Saturday , 20 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari MchanganyikoTangulizi

Tishio la corona: Ibada KKKT, Misikiti zabadilishwa mwelekeo

WAKATI baadhi ya misikiti ikitumia dakika 20 pekee katika Ibada ya Ijumaa, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) sasa litaumia dakika 45...

Habari

BoT yachapisha noti mpya

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imezifanyia maboresho fedha za noti, toleo la mwaka 2010, katika kipengele cha usalama. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu...

Habari za Siasa

Tishio la uchumi kufuatia Corona: ACT yaziangukia jumuiya za kimataifa

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeziomba jumuiya za kimataifa, hususan taasisi za fedha, kuzipa nafuu katika ulipaji madeni, nchi masikini zenye mikopo, ili ziweze kupata...

Habari za Siasa

Kesi ya Zitto: Shahidi ‘niliona maiti watatu’

SHAHIDI wa mwisho wa upande wa utetezi kwenye kesi namba 327/2018, inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameieleza mahakama kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Mbatia ‘bifu’ kali

JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amekataa kufanya kazi na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Danson Kaijage,...

HabariTangulizi

Mwingine apona corona Tanzania

MPAKA sasa, watu watatu wawaliokuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa corona, wamepona. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea) Taarifa iliyotolewa na Ummy Mwalimu, Waziri wa...

Habari za Siasa

Lukuvi amtuliza Prof. J

JOSEPH Haule (Prof. Jay) Mbunge wa Mikumi (Chadema), ametaka kujua ni lini serikali itafuta umiliki wa mashamba pori ya muda mrefu ya Mauzi...

AfyaHabari za Siasa

Corona: Chadema yaiangukia serikali

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani kimeiomba serikali kutoa taarifa za kina zaidi juu ya maambukizi ya ugonjwa wa Homa...

Habari za Siasa

Shahidi kesi ya Zitto: Aeleza alivyoshuhudia maiti kijiji cha Mpeta

GERALD Serikali shahidi wa sita kwenye kesi ya uchochezo inayomkabili Zitto Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ameieleza mahakama kuwa alishuhudia miili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea azungumzia siku ya kuhama Chadema

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema) amesema, siku akitaka kuhama chama hicho, atasaema na si watu kupiga ramli. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Maambukizi Corona yamshtua mbunge wa Ubungo

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema), ameishauri serikali kutengeneza mikakati ya dharura ya kukabili mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosabishwa...

Habari

Adha ya usafiri Dar: Bajaji, bodaboda zaruhusiwa kuingia mjini

PIKIPIKI na Bajaji zinazosafirisha abiria, zimeruhusiwa kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam, ili kupunguza changamoto ya usafiri katika kipindi cha mlipuko...

Habari za Siasa

Uchaguzi ACT-Wazalendo waacha mpasuko, Kigogo wake ang’oka

Yeremia Kulwa Maganja, aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, amejivua uanachama wa chama hicho, kwa madai kwamba kimegubikwa na hila. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru ataka vyama vya siasa kumaliza tofauti

DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amevitaka vyama vya siasa nchini kutumia vyombo husika ikiwemo Baraza la Vyama vya...

Habari za Siasa

Mdee, Mch. Msigwa wataka ripoti ya Corona ijadiliwe bungeni

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameitaka serikali kuwasilisha bungeni  ripoti ya tathimini ya ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosabishwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tanzania yaripoti kifo cha kwanza mgonjwa wa Corona

SERIKALI ya Tanzania imeripoti kifo cha kwanza cha Mgonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Hamis Mguta…(endelea)....

Habari MchanganyikoTangulizi

Wagonjwa wa corona Tanzania waongezeka

IDADI ya wagonjwa wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na  Virusi vya Corona (COVID-19), nchini Tanzania wamefika 19. Inaripoti Regina Mkonde…(endelea). Taarifa hiyo...

Habari za Siasa

Shamte afariki dunia

SALUM Shamte, Mkurugenzi wa zamani wa Kampuni ya Katani Limited, amefariki dunia afajiri ya leo tarehe 30 Machi 2020, katika Hospitali ya Taifa...

Habari za Siasa

Corona: Zitto aainisha mambo 7 kwa JPM

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemwandikia barua ya ushauri Rais John Magufuli iliyohusu namna ya kuukabili ugonjwa unaotokana na virusi...

Habari za SiasaTangulizi

Komu atangaza kung’atuka Chadema

MBUNGE wa Moshi Vijijini (Chadema), Anthony Komu, ametangaza “kukihama” chama chake cha sasa; na kuelekea NCCR- Mageuzi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza na waandishi...

Habari za Siasa

Meya wa Chadema Iringa ang’olewa

ALEX Kimbe, Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo tarehe 28 Machi 2020, ameondolewa madarakani...

Habari za SiasaTangulizi

Tuhuma za CAG: CUF yamtwisha zigo Maalim Seif

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemtupia lawama Maalim Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu wake, kikidai kuwa, alisababisha kikiuke sheria kwa kuhamisha fedha za...

Habari za Siasa

Meya Iringa njia panda, mahakama yamtosa

MAHAKAMA ya Mkoa wa Iringa, imetupilia mbali ombi la Alex Kimbe, Meya wa Manispaa ya Iringa la kuzuia mchakato wa kumng’oa madarakani. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Vigogo wa Chadema Songwe, watoka gerezani 

VIONGOZI kadhaa wandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika mkoa wa Songwe na jimbo la Tunduma, hatimaye wametoka gerezani. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Nani kampa sumu Mangula? Hakuna jibu

NANI aliyempa sumu Mzee Phillip Mangula, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)? Ni swali ambalo halijapatiwa majibu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Maalim Seif awaangukia Watanzania

MAALIM Seif Shariff Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, amewasihi Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aeleza siri ya Dk. Mahanga Chadema

MOJA ya jambo kubwa na la kipekee kwa marehemu Dk. Makongoro Mahanga, ni kuwa mtu wa kujifunga na kutokuwa na haya katika kubadilika. Anaripoti...

