Saturday , 20 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari

Corona: Ni hekaheka Maabara ya Taifa

DAKTARI Nyambura Moremi, Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Jacob Lusekjelo, Meneja Udhibiti wa Ubora wamesimamishwa kazi kufuatia tuhuma...

Habari za Siasa

Spika Ndugai amuelezea mbunge mwenye corona

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema, mbunge aliyekuwa aliyeambukizwa virusi vya corona (COVID-19), ataruhusiwa mda wowote kutoka...

Habari za Siasa

Mazishi ya usiku yamshtua Zitto

WAKATI Serikali ya Tanzania ikipiga marufuku utaratibu hasi wa mazishi ya usiku katika Halmashauri kadhaa nchini, Zitto Kabwe ameitaka serikali kutimiza wajibu wake....

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua bosi mpya MSD

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Brigedia Jenerali Dk. Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya...

Habari za SiasaTangulizi

Utata mtupu sakata la Meya Jacob

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema, chama chake, hakijawahi kumfukuza uwanachama, aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo,...

Habari za Siasa

Mwigulu aanzia pagumu

MWIGULU Nchemba, Waziri wa Katiba na Sheria aliyeapishwa leo tarehe 3 Mei 2020, amepewa jukumu zito na Rais John Magufuli. Anaripoti Hamis Mguta,...

Habari za Siasa

Rais Magufuli amteua Dk Mwigulu kumriti Balozi Mahiga

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Mwigulu Nchemba kuwa waziri wa katiba na sheria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …....

Habari za SiasaTangulizi

Balozi Mahiga alivyozikwa, Samia Suluhu amwakilisha Rais Magufuli

SAFARI ya mwisho hapa duniani ya Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Augustine Mahiga imehitimishwa leo Jumamosi tarehe Mei 2, 2020 kwa mwili...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge waliofariki dunia Tanzania wafikia tisa

WAZIRI  wa Katiba na Sheria, Balozi Augustine Mahiga amefariki dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwake. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Mwanadiplomasia Balozi Mahiga afariki dunia

BALOZI Dk. Augustine Philip Mahiga, amefariki dunia, asubuhi hii ya leo, tarehe 1 Mei 2020, mjini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Bil. 33 kutumika kuimarisha huduma za kijamii nchini

WIZARA ya Afya, kupitia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia Jumla ya Sh. 33.1 bilioni kutekeleza shughuli mbalimbali za kijamii hususani...

Habari za SiasaTangulizi

Corona: Mbunge ‘Bunge lifungwe’

HOFU ya kusambaa kwa virusi vya corona (COVID-19), ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sasa inazungumzwa waziwazi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Tangulizi

Buriani Mbunge Mstaafu Kimaro

ALOYCE Bent Kimaro, aliyekuwa Mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro (CCM), amefariki dunia leo tarehe 30 machi 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro…(endelea). Kimaro alizaliwa tarehe 24 Juni 1953....

Habari za Siasa

Mahakama Mtwara yamwachia huru Mwambe

MAHAKAMA ya Mkoa wa Mtwara leo tarehe 30 Aprili, 2020, imemwachia huru aliyekuwa Mbunge wa Ndanda kwa tiketi ya Chadema, Cecil Mwambe katika...

AfyaTangulizi

Wagonjwa wapya 196 wa corona waongezeka, 167 wapona

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza kuongezeka kwa wagonjwa wapya corona  196, ambapo kati yao kutoka Bara ni 174, Zanzibar 22 na kufanya jumla...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Richard Ndassa afariki dunia

RICHARD Mganga Ndassa, Mbunge wa Jimbo la Sumve (CCM), amefariki leo tarehe 29 Aprili, 2020, jijijni Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Nenda Jaji Augustino Ramadhani, umefanya yaliyokuhusu

KASISI wa Kanisa la Anglikana Visiwani Zanzibar, Jaji Augostino Ramadhani (74), ameaga dunia. Amekutwa na mauti jana Jumanne, katika hospitali ya Aga Khan,...

AfyaTangulizi

Serikali yapokea msaada wa Bil 14.9

SERIKALI imepokea msaada wa Sh. 14.9 bilioni kutoka Global Fund, Airtel Tanzania, Rotary Club Tanzania ambazo sehemu kubwa zitatumika kununua vifaa kinga kwa...

Makala & Uchambuzi

Buriani Kaka Evod Herman Mmanda

EVOD Mmanda, naomba uamke kaka yangu. Umeondoka mapema mno kaka. Kwa nini lakini? Anaandika Moses Machali … (endelea) Kwangu hukuwa rafiki tu, bali...

AfyaTangulizi

Wagonjwa 37 wapona Corona Tanzania

WAGONJWA 37 waliokuwa wameambukizwa virusi vya Corona (COVID-19) wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani baada ya vipimo vya mwisho kuthibitisha kwamba hawana maambukizi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Corona sasa yamkumba mbunge wa Tanzania

NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri, Dk. Tulia Akson, amelitangazia Bunge kuwa mmoja wa wabunge wa Bunge hilo, amepatwa na virusi vya Corona....

Habari MchanganyikoTangulizi

Mch. Getrude Lwakatare afariki dunia

MCHUNGAJI wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni B Assemblies of God), amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 20 Aprili 2020. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Spika Ndugai awanyoosha wapinzani bungeni, akiilinda mahakama

JOB Ndugai, Spika wa Bunge, amezuia Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani kuhusu Wizara ya Katiba na Sheria kusomwa bungeni jijini Dodoma, kwa...

Habari za Siasa

Mkataba wa Muungano watikisa Bunge

MNYUKANO mkali umeibuka bungeni, baada ya baadhi ya wabunge kuhoji kuwapo kwa vifungu vya Katiba ya Zanzibar, vinavyopingana na Katiba ya Jamhuri ya...

AfyaTangulizi

Wagonjwa wa Corona wafikia 147, Dar hali tete 

SERIKALI imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 53, wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai awaweka karantini wabunge

JOB Ndugai, Spika wa Bunge, ametoa waraka kwa wabunge wenye muongozo juu ya namna ya kujikinga na maambukizi ya Ugonjwa wa Homa ya...

Tangulizi

Rostam Aziz ajenga historia mpya

ROSTAM Aziz, mfanyabiashara mkubwa na mbunge wa zamani wa Igunga, Tabora ametoa mashine kubwa 25 za vitakasa mwili wote ili kukabili virusi vya...

AfyaHabari MchanganyikoTangulizi

Idadi ya wagonjwa wa corona yapaa

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza ongezeko la wagonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona nchini kutoka 53 hadi 88...

Habari za Siasa

Serikali imetumia Mil 400 kukarabati Kituo cha Afya Igoma

SERIKALI imeeleza, Kituo cha Afya Igoma kilipatiwa kiasi cha Sh. 400 milioni kwa ajili ya ukarabati na upanuzi na kazi hiyo imekamilika. Anaripoti Danson...

AfyaHabari za Siasa

Ugonjwa wa figo tishio Dar, Arusha

JIJI la Dar es Salamu linaongoza kwa kuwa na wagonjwa wa figo huku Arusha ikishika namba mbili. Mkoa wa Simuyu unaongoza kwa wagonjwa...

Habari za Siasa

Ujumbe wa ACT-Wazalendo kwa taifa kuhusu uchumi & corona

Ujumbe wa ACT-Wazalendo kwa taifa kuhusu uchumi & corona Ndugu Wananchi, Itakumbukwa kuwa Kiongozi wa Chama Chetu alimwandikia barua Rais wa Jamhuri ya...

Tangulizi

Ajali yauwa Watu 18 na kujeruhi 15 mkoani Pwani

WATU 18 wamepoteza maisha huku 15 wakijeruhiwa, katika ajali iliyohusisha lori la gari la abiria, iliyotokea asubuhi ya leo tarehe 15 Aprili 2020,...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Mke wa mbunge akutwa na Corona

MWANDISHI wa habari wa Sauti ya Ujerumani (DW), anayefanyia shughuli zake Visiwani Zanzibar, Salma Said, amethibitika kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Shule, vyuo kuendelea kufungwa, Rais Magufuli afuta sherehe za Muungano

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule na vyuo vya kati na vya elimu ya juu, liliotolewa tarehe 17 na...

