Friday , 29 March 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za SiasaMakala & UchambuziTangulizi

Maumivu ya wapinzani, vigogo 2020

SAFARI ya kuhitimisha siku 365 za mwaka 2020 inaelekea ukingoni huku ikiwa imeshuhudia machozi na damu kwa wanasiasa hususan wa upinzani, wanaharakati pamoja...

Habari za Siasa

Waziri Aweso awasimamisha watatu DDCA, atoa maagizo Dawasa

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Wakala wa Uchimbani Visima (DDCA) kutokana na tuhuma za ubadhilifu na kuagiza uchunguzi...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi amtumbua aliyemwapisha siku 37 zilizopita

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ametengua uteuzi wa Katibu wake, Suleiman Ahmed Saleh. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Taarifa iliyotolewa leo Jumatatu tarehe 14...

Habari za Siasa

RC Chalamila: Tulipashwa kujipeleka polisi kufungwa

ALBART Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC) nchini Tanzania amesema, viongozi wa mkoa huo wamedhalilika kutokana na kumea kwa wizi wa dhahabu....

Habari za SiasaTangulizi

Madiwani ACT-Wazalendo waapishwa, wabunge wamfuata Ndugai

MADIWANI wa Chama cha ACT-Wazalendo, wameanza kuapishwa leo Jumatatu tarehe 14 Desemba 2020 huku wabunge wateule wakiwa kwenye maandalizi ya kuelekea Dodoma kwa...

Habari za Siasa

Agizo la Magufuli lamng’oa kigogo wa madini

DOTTO Biteko, Waziri wa Madini nchini amemvua madaraka Paul Gagala, Mwenyekiti wa Soko la Madini Wilaya ya Chunya sambamba na kuwasimamisha kazi watumishi watatu...

Habari za Siasa

Membe atikisa, ACT-Wazalendo ‘wajigamba’

TAARIFA za Bernard Membe, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, ‘kukimwaga’ chama hicho, zinavuruga wengi. Anaandika Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari

Dk. Kalemani aipa maagizo TANESCO

WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani ameliagiza Shirika la Umeme wa Ugavi nchini (TANESCO), kuhakikisha umeme haukatiki. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Pia amelitaka shirika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Askofu Bagonza: Niko salama, nitawashtaki kwa Mungu

ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera amesema, “mimi niko salama, naendelea na majukumu yangu kama...

Habari za Siasa

Diwani wa Chadema aliyeuwawa atunukiwa tuzo

ALIYEKUWA Diwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Kata ya Namwawala, jimbo la Mlimba, mkoani Morogoro, Godfrey Luena, ametunukiwa “Tuzo ya...

Habari

Magufuli aagiza mishahara ‘watumishi’ TMAA ipunguzwe

RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameagiza waliokuwa watumishi wa Wakala wa Ukauzi wa Madini Tanzania (TMAA) kisha kuhamishiwa Tume ya Madini wapunguziwe mishahara...

Habari za SiasaTangulizi

Aliyeshindwa kuapa, aombewa kazi kwa JPM

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewaomba Watanzania kumwombea Mbunge wa Kilwa Kaskazini Mkoa wa Lindi, Francis Ndulane aliyeshindwa kuapa kuwa Naibu Waziri...

Habari za SiasaMakala & UchambuziTangulizi

Makamu wa Kwanza wa Rais Z’bar, ‘mweupeee’

MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seiff Sharif Hamad, hana mamlaka ya “kutumbua, kuteua; na au kushika kiti cha urais, ikiwa...

Habari za Siasa

Magufuli amwapisha mrithi aliyeshindwa kuapa

PROFESA Shukrani Manya, leo Ijumaa tarehe 11 Desemba 2020, inaweza kuwa siku ya historia katika maisha yake, baada ya kula viapo viwili tofauti...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru ateta na Balozi wa Ufaransa

UBALOZI wa Ufaransa nchini Tanzania, umefanya makubaliano na Serikali ya Tanzania kuanzisha ushirikiano wa maendeleo ya vijana hususan utoaji wa ajira. Anaripoti Danson...

Habari za Siasa

THDRC yakumbusha machungu uchaguzi mkuu, yasisitiza mazungumzo

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeishauri Serikali nchini humo kufanya mazungumzo na vyama vya upinzani ili kupata suluhu ya...

Habari za Siasa

Spika Ndugai awaita wabunge ACT-Wazalendo awaapishe, wao wamjibu

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge wanne wa ACT-Wazalendo, kwenda bungeni kuapishwa ili waanze kuwatumikia wananchi...

Habari za Siasa

Ndugai amwapisha anayekwenda kumrithi aliyeshindwa kuapa

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amemwapisha, Profesa Shukrani Manya kuwa Mbunge wa kuteuliwa na Rais. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

Habari za Siasa

Magufuli ateua mrithi wa aliyeshindwa kuapa

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amemteua Profesa Shukrani Manya kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Brightnes Boaz, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wamshangaa Ndugai, wahoji ‘tunakwendaje mahakamani?’ 

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeshangazwa na kauli ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuwa hana mamlaka ya kuwafukuza bungeni, Halima Mdee...

Habari

Aweso amtumbua bosi Duwasa

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amemtumbua Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (Duwasa), Mhandisi David Pallangyo akitaka apangiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Lema apata hifadhi ya ukimbizi Canada

ALIYEKUWA Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amepata hifadhi ya ukimbizi ya kisiasa nchini Canada. Anaripoti Mwandishi Wetu, Nairobi … (endelea). Lema...

Habari za Siasa

Magufuli alivyowachambua mawaziri, wapa maagizo

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amewachambua mawaziri wake 21 na manaibu waziri 22, aliowateua tarehe 5 Desemba 2020 na kuwataka kwenda kufanya kazi...

Habari za Siasa

Dk. Kigwangalla aomba radhi ‘mimi ni binadamu dhaifu’

MBUNGE wa Nzega Vijijini (CCM), Dk. Hamis Kigwangalla amewaomba radhi watumishi na wananchi aliowakosea enzi akiwa waziri wa Serikali ya Tanzania. Anaripoti Brightness...

Habari za Siasa

Magufuli aonya wanaovujisha siri za Serikali, kujipiga ‘selfie’

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amewaagiza wateule wake kutotumia mitandao ya kijamii katika utekelezaji wa majukumu yao, ili kudhibiti uvujaji wa siri...

Habari za Siasa

Magufuli akataa kunyonga 256, wafungwe maisha

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amewapunguzia adhabu wafungwa 256  waliohukumiwa kunyongwa na kuagiza wapewe kifungo cha maisha gerezani. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za Siasa

Magufuli kumng’oa naibu waziri aliyeshindwa kuapa

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amesema atafanya uteuzi mpya wa Naibu Waziri wa Madini baada ya aliyemteua, Francis Ndulane kushindwa kuapa. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli aapisha timu yake ya mawaziri 

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewaapisha mawaziri na manaibu waziri aliowateua tarehe 5 Desemba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Uapisho...

AndroidHabari za Siasa

Bwege anena mazito baada ya kushindwa ubunge

ALIYEKUWA Mbunge wa Kilwa Kusini kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Selemani Bungara maarufu ‘Bwege’ ametoa msimamo wake wa kisiasa mara baada ya kushindwa...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai awapiga ‘stop’ Chadema ‘nendeni NEC au mahakamani’              

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwenda Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) au mahakamani,...

Habari za Siasa

Fuatana na Maalim kutoka Ikulu ya Zanzibar

MAALIM Seif Sharif Hamad, ameapishwa kuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Kuapishwa kwake, kumetokana na matakwa ya Katiba ya Zanzibar ya...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi aonyesha njia ya maridhiano Zanzibar

RAIS wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUKI), Visiwani Zanzibar, Dk. Hussein Alli Mwinyi, amewaomba wananchi visiwani humo, kuweka kando tofauti zao za...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif akubali yaishe, akumbusha machungu ya uchaguzi 

HATIMAYE Maalim Seif Hamad, mwenyekiti wa Chama cha ACT- Wazalendo, amekubali yaishe. Ameapishwa kuwa Makamo wa Rais wa Kwanza, katika serikali ya Umoja...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif kurejea tena Ikulu leo

RAIS wa Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi leo Jumanne tarehe 8 Desemba 2020, atamwapisha Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais...

