Categorizing posts based on type of post
MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha NLD, Maisha Mapya Muchunguzi amekabidhiwa fomu za uteuzi wa urais na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa...
By Mwandishi WetuAugust 19, 2020RAIS wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita ametangaza kujiuzulu pamoja na Waziri Mkuu wake, Boubou Cissé muda mfupi baada ya wanajeshi waasi kuwakamata na...
By Mwandishi WetuAugust 19, 2020MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli ameongoza kikao cha kamati kuu ya chama hicho Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2020MTANDAO wa Utetezi wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini Tanzania (Tanzania Human Rights Defenders Coalition -THRDC), hatimaye umetangaza kusitisha shughuli zake kwa...
By Saed KubeneaAugust 18, 2020VISIWA vya Zanzibar na Pemba vimepata pigo, Mzee Hassan Nassoro Moyo ambaye ni miongoni mwa waasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964, amefariki...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2020GODBLESS Lema, amechukua fomu ya kuwania Ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2020WAGOMBEA udiwani 169 kati ya 1145 ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), walioomba kuteuliwa kugombea udiwani kupitia chama hicho mkoani Kilimanjaro, wamepitishwa. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2020CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimerudishwa nyuma tarehe ya kutaja majina ya waliopitishwa kugombea ubunge, udiwani na uwakilishi visiwani Zanzibar. Anaripoti Brightness Boaz, Dar...
By Masalu ErastoAugust 18, 2020MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) imetangaza kusitisha shughuli zake nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea) Taarifa...
By Mwandishi WetuAugust 18, 2020SAFARI ya kuwania ubunge, uwakilishi (Zanzibar) na udiwani ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwenye uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, itahitimishwa...
By Masalu ErastoAugust 17, 2020DAKTARI John Magufuli, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Rais wa Tanzania amesema, katika miaka 40 tangu kuanzishwa kwa...
By Masalu ErastoAugust 17, 2020VIONGOZI wa dini nchini Tanzania, wamekemea vitendo vya vurugu kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Masalu ErastoAugust 17, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka viongozi na wanachama wake kuanza mikakati ya chini kwa chini, ili kumsaidia Tundu Lissu, aliyepitishwa na...
By Mwandishi WetuAugust 17, 2020TAALIB Karim Mbowe, mfanyabiashara na mmiliki wa Kampuni ya White Star Investiment jijini Dodoma anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
By Masalu ErastoAugust 16, 2020CHAMA cha ACT-Wazalendo. kimetangaza orodha ya wagombea 198 wa ubunge na uwakilishi, Tanzania Bara na Zanzibar. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Akitangaza...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2020WATU waliohusika na tukio la kuchoma Ofisi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini, sasa wanasakwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha…(endelea). Jeshi...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2020HARAKATI za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020 zinashika kasi. Tayari wagombea ngazi ya urais bara na visiwani wanajulikana. Anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2020KWA mara ya kwanza, Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu katikati ya wiki, Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 tangu mfumo wa vyama vingi uliporejea tena...
By Masalu ErastoAugust 15, 2020ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk. Barnabas Mtokambali ameiomba Serikali nchini humo kuhakikisha Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe...
By Danson KaijageAugust 15, 2020SERIKALI ya Tanzania imetumia Sh.1.1trilioni kumaliza tatizo la mgawo wa umeme. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Hayo amesema na Dk. Hassan Abbasi,...
By Regina MkondeAugust 15, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli anakabidhi rasmi kijiti cha Uenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kwa Rais wa Msumbiji,...
By Mwandishi WetuAugust 15, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewataka Watanzania kutochagua wanasiasa wanaohubiri chuki na k6utoa maneno ya vitisho. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kiongozi huyo...
By Danson KaijageAugust 14, 2020KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa uamuzi katika malalamiko tisa ya watoa huduma ya utangazaji kwa makosa mbalimbali ya...
