Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Njooni mnunue korosho-Serikali

WIZARA ya Viwanda na Biashara kupitia taasisi yake ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), imewataka wafanyabiashara, taasisi za umma na binafsi kujitokeza kununua korosho ghafi na zilizobanguliwa. Anaripoti ...

Read More »

‘Upinzani unabanwa, serikali iache upumue’

HASHIM Rungwe, Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA)-Taifa, amelalamika kwamba, serikali inavibana vyama vya upinzani nchini. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Anasema, ni wakati sasa kwa serikali kuacha vyama hivyo vipumue ...

Read More »

Sakata la CAG; Vijana ACT-Wazalendo kufanya maandamano

NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, imetangaza nia yake ya kufanya maandamano ya amani kupinga azimio la Bunge kuacha kufanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za ...

Read More »

Mbunge CUF: Sijali, nakwenda ACT-Wazalendo

YUSUF Salim Hussein, Mbunge Jimbo la Chambani visiwani Zanzibar amesema, hahofii kufukuzwa na kwamba, hayupo tayari kubaki Chama cha Wananchi (CUF).Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Hussein ametoa kauli hiyo licha ya kuwepo ...

Read More »

Anayedaiwa kutumia jina la Katibu Mkuu CCM kutapeli akamatwa

JESHI la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Wilfred Welandumi kwa madai ya kutumia jina la Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufanya utapeli. Anaripoti ...

Read More »

Rais Magufuli: Sitaki kuwa mfalme

RAIS John Magufuli amewaeleza Watanzania kwamba, hataki kuwa mfalme wa nchi hii badi mtatuzi wa kero za wananchi. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Ametoa kauli hiyo leo tarehe 5 Aprili ...

Read More »

Kesi ya madai Dola 55 Mil dhidi ya Tanzania yafutwa Marekani

KESI ya madai ya Dola za Marekani Milioni 55, iliyofunguliwa na Kampuni ya Transport Equipment Ltd (TEL) dhidi ya Serikali ya Tanzania nchini Marekani, imefutwa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). ...

Read More »

Ripoti ya CAG, mtihani mzito

RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ipo njia moja kuelekea Bunge la Jamhuri ya Muungano, lakini je, itafikishwa? Na ikifikishwa itasomwa? Halafu ikishasomwa? Anaandika Bupe ...

Read More »

Spika Ndugai: Wabunge wanadaiwa mabilioni, kulipa mashaka

Naibu Spika Job Ndugai

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ameweka wazi kuwa wabunge kumi wa viti maalum waliokuwa wanatokana na chama cha CUF waliotimuliwa na chama hicho wanadaiwa zaidi ya Sh. 1 bilioni. Anaripoti ...

Read More »

TEF: Spika Ndugai kakosea

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limeeleza kutofurahishwa na hatua ya Job Ndugai, Spika wa Bunge kuzuia waandishi wa habari kuzungumza na wabunge baada ya kuamua kutoka nje ya ukumbi wa ...

Read More »

Serikali yafungua mjadala Sheria ya Vyombo vya Habari

SERIKALI ya Jamhuri imeeleza kuwa, imefungua mlango wa majadiliano kuhusu kubadili Sheria ya Vyombo vya Habari ya Mwaka 2016. Anaripoti Faki Sosi … (Endelea). Kauli hiyo imetolewa baada ya serikali kukutana ...

Read More »

Spika Ndugai: Bunge halina ugomvi na Ofisi ya CAG

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameeleza kwamba, taasisi anayoiongoza haina ugomvi na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), bali lina ugomvi na mtu (Prof. Mussa ...

Read More »

Polisi Tanga wazuia mkutano ACT-Wazalendo

JESHI la Polisi mkoani Tanga limezuia Chama cha ACT-Wazalendo kufanya mkutano wake wa ndani. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taraifa ilizofikia MwanaHALISI Online na kudhibitishwa na kamati ya maandalizi ya ...

Read More »

Mnyika amkabili Spika Ndugai

JOHN Mnyika, Mbunge wa Kibamba jijini Dar es Salaam amepinga hatua ya Job Ndugua, Spika wa Bunge kufukuza wabunge kwa madai ya kudhalilisha Bunge. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Amemueleza ...

Read More »

Mbunge ataka Mbowe ang’olewe

MBUNGE wa Ulanga mkoani Morogoro, Goodluck Mlinga amelishauri Bunge kubadili kanuni ili Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani anapokiuka kanuni na sheria za Bunge, aondolewe. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Read More »

Sakata la CAG: Lema ampiku Mdee

MBUNGE wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, “amefukuzwa bungeni.” Amezuiwa kuhudhuria mikutano mitatu ya Bunge. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Lema amekutwa na dhahama hiyo bungeni mjini Dodoma leo, tarehe ...

