Thursday , 18 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za SiasaTangulizi

Samia akagua Hanang, awataka wananchi kuondoka maeneo hatarishi

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa mji mdogo wa Katesh, wilayani Hanang, Mkoa wa Manyara, waliokumbwa na maafa ya maporomoko ya...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wazuiwa kutembelea waathirika maafa Hanang

UJUMBE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), unaoongozwa na mwenyikiti wake Taifa, Freeman Mbowe, umedai kuzuiwa na Jeshi la Polisi kutembelea wahanga...

Habari za Siasa

Msimamo Chadema kuhusu uchaguzi kutolewa Januari

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kinajiandaa kushiriki chaguzi zijazo, huku kikiweka wazi kuwa, kitatoa msimamo mzito ifikapo Januari 2024, iwapo Serikali...

Habari MchanganyikoTangulizi

Askofu aliburuza kanisa la Kakobe mahakamani

BARAZA la Usuluhishi wa Migogoro ya Ardhi Kata ya Bahi mkoani Dodoma limeahirisha kesi ya malalamiko ya ardhi iliyofunguliwa na Askofu mkuu wa...

Habari za Siasa

Katesh wapewa lita 14,500 za petroli, dizeli

Naibu Waziri wa Nishati,Judith Kapinga, kwa Niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amesema Wizara ya Nishati imetoa mafuta...

Habari za Siasa

Bashungwa: Katesh kutafanyiwa usafi wa hali ya juu

WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kazi ya kuondoa tope inaendelea na shughuli kubwa inayofanyika kwa sasa ni kufungua mitaa yote ya mji...

AfyaHabari za Siasa

RAS Songwe: Tumepigwa… mkurugenzi nakupa siku 21

KATIBU tawala mkoani Songwe, Happines Seneda ametoa siku 21 kwa Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Ileje, Nuru Kindamba kumpatia majina ya...

BiasharaTangulizi

Bei ya Dizeli, Petroli yashuka

BEI ya mafuta kwa mwezi Disemba, imeshuka kutokana na kupungua kwa bei za mafuta ghafi kwenye soko la dunia, pamoja na  gharama za...

Habari za Siasa

Dk. Biteko: Viongozi tuache alama nzuri katika utendaji wetu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa wito kwa viongozi mbalimbali Serikalini kuhakikisha kazi walizonazo wanazifanya kwa bidii na...

Habari za SiasaTangulizi

Chanzo maporomoko yaliyoua 65 Hanang, chatajwa

SERIKALI imesema kumeguka kwa sehemu ya Mlima Hanang ambao ilikuwa una miamba dhoofu iliyonyonya maji ndio chanzo cha maporomoko yaliyoleta maafa katika eneo...

Habari za Siasa

Baba yake Ole Sabaya ashinda Uenyekiti CCM – Arusha

Loy Thomas Sabaya ambaye ni Baba wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameshinda nafasi ya Uenyekiti wa...

Habari za Siasa

Serikali yaagiza uchunguzi chanzo maporomoko Hanang

SERIKALI imeagiza uchunguzi ufanyike ili kubaini chanzo cha maporomoko ya udongo ya Mlima Hanang mkoani Manyara, yaliyosababisha mauji ya watu zaidi ya 50...

Habari za SiasaTangulizi

Maafa Manyara: Rais Samia akatisha ziara yake Dubai

RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amekatisha ziara yake za kikazi jijini Dubai kwa ajili ya kurejea nchini kushughulikia maafa yaliyotokana na...

Habari za SiasaTangulizi

Wataalaam wa miamba watua Hanang

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amesema kuwa Serikali imepeleka wataalamu wa miamba ambao watatoa taarifa...

Habari za Siasa

Mambo mawili yampeleka Mnyika Marekani

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, yuko nchini Marekani katika ziara ya kikazi ya siku nne, itakayoanza tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

ACT Wazalendo washtushwa vifo 47 mafuriko Hanang

CHAMA cha ACT Wazalendo kimeelezza kupokea kwa mshtuko na simanzi kubwa taarifa za vifo vya watu 47 na majeruhi 85 vilivyotokea wilayani Hanang...

Habari MchanganyikoTangulizi

20 wafariki dunia kwa mafuriko Manyara

MVUA za vuli zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeleta madhara katika mkoa wa Manyara baada ya kuripotiwa vifo 20 vilivyosababishwa na mafuriko katika...

Habari za Siasa

Dk. Biteko aagiza wakurugenzi TANESCO kukemea rushwa kwenye maeneo yao

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amefanya kikao kazi na Wakurugenzi wa Kanda na Mameneja wa Mikoa wa Shirika...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Uongozi wa Samia kuendelea hadi 2030

KWETU sisi tuliowahi kusoma sekondari, iwe O levo au A levo, nani aliwahi kusikia tangazo la wavuta bangi kujumuika pamoja au tangazo la...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Bado askari wastaafu wanaonewa

RAIS wangu Samia Suluhu Hassan tunaendelea kumshukuru Mungu kwamba wote hatujambo na kwamba Yeye anazidi kutujalia afya ya roho na mwili mpaka dakika...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Tunastawisha ufisadi na kuchukia matunda yake

BUNGE la Jamhuri linaloendelea mjini Dodoma, kwa wiki nzima limetawaliwa na mjadala juu ya ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Wamesahau aliyofanya Magufuli

JUMATATU ya tarehe 16 Oktoba 2023 itabaki kuwa siku ya kumbukumbu kwa wananchi wa kizazi hiki wakazi wa mkoa wa Singida. Hiyo ndiyo...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aanika matobo miswada sheria za uchaguzi

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amekosoa miswada ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi, akidai mapendekezo yake hayalengi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwalimu jela miaka mitatu kwa rushwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi, wilaya ya Igunga, mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha miaka mitatu gerezani, Jesca Jones Yegera (60) baada ya kupatikana na...

Habari za Siasa

Rais Samia kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia kwa wanawake Afrika

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia itakayosaidia wanawake barani Afrika (AWCCSP) kesho Jumamosi katika Umoja...

Habari za Siasa

AG aiagiza kamati ya maadili kuwashughulikia mawakili wanaokiuka maadili

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Dk. Eliezer Feleshi, ameagiza Kamati ya Maadili ya Mawakili, kuwachukulia hatua mawakili wanaokiuka maadili yao pamoja na kuipotosha...

Habari za Siasa

Jaji avunja ukimya sakata la Mpoki kusimamishwa uwakili

JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, amekitaka Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kuwafikisha mbele ya kamati ya maadili wanachama wake watakaobainika...

Habari za Siasa

Sheikh Ponda ataka mwarobaini changamoto uchaguzi 2020

KATIBU Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema changamoto zilizojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa 2020, kama hazitajadiliwa kwa uzito...

Habari za Siasa

Wanawake Chadema waingilia kati sakata la Pauline Gekul

BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), wilayani Ilala, limeitaka Serikali kushughulikia kwa ukamilifu tuhuma za ukatili wa kijinsia, zinazomkabili...

Habari za Siasa

Dk. Tulia apendekeza mbinu kumaliza mgogoro Palestina, Israel

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, ameielekeza kamati inayoshughulikia masuala ya Mashariki ya Kati ya umoja huo kutembelea eneo...

Habari za Siasa

NEC CCM yateua wagombea uenyekiti mikoa, wilaya

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa leo Jumatano kufanya uteuzi wa mwisho wa wagombea wa nafasi...

Habari za SiasaTangulizi

⁩ Samia aridhia Chongolo kujiuluzu

Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano ameridhia kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Daniel Chongolo kutokana na barua aliyoiandika...

Habari za Siasa

RC Dodoma: Kila kaya, taasisi zilime heka 2 mazao ya chakula

KATIKA harakati za kuimarisha sekta ya kilimo pamoja na kuhamasisha  wananchi kulima mazao yenye tija ili kuondokana na baa la njaa, Mkuu wa...

Habari za Siasa

Dodoma kinara ukaguzi miradi mbio za mwenge 2023

MKOA wa Dodoma umeshika nafasi ya kwanza kati ya mikoa 31 kwa mwaka 2023 katika miradi iliyokaguliwa na kuzinduliwa na mbio za Mwenge...

Habari za Siasa

Kapinga awataka wananchi kutunza miundombinu ya umeme

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuhakikisha wanalinda na kutunza miundombinu ya umeme nchini ili itumike kwa muda mrefu. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Zitto aipa ushauri Serikali maandalizi dira mpya ya maendeleo

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameishauri Serikali ianzishe mjadala wa kitaifa kwa ajili ya kujadili namna ya kuandaa dira mpya ya...

Habari za Siasa

Serikali yaanika mikakati upanuzi wa viwanja vya ndege Kigoma

SERIKALI imesema itaendelea kujenga na kupanua miundombinu ya viwanja vya ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi jirani. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

13 wafariki dunia ajali ya basi likigonga treni Singida

JUMLA ya watu 13 wakiwamo wanawake sita na wanaume saba wamefariki dunia baada ya basi la kampuni ya Ally’s Star Bus kugonga kichwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

33 wanusurika ajali ya ndege Mikumi

JUMLA ya abiria 30, marubani wawili na mhudumu mmoja wamenusurika kifo katika ajali ya ndege iliyotokea leo saa 3:40 asubuhi katika Hifadhi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Ulega amtumbua mkurugenzi uvuvi

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameagiza kuondolewa katika nafasi yake Kaimu Mkurugenzi wa Uvuvi, Stephen Lukanga baada ya kushindwa kupanga na...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

KKKT: Viongozi msitumie madaraka kutesa watu

Askofu Kanisa la Kiinjili, Kilutheri Tanzani (KKKT), Dayosisi ya Morogoro, Jacob Mameo ametoa wito kwa viongozi wenye tabia ya kutumia vibaya madaraka  yao...

Habari za Siasa

Kigoma walia rushwa ugawaji vitambulisho vya NIDA

BAADHI ya wananchi mkoani Kigoma wameilalamikia Mamlaka ya Taifa ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa madai kuwa baadhi ya maofisa wake mkoani humo...

ElimuTangulizi

Tazama matokeo darasa la saba 2023 hapa

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Alhamisi limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika tarehe 13-14 Septemba mwaka huu. Anaripoti Mwandishi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Latra yatangaza kupanda kwa nauli za daladala, mabasi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli mpya ya mabasi ya mijini na masafa marefu ambapo safari ambazo hazizidi kilomita 10 gharama...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda: Chama kitafuata mkondo wake kuhusu Gekul

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema taratibu zitafuata mkondo wake kupitia mamlaka za nidhamu kuhusu tuhuma za udhalilishaji zinazomkabili Mbunge wa Babati mjini, Pauline...

Habari za Siasa

Dk. Biteko aagiza wananchi washirikishwe uandaaji Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza Tume ya Mipango nchini kuweka uratibu wa ushiriki wa makundi mbalimbali ya wananchi...

Habari za Siasa

Dk. Biteko: Tanesco kateni umeme kwa yeyote mnayemdai

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kukata umeme kwa wadaiwa wote wasiolipa gharama...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia amtumbua Naibu Waziri – Pauline Gekul

Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Pauline Philipo Gekul. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za Siasa

Majaliwa: Majina wezi wa mapato Mbozi ninayo…

Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amesema fedha nyingi za mapato yanayokusanywa katika halmashauri kongwe ya wilaya ya Mbozi  mkoani Songwe zinaishia katika mifuko ya...

Habari za Siasa

Dk. Biteko aitaka TRA kukusanya kodi bila kuwapa misukosuko wafanyabiashara

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka wafanyakazi wa wizara ya fedha na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha...

error: Content is protected !!