Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Fundo rufaa ya Mbowe, Matiko kufunguliwa

HATMA ya rufaa ya Freeman Mbowe, Mwenyekti wa Chadema Taifa na Ester Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini itajulikana kesho. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo tarehe ...

Read More »

Dudubaya ashikiliwa na Polisi

JESHI la Polisi limeanza kumhoji msanii Godfrey Tumani maarufu kama ‘Dudubaya’ kufuatia tuhuma zinazomkabili za kumdhihaki aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group, Marehemu Ruge Mutahaba. Anaripoti Regina ...

Read More »

Msiba wa Ruge wakwamisha kesi ya Halima Mdee

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha usikilizaji wa kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, kufuatia shahidi wa upande wa mashitaka kushindwa kufika mahakamani. Anaripoti Faki Sosi … ...

Read More »

Tabia hii ya Ruge ndiyo ilimvutia JPM, Majaliwa

KIFO cha Ruge Mutahaba, aliyekuwa mtayarishaji wa vipindi vya Clouds Media Group (CMG) kimeibua sifa zilizojificha. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Namna Ruge alivyokuwa akifahamika na wananchi ni zaidi ya namna ...

Read More »

Kiwanda cha Bora chateketea kwa Moto

KIWANDA cha Bora kilichopo maeneo ya Tazara, barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam kinawaka moto. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa za awali zinaeleza kuwa, kiwanda hicho kinachotengeneza viatu ...

Read More »

Soma magazeti ya leo Alhamisi Februari 28, 2019

Read More »

Vurugu za wafugaji, wakulima zafukuta Kongwa

WAKULIMA zaidi ya 70 wakiwemo watoto, wanafunzi pamoja na wanawake wamefanya maandamano ya amani kwa lengo la kuonana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ili wamuelezee kilio chao cha kuporwa maeneo ...

Read More »

Serikali za Mitaa zaonywa matumizi ya fedha

MAMLAKA za Serikali za Mitaa nchini zimetakiwa kuhakikisha kuwa fedha zote zinazokusanywa katika mapato zinawekwa benki na fedha hizo zitumike katika kutekeleza matumizi husika. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Ruge, naomba nisikilize kidogo

NDUGU yangu Ruge, najua ndio umewasili huko upande wa pili na si ajabu una mambo mengi na bado unasalimiana na jamaa zetu wengi waliotangulia. Lakini naomba uchukue muda wako kidogo ...

Read More »

Shahidi akwamisha tena kesi ya Zitto Kabwe

SHAHIDI wa Serikali katika kesi ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo amekwamisha tena kesi hiyo kwa kinachodaiwa kuwa amepata dharura iliyomfanya ashindwe katika ya Mahakama ya Hakimu Mkazi ...

Read More »

Walichoandika Rais Magufuli, Kikwete na wanasiasa kufuatia kifo cha Ruge Mutahaba

SALAMU za majonzi za watu mbalimbali mashuhuri wakiwemo viongozi wa serikali, vyama vya siasa na wasanii zimeendelea kuelekekezwa kwa Familia ya Mwanahabari mashuhuri nchini Ruge Mutahaba aliyefariki dunia jana tarehe ...

Read More »

Mbunge CCM alikoroga, wananchi wamjia juu

EMMANUEL Papian, Mbunge wa Kiteto kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuukana ukweli mbele ya kadamnasi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mbele ya timu ya ...

Read More »

DART yataja sababu za uhaba wa mabasi

WAKALA wa Mabasi Yaendayo Kasi (DART) imekiri uwepo wa uhaba wa mabasi katika vituo vikuu vya Kimara na Gerezani. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kupitia taarifa iliyotolewa jana tarehe 26 ...

Read More »

Soma magazeti ya leo Jumatano Februari 27, 2019

Read More »

Ruge Mutahaba afariki dunia, Rais Magufuli amlilia

MKURUGENZI wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amefariki dunia leo nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Khalifa Abdallah … (endelea). Awali, taarifa za kifo cha ...

Read More »

Baada ya miezi minane mochwali, mwili kuzikwa wiki hii

FAMILIA ya marehemu Frank Kapange imeamua kuchukua mwili wa kijana wao uliohifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kwa zaidi ya miezi minane ili kufanya taratibu za mazishi wiki hii. ...

Read More »

Kambi Maalim Seif waiangukia mahakama

WABUNGE wa Chama cha Wananchi (CUF), wamelalamikia hatua ya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, kuchelewa kutoa maamuzi kwenye mashauri kadhaa yaliyofunguliwa na watu mbalimbali juu ya “mustakabali” wa baadaye ...

Read More »

Walevi wa ngono kukiona  

WATU wanaopenda kufanya ngono na wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari nchini sasa kukamatwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kazi ya kuanza kukabiliana na watu wenye tabia hiyo inaanzia mkoani ...

Read More »

Soma magazeti ya leo Jumanne Februari 26, 2019

Read More »

Polisi wapeleka majonzi Chadema

JESHI la Polisi mkoani Morogoro limewasaka, kuwanasa na kisha kuwapandisha kizimbani wabunge wawili kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu Morogoro…(endelea).   Wabunge hao Peter Lijuakali, Mbunge wa Kilombero ...

Read More »

Tanzania yaiomba Benki ya Dunia dola 100 Mil.

SERIKALI imeiomba Benki ya Dunia (W.B)  msaada wa fedha kiasi cha dola 100 milioni kwa ajili ya kukamilisha mradi wa ujenzi wa bonde la mto Msimbazi jijini Dar es Salaam. ...

Read More »

Polisi wakamata sampuli ya madini

JESHI la Polisi mkoani Mwanza linashikilia lori aina ya fuso lililokuwa linasafirisha sampuli za madini 883, zilizowekwa kwenye ndoo 226 kutoka mkoani Geita kuelekea katika maabara ya kupima iliyoko jijini ...

Read More »

Lissu anusurika kukamatwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imekataa ombi la serikali kutaka itolewe hati ya kukamatwa mwanasiasa wa upinzani nchini, Tundu Lissu, kwa kuendelea kutofika mahakamani kwa ajili ...

Read More »

“Haki inayocheleweshwa ni haki inayonyimwa.”

NI wachache kati ya wananchi wanaokuwa kwenye ukumbi wa mahakama huendelea kutarajia kusikia hukumu ya kesi wanayoifuatilia baada ya kumuona asiyekuwa jaji msikilizaji ndiye anaketi kitini. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar ...

Read More »

Halima Mdee achomoka mahabusu

HALIMA Mdee, Mbunge wa upinzani katika jimbo la Kawe, jijini Dar es Salaam amepata dhamana leo baada kukaa ndani kwa saa 24. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza na MwanaHALISI ...

Read More »

Lukuvi alilia wasaidizi wake waliofariki Ifakara

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi amewapa pole ndugu na jamaa waliofiwa kwenye ajali iliyotokea jana tarehe 23 Februari 2019 Ifakara na kuua wafanyakazi tisa. Anaripoti Bupe Mwakiteleko ...

Read More »

Kubenea kutumia Sh. 15 mil, kukarabati soko la Manzese  

MBUNGE wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, ameahidi kusaidia kiasi cha Sh. 15 milioni ili kufanyia ukarabati wa soko la kuku lililopo katika kata ya Manzese. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Alitoa ...

Read More »

Kubenea ashtukia ufisadi wa Mil.100 soko la Manzese

ZIARA  ya Saed Kubenea Mbunge wa Jimbo la Ubungo amebaini ufisaidi wa Sh. 100 milioni kwenye machinjio ya kuku kwenye soko la Manzese. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kubenea leo ...

Read More »

Zitto aanzisha mashambulizi CCM, serikali

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini ameivaa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba ni katili. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwenye ukurasa wake wa Twitter Zitto ameeleza kushangazwa na ...

Read More »

Mbunge mwingine wa upinzani akamatwa

MBUNGE wa upinzani katika jimbo la Kawe, jijini Dar es Salaam, Halima James Mdee, anashikiliwa na jeshi la polisi nchini. Anatuhumiwa kutoa kauli za kashfa dhidi ya Rais wa Jamhuri, ...

Read More »

Msako wa kuwakamata waganga wa kienyeji watangazwa

JESHI la Polisi nchini limetangaza msako wa kuwakamata na kuwadhibiti waganga wa tiba asili wanaojihusisha na vitendo vya upigaji wa ramli chonganishi zinazochangia kuwepo kwa mauaji ya watu hapa nchini. ...

Read More »

Sumaye apokea msaada wa Pikipiki

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Kanda ya Pwani, kimekabidhiwa pikipiki nne kwa ajili ya kujiandaa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Anaripoti Faki ...

Read More »

Halima Mdee: Nimeitwa polisi, sijui kuna nini?

HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti  wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA), amepokea wito wa Kamanda wa Upelelezi (RCO) Mkoa wa Kipolisi wa Kindoni, kwa ajili ya kufanyiwa mahojiano. Anaripoti ...

Read More »

Waliochoma Kituo cha Polisi  Bunju A wafungwa maisha

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Februari 2019 imewafunga maisha jela watu wanane baada ya kukutwa na hatia katika kesi ya kuchoma moto Kituo ...

