Categorizing posts based on type of post
JIMBO la Musoma Vijijini, mkoani Mara, limeomba Serikali kuhakikisha ujenzi wa Barabara ya Musoma-Makojo-Busekera, unaanza baraka baada ya mwaka mpya wa fedha (2023/24),...
By Mwandishi WetuMay 23, 2023CHAMA cha ACT Wazalendo kimeeleza wasiwasi juu ya uelekeo wa Serikali na mjadala unaondelea Bunge kuhusu ushirikishwaji wa sekta binafsi kwenye ujenzi wa...
By Faki SosiMay 23, 2023HATIMAYE Jeshi la Polisi nchini limewadaka watuhumiwa watatu wa mauaji ya Dk. Isack Daniel Athumani aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende...
By Mwandishi WetuMay 15, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa kampuni za simu kubuni teknolojia ya gharama nafuu itakayowezesha kila Mtanzania kupata huduma ya mawasiliano...
By Mwandishi WetuMay 13, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, kutumia mapato yake ya ndani kukamilisha miradi...
By Mwandishi WetuMay 13, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa amemteua Mussa Mohamed Makame, Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwa Mwenyekiti wa...
By Mwandishi WetuMay 13, 2023DAKTARI wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje nchini Bernard Membe, ameondoa utata kuhusu ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe na...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023WANAKIJIJI zaidi ya 4,000 wa Kinyang’erere, Musoma Vijijini mkoani Mara, wameepukana na adha ya usafiri baada ya Serikali kujenga barabara inayowaunganisha katika...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023JAJI Mustapha Ismail Kambona, msemaji wa familia ya marehemu Bernard Kamilius Membe, aliyeaga dunia mapema leo asubuhi, ametangaza kuwa mazishi ya mwanasiasa...
By Kelvin MwaipunguMay 12, 2023TANZANIA imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Serikali ya Uingereza katika sekta za biashara pamoja na uwekezaji. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Mwandishi WetuMay 12, 2023ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, katika utawala wa Rais Jakaya Kikwete, Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia, asubuhi...
By Saed KubeneaMay 12, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemlilia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe, aliyefariki Dunia ghafla jijini Dar es Salaam. Anaripoti...
By Masalu ErastoMay 12, 2023KATIBU Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk. Samwel Shelukindo amekutana na kuzungumza na mabalozi wa China,...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023HATIMAYE Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) leo Alhamisi wamekusanyika kwenye viwanja vya posta ya zamani jijini Dar es salaam na kuandamana...
By Mwandishi WetuMay 11, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameliomba jeshi la polisi nchini kuendelea kumsaka aliyehusika na shambulio dhidi...
By Mwandishi WetuMay 9, 2023MBUNGE wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM) leo Jumanne ameangua tena kilio bungeni na kutoka nje ya ukumbi wa mhimili huo kwa...
By Mwandishi WetuMay 9, 2023WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Jenister Mhagama amesema kabla ya mwaka huu 2023 kumalizika, Serikali itakuwa imepeleka...
By Gabriel MushiMay 8, 2023CHAMA Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Serikali ianze kutekeleza dhana ya maridhiano mapema kabla ya kubandika kwenye matangazo kuwa wameridhiana kumbe si...
By Mwandishi WetuMay 8, 2023CHAMA cha ACT Wazalendo kimeunga mkono na kuikaribisha kwa mikono miwili hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kumuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa...
By Mwandishi WetuMay 8, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kuitisha kikao maalum cha Baraza la vyama hivyo...
By Faki SosiMay 7, 2023UKUAJI wa biashara kati ya Tanzania na Ufaransa umeongezeka kutoka kiasi cha Sh. 27.8 bilioni kwa mwaka 2015 hadi Sh. 94.5 bilioni kwa...
By Mwandishi WetuMay 5, 2023LEO tarehe 5 Mei, ni ACT Dei. Ni siku ambayo Chama cha ACT Wazalendo kilipata usajili wa kudumu. Tunaadhimisha siku hii kwa...
By Mwandishi MaalumMay 5, 2023ALIYEKUWA Spika wa Bunge, Job Ndugai, amedai kuwa aliwahi kumshauri Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kukutana na...
By Saed KubeneaMay 4, 2023Spika wa Bunge, Tulia Ackson leo Alhamisi amesema licha ya kuwepo kwa chokochoko kwamba aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema, Joseph Mbilinyi...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023UJANGILI wa wanyamapori bado ni tatizo kubwa katika hifadhi za Taifa. Kwa nchi yetu tuna jumla ya hifadhi 22 zinazosimamiwa na Shirika la...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023KESI ya kikatiba iliyofunguliwa na raia wa Tanzania waishio nje ya nchi (Diaspora), kupinga Sheria inayokataza uraia wa nchi mbili, maarufu kama...
By Mwandishi WetuMay 2, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amesema suala la posho ya kufundishia (teaching allowance) kwa walimu ni mzigo mkubwa kwenye kapu la serikali hivyo...
By Mwandishi WetuMay 1, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza kurejesha mpango wa nyongeza ya mishahara kila bila kutaja viwango ili kudhibiti mfumuko wa bei. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMay 1, 2023Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Serikali Mapinduzi Zanzibar Khalid Salum Mohamed miaka ya hivi karibuni kumekuwa na maendeleo makubwa katika sekta ya...
By Mwandishi WetuMay 1, 2023Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki imetoa wito kwa wadau wa posta wenye leseni kuhakikisha kuwa wanafuata taratibu, kanuni na sheria...
By Mwandishi WetuApril 30, 2023RAIS wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amewaunganisha watanzania katika sekta zote nchini ili kuhakikisha wananufaika na rasilimali mbalimbali zilizopo pamoja na...
By Mwandishi WetuApril 29, 2023MWENYEKITI mwenza wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia Afrika (DUA), Freeman Mbowe, amezitaka nchi za Afrika kutumia vyema rasilimali watu ili kukomboa...
By Mwandishi WetuApril 29, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili kuanzia tarehe 24 Aprili 2023. Jaji mstaafu...
By Mwandishi WetuApril 28, 2023HALMASHAURI ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe inatarajia kutumia fedha zake za mapato ya ndani Sh bilioni nne kujenga barabara zenye...
By Mwandishi WetuApril 26, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeitaka Serikali kuwarejesha Watanzania wanaoshikiliwa na waliokutwa na makosa ya jinai katika mataifa ya nje. Anaripoti Faki Sosi, Dar es...
By Faki SosiApril 26, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amesema miaka 59 ya Muungano imekuwa yenye umoja, amani na ustawi wa Taifa kama ilivyokuwa ndoto za waasisi...
By Mwandishi WetuApril 26, 2023SERIKALI imesema kuwa Watanzania 200 waliokwama nchini Sudan wakati huu ambako taifa hilo likiwa kwenye machafuko wapo njiani kurejea nyumbani. Anaripoti Faki...
By Faki SosiApril 25, 2023TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA), imesaini mkataba na wakala wa vyuo vikuu nje ya nchi Global Education Link (GEL), lengo ikiwa ni kushirikiana kuitafutia...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023TANGU kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), ambayo ni kampuni tanzu ya AngloGold Ashanti ilipoanzishwa mwaka 2000 nchini Tanzania, imekuwa kampuni kinara...
By Mwandishi WetuApril 24, 2023KATIBU wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan, aanze kuwashughulikia vigogo waliohusika na vitendo vya...
By Mwandishi WetuApril 23, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Sued Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole kuanzia tarehe 18 Aprili 2023. Awali nafasi hiyo...
By Mwandishi WetuApril 21, 2023MBUNGE Viti Maalum, Halima Mdee (Chadema), ametishia kutopitisha fungu lenye bajeti ya mashahara wa Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi...
By Mwandishi WetuApril 20, 2023SPIKA wa Bunge, Tulia Ackson, ameagiza Serikali kutokomeza changamoto ya ucheleweshaji malipo ya mafao ya wastaafu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Spika Tulia...
By Mwandishi WetuApril 20, 2023CHANGAMOTO ya uhaba wa maji katika Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, iko mbioni kuisha baada ya Serikali kupeleka miradi ya maji...
By Mwandishi WetuApril 20, 2023SERIKALI ya Tanzania, imezitaka pande mbili zinazosigana nchini Sudan na kusababisha mapigano yaliyogharimu maisha ya watu zaidi ya 180 na majeruhi 1,000,...
By Mwandishi WetuApril 19, 2023KESI iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee, imeahirishwa hadi tarehe 18 na 19 Mei,2023 kutokana na Jaji anayeisikiliza, Cyprian...
By Regina MkondeApril 18, 2023Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Mwanza kuanzia tarehe 16 Aprili 2023.
By Mwandishi WetuApril 18, 2023MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) amesema kutokana na madudu yaliyoibuliwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),...
By Mwandishi WetuApril 11, 2023MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema serikali itawachukulia hatua wale wote watakaobainika kuwa wamefanya ubadhirifu...
By Mwandishi WetuApril 11, 2023UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA). CAG ameimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020. Ukaguzi umefanyika kwa maombi ya wafadhili;...
By Mwandishi WetuApril 9, 2023