Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Rais Magufuli awapa zawadi wafungwa

RAIS John Magufuli leo tarehe 16 Julai 2019, ametoa zawadi ya magunia 15 ya mchele pamoja na ng’ombe watatu kwa wafungwa na mahabusu waliopo kwenye gereza kuu la Butimba, jijini ...

Read More »

Tanzania yapata ‘dili’ uuzaji wa korosho

SHIRIKISHO la Korosho Barani Afrika (ACA), limeiteua Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa 13 wa wadau wa kimataifa wa korosho, unaotarajia kufanyika kuanzia tarehe 7 hadi 9 Novemba 2019. Anaripoti Regina ...

Read More »

Juma Duni Haji aikosoa SMZ

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimedai kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), ina tabia ya kutenga bajeti isiyokidhi mahitaji pia kukopa kwa masharti magumu na riba kubwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza ...

Read More »

Makamba, Kinana watinga Ikulu

YUSUF Makamba na Abdulrahman Kinana, makatibu wakuu wastaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamebisha hodi kwa Rais John Magufuli. Anatipoti Mwandishi Wetu … (endelea). Viongozi hao wakongwe, wamewandikia barua Dk. ...

Read More »

Kesho Arusha, Kilimanjaro kuanza rasmi BVR

UBORESHAJI wa Daftari la Wapiga Kura kwa njia ya Kielektroniki (BVR), katika Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha unatarajia kuanza rasmi tarehe 18 Julai 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hayo amesema ...

Read More »

Mdee atoka mahabusu

JESHI la Polisi mkoani Kagera, limemwacha kwa dhamana Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Halima Mdee. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Jeshi hilo lilimshikilia Mdee ambaye pia ni Mbunge ...

Read More »

Hatuogopi uchaguzi Singida, tunakataa uharamu – Chadema  

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema, “kushiriki uchaguzi mdogo katika jimbo la Singida Mashariki, ni sawa na kutenda uovu.” Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Uchaguzi mdogo katika jimbo la Singida Mashariki, lililokuwa ...

Read More »

Polisi wamng’ang’ania Mdee

JESHI la Polisi mkoani Kagera, bado linamshikilia Halima Mdee, Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), tangu jana tarehe 14 Julai 2019. Anaripoti Faki Sosi … ...

Read More »

Rais Magufuli aonya wanasiasa

RAIS John Magufuli, Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, ameonya wanasiasa wanaodhalilisha vyombo vya ulinzi na usalama nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa nyumba za ...

Read More »

Morogoro watenga 25% za mapato kutunza misitu

MADIWANI wa Halmashauri ya wilaya ya Morogoro wameazimia kutenga asilimia 25 wanayokusanya kutoka vijiji vya mradi wa mkaa endelevu kila mwaka na kuanzisha suala la usimamizi shirikishi wa misitu (USM) ...

Read More »

Waliouwa Watanzania Msumbiji wanaswa, mmoja afariki

MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amesema, watu watano wanaoshukiwa kuhusika katika tukio la mauaji ya Watanzania tisa nchini Msumbiji, wanashikiliwa na vyombo vya dola nchini. Anaripoti ...

Read More »

CCM yamtamani Katibu Chadema

KATIBU Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Bahi jijini Dodoma, Melickzedeck Lesaka ametoa siku saba kwa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Bahi ...

Read More »

Prof. Mbarawa afanya ‘mageuzi’

PROFESA Makame Mbarawa, Waziri wa Maji na Umwagiliaji, amefanya mabadiliko katika Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira katika mikoa ya Tabora na Bukoba. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa ...

Read More »

Mtetezi wa JPM awavuruga Kinana, Makamba

KIGUGUMIZI cha Serikali ya Awamu ya Tano kumchukulia hatua Cyprian Musiba, anayejitambulisha kuwa mwanaharakati na mtetezi wa Rais John Magufuli, sasa kinahojiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Abdurahman Kinana, Yusuf ...

Read More »

Huu ni unyama; Waziri ahuzunika mateso ya mama, kichanga chake

UNYAMA na vitendo vya ukiukwaji wa sheria vimelalamikiwa na Mhandisi Hamad Massauni, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Waziri Massauni ameeleza kukithiri kwa ...

Read More »

Zitto aja na mikakati ya kuiteka Dar

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amewapa mbinu za ushindi viongozi wa majimbo wa chama hicho mkoa wa Dar es Salaam, kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa ...

Read More »

Wakopaji watakiwa kutumia mikopo kwa maendeleo

WANACHAMA ambao wapo kwenye vikundi vya hiari vya kukopeshana SACCOS wameshauriwa kutumia fedha wanazokopa kwa ajili ya Maendeleo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Licha ya kushauriwa hivyo wakopaji wote ...

Read More »

Prof. Kabudi azidi kung’ang’aniwa

KAMPUNI ya Hali Halisi Publishers Limited (HHPL), wachapishaji wa magazeti ya MwanaHALISI, MSETO na MAWIO, imemshukia Prof. Palamagamba Kabudi, kufuatia kauli yake, kwamba “serikali ya Rais John Pombe Magufuli, haibani ...

Read More »

Nape, Dk. Bashiru waungana kukemea wanasiasa kushughulikiwa na Polisi

HATUA ya Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM  kukosoa vitendo vya baadhi ya Polisi kutumia nguvu katika kuwashughulikia wanasiasa, imemuibua Nape Nnauye, Mbunge wa Jimbo la Mtama. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Lissu mbioni kumshitaki Ndugai

TUNDU Lissu, aliyetangazwa na Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, kuvuliwa wadhifa wake wa ubunge katika jimbo la Singida Mashariki, yuko mbioni kufungua shauri mahakamani. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … ...

Read More »

BOT yailima DTB benki faini Bil. 1

BENKI ya Diamond Trust (DTB) imepigwa faini ya kiasi cha Sh. 1 Bilioni na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa kukaidi agizo la kuanzisha kituo cha taarifa hapa nchini. Anaripoti ...

Read More »

CPA kujenga Makao yake Makuu jijini Dodoma

JUMUIYA ya Madola Kanda ya Afrika  CPA unakusudia kujenga ofisi ya Makao Makuu ya Jumuiya hiyo pamoja na ujenzi wa hoteli ya nyota tano katika  eneo la Ndejengwa Jiji la ...

Read More »

JP DECAUX, Polisi waandaa tamasha la bodaboda 

JESHI la Polisi mkoani Mwanza kwa kushirikiana na Kampuni ya JP DECAUX imeandaa tamasha la UNITY FESTIVAL kati ya bodaboda na askari Polisi  wa usalama barabarani litakalokuwa linatoa elimu na ...

Read More »

Morogoro waomba kutosahauliwa mradi wa Mkaa Endelevu

MWENYEKITI wa Halmashauri ya wilaya ya Morogoro, Kibena Kingu ameuomba Mradi wa kuleta mageuzi katika Sekta ya mkaa Tanzania (TTCS) usiwasahau katika awamu ya tatu ya mradi kufuatia mapato makubwa ...

Read More »

Viongozi wa Dini wazindua Kitabu cha Mwongozo wa Uchumi

KAMATI ya Viongozi wa Dini ya Masuala ya Haki za Kiuchumi na Uadilifu katika Uumbaji (ISCEJIC), imezindua Mfumo wa Soko Jamii unaotoa muongozo juu ya namna taifa litafikia kwenye uchumi ...

Read More »

Dk. Bashiru: Kamateni hao CCM

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally amesema, mgombea yeyote wa chama hicho atakayejihusisha na vitendo vya rushwa, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wamkamate. ...

Read More »

Rais Museveni kumfuata Rais Magufuli kesho

YOWERI Museveni, Rais wa Uganda anatarajiwa kutua kwenye ardhi ya Tanzania kesho 13 Julai 2019, kwa ziara ya siku moja. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Taarifa ya Kurugenzi ya Ikulu iliyotolewa ...

Read More »

Rais Magufuli ‘amweka ndani’ mtoza ushuru kwa dakika 5 

MTOZA ushuru aliyetambulika kwa jina moja la Pesha, jana tarehe 11 Julai 2019, alijikuta matatani baada ya Rais John Magufuli kuagiza akamatwe na kuwekwa ndani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Read More »

ACT-Wazalendo kuwa ‘Kanani ya Siasa’ 2020?

CHAMA cha ACT-Wazalendo kinaweza kuwa nchi ya Kanani kwa wanasiasa kutoka kwa vyama mbalimbali vya nchini Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Kuna uwezekano mkubwa ...

Read More »

Prof. Kabudi: Wameninukuu vibaya, sijasema Azory amefariki

PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, amekanusha kauli inayosambaa katika mitandao ya kijamii ya kwamba amethibitisha kuwa mwanahabari Azory Gwanda amefariki dunia. Anaripoti ...

Read More »

Siyo Asasi zote zinafanya vibaya

MKURUGENZI wa asasi isiyokuwa ya kiraia ya Women Wake Up (WOWAP), Fatuma Tawfiq, amesema kuwa siyo kweli kuwa asasi za kiraia hazifanyi kazi yake kwa jinsi isivyotakiwa. Anaripoti Danson Kaijage, ...

Read More »

Afisa Madini mbaroni kwa wizi wa dhahabu ya Mil.507

DONALD  Njonjo, Meneja wa Maabara katika Tume ya Madini anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kuiba madini ya dhahabu  yenye thamani ya ...

Read More »

Wizi mpya waibuka, TCRA wadaka 12 Mwanza

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limewatia mbaroni watu 12 wanaojihusisha na usajili wa laini za simu mtaani,kwa kujihusisha na vitendo ...

Read More »

Afisa Usalama (feki) aliyetaka kumtapeli DC Jokate mbaroni

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) inamshikilia Omary Chuma (55) Mkazi wa Chamazi, Temeke Dar es Salaam, aliyejifanya kuwa ni Afisa wa Serikali wa Usalama Taifa na ...

Read More »

Mwenyekiti TPSF ahimiza maadili, sheria sekta binafsi

TAASISI ya Sekta Binafsi nchini (TPSF) imeendelea kuwahimiza wadau waliyopo kwenye sekta hiyo kufuata sheria, taratibu na uzalendo ili kuepukana na vitendo vya rushwa ndani ya sekta hiyo kwa manufaa ...

Read More »

Baba mbaroni kwa kumbaka na kumlawiti mwanae

MWANAUME mmoja Saidi Kasti (35) mkazi wa kitongoji cha Kimangakene Kijiji cha Diyovuva kata ya  Kiroka wilayani Morogoro anashikiliwa polisi kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa kike ...

Read More »

Msiba wa wafanyakazi Azam watikisa, mwendokasi wapigiwa kelele

VIONGOZI  mbalimbali wa kisiasa na watu mashughuli wametao neno la pole kwenye msiba wa wafanyakazi watano wa Azam TV  waliofariki jana kwenye ajali  mkoani Singida. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Wafanyakazi ...

Read More »

Benki wapewa dhamana ya kuondoa umaskini wa Watanzania

SERIKALI imesema kuwa bado watanzania wanakabiliwa na hali ya umasikini hivyo kuna kila sababu ya taasisi za kifedha kutoa elemu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hayo yameelezwa leo  tarehe ...

Read More »

Mfumuko wa bei wazidi kupaa

MFUMUKO wa bei wa taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Juni ,2019 umeongezeka hadi kufikia  asilimia 3.7 kutoka asilimia 3.5 kwa mwaka ulioishia mwezi Mei 2019. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … ...

Read More »

Rais Magufuli amtumia salamu za rambirambi Bakhresa, Azam Media

RAIS John Magufuli ameungana na Watanzania kutoa salamu za rambirambi kwa uongozi wa Kampuni zilizo chini ya Azam Media zinazoongozwa na mwenyekti wake Said Salim Bakhresa, kufuatia vifo vya wafanyakazi ...

Read More »

NEC kuzindua uandikishaji wapiga kura Julai 18

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inatarajia kuzindua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura tarehe 18 Julai 2019 mkoani Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa ...

Read More »

Wafanyakazi Azam wafariki ajalini

WAFANYAKAZI watano wa Azam Televishen kati ya saba leo tarehe 8 Julai 2019, wamepoteza maisha kwenye ajali iliyotokea katika eneo la Malendi, Wilaya ya Iramba mkoani Singida. Anaripoti Regina Mkonde ...

Read More »

Timu ya uongozi Dodoma yatembelea kituo cha afya

TIMU ya Uongozi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma (CMT), imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Mkonze. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo ilitolewa na ...

Read More »

Wazee 19, 543 Dodoma watambuliwa

HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imekamilisha utambuzi wa wazee 19, 543 katika kata zote 41 za jiji hilo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hatua hiyo ni utekelezaji wa Sera ...

Read More »

Sakata la Lissu: Wabunge CCM wamlalamika Ndugai

BAADHI ya wabunge kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameeleza kutofurahishwa na kitendo cha Job Ndugai, Spika wa Bunge kumvua ubunge Tundu Lissu. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Wakizungumza kwa sharti la kutoandikwa majina ...

Read More »

Utekaji watikisa, hofu yapanda

MATUKIO ya utekaji, utesaji na hata kupotezwa yamekuwa yakitikisa nchi kwa sasa huku wananchi wakipiga yowe, yakomeshwe. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Hali hiyo imewaibua wazee wa Chama cha ACT- Wazalendo, wakiitaka serikali ...

Read More »

Wazee ACT-Wazalendo watoa neno maandalizi uchaguzi 2019

CHAMA cha ACT-Wazalendo kupitia ngome yake ya wazee, kimetoa msimamo kuhusu ushiriki wake katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Read More »

Mali za Mbowe zapigwa mnada kufidia deni la Bil. 1

BAADHI ya vifaa vya Kampuni ya Mbowe Limited (Bilicanas) vimepigwa mnada leo tarehe 6 Julai 2019 na Kampuni ya Udalali ya Fosters Auctioneers & General Traders ya jijini Dar  es ...

Read More »

Watumishi wa Jiji la Dodoma watakiwa kushiriki usafi

WATUMISHI wa taasisi mbalimbali za serikali wametakiwa kushiriki kikamilifu katika zoezi la usafi ambalo ufanyika kila jumamosi kuanzia saa moja kamili hadi saa tatu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

NEC yapuliza kipenga jimboni kwa Tundu Lissu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeeleza kuwa, uchaguzi mdogo katika Jimbo la Singida Mashariki utafanyika tarehe 28 Julai 28 mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Jimbo hilo lipo wazi ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram