Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Video ya Mbowe: Ni kusuka au kunyoa

SWALI ni je, video iliyopokewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ikidaiwa kuonesha matukio yanayomuhusu Freeman Mbowe na wenzake kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni ...

Read More »

Sheikh Ponda ‘watu wasiojulikana’ wanaichafua nchi

SHEIKH Issa Ponda, Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, amesema kuwa vitendo vya utekaji vinavyodaiwa kufanywa na watu wasiojulikana vinaichafua taswira ya nchi. Anaripoti Faki Sosi … ...

Read More »

Mufti Zubeir: Tunachonganishwa

SHEIKH Abubakar Zubeir, Mufti Mkuu wa Tanzania ‘amelalamikia’ kuchongwanishwa kwa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) na serikali. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Amesema, (bila kutaja jina ama taasisi) watu ...

Read More »

Jumuiya ya Waislamu yalilia Tume Huru ya Uchaguzi 

KUELEKEA maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania imeiomba serikali kuunda Tume Huru ya Uchaguzi ili kuleta haki na usawa katika uchaguzi huo. Anaripoti ...

Read More »

Shahidi wa Sita kumzamisha Zitto?

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, anayetuhumiwa na tuhuma za uchochezi, kesho shahidi wa sita anatarajiwa kutoa ushahidi dhidi yake. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Shahidi huyo atatoa ...

Read More »

Waziri Mkuu aongoza watanzania mazishi ya watu waliofariki ajali ya moto

KASSIM Majaliwa Waziri Mkuu Tanzania ameongoza maelfu ya watanzania mazishi ya watu zaidi ya 60 waliofariki kwenye mlipuko wa  lori la mafuta  baada ya kupinduka jana mtaa wa Itigi Msamvu ...

Read More »

Kubenea kuingia na hoja ya watu wenye Ualbino bungeni

MBUNGE wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea, amepanga kuwasilisha hoja binasfi bungeni, kushinikiza serikali kuridhia Itifaki ya pamoja ya Mkataba wa Afrika wa haki za binadamu, kuhusu haki za watu wenye ...

Read More »

Kukamatwa kwa Kabendera utata mtupu

KUKAMATWA na kushtakiwa kwa Mwandishi wa Habari za uchunguzi Erick Kabendera kumedaiwa kuwa kuna mashaka. Anaaripoti Faki Sosi … (endelea). Tamko la wadau wa habari na haki za binadamu lilotolewa  leo ...

Read More »

Waziri Mkuu Majaliwa aunda tuwe kuchunguza ajali ya moto Morogoro

WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali imeunda tume ya wataalam mbalimbali kuchunguza kama mamlaka za serikali ziliwajibika ipasavyo katika kudhibiti ajali ya moto iliyotokana na lori la mafuta iliyosababisha vifo ...

Read More »

JPM atembelea majeruhi, serikali kubeba gharama zote

RAIS John Magufuli amewajulia hali majeruhi 43 wa ajali ya mlipuko wa lori la mafuta iliyotokea mkoani Morogoro, waliohamishiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakitokea Hospitali ya Rufaa ya ...

Read More »

Viongozi wa Serikali watua Morogoro kuweka mambo sawa ajali ya moto

BAADA ya vifo vya watu takribani 60 vilivyotokana na lori la mafuta kuwaka moto mkoani Morogoro viongozi mbalimbali wamewasili mkoani hapa kwa ajili ya kusimamia taratibu zote za kusafirisha mili ...

Read More »

Si akili zao, ni kufilisika

KUFILISIKA huwa hakupigi goti. Wala anayefilisika huwa hajijui; huwa anadhani kilichopungua leo atafidia kesho. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Mfano, mfanyabiashara wa duka, kwa kawaida hupanga bidhaa zake kwenye shelfu. Bidhaa ...

Read More »

Vifo vya ajali ya lori la mafuta vyaishtua serikali, vyama vya siasa

SERIKALI na vyama vya siasa nchini vimetuma salamu za pole kufuatia vifo vya watu 60 na majeruhi 70 vilivyotokea kwenye mlipuko wa lori la mafuta maeneo ya Msavu mkoani Morogoro. ...

Read More »

Lukuvi aunda tume maalum kuchunguza maafisa 183 wa Ardhi

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ametoa siku 30 kwa timu maalum iliyoundwa kuchunguza maafisa ardhi 183 waliosimamishwa kazi hivi karibuni baada ya kuhusika na tuhuma ...

Read More »

Magereza watoa elimu ya matofali ya kuchoma, kuepusha mazingira

ILI kuepuka kufanya uharibifu wa mazingira ikiwemo ukataji miti hovyo, Jeshi la Magereza limeitaka jamii kujifunza njia mbadala ya ufyatuaji matofali ya kuchoma kupitia pumba zinazotoka kwenye mpunga. Anaripoti Danson ...

Read More »

Lori lalipuka na kuteketeza watu zaidi 60

TAKRIBANI watu 60 wanaohofiwa kufariki dunia huku wengine mamia wakiungua moto baada ya lori la mafuta kupinduka na baadaye kuwaka moto, katika eneo la Msamvu, mkoani Morogoro. Anaripoti Mwandishi Wetu ...

Read More »

Wikiendi ngumu: Kule Simba SC, huku Yanga

TOFAUTI na misimu iliyopita, msimu huu 2019/20 mambo yamechenji kidogo. Simba na Yanga zinatarajiwa kufungua msimu huu kwenye michuano ya kimataifa Jumamosi wiki hii, badala ya kuanza kucheza Ligi Kuu ...

Read More »

Kigogo wa TAKUKURU anaswa akipokea rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) imemfukuza kazi Cosmas Batanyita, aliyekuwa Mchunguzi Mwandamizi wa taasisi hiyo, kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Marekani, Uingereza yaingilia kati sakata Kabendera

BALOZI za Marekani na Uingereza nchini Tanzania wameingilia kati sakata la kukamatwa mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Leo tarehe 9 Agosti 2019 balozi hizo zimetoa ...

Read More »

Green Mile yamgomea Kigwangalla

KAMPUNI ya Uwindaji ya Green Mile imeendelea kuvutana na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla, kwa kile walichodai kuwa wataendelea na shughuli zao. Anaripotia Mwandishi Wetu …(endelea). Akizungumza na ...

Read More »

Nanenane: Mikakati kuiinua Simiyu yawekwa hadharani

ANTHONY Mtaka, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu ameeleza mikakati ya kupunguza umasikini mkoani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ripoti ya Hali ya Umasikini kwa mwaka 2017/18, iliyotolewa na Ofisi ...

Read More »

Zitto aeleza ndoto ya ACT-Wazalendo 2020-2025

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeanza kueleza mikakati yake, iwapo kitapewa mamlaka ya kuiongoza Tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo na ...

Read More »

Tundu Lissu afungua kesi ya kihistoria  

HATIMAYE yametimia. Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu, ametinga mahakamani kupinga hatua ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kumvua ubunge wake. ...

Read More »

Serikali, Green Miles wavutana

WAKATI serikali ikieleza kufuta umiliki wa kitalu cha uwindaji wa kitalii cha Lake Natron (East), kilichokuwa kinamilikiwa na Kampuni ya Uwindaji wa Kampuni ya Green Miles, kampuni hiyo imeeleza kuendelea ...

Read More »

Wafanyabaishara 12 wakamatwa wakiwa na mamilioni ya fedha

JESHI la Polisi mkoani Tanga, linawashikilia wafanyabaishara 12 wanaodaiwa kufanya biashara ya ubadilishaji fedha za kigeni bila leseni ya biashara hiyo kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Anaripoti Regina Mkonde … ...

Read More »

Simulizi msisimko majeruhi ajali ya ndege Mafia

HASSAN Bakari Ali, majeruhi wa ajali ya ndege iliyotokea Mafia wilayani Pwani, ameeleza kilichomtokea. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Ajali hiyo ilitokea Jumanne tarehe 6 Agosti 2019 wakati ndege hiyo ...

Read More »

Wizara Viwanda, Kilimo washirikiane – Mhandisi Manyanya

WIZARA ya Viwanda na Biashara lazima ishirikiane na Wizara ya Kilimo ili kuleta tija kwa wakulima na wafugaji. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na Mhandisi Stella Manyanya, Naibu Waziri ...

Read More »

Mpina: Operesheni hii marufuku

OPERESHENI ya kuwaondoa wakazi wa Kijiji cha Vilimavitatu wilayani Babati, Manyara katika eneo linalodaiwa kuwa la hifadhi ya Burunge (Juhibu), imesitishwa. Anaandika Hamis Mguta…(endelea). Wakazi hao kuanzia Julai mwaka huu, wamekuwa ...

Read More »

Manara aburuzwa kortini, adaiwa Mil 83

HAJI Manara, Msemaji wa Klabu ya Simba na wenzake watatu, tarehe 6 Agosti 2019 wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kudaiwa Sh. 83.5 milioni. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Msemaji huyo ...

Read More »

Mgogoro: Nyumba, mbuzi vyachomwa moto

NYUMBA ya Tryphone Jeremiah, mkazi wa kijiji Kijiji cha Kishanda B, kilichopo kwenye Kata ya Kibale, Kyerwa mkoani Kagera imechomwa moto. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea).   Pia wanyama wake wameuawa pamoja na migomba, ...

Read More »

Sababu bei ya maji kupanda Mwanza yaelezwa

MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mwanza (Mwauwasa) imesema, imepandisha bei ya maji kutokana na kuongezeka kwa gharama za uendeshaji. Anaripoti Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Sababu nyingine ...

Read More »

Ndege yawaka moto Mafia

WATU watano wamenusurika kufa huku watatu hawajajulikana walipo katika ajali ya ndege, inayodaiwa ya Shirika la Tropical iliyotokea leo tarehe 6 Agosti 2019 kisiwani Mafia. Anartipoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa ...

Read More »

Z’bar: Wachanganya juisi na dawa nguvu za kiume, wakamtwa

HAMID Hemed Salum (39) na Saidi Hemed Salum (40) wamekamatwa na Wakala wa Dawa, Chakula  na Vipodozi Zanzibar (ZDFA), kwa tuhuma za kuuzia wateja juisi ya tende iliyochanganywa na dawa ...

Read More »

Kilichotokea kwa Maxence wa Jamii Forum kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeanza kusikiliza utetezi wa Wakurugenzi wa Jamii  Media Limited Maxence Mello na Mike William tarehe 5 Agosti 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). ...

Read More »

Akamatwa na stika 2,546 za Viza

IDARA ya Uhamiaji nchini, imemkamata Jasmin Ngongolo, mkazi wa Dar es Salaam akiwa na stika za Viza 2,546 za Tanzania za kughushi. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Mwanamke huyo alikamatwa tarehe ...

Read More »

Wafanyabiashara Dodoma wafurushwa

WAFANYABIASHARA katika maeneo ya wazi jijini Dodoma, wameulalamikia uongozi wa jiji hilo kwa kuwafurusha katika maeneo hayo ndani ya siku 30. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Wanasema, wamekuwa wakimiliki ...

Read More »

Wizara ya Afya kudhibiti Kifua Kikuu Magereza 15

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Jeshi la Magereza imeanzisha kampeni ya kutokomeza ugonjwa wa Kifua Kikuu katika magereza nchini. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). ...

Read More »

Bodaboda wapumzishwa kuingia mjini, ving’ora, ‘spotlight’ marufuku

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku usafiri wa pikipiki ‘Bodaboda’ kuingia maeneo ya mjini kuanzia tarehe 6 hadi 18 Agosti 2019. Anaripoti Regina Mkonde …(endelea). Akizungumza ...

Read More »

Mwandishi Kabendera, afunguliwa kesi ya kushirikiana na wahalifu

MWANDISHI wa habari za uchunguzi nchini, Erick Kabendera, hatimaye amefikishwa mahakamani kwa makosa matatu, likiwamo utakatishaji fedha na kushirikiana na kinachoitwa, “makundi ya kihalifu.” Anaripoti Faki Sosi … (endelea).  Kabendera aliyekamatwa ...

Read More »

Rais Magufuli: Hatuna nguvu 

NCHI za Afrika hazina nguvu katika soko la kimataifa hasa kwenye malighafi, hupangiwa bei ya kuuza kwa wenye viwanda. Anaripoti Regia Mkonde … (endelea). Rais John Magufuli ametoa kauli hiyo leo ...

Read More »

CUF yampigia goti Rais Magufuli 

CHAMA Cha Wananchi (CUF), kinaugulia maumivi ya kutofanya mikutano ya kisiasa hasa muda huu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa baadaye mwaka huu. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Maumivu hayo ...

Read More »

Nanenane Singida, Dodoma iwe endelevu – Waziri Jafo

SELEMAN Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ametoa maagizo kwa wakuu wa mikoa ya Dodoma na Singida na halmashauri zote kuhakikisha, ...

Read More »

Halima Mdee: Mama aliniambia maneno makali

MAMA yangu aliniambia, Mungu alimuepusha uchungu mkali wakati wa kunizaa lakini sasa anapata machungu makali kila siku katika utu uzima wangu. Anaandika Hamis Mguta…(endelea). Ni kauli ya Halima Mdee, Mwenyekiti ...

Read More »

Urais wa Membe waendelea kupata wafuasi  

BERNARD Kamillius Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nchi za nje na uhusiano wa kimataifa, anazidi kukoleza mbio za kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa 2020 ndani ya Chama ...

Read More »

Bakwata watangaza tarehe ya Sikukuu ya Eid

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza kwamba Sikukuu ya Idd El-Adh’haa itakuwa siku ya Juamatatu ya tarehe 12 Agosti, 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa ...

Read More »

Serikali kuingia mgogoro na Marekani?

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano, yaweza kujiingiza kwenye mgogoro mwingine wa kidplomasia na mataifa ya Magharibi, kufuatia uamuzi wake wa kumpokea na kumruhusu kufanya kazi nchini, Anselem Nhamo Sanyatwe. Anaripoti ...

Read More »

Serikali yaenda kufanya upekuzi mwingine kwa Kabendera

ERICK Matugwa Kabendera, mwandishi wa habari za kichunguzi, mtafiti, na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, uchumi na usalama wa kikanda, bado anaendelea kushikiliwa na vyombo vya usalama nchini Tanzania, kwa ...

Read More »

Wafanyakazi wa Tigo matatani

WAFANYAKAZI wa Mtandao wa Tigo wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kudukua taarifa za miamala ya pesa ya wateja kwa nia ...

Read More »

Safari za mabasi usiku zapigwa ‘stop’

JESHI la Polisi limetangaza kusitisha safari za usiku kwa baadhi ya magari ya abiria yanayokwenda mikoani. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). CP Liberatus Sabas, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa jeshi hilo ...

Read More »

Jinsi polisi wavyopambana na dawa za kulevya Aprili – Juni 2019

JUMLA ya watu 2,085 wamekamatwa kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi, kuanzia Aprili hadi Juni 2019. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Takwimu hizo zimetolewa mbele ya wanahabari na ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram