Thursday , 25 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

EP4R yanufaisha shule 28 Bariadi

SHULE 28 za wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu zikiwemo 11 za msingi na 17 za sekondari zimenufaika na mfumo wa uboreshaji wa...

Habari za Siasa

Maalim Seif agusa mtima wa Wazanzibari

UHURU wa kiuchumi kwa Wazanzibari kupitia zao la Karafuu, sasa utapatiwa ufumbuzi kwa wakulima kuuza kokote watakapo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zamzibar … (endelea)....

Habari za Siasa

Mgombea urais NCCR-Mageuzi kugawa bure taulo za kike shuleni

YEREMIA Kulwa Maganja, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, ameahidi kugawa taulo za kike ‘Pad’ bure katika shule zote, atakapofanikiwa kushinda...

Habari za Siasa

Chadema kuwafuta machozi watumishi wa umma

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania kimeahidi kulipa malimbikizo ya madeni ya watumishi wa umma pamoja na kuwaongezea mishahara. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Magufuli avunja ukimya fedha tetemeko Kagera

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli amezungumzia madai ya Serikali kutafuna fedha zilizochangwa na wahisani kwa...

Habari za Siasa

Kubenea kumaliza tatizo la takataka Kinondoni

SAED Kubenea, mgombea ubunge Kinondoni kupitia Act-Wazalendo ameahidi kumaliza changomoto ya uchafuzi wa mazingira kwa kuanzisha kiwanda kitachochakata takataka kuwa mbolea. Anaripori Faki...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi Mkuu 2020: Serikali haipaswi kufanya haya

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imebainisha mambo matatu yasiyopaswa kufanywa na Serikali wakati wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28...

Habari za Siasa

Lissu ‘afukua makaburi’ Mbarali

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, ugomvi wa wakulima na wafugaji ‘ni la kuundwa.’ Anaripoti...

Habari za Siasa

Majaliwa awahamasisha wananchi kujikita kwenye kilimo

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Singida waingie kwenye kilimo...

Habari za Siasa

Magufuli ahofia kura za jazba

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli ameeleza kuhofia jazba katika upigaji kura kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika...

Habari za SiasaTangulizi

Membe: Tumekimbiwa

BERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, mazingira magumu ya siasa kwa sasa, yamesababisha marafiki na wafanyabiashara kushindwa kuwasaidia. Anaripoti...

Habari za Siasa

Dk. Magufuli: Wana Muleba msirudie makosa

DAKTARI John Magufuli, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amewataka wananchi wa Kata ya Kasharunga wilayani Muleba, Bukoba kutorudia kosa...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru alia wapinzani kuiumiza CCM

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally amelalamikia vyama vya upinzani kukichafua chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

NEC: Tutaanza kuchukua hatua kali kwa…

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imewataka wagombea ubunge na udiwani waliokata rufaa kuwa na subra  wakati rufaa hizo zikishughulikiwa. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Jino kwa jino CCM vs Chadema

NI jino kwa jino, ndivyo unavyoweza kusema baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo kwa pamoja kupiga yole...

Habari za SiasaTangulizi

Mgombea Ubunge CCM afariki dunia

SALIM Abdullah Turky (57), mbunge anayemaliza muda wake katika jimbo la Mpendae, Unguja, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari za Siasa

Membe kutua Tanzania, asema yuko imara

BERNARD Kamilius Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia chama cha ACT-Wazalendo, anarejea nchini mwake kesho Jumanne tarehe 15 Septemba 2020 akitokea Dubai. Anaripoti...

Habari za Siasa

Vijana wa kilimo Moshi waipigia chapuo CCM

MUUNGANO wa Vijana wa Kilimo cha kitalu nyumba (MVIKIKINYU) katika halmashauri ya Moshi mkoani Kilimanjato, umeipongeza serikali kwa kuwapa elimu ya mkulima na...

Habari za Siasa

Magufuli ajibu wanaohoji maendeleo Chato

JOHN Magufuli, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema, wanaohoji kwa nini amejenga Uwanja wa Ndege Chato mkoani Geita “washindwe...

Habari za Siasa

Maalim Seif amgomea Zitto

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, amekataa ombi la Kiongozi wa chama hicho, Zitto Zuberi Kabwe la kurudi nyumbani...

Habari za Siasa

RC Mghwira awapa somo wanasiasa wanaotafuta kura

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzanmia, Anna Mghwira amewataka wanasiasa kutumia majukwaa yao ya kisiasa kutoa matamko ya matumaini kwa wananchi ili...

Habari za Siasa

Zitto amjibu Lissu ‘inawezekana’

OMBI la Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), aungwe mkono na Chama cha ACT-Wazalendo kwa upande...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru: Magufuli akimaliza miaka 10 anaondoka

JOHN Pombe Magufuli, Rais wa Tanzania hataongeza muda wa kukaa madarakani pindi vipindi vyake viwili vya Serikali ya awamu wa Ttno vitafika ukomo....

Habari za Siasa

Kubenea: Nilihofia kugawa kura Ubungo

SAED Kubenea, mgombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema hakugombea ubunge katika Jimbo la Ubungo ili kutogawa kura za...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Naingia Ikulu 2020

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amejigamba kuingia Ikulu ya Zanzibar baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atoa ahadi ‘mwiba’ kwa vigogo

TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kukwapua ardhi iliyotwaliwa na vigogo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Ifakara..(endelea). Mbele ya...

Habari za Siasa

Mwakyembe aiambia CCM ‘kujaa mikutanoni si ushindi’

HARRISON Mwakyembe, aliyekuwa mbunge wa Kyela kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametahadharisha kwamba kujaa watu kwenye mikutano si hoja ya kushinda. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Rais Museveni atua Chato

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amewasili Uwanja wa Ndege wa Chato Mkoa wa Geita na kupokewa na mwenyeji wake, Rais wa Tanzania, John...

Habari za Siasa

CCM yazindua kampeni Z’bar, Dk. Mwinyi amwaga ahadi

DAKTARI Hussein Ali Mwinyi, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametaja mambo atakayotekeleza endapo atafanikiwa kuchaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa...

Habari za Siasa

Rais Shein: Wazanzibar msijaribu uongozi

ALI Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar anayemaliza muda wake, amewataka wananchi wa visiwa hivyo, kutofanya makosa kwa kumchagua Rais mwenye tamaa na asiyekuwa...

Habari za Siasa

Profesa Lipumba: Tukipoteza uchaguzi huu, tutajuta

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF) amesema, wananchi wakishindwa kuutumia Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020...

Habari za Siasa

NEC yaamua rufaa 60, Jesca arejeshwa kumvaa Dk. Mwigulu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imemrejesha Jesca Kishoa kuwa mgombea ubunge Iramba Magharibi Mkoa wa Singida kupitia Chadema. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto aichongea CCM kwa WanaKigoma

ZITTO Zuberi Kabwe, mgombea ubunge Kigoma Mjini kupitia ACT-Wazalendo, ametoa sababu tano ambazo wananchi wa Mkoa wa Kigoma wanapaswa kutokichagua Chama Cha Mapinduzi...

Habari za Siasa

Sumaye: Mgombea huyu hafai

FREDERICK Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani amedai, wapo...

Habari za SiasaTangulizi

ZEC yamteua Maalim Seif kugombea urais

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imemteua Maalim Seif Sharif Hamad kuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika 27 na...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Sina wasiwasi na mapingamizi

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, hana wasiwasi juu ya mapingamizi aliyowekea Tume ya Uchaguzi Zanzibar...

Habari za Siasa

CCM yamtwisha zigo la ushindi Kikwete mikoa ya Kusini

CHAMA tawala nchini Tanzania cha Mapinduzi (CCM) kimesema, kimempeleka Rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete katika mikoa ya Kusini, ili akamalize wavurugaji wa chama...

Habari za Siasa

Lissu: Ama zangu, ama za Magufuli

LICHA ya kinyang’anyiro cha wagombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020 kuwa na wagombea 15, Tundu Lissu miongoni...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea apata dhamana, kuendelea na kampeni Kinondoni

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha nchini Tanzania, imemwachia kwa dhamana mgombea ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Ahmed Kubenea. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha...

Habari za Siasa

Muro wa NCCR-Mageuzi aahidi kuibadili Kinondoni

MUSTAFA Muro, Mgombea Ubunge wa Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia NCCR-Mageuzi, ameahidi kuboresha maisha ya wananchi wa jimbo hilo, endapo watamchagua katika...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif awekewa pingamizi, 16 wateuliwa

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imeshindwa kumteua Maalim Seif Sharif Hamad kugombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo baada ya kuwekewa pingamizi....

Habari za Siasa

Mbatia atoa wosia kwa Watanzania kuelekea 28 Oktoba

JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi nchini Tanzania, amewataka Watanzania kutumia kura zao vizuri katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020,...

Habari za SiasaTangulizi

19 warejeshwa kugombea ubunge, 26 udiwani

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imewarejesha wagombea ubunge 19 baada ya kuzifanyia kazi rufaa 22. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atikiswa, chopa yake yagomewa

HELKOPTA (chopa) iliyotarajiwa kumbeba Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuelekea Bagamoyo mkoani Pwani, imegomewa kuruka. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Waliotafuna fedha za korosho matatani 

MAMA Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) iwashughulikie...

Habari za Siasa

Lissu: Safari hii tutafanya kama CCM

TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema wataweka kituo cha kuhesabu kura zao kama Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Wewe umetumwa na mabeberu? Swali lililomchefua Lissu

TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kukerwa na fikra za ‘ubeberu’ zinazopandwa kwake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

13 washinda rufaa za ubunge, 21 watoswa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imechambua rufaa zingine 34 za ubunge kati ya hizo, 13 imewarejesha kugombea ubunge, 21 imezikataa....

Habari za Siasa

Maalim Seif ahofia ‘kukatwa’ urais Z’bar

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, ameonesha wasiwasi wa kukwamishwa katika kinyang’anyiro hicho. Anaripoti...

Habari za Siasa

Lissu: Hatujidanganyi, uchaguzi huu mgumu

TUNDU Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaaam…(endelea)....

error: Content is protected !!