Read More »

Zitto, Maalim Seif kuweka historia Tanga

MAALIM Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo leo tarehe 4 Aprili 2019 wanatarajiwa kufanya makubwa ...

Read More »

Prof. Shivji: Kuna sheria mbovu zinatungwa

MSOMI wa masuala ya sheria na utawala nchini Profesa Issa Shivji, ameeleza kukerwa na mwelekeo wa utungaji sheria mbovu kwa maslahi ya wachache. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Miongoni mwa ...

Read More »

Pierre Liquid alamba dume

LICHA ya kuitwa mtu wa hovyo, mchekeshaji anayechipuka kwa kasi Peter Mollel ‘Pierre’ sasa ni lulu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kuitikia kwake mwaliko aliopewa wa kuwa mgeni maalum wa ...

Read More »

Spika Ndugai amng’ang’ania Lema

GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha Mjini leo mchana tarehe 3 Aprili 2019 atakutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maadili saa 8 mchana baada ya kuagiza kufanya hivyo na ...

Read More »

Dott Service yaingia ‘anga’ za JPM

RAIS John Magufuli ameicharukia kampuni ya ukandarasi ya Dott Service, kwa kuchelewa kumaliza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Mtwara – Mnivata. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Akizungumza katika uwekaji ...

Read More »

CAG ajibu, atahadharisha Bunge

SIKU moja baada ya Bunge la Jamhuri kuazimia kutofanya kazi na Profesa Mussa Assad, Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), mkaguzi huyo ametoa tahadhari. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mdhibiti ...

Read More »

Mbunge Chadema ahoji uharaka wa serikali kubinafsisha viwanda

MBUNGE wa Viti Maalum, Devotha Minja (Chadema) amehoji serikali sababu za kushindwa kufanya maandalizi mazuri katika ubinafsishaji wa viwanda? Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Na kwamba, badala yake viwanda vingi ...

Read More »

Wananchi wafungiwe dira mpya za maji – Serikali

SERIKALI imeagiza wananchi kuendelea kufungiwa dira mpya za maji – Lipa Kadiri Utumiavyo – ili kupunguza malalamiko yao. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hatua hiyo pia imeelezwa kuwa, itapunguza ...

Read More »

Rais Magufuli aeleza kilichokwaza malipo zao la korosho

KUWEPO kwa majina hewa takribani 780, kumetajwa kuwa miongoni mwa sababu za serikali kuchelewa kulipa wakulima wa zao la korosho mkoani Mtwara. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hayo amesema Rais John ...

Read More »

JPM arejesha matumaini wakulima wa korosho

RAIS John Magufuli amerejesha matumaini kwa wakulima wa zao la kibiashara la korosho ambao bado hawajalipwa fedha zao mpaka sasa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Ameagiza mamlaka husika kutoa kiasi cha ...

Read More »

Lema achafua Bunge, wapinzani watoka nje 

BAADHI ya wabunge wa upinzani, wametoka nje ya Bunge, kupinga hatua ya Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kumshitaki kwenye Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Haki, Kinga, Maadili ...

Read More »

Bunge la Ndugai laamua kumtenga Prof. Assad

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limeazimia kutofanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, kwa madai ya kwenda kinyume na kifungu ...

Read More »

Zitto: Haya ndio mavuno ya ACT-Wazalendo kwa Maalim Seif  

HATUA ya Maalim Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo, imepaisha chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mpaka sasa, ACT-Wazalendo kimevuna ...

Read More »

Bunge la 15 kuanza kesho, miswada miwili kupitishwa

MKUTANO wa kumi na tano wa bunge unaoanza kesho unatarajia kujadili na kupitisha miswada miwili ya sheria ambayo itasomwa kwa hatua zake zote. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Miswada ...

Read More »

Tamisemi yawaangukua wadau vyama vya siasa 

WAKATI uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, ukitarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imewataka wadau wa vyama vya siasa, kutoa ...

Read More »

AZAKI zapeleka fikra mpya Ofisi ya Msajili

ASASI za Kiraia (AZAKI) nchini zimemshauri Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kuunda Kamati Huru itakayoshughulikia tuhuma zinazokikabili Chama cha ACT-Wazalendo, badala ya kutishia kukifuta. Anaripoti Regina Mkonde … ...

Read More »

TFS watimua wafugaji ndani ya hifadhi Ikowa

MENEJA wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, Kanda ya Kati, Mathew Kiondo ametoa siku mbili kwa wafugaji wanaolisha mifugo yao katika Msitu wa Ikowa wilayani Chaminwo jijini Dodoma kuondoka haraka. Anaripoti ...

Read More »

Maalim Seif: Inaniuma kuhama CUF

JEMEDARI wa siasa za upinzani visiwani Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ameeleza, hatua yake ya kuondoka katika Chama cha Wananchi (CUF) imeacha majonzi moyoni mwake. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Maalim ...

Read More »

Kambi Rasmi ya upinzani Bungeni, njiapanda

KAMBI Rasmi ya upinzani bungeni, iko hatarini “kusambaratika” kufuatia “mapinduzi” ya kisiasa, yaliyotokea ndani ya Chama cha Wananchi (CUF). Anaripoti Danson Kaijage kutoka Dodoma … (endelea). Taarifa zilizopatikana kutoka kwa ...

Read More »

Ninaandamwa na dola – Maalim Seif

NINAANDAMWA na dola. Ndiyo kauli ya Maalim Seif Shariff Hamad, Makamu wa Rais wa Kwanza katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Maalim Seif, aliyekuwa Katibu Mkuu ...

Read More »

Tume ya Uchaguzi yatangaza uchaguzi Jimbo la Nassari

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Semistocles Kaijage ametangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki. Anaripoti Hamisi Mguta … (endelea). Akitoa taarifa hiyo Jaji Kaijage amesema kuwa ...

Read More »

Rais Magufuli afanya uteuzi Wizara ya Fedha na TRA

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amemteua Adolf Ndunguru kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango anayeshughulikia Sera ambayo ilikuwa wazi. Anaripoti Hamis Mguta ...

Read More »

Rais Magufuli atunuku Kamishisheni Maafisa 146 wa JWTZ

RAIS John Magufuli amewatunuku Kamisheni Maafisa wapya 146 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kundi la 65/18. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Hafla hiyo imefanyika leo tarehe 30 Machi 2019 ...

Read More »

Kituo cha kuzalisha umeme Mlandizi chateketea

KITUO cha kuzalisha na kusambaza umeme cha Mlandizi mkoani Pwani, kimteketea kwa moto leo tarehe 30 Machi 2019. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Akizungumza na MwanaHALISI ONLINE kuhusu tukio hilo, Wankyo Nyigesa, Kamanda ...

Read More »

Baada ya Segerea, Mbowe kuongoza Kamati Kuu leo

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Taifa, pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu wanakutana leo tarehe 30 Machi 2019 kujali hali ya kisiasa nchini. Anaripoti Bupe Mwakiteleko…(endelea). ...

Read More »

Kigogo wa TAKUKURU aburuzwa kizimbani kwa uhujumu uchumi

TAASISI ya Kuzuiya na Kupambana na Rushwa  (Takukuru)  imemburuza kortini Kulthum Mansoor, Mkurugenzi wa Taasisi hiyo wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini  kwa kudaiwa kughushi na kujipatia kiasi cha Sh Bil ...

Read More »

Twiga wa ATCL ‘amnogesha’ JPM, amwaga mamilioni

KAZI ya upakaji rangi, sambamba na uchoraji wa picha ya Twiga kwenye ndege ya viongozi wa serikali iliyotolewa na Rais John Magufuli kwa ajili ya kusafirisha abiria, imempa tabasamu kiongozi ...

Read More »

Sheikh wa Takbir ya ACT-Wazalendo akanwa kweupe

SHEIKH Juma Ramadhan, Imamu wa Msikiti wa Masjid Taqwa, jijini Dar es Salaam, amejipachika cheo kisicho chake. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Wakati akizungumza na waandishi wa habari jana tarehe ...

Read More »

Nusura ATCL wamwingize mkenge Rais Magufuli

MAOFISA wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), walikuwa kwenye hekaheka za kukwapua fedha za umma kupitia kauli ya Rais John Magufuli aliyoitoa tarehe 11 Januari 2019. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). ...

Read More »

Bulaya akwamisha kesi ya vigogo Chadema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutokana na kuumwa kwa mshitakiwa wa tisa kwenye ...

Read More »

Takukuru kufuatilia kwa karibu Uchaguzi Serikali za Mitaa

UCHAGUZI wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, utafuatiliwa kwa karibu zaidi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU). Anaripoti Regina Moonde … (endelea). Ahadi hiyo ...

Read More »

Hatma ya pingamizi za serikali kwa Nassari kesho

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dodoma kesho tarehe 29 Machi 2019, itatoa uamuzi wa pingamizi tatu, zilizotolewa na serikali katika kesi ya maombi madogo ya kufungua kesi ya msingi, kutengua uamuzi ...

Read More »

Maalim Seif apigwa ‘stop’ Clouds TV

MAMLAKA katika kituo cha televisheni cha Clouds, jijini Dar es Salaam, imeagiza kufutwa kwa mahojiano kati ya kituo hicho na mwanasiasa mkongwe Visiwani Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Mahakama yabatilisha hukumu ya Bob Chaha Wangwe

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imebatilisha hukumu ya mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa Tarime, marehemu Chacha Wange- Bob Chacha Wangwe. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hukumu ilitolewa na Mahakama ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram