Friday , 29 March 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

Gwajima: Tutaishinda Chadema kabla ya sadaka ya kwanza

ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni mtu pekee atakayeweza kurudisha jimbo la Kawe kwenye himaya ya Chama...

Habari za Siasa

Tundu Lissu kurejea Tanzania J’tatu mchana

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha Chadema- Bara, Tundu Lissu amesema, atarejea nchini Tanzania Jumatatu Julai 27, 2020 saa...

Habari za Siasa

Mpinzani wa Prof. Kitila asema mchakato haujaisha, tusubiri vikao 

MWANTUM Mgonja, aliyeshika nafasi ya pili katika kura za maoni Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam za Chama Cha Mapinduzi (CCM), anamshukuru Mungu...

Habari za Siasa

Dk. Mashinji: Nichagueni mimi, Kawe Tuna jambo letu

ALIYEKUWA katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema), Dk. Vincent Mashinji amewaomba wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

Habari za Siasa

Makonda: Asanteni wana Kigamboni

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewashukuru wananchi wa Kigamboni jijini humo kwa kumfanya kuwa sehemu ya maisha yake....

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi Mkuu Tanzania Jumatano Oktoba 28

TUME ya Taifa ya Uchaguzi  (NEC) nchini Tanzania imesema, Uchaguzi Mkuu wa udiwani, ubunge na Urais wa Tanzania utafanyika Jumatano Oktoba 28, 2020....

Habari za Siasa

Mtulia: Yawezekana sijaiva kimkakati CCM lakini sijashindwa

MAULID Mtulia, mbunge anayemaliza muda wake wa Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amekubali matokeo na kukiri yeye bado...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda, Mtolea, Nassari na Kitwanga wapigwa

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameshindwa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kigamboni jijini...

Habari za Siasa

Prof. Kitila aongoza Ubungo, Dk. Tizeba na Shigongo ngoma droo

PROFESA Kitila Mkumbo, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya Maji, ameshinda kura za maoni, kugombea Ubunge Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Naibu Spika Tulia apeta Mbeya, Dk. Kimei chali Vunjo

NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson ameongoza katika kura za maoni Jimbo la Mbeya Mjini kwa tiketi ya CCM kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Mtulia chali Kinondoni, Tarimba apeta

MAULID Mtulia, Mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam, ameshindwa kutetea nafasi yake katika kura za maoni za Chama...

Makala & Uchambuzi

Zitto ataja kosa la Chadema kwa Lowassa, Sumaye

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, chama hicho kimechukua tahadhari kubwa ili kisiingie kwenye makosa yaliyofanywa mwaka 2015. Anaandika Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Dk. Ndugulile: Msiache mbachao kwa msala upitao

DAKTARI Faustine Ndugulile, Mbunge wa Kigamboni anayemaliza muda wake amesema, bado ana mikakati ya kuendelea kutatua changamoto ndani ya jimbo hilo. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

Makonda: Nichagueni, nazifahamu changamoto za Kigamboni

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam, Paul Makonda amesema ana uwezo wa kuyatekeleza yale yote yaliyomo kwenye Ilani ya Chama cha...

Habari za Siasa

Majaliwa azungumzia ulinzi wa nchi kwa Watanzania

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema suala la ulinzi wa nchi ni la Watanzania wote na siyo la kuwaachia vyombo kama Jeshi...

Habari za Siasa

Watia nia 78 kuchuana ubunge Kigamboni 

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Kigamboni jijini Dar es Dar es Salaam wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanatarajia kupiga kura za...

Habari za Siasa

Kura za maoni CCM: Msimamizi aonya vurugu ukumbini 

MSIMAMIZI wa uchaguzi kura za maoni jimbo la Mufindi Kusini wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sadiki Kadulo amewataka wajumbe na watia nia kufuata...

Habari za SiasaTangulizi

Kura za maoni CCM: Rais Magufuli awapa maagizo wasimamizi

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amewataka viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaosimamia mchakato wa kura za maoni, kutafuta wagombea wa chama...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli awaapisha viongozi aliowateua Ikulu

RAIS  wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Viongozi hao wameapishwa leo Jumatatu...

Habari za Siasa

Nyalandu: Nikiwa Rais Tanzania, hakuna atakayeisoma namba

LAZARO Nyalandu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kati na mtia nia wa Urais kupitia chama hicho amesema, akiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Urais Chadema: Mbowe, Mchungaji Msigwa wautosa

WANACHAMA wanne kati ya 11 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ‘wameingia’ mitini katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea...

Habari za Siasa

Membe arejesha fomu za urais, atumia saa 48 kuzijaza

BERNARD Kamilus Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje, amerejesha fomu za kuomba kuteuliwa na chama cha upinzani cha ACT-Wazalendo kuwania urais...

Habari za Siasa

Hatutaki ushindi wa malalamiko – Dk. Mwinyi

MTEULE wa urais visiwani Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema mwaka huu chama hicho kinataka ushindi usio na malalamiko. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za Siasa

Rais Magufuli abadili uteuzi RC Njombe

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Marwa Mwita Rubirya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe (RC). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari za Siasa

Rafu CCM zatikisa Shinyanga

WATIA nia ya ubunge katika Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameanza kuchezeana rafu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Shinyanga…(endelea). Kutokana na...

Habari za Siasa

Waliounga juhudi CCM njia panda

IWAPO Rais John Magufuli na Humphrey Polepole, watayaishi maneno yao kwamba ‘hakuna mbeleko’ kwenye mchakato wa uteuzi wa watia wa ubunge na udiwani...

Habari za Siasa

CCM Iringa yawataka wagombea wakubali kushindwa, wasiende kwa waganga

CHAMA cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa kimetoa onyo kali kwa wagombea ubunge na udiwani watakaobainika kusaliti chama kwa kikiuka kanuni na taratibu...

Habari za Siasa

Majaliwa: Anayeitaka fedha, ataipata shambani

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka vijana wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi waache kukaa vijiweni na badala yake waanzishe bustani ili...

Habari za Siasa

CCM: Mikutano kupata wagombea iwe wazi, mabalozi wapewa rungu

MCHAKATO wa kura za maoni za kuwatafuta wagombea udiwani, ubunge na uwakilishi wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, ndani ya Chama Cha Mapinduzi...

Habari za Siasa

Polepole: Viongozi wasioridhika, tosheka hawafai

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama tawala cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, amesema viongozi wa umma wasioridhika na nyadhifa zao,...

Habari za Siasa

Moto wateketeza stoo shule ya Mivumoni Dar

SEHEMU ya Shule ya Mivumoni Islamic Seminary iliyoko ndani ya Msikiti wa Mtambani, Kinondoni jijini Dar es Salaam, imeteketea kwa moto, asubuhi ya...

Habari za Siasa

Urais NCCR-Mageuzi: Aboubakar achukua fomu, asema ndoto yake imetimia

ABOUBAKAR Juma Aboubakar leo Jumamosi tarehe 18 Julai 2020 amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama cha NCCR-Mageuzi, kugombea Urais wa Tanzania, katika Uchaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea ajiondoa Chadema, ajiunga ACT-Wazalendo

MBUNGE wa Ubungo, Dar es Salaam anayemaliza muda wake kupitia Chadema, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na chama cha...

Habari za Siasa

Kafulila na Katambi ‘out’, Ma DC, DAS wateuliwa

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameendelea kufanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wakiwemo Katibu Tawala Mkoa wa Songwe (RAS), Wakuu wa Wilaya (DC)...

Habari za Siasa

386 wajitosa majimbo tisa K’njaro, sita waingia mitini

WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) 386 kati ya 392 wamechukua na kurejesha fomu za kuomba chama hicho kiwapitishe kuwania ubunge katika majimbo...

Habari za Siasa

Wapinzani waichongea CCM Takukuru

WANASIASA wa vyama vya upinzani nchini Tanzania, wamekichongea Chama tawala cha Mapinduzi (CCM), katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Anaripoti...

Habari za Siasa

Viongozi wa dini wataka majukwaa huru kuwahoji wagombea

SERIKALI ya Tanzania imeshauriwa kuanzisha majukwaa huru yatakayowapa fursa wananchi kuwahoji wagombea wa nafasi za uongozi serikalini, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020....

Habari

Bibi amuunguza kwa moto mjukuu wake

DARIA Frank (55), Mkazi wa Mamba, Vunjo Mashariki katika Wilaya ya Moshi, Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuunguza kwa...

Habari za Siasa

Membe achukua fomu urais, asema atamwaga cheche

WAZIRI wa zamani wa mambo ya nje, Bernard Membe amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama cha ACT-Wazalendo kimpitishe ili awanie urais wa...

Habari za Siasa

Marekani ‘yapora’ Jumba la Yahya Jammeh

JUMBA la kifahari la Yahya Jammeh, aliyekuwa Rais wa Gambia, limechukuliwa na Serikali ya Marekani. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Kwa mujibu wa taarifa...

Habari za Siasa

Ubunge CCM: Dk. Mashinji ajitosa Kawe, Nassari arudi Arumeru Mashariki

KATIBU Mkuu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vicent Mashinji amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Msajili hawezi kuifuta ACT-Wazalendo

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha upinzani cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania amesema, msajili wa vyama vya siasa nchini humo...

Habari za Siasa

Shibuda: Rais Magufuli aliumizwa na yaliyotokea uchaguzi serikali za mitaa

JOHN Shibuda, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, amesema Rais John Pombe Magufuli, aliumizwa na sintofahamu iliyojitokeza katika uchaguzi wa serikali...

Habari za Siasa

Zitto amjibu Msajili vyama vya siasa

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha siasa cha upinzani ACT-Wazalendo nchini Tanzania ameamua ‘kupuuza’ barua ya msajili wa vyama vya siasa na kwamba...

Habari za Siasa

Uchaguzi mkuu 2020: Bosi Takukuru awaonya wafanyabiashara

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) nchini Tanzania, imetahadharisha wafanyabishara kutojihusisha na vitendo vya rushwa, kupitia dhana ya ufadhili wa...

Habari za Siasa

Membe: Niko tayari kugombea urais Tanzania, Chadema…

BERNARD Kamilius Membe, Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje nchini Tanzania amekubali ombi la wanachama wa ACT-Wazalendo la kugombea urais wa Jamhuri...

Habari

Rais Magufuli ateua RC, Katibu mkuu na DC Dodoma

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo akiwemo mkuu wa mkoa (RC), katibu mkuu na mkuu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Msajili aikamia ACT- Wazalendo, atishia kuifuta

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, inakusudia kukipa adhabu Chama cha siasa cha upinzani ACT-Wazalendo, kutokana na kukiuka Sheria ya...

Habari za Siasa

Muuguzi ajitosa ubunge Singida

UKENDE William Shalla, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kugombea ubunge Viti Maalum mkoani Singida. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

‘Meya’ Chadema ashinda kura za maoni Moshi Mjini

ALIYEKUWA Meya wa Manispaa ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro, Raymond Mboya ameshinda kura za maoni za kuwania nafasi ya ubunge  kupitia Cham cha...

error: Content is protected !!