Thursday , 18 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

Rais Magufuli awaapisha viongozi sita Dodoma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli leo Alhamisi tarehe 21 Mei 2020 amewaapisha viongozi sita aliowateua hivi karibuni. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wamtunishia misuli Jaji Mutungi

SAKATA la wabunge wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuvuliwa uanachama wa chama hicho, sasa limechukua sura mpya. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za SiasaTangulizi

Mwambe amponza Spika Ndugai, washtakiwa

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri na Cecil Mwambe, Mbunge wa Ndanda aliyejiengua Chadema, wameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania. Anaripoti Faki Sosi,...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Uchaguzi mkuu 2020: Vyombo vya habari Tanzania vyapewa somo

VYOMBO vya habari nchini Tanzania, vimetakiwa kutoa uwiano sawa kwa wanawake na wanaume wakati wa kuhabarisha umma hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi...

Habari za Siasa

Mpango kuimarisha huduma watu wenye ulemavu uko mbioni

SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa sekta binafsi, inaandaa mpango wa taifa wa kuimarisha huduma kwa watu wenye ulemavu nchini. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mbunge: Wageni hawaingii Tanzania kuhofia usalama wao

MBUNGE wa Tunduma, Frank Mwakajoka (Chadema) amesema, Serikali imeshindwa kutatua tatizo la upatikanaji wa umeme katika mpaka wa Tunduma mkoani Songwe kwa muda...

Habari za Siasa

Gambo: Kenya inataka kuua utalii wa Tanzania

MKUU wa Mkoa wa Arusha (RC), Mrisho Gambo amesema, Serikali ya Kenya inakata kutumia ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) kuua utalii...

Habari za Siasa

Mil. 780 zawaponza watatu Temesa, Majaliwa atoa maagizo mazito

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa tuhuma za kuhusika na upotevu...

Habari za Siasa

Kisa corona: Makonda atangaza siku ya shangwe Dar

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, amewaagiza wananchi wa jiji hilo kurejea kwenye shughuli zao kama ilivyokuwa awali....

Habari za SiasaTangulizi

Chadema ilivyopoteza wabunge 17

MBUNGE wa Kilombero, Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Peter Ambrose Lijualikali (35),  amekuwa mbunge wa 17 kutoka Chama cha Demokrasia...

Habari za Siasa

Mchungaji Msigwa amwomba msahama Kinana

MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), amemuomba radhi Abdulrahman Kinana, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kumhusisha na...

Habari za Siasa

THRDC ‘yalilia’ vibali kushiriki uchaguzi mkuu, NEC yawajibu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa sababu za kuchelewa kutoa vibali vya utoaji elimu ya mpiga kura na uangalizi wa...

Habari za Siasa

Tanzania yaruhusu ndege zote kutua, hakutakuwa na karantini

SERIKALI ya Tanzania imerejesha huduma ya safari  za ndege za abira za kimataifa, zilizositishwa mwezi mmoja uliopita. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Lijualikali aondoka Chadema, amwaga chozi kwa kunyanyaswa

MBUNGE wa Kilombero (Chadema), Peter Lijualikali, amejiondoa katika chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza bungeni Mjini Dodoma jioni ya leo,...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai: Mbowe usijipime ubavu na rais

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameonesha kukerwa na kitendo cha Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Deemokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, kuzungumza na...

Habari za Siasa

Mabadiliko ya sheria inayowahusu mawakili wasomwa bungeni

SERIKALI ya Tanzania, imewasilisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2020 bungeni ambao pamoja na mambo mengine, unapendekeza mawakili wanaoteuliwa...

Habari za Siasa

Serikali: Wachimbaji Mbogwe watapatiwa leseni

SERIKALI imeeleza kwamba, pindi taratibu zitakapokamilika, wachimbaji katika Wilaya ya Mbogwe, Geita watapatiwa leseni za uchimbaji. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli...

Habari za Siasa

Spika Ndugai: Bunge Tanzania kuvunjwa Juni 19

SHUGHULI za Bunge la 11 nchini Tanzania, zinatarajiwa kuhitimishwa rasmi tarehe 19 Juni 2020 kwa Rais John Magufuli kulihutubia. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Taarifa...

Habari za Siasa

Kasoro sheria za uchaguzi Tanzania zabainishwa 

WAKATI  michakato ya kuwapata wagombea ndani ya vyama vya siasa watakaoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 nchini Tanzania ukiendelea, wito umetolewa kwa vyama...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Siku 25 zilivyopukutisha Vigogo wa Wizara ya Afya

DK. Faustine Ndigulile, amekuwa kiongozi wa sita, ndani ya wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, kuenguliwa kwenye wadhifa wake....

Habari za Siasa

JPM: Mtalii hatowekwa karantini

RAIS John Magufuli amemwagiza Dk. Hamisi Kigwangalla, Waziri wa Utalii na Injinia Isack Kimwelwe, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano kuruhusu ndege za utalii...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Corona haihitaji kiburi

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameeleza kuwa mapambano dhidi ya gonjwa la Corona, hayahitaji mzaha au kibri. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Wiki ya JPM kufanya uamuzi mgumu

RAIS John Magufuli anafikiria kufungua Vyuo Vikuu wiki ijayo, ili wanafunzi wanendelee na masomo iwapo maambukizi ya virusi vya corona yataendelea kupungua. Anaripoti...

Habari za Siasa

Dk. Ndugulile azungumzia kutumbuliwa kwake

DK. Faustine Ndugulile, amemshukuru Rais wa Tanzania, John Pombe Mangufuli kumteua kufanya kazi kama naibu waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli amtumbua Dk. Ndugulile, amteua Dk. Mollel

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua, Dk. Godwin Mollel kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya...

