Friday , 29 March 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari MchanganyikoTangulizi

Matumizj ya risiti, stempu feki yaitikisa TRA

MAMLAKA ya Mapato Tanzania imetoa wito kwa Watanzania kujiepusha na matumizi ya risiti na stempu feki ambazo zinaikosesha serikali mapato. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari za Siasa

Biteko: Watanzania wanahita kupata mafuta kwa urahisi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanahitaji wapate mafuta kwa urahisi ili shughuli za kiuchumi na...

Makala & Uchambuzi

Local content inavyonufaisha wawekezaji wazawa katika sekta ya madini

MNYONGE mnyongeni lakini haki yake mpeni! Ni usemi unaoshabihiana na mabadiliko makubwa yaliyoanzishwa na Rais wa awamu ya tano Dk. John Magufuli katika...

Habari za Siasa

UWT yavimba na wabunge wa Viti Maalum

  JOKATE Mwegelo, katibu mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), amewataka wabunge wa viti maalumu kufanya mikutano ya hadhara,...

Habari za SiasaTangulizi

Makamu Othman: Hatutaki uongozi fisadi, wa uongo

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema uchaguzi mdogo wa uwakilishi jimboni Mtambwe, unaooigwa kesho, ni alama...

Habari za SiasaTangulizi

Mwenyekiti CCM Arusha afariki dunia, Chongolo, Silaa wamlilia

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Zelote Stephen amefariki dunia jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari za Siasa

Dk. Biteko ataka sekta ya uvuvi iwe nyenzo ya kuondoa umaskini nchini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaagiza watendaji wa Sekta ya Uvuvi nchini kuifanya Sekta hiyo kuwa nyenzo...

Habari za Siasa

GGML yanyakua tuzo 2 Usiku wa Madini, Waziri Malawi atoa ujumbe

JITIHADA za Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika kuzingatia uwajibikaji wake kwa jamii pamoja na kuzingatia masuala ya usalama kazini, zimeendelea...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas

  RAIA wawili wa Tanzania na mmoja wa Afrika Kusini, ni miongoni mwa mateka 224, wanaoshikiliwa na wanamgambo wa Hamas, baada ya mashambulizi...

Habari za Siasa

He Ping kufanya ziara Tanzania

MWENYEKITI wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Baraza la Mashauriano la Kisiasa la Watu wa China  (CPPC), He Ping kesho atakuja nchini...

Habari MchanganyikoTangulizi

Migodi 350 yaunganishwa na umeme wa gridi ya Taifa

Naibu Wazirj Mkuu, Dk. Doto Biteko amesema migodi zaidi ya 350 ya wachimbaji wadogo imeunganishwa na umeme wa gridi ya Taifa na hivyo...

Habari za Siasa

Mbowe aikumbuka UKAWA kuelekea chaguzi zijazo

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema ushindi wa vyama vya upinzani katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, ulitokana na...

Habari za SiasaTangulizi

Mjane wa Mrema aonja urithi, utata wa ndoa wamalizwa

Mahakama Kuu ya Tanzania Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki Temeke kimetoa uamuzi juu ya urithi wa mali za marehemu Augustino Lyatonga Mrema ambapo...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aipigia debe bandari Dar kwa wafanyabiashara Zambia, awapa hekta 20

RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewataka wafanyabiashara wa Zambia, kuitumia Bandari ya Dar es Salaam, kwa kuwa sasa inafanyiwa maboresho ili...

Habari za Siasa

Rais Samia aweka shada kaburi la Dk. Kaunda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameungana na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, kuweka mashada ya maua kwenye Mnara...

Habari za SiasaTangulizi

Uamuzi kesi ya akina Mdee Disemba 14

MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imepanga tarehe 14 Disemba 2023 kutoa uamuzi wa kesi iliyofunguliwa na wabunge viti Maalum 19...

Habari za Siasa

Rais Samia ataka mahakama za Afrika zijipange utatuzi migogoro soko huru

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amezitaka mahakama za nchi za Afrika zijipange kutatua migogoro itakayojitokeza katika eneo la biashara huru barani humo, huku...

Habari za Siasa

UN kuadhimisha miaka 78 ya kuanzishwa kwake

Umoja wa Mataifa (UN) nchini Tanzania unatarajia kuadhimisha miaka 78 tangu ilipoanzishwa mwaka 1945.  Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea) Akizungumza na waandishi wa Habari...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda awagawa Watanzania, Karume aishangaa CCM

UTEUZI wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, katika nafasi ya ukatibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

Habari za Siasa

Mchungaji ataka haki itendeke chaguzi 2024, 2025

MCHUNGAJI kiongozi wa kanisa la Tanzania Assembles of God (TAG) URCC lililopo Aread D Jijini Dodoma, Salum Vangast ametoa wito kwa mamlaka zote...

Habari za Siasa

Watanzania waishio Zambia wamsubiri Rais Samia wakiwa na mzigo wa changamoto

WATANZANIA waishio  Zambia, wameandaa utaratibu wa kumpokea Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, anayetarajiwa kuwasili nchini humo mchana wa leo tarehe 23 Oktoba 2023,...

BiasharaTangulizi

TPA: TRA itakusanya trilioni 26.7 bandarini

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa leo Jumapili amesema kwa kawaida Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hukusanya tozo...

BiasharaTangulizi

TZ kupata 60% ya mapato DP World

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usimamizi Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa leo Jumapili amesema katika mikataba hiyo mitatu, serikali itakuwa inapata ada na tozo...