Habari za Siasa

Rais Magufuli: Uchaguzi Mkuu palepale

LICHA ya kuwepo kwa tishio la kusambaa kwa virusi vya corona (COVID-19) nchini, uchaguzi mkuu unaoratajiwa kuwanyika Oktoba mwaka huu, hautaahirishwa. Anaripoti Danson Kaijage,...

Habari za Siasa

Deni la Taifa lapaa tena

DENI la Taifa katika Mwaka wa Fedha wa 2018/19, limeongezeka kwa asilimia 2.18, kutoka Sh. 50.93 trilioni mwaka 2018 hadi Sh. 53.11 trilioni. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

CAG abaini madudu CUF, CCM

CHAMA cha Wananchi (CUF) na Chama Mapinduzi (CCM), vinatajwa kwa matumizi mabaya ya fedha katika Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali katika...

Habari za Siasa

Mkutano ‘kumng’oa’ Meya Iringa waitishwa

MKAKATI wa muda mrefu unaoondeshwa na wabunge pia madiwani kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumng’oa Meya wa Manispaa ya Iringa, sasa umeshika kasi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Shitaka hili limemtibua Lema

SHITAKA la kusababisha kuibua taharuki linalomkabili Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini, limemtibua. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida … (endelea). Nje ya Mahakama ya...

Habari za SiasaTangulizi

Wapiga dili CCM kuhenyeshwa

ROBERT Mwinje (39) na  Nyemo Malendaa(20), wote makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma wanatarajiwa kupandishwa kizimbani muda wowote kutoka sasa. Anaripoti Danson Kaijage,...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Mbowe athibitisha mwanawe kupata Corona

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, amekiri kuwa mmoja wa watoto wake, Dudley Mbowe, amekutwa na ugonjwa wa Corona. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za Siasa

Chadema yasubiri Corona ipite, kuliamsha upya

MIKUTANO ya ndani na hadhara iliyopangwa na Chama cha Demokrasia na Maebdeleo (Chadema), kuanza tarehe 4 Aprili 2020, sasa haitafanyika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee, Bulaya, Jacob wabebeshwa tuhuma saba

JUMLA ya viongozi na wafuasi 27 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamepandishwa kizimbani wakituhumiwa kutenda makossa saba. Anaripoti Hamis Mguta, Dar...

Habari za Siasa

‘Uvamizi Segerea’: Mdee, Bulaya waanza kusota Kisutu

HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe na wenzake 14, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kufanya...

Habari za Siasa

Dk. Makongoro Mahanga afariki dunia

DAKTARI Milton Makongoro Mahanga, aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Segerea jijini Dar es Salaam, amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 23 Machi...

Habari za SiasaTangulizi

Mwingine aondoka Chadema, aelekea NCCR- Mageuzi

NDIHOLEYE Zuberi Kifu, Mratibu wa Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo vikuu nchini (CHASO), kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Kilimanjaro, amejiondoa...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi: Kwa sasa ni kawaida polisi kuua

MUSA Bakari, shahidi wa tano kwenye kesi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo ameiambia mahakama kwamba ni kawaida polisi kuua....

Habari za Siasa

Shahidi ‘ambeba’ Zitto

SENGWE Mbaruku, Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima (Mviwata), mkoani Kigoma amedai, Zitto Kabwe ameshtakiwa kwa sababu ya kuwasemea wananchi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi 2020: Membe aungana na wapinzani kuiangamiza CCM

BERNARD Membe, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, ameungana na hoja ya wapinzani ya kudai Tume Huru ya Uchaguzi, itakayowezesha Uchaguzi Mkuu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto, Wakili wa Serikali wamuibua Azory mahakamani

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amedai kuwa amefurahi kumsikia wakili wa Serikali anakiri kuwa Mwandishi wa habari za uchunguzi, Azory Gwanda...

Habari za Siasa

Mlipuko wa Corona: Wapinzani waishauri Serikali

VYAMA vya siasa vya upinzani nchini vimeitaka Serikali kuchukua hatua za makusudi, katika kuhakikisha mlipuko wa Ugonjwa ya Homa ya Mapafu, inayosababishwa na...

AfyaHabari MchanganyikoTangulizi

Wagonjwa wa corona waongezeka nchini, wafikia watatu

WAGONJWA wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-2019) nchini Tanzania wameongezeka kutoka mmoja hadi kufikia watatu. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za SiasaTangulizi

Corona yabadili mwelekeo CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesitisha shughuli zenye mikusanyiko ya watu wengi, ikiwa ni hatua za kudhibiti kuenea kwa virusi vya ugonjwa wa homa...

Habari za Siasa

Lema asakwa Dar

JESHI la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linadaiwa kuzingira Hoteli ya Regency Park iliyoko Mikocheni, jijini Dar es Salaam likimsaka Godbless...

Habari za Siasa

Mbowe: ICC haitawaacha

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema vyombo vya ulinzi na usalama vinavyokiuka haki, hata kama vikilindwa na serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Tumefika ukomo

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kwa kuwa serikali imeweka pamba masikioni, nao wamefika ukomo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar...

Habari za Siasa

Mdee, Bulaya kushtakiwa kwa vurugu gerezani

HALIMA Mdee, Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) na Esther Bulaya, Mbunge wa Bunda mjini, wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kufanya...

error: Content is protected !!