Categorizing posts based on type of post
BERNARD Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania anazidi kuviweka mtegoni vyama vya upinzani nchini humo baada ya kusema, atagombea urais...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2020WAZIRI wa Nchi, Ofisa ya Rais, Mwnejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika amefanya uteuzi wa makatibu tawala watano wa wilaya (DAS)...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2020BERNARD Kamillius Membe, aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, ametangaza kurejesha kadi yake ya uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2020IDDI Azzan, aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni (CCM), anajipanga kumvaa Maulid Mtulia anayemaliza muda wake kwenye jimbo hilo, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeJuly 6, 2020UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, jimbo la Iringa Mjini watashinda asubuhi na mapema....
By Mwandishi WetuJuly 6, 2020WAKUU wa Mikoa, Wilaya na hata wakurugenzi wanaoomba ruhusa ya kugombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu ujao, wapo njia panda. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2020PROFESA Palamaganda Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, amewataka watumishi wa umma nchini kuwa waadilifu na uaminifu wakiwa...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2020KASHFA ya dawa za kulevya niliyobebeshwa, ilitaka kunipelekea kufanya uamuzi wa kujitoa roho. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Ni kauli ya...
By Regina MkondeJuly 6, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amewaapisha wakuu wa mikoa (RC) na Katibu Tawala (RAS) aliowateua wakiwemo wakuu wa mikoa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli, itaendelea kudhibiti matumizi ya fedha...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2020ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameacha simanzi ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), Mkoa wa Mtwara na Lindi. Anaripoti Faki Sosi, Lindi...
By Faki SosiJuly 6, 2020WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiendelea na mchujo wake kwa watia nia wa urais visiwani Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad tayari amechukua fomu...
By Mwandishi WetuJuly 6, 2020ABDUL Nondo, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo, ametangaza nia ya kugombea ubunge Kigoma Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2020KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania, ameiagiza Kampuni ya Xiamen Ongoing Construction Group inayojenga Bandari ya Karema kwa gharama za zaidi ya Sh.47...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wakurugenzi watano wa Halmashauri (DED) nchi humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Uteuzi...
By Masalu ErastoJuly 4, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakurugenzi watatu katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Mbeya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Masalu ErastoJuly 4, 2020KAMATI Maalum ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, imependekeza majina matano kati ya 31 ya wanachama wa chama hicho waliojitokeza...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2020CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema kimesema, kitatumia nguvu ya umma, kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeonya watia nia katika kugombea nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, kutoleta mpasuko ndani ya...
By Regina MkondeJuly 4, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kimeweza kupata wagombea wa ubunge na udiwani, takribani asilimia 90 ya viti vyote vinavyogombewa. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeJuly 4, 2020PROFESA Ibrahim Haruna Lipumba, Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), kwa kutumia mamlaka ya kikatiba, amemsimamisha Naibu Katibu Mkuu Zanzibar wa chama hicho,...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2020TUNDU Antipas Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amechukua fomu ya kugombea urais wa Tanzania, kupitia chama hicho, katika...
By Regina MkondeJuly 4, 2020TUNDU Antipas Lissu, Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, atarejea Tanzania mwishoni mwa mwezi huu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua, Mariam Perla Mmbaga kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu (RAS). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2020RAIS wa Tanzania,John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mkoa (RC) wawili na Wilaya (DC) tisa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....
By Mwandishi WetuJuly 3, 2020ZAIDI ya watia nia 30 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamejitokeza kutaka kugombea Jimbo la Ngara, Kagera kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba Mwaka...
By Danson KaijageJuly 3, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeonesha hofu ya kuchafuliwa kupitia uchunguzi unaofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 3, 2020ESTHER Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini amesema, ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), hakuna manyanyaso ya kingono. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeJuly 3, 2020WAZIRI wa Nchi ofisi ya waziri Mkuu anayeshughulikia uwekezaji, Angellah Kairuki amesema, serikali iko mbioni kukamilisha uhakiki wa madai ya ushuru wa asilimia...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2020MKURUGENZI wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Thabit Idarus Faina amevitaka vyama vya siasa kuhamasisha ushiriki wa makundi maalum katika uchaguzi kwani hilo...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2020BERNALD Kamillius Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje katika serikali ya awamu ya nne, amefurahishwa na mambo matatu yaliyofanywa na Rais...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2020BERNALD Membe, Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Awamu ya Nne, anataka kile alichofanyiwa Edward Lowassa mwaka 2015, afanyiwe...
By Hamisi MgutaJuly 2, 2020TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imefuta majimbo mane ya uchaguzi visiwani Zanzibar. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Jaji Mkuu Mstaafu, Hamid...
By Regina MkondeJuly 2, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa orodha ya asasi za kirais 245 zilizopewa kibali cha kutoa elimu kwa mpiga kura. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2020MBARALA Maharagande, Katibu wa Idara ya Haki za Binadamu Taifa wa Chama cha ACT-Wazalendo, amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Segerea jijini Dar...
By Regina MkondeJuly 1, 2020ESTHER Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amelichambua Bunge la 10 lililoongozwa na Anne Makinda na Bunge...
By Regina MkondeJuly 1, 2020JUMLA ya makada 31 kati ya 32 waliochukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kugombea urais visiwani Zanzibar, wameanza kuingizwa...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2020SHUGHULI ya uchukuaji na urudishaji fomu za kugombea urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amempongeza Dk. Lazarus Chakwera kuwa Rais mpya wa Malawi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....
By Mwandishi WetuJuly 1, 2020TAKRIBANI wabunge wengine watano kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wako mbioni kukihama chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Masalu ErastoJuly 1, 2020BARAZA Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF) limempitisha Haroub Shamis kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuJune 30, 2020KIONGOZI Mkuu (KC) wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amemkaribisha rasmi mwanadiplomasia mashuhuri nchini Tanzania, Bernard Kamillius Membe, kujiunga na chama...
By Faki SosiJune 30, 2020RAIS John Magufuli, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ameonya wanachama wa chama hicho waliojitokeza kuwania urais Zanzibar kutochafuana na kuhakikisha wanaheshimiana na...
By Mwandishi WetuJune 30, 2020KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Dk. Bashiru Ally amewatangazia wanachama wa chama hicho wanaotaka kuwania ubunge, uwakilishi na udiwani...
By Mwandishi WetuJune 30, 2020MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli amerejesha fomu za kuwania urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020....
By Mwandishi WetuJune 30, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa vibali vya kushiriki shughuli za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, kwa Asasi za Kiraia...
By Regina MkondeJune 30, 2020FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema amesema, wanakwenda katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 kuitafuta dola ili...
By Mwandishi WetuJune 30, 2020UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kulichukua Jimbo la Bukoba vijijini pamoja na halmashauri kwa kushinda kata zote za udiwani....
By Mwandishi WetuJune 30, 2020ABAS Juma Mhunzi, makamu mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Tanzania Zanzibar, “ameliamsha dude.” Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Amemtuhumu mwenyekiti wake,...
By Mwandishi WetuJune 29, 2020ASAJILE Mwambambale, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro (DED), amemuomba radhi mara tatu, Rais John Magufuli, kwa kosa...
By Mwandishi WetuJune 29, 2020