Habari za Siasa

Chadema wamsubiri Jaji Mutungi 

MKURUGENZI wa Mambo ya Nje, Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mrema, amedai kuwa wabunge wake waliofukuzwa wana...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Uhuru afunga mpaka Tanzania, Somalia

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema, kuanzia leo Jumamosi tarehe 16 Mei, 2020 saa 6 usiku, mpaka wa Kenya na Tanzania (Namanga) na...

Habari za Siasa

Mashine ya kupima corona yatua Zanzibar

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imepokea mashine moja kati ya tatu ya kupima ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Safari: Chadema wamevunja Katiba yao

ALIYEKUWA makamu mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Prof. Abdallah Safari, amekosoa uaamuzi wa Kamati Kuu (CC) ya chama...

Habari za Siasa

Bunge laishauri Serikali kuomba msaada IMF, WB vita ya corona

KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imeishauri Serikali ya Tanzania kuliomba Shirika la Fedha Duniani (IMF), fedha kwa ajili ya kupambana na athari za...

Habari

Waziri Mpango ataja mambo matano yanayoikabili wizara yake

WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Philip Mpango amebainisha changamoto tano ambazo zinaikabili wizara hiyo ikiwamo mlipuko wa ugonjwa wa homa...

Habari

Sh.6 trilioni zalipa deni la Serikali, wastaafu 57,605 kicheko

SERIKALI ya Tanzania imesema, kati ya Julai 2019 na Machi, 2020 imelipa mafao na pensheni kwa wastaafu wa Serikali 57,605, mirathi kwa warithi 1,006...

Habari za Siasa

Takukuru yawahoji wanasiasa walioanza kampeni

WANASIASA kadhaa wanahojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa, katika mchakato wa...

Habari za Siasa

Vyama sita vya wakulima vyapewa siku 16 kutema mamilioni

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, imetoa siku 16 kwa vyama sita vya ushirika kurejesha mamilioni ya wakulima wanayodaiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe kuwaongoza wenzake kurejea bungeni leo

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliotii agizo la chama hicho la kukaa karantini kwa muda wa siku 14, wanatarajia kurejea...

Habari za Siasa

Mbunge CCM ahoji mbwa kukagua watoto, vyakula bandarini

MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (CCM), Jaku Hashim Ayoub amehoji sababu za mbwa kutumika kwa ukaguzi wa vyakula na watoto wadogo katika...

Habari za Siasa

Majaliwa amtaka bosi Tanesco kusimamia ipasavyo JNHPP 

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Dk. Tito Mwinuka kusimamia mradi ujenzi wa mradi...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge waliofukuzwa Chadema, watinga kwa Msajili

WABUNGE waliofukuzwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekata rufaa ofisi ya msajili wa vyama vingi vya siasa kupinga uamuzi uliochukuliwa dhidi yao....

ElimuHabari za Siasa

Walimu 18,181 wameajiriwa 2015/20 – Serikali

SERIKALI imeeleza, kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020, sekta ya elimu imeajiri walimu 18,181. Shule ya Msingi 10,666, sekondari 7,218 na mafundi sanifu maabara...

Habari za Siasa

Profesa Kabudi atoa sababu Rais Magufuli kutoshiriki vikao vya marais

PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, amesema Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ambaye ni Mwenyekiti...

Habari za Siasa

Wakati gani mmiliki wa silaha akiua, anakuwa na hatia?

WIZARA ya Mambo ya Ndani nchini Tanzania imeeleza, hakuna mazingira yanayomruhusu mmilikiwa wa silaha kuua, na ikitokea hivyo, mahakama itapima. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge Chadema wasalitiana

SIRI imefichuka. Baadhi ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), walikaidi chini kwa chini, maelekezo ya mwenyekiti wao, Freeman Mbowe. Anaripoti...

Habari za Siasa

Majaliwa ataka Suma JKT kuongeza kasi ujenzi ofisi za NEC

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)...

Habari za Siasa

Prof. Kabudi: Tunatuhumiwa ukiukwaji haki za binadamu

TANZANIA inatuhumiwa kwa ukiukwaji wa haki za binadamu ikiwemo kujieleza, kutoa maoni, kujumuika na kukusanyika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza wakati wa...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai awapiga ‘stop’ wabunge 15 Chadema, akiwamo Mbowe 

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametoa orodha ya wabunge 15 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Habari za Siasa

Viwanda 8,477 vyajengwa awamu ya tano ya JPM

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amesema, tangu Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani tarehe 5 Novemba 2015, imefanikiwa kuanzisha viwanda...

Habari za Siasa

Ujenzi Daraja la Wami wafikia asilimia 37.5

UJENZI wa darala jipya la Wami unaogharamiwa na serikali ya Tanzania kwa asilimia 100, umefika asilimia 37.5 ili kukamilika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za Siasa

Mabasi 165 ya mwendokasi kuongezwa Dar

SERIKALI ya Tanzania imesema mchakato unafanyika kununua mabasi 165 ili kupunguza adha ya usafiri wa mradi wa mabasi yaendayo haraka katika Jiji la...

Habari za Siasa

Bunge la Tanzania lashauri corona igeuzwe fursa

KAMATI ya Kudumu ya  Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji nchini Tanzania, imependekeza wakati huu dunia ikiwa kwenye janga la ugonjwa wa homa...

Habari za Siasa

Waziri Hasunga azungumzia tatizo la sukari Tanzania

SERIKALI ya Tanzania imesema bidhaa ya sukari imeadimika nchini, kutokana na uzalishaji wake katika msimu wa mwaka 2019/2020, kukumbwa na changamoto mbalimbali. Anaripoti...

error: Content is protected !!