Habari za Siasa

Majaliwa afuta likizo za watendaji Krismas, mwaka mpya kisa… 

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewaagiza Makatibu Tawala wa Mikoa (RAS) yote nchini humo wahakikishe watendaji wote wa Mikoa, Wilaya, Halmashauri wasiende...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi ateua tena vigogo ACT-Wazalendo

RAIS wa Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi, amefanya uteuzi wa wanachama wawili wa ACT-Wazalendo kuwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Mwinyi amteua Maalim Seif makamu wa kwanza wa Rais

RAIS wa Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi amemteua Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Anaripoti...

Habari za Siasa

Majaliwa: Hospitali ya Uhuru kutoa huduma Desemba 20

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekagua umaliziaji wa ujenzi wa Hospitali ya Uhuru unaoendelea katika wilaya ya Chamwino jijini Dodoma na kuagiza...

Habari za Siasa

ACT- Wazalendo yagawanyika

UAMUZI wa Kamati Kuu (CC) ya chama cha ACT- Wazalendo, kujiunga kwenye serikali ya Umoja wa Kitaifa Visiwani (SUKI), umeanza kupingwa kila kona....

Habari za Siasa

Bosi sekretarieti ya maadili afariki, JPM amlilia

ALIYEKUWA Kamishana wa Sekretarieti ya Maandili ya Viongozi wa Umma nchini Tanzania, Jaji mstaafu Harold Nsekela amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa za...

Habari za Siasa

Umakamu wa Rais: Je, ni Maalim Seif?

BARAZA la Uongozi la Chama cha ACT-Wazalendo, tayari limependekeza jina la Makamu wa Kwanza wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK), lakini...

Habari za Siasa

‘Z’bar imerejea ‘gizani’ ’

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeeleza, uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020, umerejesha visiwa hiyo ‘gizani’. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Akieleaza maazimio ya...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo wakubali kuingia Ikulu Z’bar

CHAMA cha ACT – Wazalendo, kimekubali kuungana na Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), visiwani Zanzibar. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mawaziri wapya 21, waliotemwa hawa hapa

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa mawaziri 21, Naibu Mawaziri 23 na wabunge wawili aliowateua kisha kuwapangia wizara za kuhudumu....

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo wajifungia kujadili ushirikiano na Rais Mwinyi

HATIMA ya Chama cha ACT-Wazalendo kushiriki katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK), baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020,...

Habari za Siasa

Majaliwa awapa neno wasio na ajira

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewashauri wananchi wasiokuwa na ajira kujikita katika masuala ya kilimo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Safari awasulubu Mdee, Spika Ndugai

PROFESA Abdallah Safari, Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, Halima Mdee, aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la...

Habari za Siasa

Z’bar na taswira ya kifo cha Mzee Bindu

MZEE Ameir Ameir bin Soud, Mzanzibari kindakindaki, mjuzi mkubwa wa historia ya Zanzibar inayohusisha nyanja ya siasa, utamaduni, kilimo na ustawi wa jamii...

Tangulizi

Utafiti rushwa ya ngono: Watumishi 68.6% wakiri

UTAFITI  wa rushwa ya ngono katika taasisi za elimu ya juu uliohusisha vyuo vikuu viwili vya  Dar es Salaam na Dodoma, umewasilishwa leo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Magazeti ya Mtanzania, Dimba, Rai yafungwa

KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD nchini Tanzania inayozalisha magazeti ya Dimba, Rai, Mtanzania na Bingwa imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti yote kuanzia...

error: Content is protected !!