Habari za Siasa

Aliyedai kudhurumiwa shamba amvaa Lukuvi bungeni

MKAZI wa kijiji cha Nyahanga, Wilayani Kahama, Shinyanga, Magohe Kafumu, amemfuata bungeni jijini Dodoma, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William...

AfyaHabari MchanganyikoTangulizi

Mchanganyo huu unaua virusi vya corona

CHANGANYA lita moja ya Jik na lita sita za maji, kisha pulizia gari lao, hapo litakuwa salama dhidi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti...

Habari za Siasa

Mbunge ashangaa Ranchi ya NARCO kubadilishwa matumizi

SERIKALI imetakiwa ieleze, kwanini Ranchi ya NARCO Mbarali iliyoanzishwa kwa ajili ya mifugo, imeacha matumizi yake na sasa eneo hilo linatumika kwa kilimo? Anaripoti Danson...

Habari za Siasa

Mbunge CCM aipigania zabibu

JOEL Mwaka, Mbunge wa Jimbo la Chilonwa (CCM), amehoji serikali kwamba ina mpango gani wa kuhakikisha wataalam wa kilimo cha zabibu, wanapatikana ili...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yapangua hoja ya mbunge Chadema

SERIKALI imesema, Mgodi wa Geita Gold Mine (GGM), ni moja ya waajiri walioandikishwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Anaripoti...

AfyaHabari MchanganyikoTangulizi

Visa vipya 14 vya Corona vyaripotiwa Tanzania

SERIKALI imetangaza ongezeko la  “kesi mpya kumi na nne” (14) za maambukizi ya ugonjwa wa Corona (Covid 19) nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za Siasa

Zitto aandika barua nyingine, sasa IMF aitaka kuikagua BoT

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameeleza kuwa ameliandikia barua Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kulitaka kuja nchini kuifanyia ukaguzi Benki...

AfyaHabari za Siasa

Janga la Corona: Mbowe ampa mtihani Rais Magufuli

FREEMAN Mbowe, Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemhoji Rais John Magufuli ya kwamba, idadi ngapi ya vifo vitakavyotokana na Ugonjwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kimenuka: Wabunge wengine Chadema, CUF mbioni kuondoka

TAKRIBANI wabunge tisa kutoka vyama viwili vikubwa vya upinzani bungeni – Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wako...

Tangulizi

Wawili wafa kwa Corona, wagonjwa waongezeka

SERIKALI imetangaza vifo viwili vya wagonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Kwa mujibu wa...

Makala & Uchambuzi

Huu ndiyo mpango mkakati wa miaka mitano ya EWURA

ILI UWEZE kufanikisha jambo ni lazima uweke mipango mikakati ya jambo ambalo unataka kulifanya kwa maana ya mpango wa mrefu wa kati na...

AfyaHabari MchanganyikoTangulizi

Corona: Tanzania kuingia hatua ngumu

WATANZANIA wametakiwa kuongeza umakini katika kujilinda na virusi vya corona (COVID-19), kwa kuwa siku chache zijazo, nchi itaingia katika hatua ya kuambukizana wenyewe...

Habari za SiasaTangulizi

NCCR- Mageuzi yakana madai ya ‘Shangazi’

CHAMA cha NCCR- Mageuzi, kimekana madai kuwa kimetumia kiasi Sh. 1.19 bilioni, zilizotolewa na serikali, bila kuwa na uthibitisho wa nyaraka. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu ‘ampasua’ Spika Ndugai

TUNDU Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki amemshangaa Spika Job Ndugai, kwa madai ya kufanya kazi kama ‘mkusanya mapato ya benki.’Anaripoti Mwandishi wetu…...

Habari za Siasa

Mbunge ataka gongo itumike kuikabili corona

PROFESA  Jumanne Kishimba, Mbunge wa Kahama (CCM), ameishauri serikali kuruhusu pombe ya gongo, itumike katika kukabiliana na mlipuko wa Virusi vya Corona, kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Meya Jacob kumng’oa Kubenea Ubungo?

KAULI ya Boniface Jacob, Diwani wa Kata ya Ubungo (Chadema) na Meya wa Manispaa ya Ubungo, kwamba hatogombea tena udiwani katika Uchaguzi Mkuu...

error: Content is protected !!