuwa rais wa...

HabariKimataifa

Sunak azidi kuongoza mbio kumrithi Johnson

ALIYEKUWA Waziri wa fedha wa Uingereza, Rishi Sunak ameimarisha nafasi yake ya kuweza kuchaguliwa kuwa waziri mkuu mpya wa Uingereza, baada ya kuongoza...

HabariKimataifa

Uingereza wataabika, nyuzijoto lafikia 40

HALI ya hewa nchini Uingereza inatarajiwa kuwa ya joto kali la kuvunja rekodi leo tarehe 19 Julai, 2022 na kufikia nyuzi 38 za...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wakili akina Mdee: Tupo hatua za mwisho kufungua kesi

WAKILI wa Halima Mdee na wenzake, Edson Kilatu, amesema wako katika hatua za mwisho za kufungua kesi ya wabunge hao viti maalum, kupinga...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kigogo Z’bar ataka mchakato Katiba mpya uendelee ulipoishia

NI Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi tu. Hivyo ndivyo unaweza kusema kutokana na walivyosema watoa maoni wengi waliofika mbele ya Kikosi Kazi...

ElimuHabari

Vyuo vya nje vyapunguza ada 50% kwa Watanzania

VYUO Vikuu vya nje ya nchi vinavyoshiriki maonyesho ya vyuo vikuu yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam vimetia fora...

Habari

Serikali yaombwa kutowapa TICTS mkataba mpya

WADAU wa sekta za biashara na usafirishaji wameitaka serikali kutoipa kampuni ya TICTS mkataba mpya wa kuendesha eneo la kontena la bandari ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Waziri Ummy: Ugonjwa wa homa ya mgunda unatibika

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema ugonjwa wa homa ya Mgunda uliogundulika huko Ruagwa mkoani Lindi unaweza kuzuilika na unatibika. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi aipa JKU kazi alizowatimua wakandarasi binafsi

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amesema ameridhishwa na kazi zinazofanywa na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) na kuahidi kutoa kazi nytingi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ugonjwa wa ajabu Lindi ni homa ya Mgunda

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa upimaji wa sampuli za wagonjwa waliokuwa wakiugua Ugonjwa Usiojulikana katika Wilaya ya Ruangwa katika Mkoa wa...

Habari za SiasaTangulizi

Lipumba amchambua Rais Samia, ampa 75%

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amechambua uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassana ambapo amesema kwa kipindi cha mwaka mmoja...

Habari za SiasaTangulizi

NCCR-Mageuzi kuvishtaki vyombo vya habari

CHAMA cha NCCR-Mageuzi upande unaongozwa Haji Ambar Khamis umesema chombo cha habari kinachomtambua James Mbatia kama Mwenyekiti, watakishtaki. Anaripoti Faki Ubwa… ( endelea)....

Habari MchanganyikoTangulizi

Sakata la Loliondo – Amnesty International wamuandikia barua nzito Samia

SHIRIKA la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limemuandikia barua Rais Samia Suluhu Hassan, kutaka kusitishwa kwa oparesheni ya kuweka alama za...

MichezoTangulizi

Nandy angua kilio ndoa na Billnass

  ‘COUPLE’ maarufu wa Bongofleva, William Lyimo ‘Billnass’ na Faustina Mfinanga ‘Nandy’ leo tarehe 16 Julai, 2022 wamefunga ndoa takatifu katika Kanisa la...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jaji Mkuu awataka mahakimu wajitenge na siasa

  JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amewataka mahakimu wasijihusishe na masuala ya siasa, kwani yamepigwa marufuku na Ibara ya 113 A...

HabariMichezo

Stars yaingia kambini hii leo

  KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzani (Taifa Stars) kimeingia kambini hii leo tarehe 15 Julai, kujiandaa na mchezo wa kufuzu kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Chenge aunga mkono Rasimu ya Katiba kuhusu Tume Huru

  MWANASHERIA Mkuu mstaafu wa Tanzania(AG), Andrew Chenge, amesema mapendekezo ya mfumo na muundo uliopendekezwa kwenye rasimu ya Katiba mpya kupata wajumbe wa...

Habari

Askofu Mussa apongeza Rais Samia

Rais wa chama cha Wachungaji na Maaskofu nchini, Tanzania Pastors Association (TPA) Askofu Dr Mussa Mlawi ambaye pia ni Askofu mkuu wa Kanisa...

error: Content is protected !!