Read More »

JPM atuma salamu za rambirambi vifo vya watu 19 Songwe

RAIS John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza ndugu na jamaa zao katika ajali ya barabara iliyotokea wilayani Mbozi mkoa wa Songwe jana tarehe 21 Februari 2019.Anaripoti Bupe ...

Read More »

Vitambulisho vya ujasiriamali ni bomu-Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelalamikia uanzishwaji wa mradi wa serikali wa ugawaji vitambulisho vya wajasiriamali wadogo na kwamba, ni bomu linalosubiriwa kulipuka. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kauli hiyo ...

Read More »

Jinsi Askari Magereza alivyoua binti mahakamani

NEEMA Andrew (umri 22-25) ameuwawa kwa kupigwa risasi na Askari Magereza ndani ya viwanja vya Mahakama ya Kigamboni jijini Dar es Salaam. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hakuwa mtuhumiwa wala kutenda ...

Read More »

CUF Maalim: Tunahofia Jaji ametishwa

CHAMA cha Wananchi (CUF), kinachoongozwa na Maalim Seif Sharif Hamad, umedai kuwa kuna mkakati unaopangwa na baadhi ya maofisa wandamizi wa serikali, kumshinikiza Jaji Dk. Benhajj Masoud, kutoa maamuzi yatakayombeba ...

Read More »

Ajali mbaya yatokea Songwe, yaua abiria wote

WATU 19 wamepoteza maisha kutokana na ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la Senjele mkoani Songwe. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akithibitisha kuhusu tukio hilo, Kamanda wa Polisi ...

Read More »

Sugu achomoka kwa dhamana, kutinga polisi leo

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu)-Chadema jana jioni alifanikiwa kupata dhamana baada ya kukamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya asubuhi ya siku hiyo kwa madai ya uchochezi. Anaripoti Bupe ...

Read More »

Nani aweza kumuamini tena Prof. Lipumba?

Na Saed Kubenea PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kuwa ndiye mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ni kinyonga. Ana ndimi ...

Read More »

Waziri azuia wananchi kumpongeza Rais Magufuli

LUHAGA Mpina Waziri wa Mifugo na Uvuvi,  amepiga marufuku makongamano ya wafugaji ya kumpongeza Rais John Magufuli,  kwa muda mpaka pale kazi waliyopewa kama Tume itakapokamilika. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Mahakama kuhitimisha safari ya Prof. Lipumba kisiasa?

KESHO tarehe 22 Februari 2019, Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, anaweza kuhitimisha ama kuhuisha safari yake ya kisiasa aliyoianza ...

Read More »

Prof. Lipumba azidi kujianika  

MWENYEKITI asiyetambuliwa na wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amemtuhumu Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa analenga kukidhoofisha chama hicho n ahata kukizika ...

Read More »

Zitto kufuata nyayo za Tundu Lissu

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amefuata nyayo za Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kufanya ziara nchini Ujerumani. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea).  Zitto ambaye yuko nchini Ujerumani, ...

Read More »

Maji yawakimbiza watumishi Chamwino

WATUMISHI wa Zahanati ya Ikowa katika wilaya ya Chamwino wamekimbia kituo chao cha kazi kutokana na ukosefu wa maji. Anaripoti Danson Kaijage, Chamwino … (endelea). Zahanati hiyo kongwe ambayo inahudumia ...

Read More »

Tuhuma za ushirikina zamtisha Waziri Majaliwa

MIGOGORO, kutoelewana na tuhuma za ushirikina kwa wafanyakazi wa serikali zimekuwa zikisababisha kupungua kwa ufanisi katika utendaji kazi ofisini. Anaripoti Mwandishi Maalum … (endelea). Akihutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika ...

Read More »

Kamatakamata; Lijuakali, Kiwanga wawindwa

PETER Lijuakali, Mbunge wa Kilombero na Susan Kiwanga, Mbunge wa Jimbo la Mlimba yote ya mkoani Morogoro wanawindwa na Jeshi la Polisi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Jeshi la Polisi mkoani ...

Read More »

Uteuzi wa Rais Magufuli leo hii

RAIS John Magufuli amemteua Dk. Michael Ng’umbi kuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW).Anaripoti Bupe Mwakiteleko…(endelea). Taarifa ya uteuzi huo imetolewa leo tarehe 20 Februari 2019 na ...

Read More »

Barrick kulipa kiporo cha dola 300 mil

RAIS John Magufuli amefanya mazungumzo na Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold anayeshughulikia Afrika na Mashariki ya Kati, Dk. Willem Jacobs kuhusu utekelezwaji wa makubaliano yaliyofikiwa tarehe 19 ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram