Makala & Uchambuzi

Wanawake tushiriki kampeni – Mongela

MTANDAO wa Wanawake, Katiba na Uchaguzi (T-WCP/Ulingo), umehimiza wanawake nchini kushiriki kikamilifu mikutano ya kampeni ili kusikiliza sera za wagombea zinazohusu masuala ya wanawake na kuzichambua. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). ...

Read More »

Hassanali: Nitavunja ngome ya Zungu

MGOMBEA ubunge katika Jimbo la Ilala (Chadema), Musilim Hassanali amesema, atavunja ngome ya mgombea wa CCM, Mussa Zungu kwenye Uchaguzi Mkuu ujao. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Anafafanua, maeneo yote ...

Read More »

Wasaka ulwa ndani ya visa Z’bar

ORODHA ya wanasiasa wanaotamani urais wa Zanzibar inaweza kuwa ndefu kuliko ilivyowahi kuwa katika historia ya uchaguzi mkuu chini ya mfumo wa vyama vingi Zanzibar. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). ...

Read More »

NCCR chatangaza majimbo yake

CHAMA cha NCCR – Mageuzi kimetangaza majimbo 19 ambayo kitasimamisha wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Majimbo hayo ni kati ya majimbo 265 ya uchaguzi. Anaandika Pendo Omary … (endelea). ...

Read More »

‘Wilaya fuateni muongozo kuhusu Udiwani’

VIONGOZI wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wa ngazi ya wilaya wamehimizwa kutekeleza maamuzi yaliyofikiwa na viongozi wao wakuu kuhusu utaratibu wa kusimamisha wagombea udiwani ili kuepusha ...

Read More »

Maalim Seif kuanza safari Ikulu

MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa katika siasa Tanzania, ataanza safari ya kutwaa madaraka ya dola Jumapili atakapochukua fomu ya uteuzi ya kugombea urais wa Zanzibar. Anaandika Jabir ...

Read More »

Mahakama Kuu: Lowassa msafi

MGOMBEA Urais wa Tanzania, Edward Lowassa anayewakilisha UKAWA – Umoja wa Katiba ya Wananchi – kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo amewasilisha Hati ya Kiapo mbele ya Mahakama ...

Read More »

Mkuta: Tufanye siasa za kistaarabu

DANIEL Mtuka, mgombea ubunge katika jimbo la Manyoni Mashariki (CCM), amewataka wagombea uongozi katika uchaguzi mkuu ujao, kufanya siasa za kistaarabu. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Anasema, “…hakuna sababu ...

Read More »

Serikali yamzuia Lowassa Taifa

SERIKALI imezuia matumizi ya Uwanja wa Taifa (Uhuru) wa Temeke, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya shughuli za kisiasa. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea) Mkurugenzi wa Idara ya Habari ...

Read More »

Chadema watangaza majina ya wagombea ubunge

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa orodha ya majina 138 ya wanachama walioteuliwa na Kamati Kuu ya chama hicho kugombea ubunge wa majimbo ya uchaguzi. Anaandika Pendo Omary … ...

Read More »

CCM yatangaza kamati ya ushindi uchaguzi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kimetangaza kamati yake ya kampeni itakayofanya kazi ya kukitafutia ushindi chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Kamati hiyo yenye majina 32 ...

Read More »

Majimbo matatu pima yetu – NLD

CHAMA cha National League for Democracy (NLD) kilichomo katika ushirikiano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kimeridhika na mgao wa majimbo inayoyawania kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka ...

Read More »

UKAWA watua mzigo, wagawa majimbo 253

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), vimetangaza mgawanyo wa majimbo 253 kati ya majimbo 265 ya uchaguzi Tanzania Bara huku majimbo 12 yakibaki kwenye majadiliano. Anaandika Pendo Omary … ...

Read More »

Lowassa: Nitakuwa mfano kwa Kikwete

MGOMBEA urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amesema, akiingia Ikulu atakuwa mfano kwa marais waliomtangulia. Anaandika Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Miongoni mwa marais watakaokuwa kwenye ...

Read More »

Lowassa aahidi kufufua viwanda nchini

MGOMBEA uraisi kwa tiketi ya UKAWA, Edward Lowassa ameahidi kufufua viwanda hususan kiwanda cha General Tyre kilichopo mtaa Njiro jijini Arusha ikiwa ni njia mojawapo ya kukuza ajira na kuinua ...

Read More »

Kubenea ‘kumvua nguo’ Masaburi

MWANDISHI wa habari mahiri nchini, Saed Kubenea, ameteuliwa na Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuwa mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo, jijini Dar es Salaam. ...

Read More »

Mafuriko nchi nzima. Kimbau, Masha wahama CCM

KAMBI kuu ya upinzani katika siasa za Tanzania, imezidi kuimarika. Matukio mawili, moja la jana, jingine leo hii, yametokea na kuongeza nguvu ya kampeni ya kuitoa CCM madarakani chini ya ...

Read More »

Mazrui kampeni meneja wa Maalim Seif Zanzibar

MAALIM Seif Shariff Hamad amemteua Nassor Ahmed Mazrui, msaidizi wake mkuu katika shughuli za siasa ndani ya Chama cha Wananachi (CUF), kuwa kiongozi wa timu ya kampeni ya kutafuta urais ...

Read More »

Wagombea wa Ubunge CCM hadharani

HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC), imepitisha majina ya wagombea wa Ubunge katika majimbo pamoja na viti maalumu, huku baadhi ya wabunge wakongwe wakitupwa nje na majina mapya yakichomoza kupeperusha ...

Read More »

Wagombea ubunge, uwakilishi CUF hawa

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimetangaza majina ya wanachama wake watakaogombea viti katika Bunge na Baraza la Wawakilishi na kuridhia maamuzi yaliyofanywa majimboni na wananchi. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Kwa ...

Read More »

Vijana watakiwa kutobaki nyuma

VIJANA wametakiwa kushiriki kikamilifu katika vyombo mbalimbali vya utoaji wa maamuzi na uchaguzi wa viongozi katika uchaguzi mkuu 2015. Anaandika Faki Sosi, DSJ … (endelea). Hayo yamesemwa wakati wa maadhimisho ...

Read More »

BAVICHA: Polisi wanadaiwa vitambulisho vya kura

MWENYEKITI wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA), Patrobas Katambi amesema wamegundua mipango ya Chama cha Mapinduzi kutaka kupora vitambulisho vya kupigia kura askari polisi kwa maslahi yao. Anaandika Sarafina Lidwino ...

Read More »

Waandishi wapigwa msasa kuelekea Uchaguzi

WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa kuzingatia maadili ya uandishi wa habari za uchaguzi wa kidemokrasia ili kulinda amani na utulivu. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … ...

Read More »

Lowassa avuta makundi ya vijana

MAKUNDI ya vijana yameonekana kumiminika mithili ya kumbikumbi warukapo wakati wa masika wakimsindikiza mgombea urais Edward Lowassa anayewakilisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Anaandika Hamisi Mguta na Faki Sosi ...

Read More »

Lowassa abeba fomu za urais NEC

EDWARD Lowassa tayari amechukua fomu za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) za kugombea urais katika kura itakayopigwa Oktoba 25 mwaka huu, siku ya uchaguzi mkuu nchini. Anaandika Jabir Idrissa ...

Read More »

Lowassa kusaka wadhamini

MTEULE wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa atakutana na maelfu ya wanachama wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) katika mikoa mbalimbali wakati ...

Read More »

UKAWA kufunga jiji Agosti 10

AGOSTI 10 mwaka huu, Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umekusudia kufanya msafara mkubwa wa kumsindikiza Edward Lowassa kuchukua fomu ya kugombea urais katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi (NEC), ...

Read More »

Kafulila ajigamba mafanikio jimboni

WAKATI wabunge 51 wakiangushwa katika mchakato wa kura ya maoni, ambao unatumika kumpata mgombea atakaye kiwakilisha chama katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, David Kafulila – Mbunge wa Kigoma ...

Read More »

Sophia Simba awaponda wabunge CCM

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM, (UWT), Sophia Simba, amekiri wazi kwamba wabunge vijana kutoka vyama vya upinzani wanaweza kujenga hoja wawapo bungeni tofauti na wale wa Chama tawala ...

Read More »

Watanzania wachagueni viongozi wazalendo

ASKOFU Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Mungu, Lazaro Mayala, amewataka watanzania kuhakikisha wanawachagua viongozi ambao wanauzalendo wa kuwaondoa watanzania katika dimbwi la umasikini. Anandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Mbali ...

Read More »

Meya Mabula Mwanza apingwa

WAGOMBEA 10 kati ya 20 walioshindwa kwenye kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Jimbo la Nyamagana Jijini Mwanza, wameandika waraka mzito wa kupinga matokeo, yaliyompa ushindi ...

Read More »

Hoseah kuwashughulika wagombea watoa rushwa

MKURUGENZI wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah amejitapa mgombea yeyote atakaye toa rushwa kwa wapiga kura ili apigiwe kura atawashughulia. Anaandika Jimmy Mfuru … (endelea). ...

Read More »

Maalim Seif: CCM dubwasha lililoota mizizi

MAKAMU wa Rais Zanzibar Maalim Seif amewataka wananchi wapenda mabadiliko waungane pamoja katika kufanya kazi ya kukingoa Chama Cha Mapinduzi madarakani na kukifananisha dubwasha lililoota mizizi. Anaandika Sarafina Lidwino … ...

Read More »

Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

EDWARD Lowassa ambaye ni mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema chama hicho kwa ushirikiano na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) watashika dola Oktoba ...

