Makala & Uchambuzi

CCM yajianika itashinda 69%

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) chenye historia ya woga kuruhusu wagombea wake kushiriki majadiliano ya wazi, kimejitokeza kuwa tayari mgombea wake wa urais wa jamhuri, Dk. John Magufuli, ashiriki. Anaandika Jabir ...

Read More »

Ukata wakwamisha kampeni Dodoma

WAKATI kampeni zikiwa zinaendelea kwa kasi katika jimbo la Dodoma Mjini, lakini kwa vyama vingine havijaanza kampeni hadi sasa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa fedha kwa vyama hivyo. ...

Read More »

NEC yafungua milango kwa wasimamizi wa nje

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema waangalizi wa uchaguzi mkuu utakaofanyika 25 Oktoba, mwaka huu wataruhusiwa kushiriki katika uangalizi wa hatua zote za upigaji kura, kuhesabu na kutangaza matokeo ...

Read More »

Sumaye: Mwisho wa uhai wa CCM, Oktoba 25

ALIYEKUWA Waziri Mkuu wa awamu ya tatu kwa miaka kumi mfululizo, Frederick Sumaye aliyejiunga Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), amesema mwaka huu ni mwaka wa kuizika serikali ya CCM ...

Read More »

Wenje: CCM ni wapinzani wanatapatapa

MGOMBEA Ubunge jimbo la Nyamagana, Ezekia Wenje (Chadema), amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) kimebaki kinatapatapa kama mgonjwa anayetaka kukata roho, baada ya kukabiliwa na upinzani mkali kutoka Umoja wa Katiba ...

Read More »

Bashe kufuatilia mahakama ya mafisadi

MGOMBEA ubunge jimbo la Nzega mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hussein Bashe amesema akiingia bungeni atafuatilia kwa karibu uanzishwaji wa mahakama maalum kwa ajili ya kuwashughulikia “mafisadi ...

Read More »

Kubenea kurejesha UDA kwa wananchi

MGOMBEA ubunge katika Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam Said Kubenea, amesema Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) lililobinafsishwa kwa kuuzwa hisa zake kifisadi atalirejesha mikononi mwa wananchi. Anaandika ...

Read More »

Sumaye: Siogopi matusi, Kubenea safi

SI vitisho na matusi, wala madai ya kuwa yeye Frederick Sumaye alihama CCM na kuhamia UKAWA kwa kutafuta cheo, vitakavyomtoa nje ya mstari wa kumuunga mkono Edward Lowassa kuleta mabadiliko ...

Read More »

Magufuli azidi kuinanga CCM

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli anaendelea kukosoa Serikali ya CCM inayomaliza muda wake kwa kuiacha nchi katika dimbwi la umasikini. Anaandika Faki Sosi ...

Read More »

Kampeni ya Kubenea J’pili

MGOMBEA Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Saed Kubenea atafungua rasmi pazia la kampeni zake katika kuwania nafasi hiyo Jumapili ya tarehe 13 Septemba mwaka ...

Read More »

Polisi wamvamia Bulaya hotelini

ASKARI Polisi zaidi ya 10 waliokuwa na silaha za moto na mabomu ya machozi, hivi karibuni walivamia hoteli aliyofikia mgombea ubunge wa jimbo la Bunda Mjini (Chadema) na kuanza kumpekua ...

Read More »

Mansour Himid kidedea

RUFAA aliyokatiwa Mansour Yussuf Himid, katibu wa mikakati ya ushindi wa Maalim Seif Shariff Hamad, kulenga kumzuia kugombea uwakilishi jimbo la Kiembesamaki, imetupwa. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Uamuzi wa ...

Read More »

Duni: Chagueni Ukawa msile mavi Dar

MGOMBEA Mwenza wa urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Juma Duni Haji, amesema iwapo wananchi watamchagua Edward Lowassa watajipa ...

Read More »

Maalim Seif amuinua Lowassa Z’bar

KAMPENI ya Maalim Seif Shariff Hamad ya kushika madaraka ya Zanzibar imeanza kwa nguvu kwa kupata ugeni mzito wa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano, Edward Lowassa na mgombea mwenza ...

Read More »

Katani mgombea safi UKAWA

MGOMBEA ubunge jimbo la Tandahimba, mkoani Mtwara anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Katani Ahmad Katani ameidhinishwa kuendelea kuwa mgombea. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Tume ya Taifa ya ...

Read More »

Mbunge wa Chadema aahidi hospitali Arumeru

MGOMBEA Ubunge jimbo la Arumeru Magharibi kwa tiketi ya Chadema, Gibson Meiseyeki amesema kuwa atahakikisha analibadili jimbo hilo kwa kuweka miundombinu ya barabara, hospitali kubwa ya kisasa na maji katika ...

Read More »

Walimu watangaza kuinyima kura CCM

CHAMA cha Walimu Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, kimesema kitendo cha serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwapiga `chenga` kila kukicha, watahakikisha wanawashinikiza walimu na wanafunzi wa sekondari, kuacha ...

Read More »

Lowassa: Sina muda wa kujibu matusi ya CCM

MGOMBEA urais wa Tanzania anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa amesema hana muda wa kujibu matusi na kejeli zinazotolewa na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi ...

Read More »

Wananchi Uyovu walia huduma mbovu ya Afya, Elimu

WAKAZI wa Uyovu wilaya ya Bukombe mkoa wa Geita wamelalamikia huduma mbovu za afya hususani akina mama wajawazito,watoto chini ya miaka mitano na wazee. Anaandika Dany Tibason, Bukombe … (endelea). ...

Read More »

AZAKI wazindua Ilani ya Uchaguzi

ASASI za Kiraia (AZAKI) za nchini Tanzania zimebuni Ilani ya Uchaguzi na kuizundua rasmi mbele ya hadhara, katika hafla iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na viongozi wa ...

Read More »

Mgombea: Msimchague Ngereja hajatekeleza ahadi

MGOMBEA Ubunge jimbo la Sengerema mjini, kupitia Chama cha United Demokratic Party (UDP), Franscico Shejamabu, amewaomba Wananchi wa jimbo hilo kuacha kukichagua Chama cha Mapinduzi (CCM) na mgombea wake, William ...

Read More »

Lembeli aanika yaliyofichwa Operesheni Tokomeza

MGOMBEA ubunge wa jimbo la Kahama, James Lembeli kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameishambulia serikali ya CCM na kueleza kwamba serikali hiyo haiwezi kuwapatia wananchi maendeleo ...

Read More »

Hassanali aanza safari ya kumng’oa Zungu Ilala

MGOMBEA Ubunge katika Jimbo la Ilala kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Muslim Hassanali amezindua rasmi kampeni zake katika jimbo hilo la mkoani Dar es Salaam. Anaandika ...

Read More »

Majogoo wa siasa Z’bar mbioni leo

MAJOGOO mawili ya kisiasa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad na Dk. Ali Mohamed Shein wanapasha moto misuli kujiandaa na safari ngumu ya kampeni ya kugombea urais inayotarajiwa kuanza baada ya ...

Read More »

Mbatia amchambua Dk. Slaa

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umesema hautajishughulisha na tuhuma zisizo na kichwa wala miguu kwa kipindi hiki ambacho Watanzania wanataka kusikia kauli za matumaini badala ya zinazopasua taifa. Anaandika ...

Read More »

Dk. Slaa abwaga manyanga CHADEMA

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk Willibrod Slaa ametangaza rasmi kuachana na siasa. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Amesema hatua hiyo inatokana na hatua ya ...

Read More »

UKAWA waondoa utata majimbo ya ubunge, matatu bado

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimetangaza majina ya wagombea ubunge katika majimbo 262 huku majimbo matatu ya Mtwara Mjini, Serengeti na Mwanga yakisubiri muafaka. Anaandika Pendo Omary ...

Read More »

Nitakomesha unyanyasaji raia Karagwe – Rwazo

MGOMBEA ubunge katika jimbo la Karagwe kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chini ya mwamvuli wa Ukawa, Princepius Rwazo ameamua kuvalia njuga tatizo la unyanyasaji wa sungusungu, ...

Read More »

Kigaila kuivunja CDA, Dk Lwaitama ajiunga Chadema

MGOMBEA ubunge wa jimbo la Dodoma Mjini, kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benson Kigaila amewahakikishia wananchi wa Dodoma kuwa iwapo watamchagua kuwa mbunge wakazi hao watakuwa na uhuru ...

Read More »

Hotuba ya Mgombea Edward Lowassa ya kuzindua Ilani na Kampeni ya Uchaguzi Mkuu

HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSA YA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU Jangwani, Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015 Ndugu Wana Dar ...

Read More »

Uzinduzi wa kampeni UKAWA wafana

UZINDUZI wa kampeni ya mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa leo ulishuhudiwa na umma mkubwa wa wananchi huku ukipambwa na kila aina ya ...

Read More »

Duni Haji: Tutarejesha Katiba ya Wananchi

MGOMBEA mwenza wa urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Juma Duni Haji ameahidi Watanzania kuwa serikali itakayoundwa na kundi hilo baada ya kushinda uchaguzi mkuu itasimamia kurudishwa kwa ...

Read More »

Viongozi wa dini: Wezi wa kura wasulubiwe

WATANZANIA wanaofuata zaidi dini mbili kuu za Kiislam na Kikristo, leo walishiriki kuitika dua zilizotolewa na viongozi wao wakati wa mkutano wa uzinduzi wa kampeni ya mgombea wa Umoja wa ...

Read More »

Sumaye: Lowassa anastahili urais

WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye ametangaza rasmi kuwa Edward Lowassa ni mgombea makini asiye doa, na anastahili kuchaguliwa ili aongoze taifa linalohitaji mabadiliko. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). Amesema kwamba ...

Read More »

Mshindo wa Lowassa hadharani

NGUVU ya utendaji kazi kimkakati iliyopo Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) inatarajiwa kudhihiri kesho utakaposhuhudiwa uzinduzi rasmi wa kampeni yake ya kushika hatamu za uongozi wa nchi. Anaandika Jabir ...

Read More »

Lowassa kuunguruma Jangwani kesho, Slaa hatakuwepo

MRATIBU wa Maandalizi ya Kampeni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Deogratia Munishi amesema maandalizi ya mkutano wa ufunguzi wa kampeni yamekamilika kwa asilimia 90. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). ...

Read More »

Lusinde akumbana na nguvu ya UKAWA Mwanza

MBUNGE wa Jimbo la Mtela (CCM), Livingstone Lusinde amejikuta katika wakati mgumu baada ya wananchi na wanaccm, kumtaka atelemke kutoka jukwaani kwa kile walichodai hazungumzi vitu vya msingi. Anaandika Moses ...

Read More »

‘Kura ya amani tuepushe machafuko’

KATIBU Mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA), Grace Tendega amesihi wanawake wote nchini kushiriki uchaguzi kwa amani na salama ili kuiepusha nchi kuingia katika machafuko. Anaandika Jabir Idrissa ...

Read More »

Kubenea afungua pazia Manzese

MGOMBEA ubunge, jimbo la Ubungo, jijini Dar es Salaam, Saed Kubenea, amezindua kampeni yake ya kutafuta ridhaa ya wananchi, kwa mkutano mkubwa wa hadhara kwenye viwanja vya Manzese, kwa Bakhressa. ...

Read More »

Wapiga kura wamchimbia shimo Mkapa

MUUNGANO wa wapiga kura Tanzania (TANVU), umeiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumchukulia hatua, Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, kwa kitendo alichokifanya kuvitukana vyama vya upinzani kwa kuwaita viongozi na ...

Read More »

Serikali yamzuia Lowassa Jangwani, UKAWA wakomaa

MKURUGENZI wa Manispaa ya Ilala, Claud Mpelembwa amezuia mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Urais, mgombea wa Chadema, Edward Lowassa kufanyika katika viwanja vya Jangwani kwa madai ya uwanja huo ...

Read More »

Agosti 29 Lowassa Jangwani

KAIMU Katibu Mkuu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Salim Mwalim amewatangazia wananchi kuwa, Agosti 29 mwaka huu chama hicho kitazindua kampeni. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Mwalimu amesema Lowassa ...

Read More »

Polisi wavamia msafara wa Lowassa

JESHI la Polisi Dar es Salaam leo limevamia na kuuzuia msafara wa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa kuingia sokoni Kariakoo. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). ...

Read More »

Viongozi wa dini wawaasa Watanzania

VIONGOZI wa dini mkoa wa Dodoma wamewataka watanzania kuachana na mihemko ya kisiasa na badala yake wanatakiwa kuwa makini ili kuhakikisha wananchagua kiongozi makini mwenye kujua shida za watu. Anaandika ...

Read More »

Kigaila ampinga Mavunde Dodoma

MGOMBEA Ubunge katika jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benson Kigaila amekata rufaa ya kupinga uteuzi wa mgombea ubunge jimbo hilo kwa tiketi ya CCM, ...

Read More »

Wasioona wahofia kushindwa kupiga kura

CHAMA cha Wasioona Tanzania (TLB) kimelitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuweka mazingira rafiki kwa watu hao wakati wa Uchaguzi Mkuu 25 Oktoba mwaka huu. Anaandika Faki Sosi … ...

Read More »

Kubenea aiumbua NEC, akamata kadi feki za kupigia kura

MGOMBEA  Ubunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Ubungo,  Saed Kubenea, amedai kuwa zaidi ya kadi milioni mbili za kupigia kura zinatengenezwa na Tume ya Taifa ya ...

Read More »

TEMCO: NEC imeandikisha 23,782,558

TAASISI ya Uangalizi wa Uchaguzi Tanzania (TEMCO) imesema, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeandikisha wapiga kura 23,782,558. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Hata hivyo taasisi hiyo imetoa taarifa ya ...

Read More »

Rais Kikwete, Mkapa, Makongoro washambulia UKAWA kwa zamu

RAIS Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjaman Mkapa na Mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Makongoro Nyerere wameshambulia vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi ...

Read More »

Sumaye: Natoka CCM

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ametangaza rasmi kujivua uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga kwenye vuguvugu la mabadiliko kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Anaandika Yusuph Katimba ...

Read More »
error: Content is protected !!