By Hamisi MgutaAugust 14, 2020RAIS John Magufuli ameshauri Kanisa la Assembly of God (TAG), kuelekenza nguvu katika ujenzi wa viwanda. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Ametoa...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2020RAIS John Magufuli amekabidhiwa tuzo ya ‘hongera’ kutokana na namna alivyokabiliana na ugonjwa wa Homa ya Mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19)....
By Mwandishi WetuAugust 14, 2020TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema licha ya Ofisi ya Kanda ya Kaskazini kuchomwa moto, ratiba yake...
By Mwandishi WetuAugust 14, 2020MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imempatia muda zaidi mdhamini wa Tundu Lissu ili amtafute na kumfikisha mahakamani baada ya...
By Faki SosiAugust 13, 2020PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amesema njia ya kuingia Ikulu ipo wazi. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam …...
By Hamisi MgutaAugust 13, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) visiwani Zanzibar, kimeteua wagombea 30 kati ya 50 wa ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28...
By Masalu ErastoAugust 13, 2020JACOB Paul Nyangusi, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) nchini Tanzania, itamfunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana...
By Mwandishi WetuAugust 13, 2020CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania kitateua wagombea ubunge, uwakilishi na viti maalum tarehe 22 Agosti 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)...
By Mwandishi WetuAugust 13, 2020TAASISI za dini nchini Tanzania- Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) na Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)...
By Mwandishi WetuAugust 13, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ihakikishe Watanzania hawarubuniwi ili watumie vizuri utashi wao...
By Mwandishi WetuAugust 13, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimetoa orodha ya pili ya walioteuliwa kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2020MCHUNGAJI Peter Msigwa, aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini amesema, hana imani na baadhi ya watendaji wa uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu wa tarehe 28...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na vyombo vya dola nchini Tanzania, vimetakiwa kuchukua hatua kali dhidi ya wanasiasa na watu wanaotoa lugha...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2020JOHN Shibuda, mgombea urais wa Tanzania kupitia chama cha Ada- Tadea amesema, iwapo Watanzania watamchagua katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2020TAKRIBANI wanachama 8,000 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), walioshiriki mbio za ubunge kupitia chama hicho, sasa wako matumbo joto, kufuatia kuibuka kwa taarifa,...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2020FOMU za kuwania ubunge na udiwani katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 202 zinaanza kutolewa leo Jumatano. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2020MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema, iwapo atapewa ridhaa ya kuwa rais jambo la kwanza...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Manyara, inamshikilia mkazi wa Mjini Babati, Yuda Sendeu akidaiwa kuzuia Sh. 44.7 milioni...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2020WAGOMBEA kumi wa urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 wamechukua fomu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)....
By Mwandishi WetuAugust 8, 2020WANAWAKE wa Chama Cha Wananchi (CUF), wamemkabidhi Prof. Ibrahim Lipumba, Mgombea wa chama hicho wa Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...
By Regina MkondeAugust 8, 2020BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), leo Jumamosi tarehe 8 Agosti 2020 unafanya kura za maoni kwa wagombea...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2020TUNDU Antiphas Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema amekabidhiwa fomu za kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020 na...
By Danson KaijageAugust 8, 2020YEREMIA Kurwa Maganja ameteuliwa na Mkutano Mkuu wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi kugombea urais wa nchi hiyo katika Uchaguzi Mkuu...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanznaia, Kassim Majaliwa, amekagua ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) akiridhishwa na kiwango na kasi ya maendeleo ya...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2020WANACHAMA watatu wa chama cha NCCR-Mageuzi, wamejitoa kuwania urais urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2020BERNARD Kamilius Membe, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha ACT-Wazalendo, amechukua fomu ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2020MAKAMU Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo-Zanzibar, Juma Duni Haji maarufu ‘Babu Duni’ amekitaka Chama cha NCCR-Mageuzi kukubali kushirikiana na vyama vingine vya upinzani...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2020