Makala & Uchambuzi

Vyuo vikuu hawatapiga kura – NEC

TUME ya taifa ya Uchaguzi sasa imethibitisha kuwa wanafunzi wa Vyuo vikuu hawatapiga kura katika uchaguzi mkuu ujao. Anaandika Josephat Isango … (endelea). Akizungumza katika kipindi cha kikaangoni kinachorushwa na ...

Read More »

Walemavu waitaka NEC iwajali

WATU wenye ulemavu nchini wameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuangalia uwezekani wa kuangalia changamoto zinazowakabili kulingana na mahitaji ya kila kundi ili kuwatengenezea mazingira mazuri ya kupiga kura ...

Read More »

BVR zilizokamatwa zagonganisha Chadema, NEC

TUME ya Taifa ya uchaguzi imesema itatoa ufafanuzi kuhusu kinachodaiwa kuwa ni mashine za BVR zilizokamatwa jana kwa ushirikiano wa jeshi la polisi na Maofisa wa Chadema huku chama hicho ...

Read More »

Maalim Seif ‘afufua’ matumaini Z’bar

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema, wananchi wakimchaguliwa kushika wadhifa huo atahakikisha vijana wote wanapata ajira zenye heshima zitakazowawezesha kuwa na maisha ...

Read More »

Kinana azidi kuinanga CCM, adai wanatumia `mabavu`

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema kuwa ndani ya chama hicho, wamejaa watu wanaotumia vibaya madaraka yao na wanaofuja fedha za umma kwa masrahi yao binafsi. ...

Read More »

Chifu Bilingi aimaliza kabisa Dodoma

DIWANI aliyemaliza muda wake kupitia Chadema kata ya Dodoma Makulu, Chifu Ally Bilingi amewataka wananchi wa kata hiyo kuhakikisha wanamchagua mbunge wa Chadema Jimbo la Dodoma Mjini, Benson Kigaila, Rais ...

Read More »

Mgombea udiwani Mikocheni aahidi neema

MGOMBEA udiwani Kata ya Mikocheni kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kimei Bethel (Mama Langa) ameahidi kuimarisha upatikanaji wa huduma iwapo atachaguliwa kuongoza kata hiyo. Anaandika Pendo Omary … (endelea). ...

Read More »

Lembeli, Nyerere, Wenje kubomoa ngome za CCM

KIKOSI kazi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikiongozwa na James Lembeli anayegombea Jimbo la Kahama Mjini, Vicent Nyerere wa Jimbo la Musoma Mjini na Wenje wa Nyamagana wote ...

Read More »

NEC kuvuruga uchaguzi, watoa takwimu za uongo

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unaoundwa na vyama vinne vya upinzani vimedai kubaini mchezo mchafu ambao unataka kufanywa na serikali ya CCM kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi ya ...

Read More »

Kesi za uchaguzi kuamliwa ndani ya miezi nane

IKIWA zimebaki siku chache kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, Majaji wametakiwa kuhakikisha kila shauri la pingamizi litakalofunguliwa ambalo linalohusu masuala ya uchaguzi mwaka huu liamuliwe kwa muda unaotakiwa. Anaandika ...

Read More »

Magufuli: Mimi si mwanasiasa

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema, hajui siasa na kwamba, anachojua yeye ni kusimamia kazi za serikali. Anaadika Hamisi Mguta … (endelea). “Mimi sio mwanasisa ...

Read More »

TACCEO yamshangaa Rais Kikwete

MTANDAO wa asasi za kiraia wa kuangalia chaguzi Tanzania (TACCEO) umeeleza kumshangaa Rais Jakaya Kikwete kwa kuteua watendaji wapya ikiwa zimebaki siku chache kabla ya taifa kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu. ...

Read More »

Kishoa: Nikichaguliwa Iramba itanyooka

MGOMBEA ubunge Jimbo la Iramba Magharibi kupitia Chadema, Jecsa Kishoa amesema akichaguliwa kuongoza jimbo hilo, Halmashauri ya Iramba itanyooka. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Amesema, kukomaa kwa vitendo vya rushwa ...

Read More »

Chadema wazidi kuibana NEC

NAIBU Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), John Mnyika ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kujibu hoja zinazoibuliwa kuhusiana na Uchaguzi Mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Octoba 25 na sio kupotosha kwa ...

Read More »

Mgombea CCM amdhulumu meneja wake mamilioni

MGOMBEA Ubunge jimbo la Dodoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Anthony Mavunde anadaiwa kumdhurumu aliyekuwa kampeni meneja wake, Sospeter Mzungu fedha Sh. 3.6 milioni. Anaandika Dany Tibason, ...

Read More »

Wenje, Nyerere waivuruga CCM Mwanza

MGOMBEA Ubunge wa jimbo la Nyamagana, Ezekia Wenje (Chadema), amesema Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imechangia kuiuwa elimu na imeshindwa kutafuta mbinu na mikakati ya kuikomboa isiangamie. Anaandika Moses ...