Read More »

Magufuli achukua fomu, Kikwete arusha kijembe

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Pombe Magufuli ambaye aliambatana na mgombea mwenza, Samia Suluhu leo amechukua fomu ya kuwania nafasi hiyo katika ofisi za Tume ...

Read More »

99.3% zawavusha Lowassa, Duni Urais 2015

WANACHAMA wapya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa na Juma Duni Haji wamepitishwa katika Mkutano Mkuu wa chama hicho kugombea ngazi ya urais na umakamu wa rais ...

Read More »

Matokeo kura za maoni Dodoma hadharani

MATOKEO ya uchaguzi katika majimbo ya mkoa wa Dodoma yametangazwa rasmi na kuwataja washindi katika majimbo hayo. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Akitangaza matokeo hayo Katibu wa CCM wilaya ...

Read More »

Kibamba: UKAWA wanaimudu CCM

MTAFITI na mchambuzi wa masuala ya demokrasia Kanda ya Afrika Mashariki, Deus Kibamba amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), ndivyo vinafaa zaidi ...

Read More »

Spika Ndugai kuwekewa pingamizi

WAGOMBEA ubunge jimbo la Kongwa kupitia (CCM), kwa ujumla wao wameandika barua ya pingamizi kwa Mkurugenzi wa uchaguzi mkoa Dodoma kwa lengo la kupinga matokeo iwapo atatangazwa kuwa mshindi katika ...

Read More »

CCM, Upinzani watakiwa kujiandaa kisaikolojia

UMOJA wa Wanazuoni wa kiislam Tanzania watoa tamko la kuomba vyama vya siasa kukujiandaa kwa kupokea matokea ya uchaguzi mkuu. Anaandika Hamisi Mguta, DSJ …  (endelea). Tamko hilo lilitolewa na taasisi ...

Read More »

Bin Seif Khatibu atupwa Uzini

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mohamed Seif Khatib

MWANASIASA mkongwe nchini, Muhammed Seif Khatibu ameangushwa katika kura za maoni za kuwania uteuzi wa kugombea ubunge, jimbo la Uzini, Mkoa wa Kusini Unguja. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Wakati ...

Read More »

Makongoro Mahanga amfuata Lowassa

MWANASIASA aliyepata lawama za kulazimisha ushindi katika uchaguzi mkuu wa 2010 jimboni Segerea akigombea ubunge, Dk. Makongoro Mahanga, amejiondoa rasmi Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hapo hapo Mahanga alitangaza nia ya ...

Read More »

Kibamba ahofia TAKUKURU

MTAFITI na mchambuzi wa masuala ya demokrasia kanda ya Afrika Mashariki, Deus Kibamba ametilia shaka umakini wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufuatia ukamataji makada wa Chama ...

Read More »

Kubenea aibuka kidedea kura za maoni Ubungo

MTIA nia wa Ubunge Jimbo la ubungo kupitia tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Saed Kubenea ameibuka kidedea katika kura za maoni baada ya kuwagaragaza vibaya wapinzani wake. Anaandika ...

Read More »

Lowassa arejesha fomu, wanachama 1.6 milioni wamdhamini

HATIMAYE Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa leo amerejesha fomu ya kuomba uteuzi kuomba urais kupitia tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Aidha, katika ...

Read More »

NEC yaongeza uandikishaji BVR Dar

TUME ya Taifa ya uchaguzi (NEC) leo imeongeza siku nne za kuendelea na zoezi la uandikishaji katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kupitia mfumo wa Kielektroniki (BVR), baada ya ...

Read More »

Si mafuriko tena, ni maporomoko

SIKU mbili baada ya kukihama chama alichokulia, Chama Cha Mapinduzi (CCM), mwanasiasa machachari nchini, Edward Lowassa, hatimaye amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ...

Read More »

Lowassa aelekea Ikulu

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akikabidhiwa fomu ya kuwania Urais na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe

MWANACHAMA mpya wa Chadema, Edward Lowassa, ameanza tena safari yake ya kuelekea Ikulu. Leo (Alhamisi) amechukua fomu ya kuwania urais, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaandika Hamis Mguta, ...

Read More »

Spika Ndugai amshushia kichapo mgombea mwenzake

NAIBU Spika na Mbunge wa Jimbo la Kongwa Job Ndugai amemshushia kipigo mgombea mwenzake Dk.Joseph Chilongani na kusababishwa kuzirai na kukimbizwa katika hospitali ya Wilaya ya Kongwa. Anaandika Dany Tibason, ...

Read More »

Lusinde, mwenzake watishiwa kuondolewa CCM

KATIBU wa CCM mkoa wa Dodoma, Arbelt Mgumba ametishia kufuta majina ya wagombea wa ubunge katika kura za maoni jimbo la Mtera ambao ni Samuel Malecella na Livingstone Lusinde kupitia ...

Read More »
error: Content is protected !!