Saturday , 20 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari MchanganyikoTangulizi

Waraka wa Maulid waibua mauaji haya

WARAKA wa Maulid (Sikukuu ya Maulid) uliotolewa na Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania umeibuka na matukio mbalimbali yaliyotokea nchini. Anaripoti Yusuph Katimba...

Habari za Siasa

“Tusiiogope sheria ya vyama vya siasa tuikabili”

NI siku ya tatu tangu Serikali kuifikisha Bungeni Muswada wa sheria ya vyama vya siasa nchini ambapo umoja wa vyama vya siasa visivyokuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Waitara: Wathubutu waone

NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara amesisitiza kuwa, marufuku ya wazazi kuchangishwa michango ya wananfunzi shuleni...

Habari za Siasa

Wavuvi 16 wa Tanzania kuburuzwa mahakamani Kenya

WAVUVI takribani 16 kutoka Tanzania wamekamatwa nchini Kenya Jumapili tarehe 18 Novemba 2018, kwa madai ya kuingia nchini humo kinyume na sheria na...

KimataifaTangulizi

Mbunge aliyefyatua risasi bungeni apelekwa ICC

MBUNGE Alfred Yekatom maarufu kama Rambo, aliyekamatwa na vyombo vya dola baada ya kufyatua risasi bungeni nchini Afrika ya Kati (CAR) amefikishwa katika...

Habari za SiasaTangulizi

CUF Lipumba yakaza kamba

WAKATI uchaguzi wa Serikali za Mitaa ukiendelea kukaribia mwakani, Chama cha Wananchi (CUF) kambi ya Prof. Ibrahim Lipumba imeeleza kuwa, ‘atakaye ajiunge nao.’...

Habari za Siasa

Tamaa ya cheo imempeleka Mtolea CCM

HAMAHAMA ya wabunge, madiwani na wanasiasa wa upinzani ndani ya vyama vyao na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) imeelezwa kuwa inasababishwa uroho...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali haijui athari za soko la Afrika Mashariki

SERIKALI imesema inafanya tathimini ili kujua athari ilizopata Tanzania kufuatia hatua yake ya kufungua masoko yake yote kwa pamoja katika soko la pamoja...

Habari za Siasa

CAG kufanya ukaguzi maalum kwenye miradi ya maji

SERIKALI imeshauriwa kumruhusu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kufanya ukaguzi maalum kwenye miradi ya maji kutokana...

Habari za SiasaTangulizi

Sababu za wanawake kuota ndevu, wanaume matiti zatajwa bungeni

MBUNGE wa Viti Maalum, Zainab Mndolwa ameitaka serikali kufanya utafiti kuhusu madai ya baadhi ya wanawake kuota ndevu na wanaume kuota maziwa kutokana...

Habari za Siasa

Swali la kwanza la Mwijage baada ya kuvuliwa uwaziri

MBUNGE wa Muleba Kaskazini,Charles Mwijage kwa mara ya kwanza ameuliza swali bungeni baada ya kuvuliwa wadhifa wa uwaziri wa viwanda na biashara na...

Habari za Siasa

Mbunge Ahmed Katani akana kujiuzulu

MBUNGE wa Tandahimba (CUF), Katani Ahmed Katani, amevunja ukimya na kuutangazia ulikwengu kuwa hawezi kujiuzulu wazifa wake wa ubunge. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Mtolea awahi kabla ya dirisha la usajili CCM kufungwa

YAMETIMIA. Mbunge wa Temeke, kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Abdallah Mtolea, hatimaye amejiuzulu nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Mtolea ametangaza...

Habari za Siasa

Ndugai awashushia vijembe wapinzani bungeni

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo tarehe 15 Novemba 2018 akiwa bungeni jijini Dodoma, amewatania wabunge wa...

Habari za Siasa

Kiporo cha Ndugai chapata majibu

HATIMAYE swali lililogomewa na Spika wa Bunge, Job Ndugai kuhusu changamoto za baadhi ya watumishi wa umma kutopandishwa madaraja kuanzia mwaka wa fedha...

Habari za SiasaTangulizi

Wapinzani waliohamia CCM, wapewa ‘ofa’ maalum na Serikali

BAADHI ya mawaziri wamewapongeza wabunge waliohamia CCM wakitokea vyama vya upinzani, wakisema kuwa wana uhakika na kile walichokiamua katika kuungana na timu ya...

Habari za Siasa

Waziri ataka bunge limpe tuzo Kikwete

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Juma Aweso amesema kama Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lingekuwa linatoa tuzo, angeshauri litoe kwa...

Habari za Siasa

Lugola: Msitolee macho posho za polisi

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amezitaka familia za askari kutozitamani posho za chakula, badala yake watumie mishahara ya askari...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yatuhumiwa kuihujumu ilani yake

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetuhumiwa kuhujumu ilani yake ya uchaguzi wa mwaka 2015 na wabunge wa upinzani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Serikali yataja sababu za kugomea mkataba wa AU hizi hapa

SERIKALI imeeleza sababu za kutoridhia na kutia saini mkataba wa Jumuiya ya Afrika (AU) kuhusu masuala ya utawala bora, demokrasia na uchaguzi, ikisema...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Tizeba aibua shangwe bungeni

MBUNGE wa Buchosha, Dk. Charles Tizeba aliyekuwa Waziri wa Kilimo ameibua shangwe bungeni kwa kushangiliwa na wabunge aliposimama kwa ajili ya kuuliza swali...

Habari za Siasa

Tundu Lissu amvaa tena Rais Magufuli

KWA mara nyingine tena Rais Magufuli ametoa kauli yenye ukakasi mkubwa kwa Uhuru wa Mahakama. Anaandika Tundu Lissu, Ubelgiji … (endelea).  Iko hivi:...

Habari za Siasa

Sababu za kutemwa Mwijage, Tizeba hizi hapa

RAIS John Magufuli ametaja sababu za kuwaondoa, aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Charles Tizeba na Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage, akisema kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli awatimua wanunuzi wa Korosho, sasa kununuliwa na Serikali

RAIS John Magufuli amezikataa kampuni 13 zilizojitokeza kununua korosho ghafi na badala yake ameiagiza Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kutoa fedha...

Habari za Siasa

Orodha majaji wala rushwa yamfikia JPM

ORODHA ya majina ya baadhi ya majaji wanaodaiwa kuhusika na vitendo vya rushwa imemfikia Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza...

Habari za Siasa

JKT wakabidhiwa kiwanda cha korosho Lindi

BAADA ya Serikali kukitwaa kiwanda cha kuchakata korosho kilichopo mkoani Lindi Buko, Rais John Magufuli amekikabidhi kiwanda hicho kwa Jeshi la Kujenga Taifa...

Habari za Siasa

Nape bado ang’ang’ana na korosho, ahoji 400 mil za wakulima

MBUNGE wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye amehoji mpango mbadala wa serikali katika kufidia fedha zinazochangwa na wakulima wa korosho, kwa ajili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli awaapisha Mawaziri, Manaibu wapya

JOHN Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania muda mchache uliopita amewaapisha mawaziri wawili na manaibu wanne aliowateua siku ya Jumamosi tarehe 10 Novemba, 2018...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Zanzibar imetumbukizwa gizani

MKATABA  uliosainiwa Tarehe 23 Oktoba mwaka 2018 wa uchimbaji mafuta visiwani Zanzibar umetabiriwa kuwa ni chanzo kingeni cha Mgogoro ndani ndani ya Muungano...

Habari za SiasaTangulizi

Korosho yaondoka na mawaziri wawili

RAIS John Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya Baraza lake la Mawaziri ambapo Charles Mwijage na Dk. Charles Tizeba wametemwa. Anaandika Faki Sosi …...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli aweka tayari magari ya kubebea Korosho

RAIS John Magufuli ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu, amekagua magari ya Jeshi ya Kikosi ncha Usafirishaji cha 95KJ ambayo yanaweza kutumika kubebea korosho...

Habari za Siasa

Tanzania yashtakiwa kesi 13, yadaiwa dola 185 milioni

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amebainisha kuwa, mashauri 13 yenye jumla ya madai kiasi cha dola za Marekani 185.5 Milioni,...

Habari za Siasa

Serikali wawatunishia misuli wanunuzi wa korosho

SERIKALI imetoa siku nne kwa wanunuzi takribani 35 waliojitokeza kununua korosho, kupeleka barua katika Ofisi ya Waziri Mkuu inayoonesha kiasi cha tani wanazohitaji...

Habari za Siasa

Kesi za Acacia, Serikali bado pasua kichwa

SERIKALI imeeleza kuwa, kwa sasa hakuna kesi yoyote iliyofunguliwa na kampuni ya Madini ya Acacia Mining PLC katika mahakama ya kimataifa ya usuluhishi...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Kabudi aukimbia mtego wa Zitto

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi ameshindwa kujibu kipengele B kwenye swali la Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kuhusiana na...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Matiko kukamatwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kumatwa kwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa  Chama  cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Ester Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini. Anaripoti...

Makala & Uchambuzi

Hii ni Jahannam katika uso wa dunia

UNAWEZA kujiuliza, kwanini wanadamu wamekuwa na tabia za ovyo zaidi ya wanayama wakali? Nini hasa walichojisahau mpaka kutojali maumivu wanayopata wengine? Anaandika Yusuph Katimba...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu mstaafu apata pigo

ELIZABETH Sumaye, aliyekuwa mama mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye amefariki dunia jana tarehe 7 Novemba 2018 nyumbani kwake kijijini Endasaki wilayani...

Habari za Siasa

Kisukari, Saratani yapunguziwe mzigo wa matibabu

MBUNGE wa Viti Maalum (CUF), Rukia Ahmed ameitaka serikali kuwaondolewa ukali wa gharama za matibabu, waathirika wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza hasa kisukari...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Balozi wa EU latinga bungeni, Spika aligomea

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amegoma kuruhusu swali la Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe kutolewa majibu na...

Habari za Siasa

Bunge latoa siku saba serikali kutoa takwimu za watumishi

SPIKA Job Ndugai ametoa siku saba kwa Wizara ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutoa takwimu za watumishi wake waliopandishwa madaraja, walioajiriwa katika mwaka wa...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri wa JPM abanwa bungeni

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango ametakiwa kutoa idadi ya wananchi waliotolewa kwenye unyonge wa umasikini, tangu serikali ya awamu ya...

Habari za Siasa

Marufuku mkandarasi aliyeboronga kuhamia mkoa mwingine

WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa amepiga marufu wakandarasi wanaoharibu miradi, kuhamishiwa maeneo mengine. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Prof. Mbarawa...

Habari za Siasa

Madiwani wa CCM wamsusia Meya kikao

MADIWANI wa CCM katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wamegoma kushiriki kikao cha baraza la madiwani kilichotarajiwa kufanyika leo tarehe 7 Novemba 2018....

Habari MchanganyikoTangulizi

Wakili wa Nondo awageuzia kibao Polisi

JESHI la Polisi limetakiwa kufanya upelelezi wa waliohusika kumteka Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Ukawa waanza kwa kususa bungeni

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) bungeni wamesusa kushuhudia kuapishwa kwa wabunge wanne. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Leo vikao vya bunge...

Makala & UchambuziTangulizi

Kesi ya Abdul Nondo: Mahakama yathibitisha uongo wa Polisi

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Iringa imetoa hukumu yake katika kesi iliyokuwa inamkabili kiongozi wa Programu ya Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP),...

Habari za SiasaTangulizi

Kauli ya Nondo baada ya kuibwaga Serikali mahakamani

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP), Abdul Nondo amesema hawezi kurudi nyuma katika harakati zake za kutetea haki za binadamu. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Mkuu wa Wilaya aagiza waliotapeli mamilioni wawekwe ndani

MKUU wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, Gift Msuya ameagiza Jeshi la Polisi kuwakamata watu watatu wanaodaiwa kutapeli wananchi sita kiasi cha Sh....

Habari MchanganyikoTangulizi

Nondo aachiwa huru kesi ya kujiteka

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Iringa leo imemkuta Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo hana hatia hivyo imemuachia huru. Anaripoti Mwandishi...

error: Content is protected !!