Read More »

Lowassa: Nataka kura milioni 14

MGOMBEA urais aliyeteuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa ametangaza rasmi kuwa ana shida ya kura milioni 14 ili atangazwe ...

Read More »

Lissu ambana Kikwete

MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema Rais Jakaya Kikwete anapaswa kutangaza msimamo wake iwapo yuko tayari kukabidhi serikali kwa wapinzani iwapo watashinda uchaguzi mkuu ...

Read More »

Ahadi ya elimu bure yamuinua Lowassa

AHADI ya kutoa elimu bure kuanzia ngazi ya vidudu hadi chuo kikuu anayoitoa mgombea urais anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa leo ilipokewa kwa shangwe kubwa na ...

Read More »

Lowassa ajitanua Dar

MGOMBEA urais anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa amepiga kampeni ya kuomba ridhaa ya Watanzania majimbo ya Temeke na Segerea, mkoani Dar es ...

Read More »

NEC: Hakuna goli la mkono

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema, Watanzania na wanasiasa nchini hawana sababu ya kuwa na wasiwasi kwa kuwa, hakutakuwa na goli la mkono. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). “Ni uchokozi ...

Read More »

Mnyika: Tutatangaza matokeo kabla ya Tume

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebanwa mbavu ikitakiwa kutoa hadharani Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mujibu wa uandikishaji wa wapigakura ulivyofanyika nchi nzima. Anaandika Charles William … (endelea). ...

Read More »

Makaidi akaidi UKAWA

MWENYEKITI wa National League for Democracy (NLD), Dk. Emmanuel Makaidi ameshikilia kuendelea na kampeni ya kugombea ubunge jimbo la Masasi mkoani Mtwara, licha ya wananchi kueleza wazi watamchagua Ismail Mapembe ...

Read More »

Job Ndugai amuunga mkono Lowassa

MGOMBEA Ubunge Jimbo la Kogwa kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Job Ndugai, amesema iwapo atachaguliwa kuliongoza jimbo hilo kwa awamu ya nne, atahakikisha anatatua mgogoro kati ya wakulima ...

Read More »

NEC waapa kula sahani moja na wabaya wa Lowassa

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ametoa ovyo kali na kuahidi kuwachukulia hatua za kisheria, wanasiasa na wagombea wanaofanya kampeni chafu kwa kutaja majina ya ...

Read More »

Rungwe: Umaskini wa Tanzania ni akili finyu za watawala

MGOMBEA Urais wa Chama cha Ukombozi ( Chaumma), Hashim Rungwe amesema umasikini unaowakabili unatokana na akili finyu ya watawala waliopo madarakani. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Mbali na hilo ...

Read More »

Bungo ahimiza wananchi kuchagua Ukawa

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Mbagala kupitia CUF, Kondo Bungo amehamasisha wakazi wa jimbo hilo kumchagua yeye pamoja na madiwani wa waliopitishwa na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi ...

Read More »

Albanie kurejesha viwanda Morogoro

MGOMBEA ubunge Jimbo la Morogoro Mjini Chadema, Marcossy Albanie amesema iwapo wananchi watamchagua, ndani ya miaka mitano ya uongozi wake atahakikisha anafufua viwanda ili kuchochea maendeleo mkoani humo. Anaandika Pendo ...

Read More »

Abood aonesha jeuri ya fedha

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abood Abdul-Aziz amesema, yupo tayari kumchangia fedha za kuweka mabango mgombea ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ...

Read More »

Chiragwile: Professa Muhongo ni mzigo usiobebeka

MGOMBEA ubunge Jimbo la Musoma Vijijini (Chadema), Mburaa Chiragwile amesema aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, ni mzigo usiobebeka kutokana na kulisababishia Taifa hasara ya Sh. 320 ...

Read More »

Mgombea wa Chadema kufikishwa mahakamani kesho

MGOMBEA ubunge wa jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chadema, Benson Kigaila na wenzake 10 wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kesho. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Watuhumiwa hao ambao wamewekwa lumande tangu ...

Read More »

Mgombea Chadema alia na ‘bao la mkono’

MGOMBEA ubunge wa jimbo la Bukombe kupitia Chadema, Prof. Kulikoyela Kahigi amelalamikia rafu zinazofanywa na wagombea wa CCM kuwahonga wananchi. Anaandika Dany Tibason, Bukombe … (endelea). Prof. Kahigi ameliambia Mwanahalisi ...

Read More »

Wananchi wamgomea Mgombea Urais, ahairisha mkutano

MGOMBEA Urais Kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe jana alishindwa kufanya mkutano wake wa kampeni mjini Dodoma baada ya kukosa watu wa kuwahutubia. Anaandika Dany Tibason, Dodoma ...

Read More »

Mgombea Chadema atiwa mbaroni Dodoma

JESHI la polisi mkoa wa Dodoma linamshikilia Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema, Benson Kigaila pamoja na wenzake kumi ambao ni wafuasi wa chama hicho. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … ...