Habari za SiasaTangulizi

Mikataba 3 DP World yasainiwa, haihusu bandari zote

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema katika kutekeleza mkakati wa Serikali wa kuimarisha shughuli za bandari Dar es Salaam,...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda amrithi Mjema uenezi CCM

HATIMAYE aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameteuliwa na Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Katibu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mjema ‘out’ CCM, Makonda atajwa

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Sophia alikuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aonya wachimbaji kuacha kutorosha madini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaasa wachimbaji wadogo kuachana na vitendo vya utoroshaji madini. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea)....

BiasharaTangulizi

 Rostam awekeza bilioni 250 kuzalisha umeme Zambia

Mfanyabishara maarufu nchini, Rostam Aziz, kupitia kampuni yake ya Taifa Group, ameingia nchini Zambia ambako ameanza kuwekeza kwenye sekta ya uzalishaji umeme kwa...

KimataifaTangulizi

Viongozi wa Hamas wauawa, vifo vyafikia 3,785.

TANGU vita baina ya taifa la Israel na wanamgambo wa Hamas kutoka Ukanda wa Gaza nchini Palestina viibuke tarehe 7 Okotoba 2023, kumeripotiwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

RC Dar: Chanzo ajali ya moto Kariakoo ni hujuma

CHANZO cha ajali ya moto ulioteketekeza Soko la Kariako eneo la Mnadani na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara zaidi ya 550, kimetajwa kuwa...

Habari za Siasa

UVCCM yaonya viongozi wanaoshindwa kusaidia vijana

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umesema umejipanga kuhakikisha chama hicho kinaendelea kupata ushindi katika chaguzi zijazo, huku wakiwataka wapinzani kujiandaa...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yawatoa hofu wananchi kuhusu upatikanaji wa mafuta

Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa hali ya utoshelevu wa mafuta nchini kwa kipindi cha  mwezi Julai...

Habari za Siasa

Tanzania yapokea ombi la Palestina

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali ...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mhagama: Hakuna Tsunami

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amewataka wananchi kupuuza taarifa iliyosambaa  katika mitandao mbalimbali ya kijamii...

Habari za Siasa

Afrika, Nordic wakubaliana kuboresha biashara na uwekezaji

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Mawaziri wa nchi za Nordic wamekubaliana kuimarisha biashara na uwekezaji, kubadilishana ujuzi, teknolojia...

KimataifaTangulizi

500 wauawa katika shambulio la hospitali Gaza

ZAIDI ya watu 500 wameripotiwa kuuawa usiku wa leo Jumanne kwenye shambulizi ambalo limetokea hospitalini Ahli Arab katika Ukanda wa Gaza. Inaripoti Mitandao...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mikesha makanisani, mahubiri barabarani kutozwa kodi 334,600

BAADHI ya wahubiri na makasisi wamesema hatua ya serikali ya Kaunti ya Kisii nchini Kenya kuanza kutoza ushuru makanisa na wahubiri itarudisha nyuma...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mume mbaroni kwa kumteka nyara mkewe

MUME anayedaiwa kumteka nyara mkewe na kumficha katika Kaunti ya Meru nchini Kenya, amefikishwa kortini. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …(endelea). Abdullahi Mohammed Gullei...

Habari MchanganyikoTangulizi

Madadapoa kutoka TZ wafurika Rift Valley kuwakamua wakulima

KAMA ulidhani madadapoa hufurika mikoa ya Kanda ya Ziwa pekee pindi wakulima wanapovuna na kuuza pamba, umekosea kwani hali kama hiyo pia imetokea...

Habari za SiasaTangulizi

Samia ataka wizara zibane matumizi

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amezitaka wizara nchini zibane matumizi katika fedha za miradi ya maendeleo ili zilete matokeo yenye tija. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe awaangukia viongozi wa dini

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewaomba viongozi wa dini wasimamie haki kwa kuwa inainua taifa.Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Makamba atua Algeria kushiriki mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amewasili nchini Algeria kushiriki Mkutano wa 20 wa Mawaziri wa Mambo...

Habari za SiasaTangulizi

Samia aonya chuki, makundi Uchaguzi Serikali za mitaa

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka watanzania wadumishe amani na upendo kuelekea kipindi cha uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

Prof. Muhongo aeleza namna ya kumuenzi Mwalimu Nyerere

MBUNGE wa Musoma Vijijini, mkoani Mara, Prof. Sospeter Muhongo (CCM) ameitaka Serikali imuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, kwa kukamilisha ndoto...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yaishukia CCM

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimedai Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imechoka kwa kuwa imeshindwa kutafuta suluhu ya changamoto ya mgawo wa umeme. Anaripoti...

Habari za Siasa

Serukamba aanika mafanikio ya Singida

MKUU wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, amesema tangu Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan iingie madarakani, bajeti ya mkoa huo imeongezeka...

Habari za SiasaTangulizi

Watanzania waliopo Israel watakiwa kujiandikisha kabla ya saa 6 usiku

KUFUATIA kuendelea kuzorota kwa hali ya usalama nchini Israel na maeneo mengine ya jirani, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeandaa mpango...

Habari za SiasaTangulizi

Samia ataka ripoti miradi ya bilioni 1.9 yenye dosari

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ameagiza apewe ripoti ya hatua zilizochukuliwa dhidi ya watumishi wa umma waliohusika katika usimamizi wa miradi saba yenye...

Habari za Siasa

Dk. Mpango awatumia ujumbe viongozi wanaojilimbikizia mali

MAKAMU wa Rais, Dk. Phillip Mpango, amewataka viongozi wa umma wanaotumia nyadhiofa zao kujilimbikizia mali, wajitafakari. Anaripoti Mwandishi Wetu, Manyara…(endelea). Dk. Mpango ametoa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ashiriki misa kumuomba Mwalimu Nyerere

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki misa ya kumuombea Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, aliyefariki dunia tarehe 14 Oktoba 1999. Anaripoti Mwandishi...

error: Content is protected !!