Read More »

Mgombea CCM akitabiria anguko chama chake

MGOMBEA ubunge Jimbo la Tarime Mjini, Michael Kembaki (CCM), amesema chama hicho kilikuwa hakina uwezo na nguvu ya ushindi katika jimbo hilo, kabla ya kumteua Dk. John Magufuli, kuwania nafasi ...

Read More »

Wagombea Hanan’g wamgomea Msimamizi wa Uchaguzi

WAGOMBEA wa nafasi za Ubunge na Udiwani katika Wilaya ya Hanang, Manyara wamedai kutokua na imani na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Hanang, Felix Mabula ambaye ni Msimamizi mkuu wa uchaguzi ...

Read More »

Kubenea ‘avamia’ Shekilango, Manzese

MGOMBEA ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Saed Kubenea leo asubuhi ametembelea masoko ya Shekilango na Big Brother ya Kata ya Mabibo ikiwa ni sehemu ...

Read More »

Mgombea Chadema amchimba mkwara Chegeni

MGOMBEA ubunge jimbo la Busega mkoani Simiyu, Dk. David Nicas (Chadema), amewataka wagombea wenzake akiwemo Raphael Chegeni (CCM) kuacha kujipatia matumaini ya ushindi na badala yake wanapaswa kufungasha mizigo yao ...

Read More »

Twaweza: Magufuli ni zaidi ya Lowassa

UTAFITI wa Taasisi ya Twaweza umeonesha kuwa, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli anayo fursa ya kushinda Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kwa zaidi ya asilimia ...

Read More »

CCM wazidi kuweweseka, wananchi wawaonya

BAADHI ya wananchi jimbo la Dodoma Mjini wamewataka viongozi wa kampeni pamoja na mgombea ubunge wa CCM, Antony Mavunde kuweka sera zao hadharani badala ya kujadili matatizo ya mtu binafsi. ...

Read More »

Viongozi ADC watimka wajiunga UKAWA

VIONGOZI wa Chama cha Alliance for Democrat (ADC) mkoa wa Dodoma wamejiengua katika uongozi huo kwa madai chama hicho hakina nia ya dhati ya kufanya mageuzi kwa manufaa ya Umma. ...

Read More »

Lowassa karibu Kilwa J’tano

WAKAZI wa wilayani Kilwa, Mkoa wa Lindi, Jumatano watashuhudia ugeni mzito wa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, anayewakilisha Ukawa, Edward Lowassa, atakapowasili kwa ajili ya kampeni ya kuomba kura. ...

Read More »

Kubenea kuboresha huduma za afya

MGOMBEA ubunge jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Saed Kubenea ameahidi kuboresha zahanati iliyopo kwenye Kata ya Kimara, Dar es Salaam ili iwe na hadhi ya ...

Read More »

Lowassa kuiteka tena Dar kesho

MGOMBEA urais wa Chadema na anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa anatarajia kuliteka tena Jiji la Dar es Salaam kesho Septemba 20 katika ...

Read More »

Duni: Katiba ya ‘Warioba’ ndio itaondoa ufisadi

MGOMBEA Mwenza wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Juma Duni Haji, amesema umoja huo umejiamini utatekeleza ahadi wanazozitoa kwa kuwa ...

Read More »

Mgombea Udiwani CUF aibeza serikali

MGOMBEA Udiwani kata ya Ipagala, Manispaa ya Dodoma, Damas Thadei kupitia Chama cha Wananchi (CUF) amesema umasikini unaowakumba watanzania hususani wakazi wa Ipagala unatokana na mfumo mbovu wa serikali ya ...

Read More »

Mabalozi CCM mbaroni wakitekeleza ‘bao la mkono’

POLISI mkoani Mwanza linawashikilia watu watatu kwa makosa mawili tofauti ikiwamo ya kukutwa wakiandikisha namba za kadi za wapiga kura na kuchana mabango ya mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa. ...

Read More »

Nichagueni nilete ajira Ubungo – Kubenea

MGOMBEA ubunge jimbo la Ubungo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Saed Kubenea ameahidi ajira za vijana wa jimbo iwapo atachaguliwa katika uchaguzi wa Oktoba 25. Anaandika Pendo Omary ...

Read More »

Bahi: CCM imetufikisha hapa tulipo

WANANCHI wa Wilaya ya Bahi, Dodoma wamesema serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imekuwa chanzo kikubwa cha kuwasababishia umasikini wananchi hao. Anaandika Dany Tibason, Bahi … (endelea). Mbali na hilo ...

Read More »

Msafara wa Mgombea wa Chadema wapigwa mabomu

MJI wa Musoma mkoani Mara, jana uligeuka uwanja wa kivita baada ya Askari Polisi waliokuwa na silaha za moto kuanza kupiga mabomu ya machozi hewani katika msafara wa mgombea ubunge ...

Read More »
error: Content is protected !!