Makala & Uchambuzi

Kesi ya wapiga kura kukaa mita 200 yaahirishwa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imehairisha kesi namba 37 ya mwaka huu, ya mlalamikaji kuiomba mahakama itoe tafsiri ya kifungu cha 104 kidogo cha (1) cha Sheria ya Uchaguzi kama kinazuia ...

Read More »

Watangaza matokeo sivyo kukiona – TCRA

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevionya vyombo vya habari vitakavyotangaza matokeo ya uchaguzi mkuu kinyume cha sheria na taratibu kwamba haitasita kuviadhibu. Anaandika Charles William … (endelea). Mbele ya wanahabari leo ...

Read More »

Hatuna kampeni kesho – UKAWA

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vitasitisha kampeni zake ngazi zote kesho tarehe 20 Oktoba kutoa fursa kwa wananchi kuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti mwenza, Dk. Emmanuel Makaidi. ...

Read More »

Mfumo wa kuhesabu kura wahojiwa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetaka kukaguzwa mfumo wa kuhesabu na kujumlisha kura utakaotumiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili kuingia katika uchaguzi kwa maridhiano. Anaandika Hamisi ...

Read More »

Serikali yatakiwa kudhibiti viashiria vya uvunjifu wa amani

KUELEKEA Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, serikali imetakiwa kukabiliana na viashiria vya uvunjifu wa amani na kuvipatia ufumbuzi ili kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki. Anaandika Ferdinand Shayo, Arusha … ...

Read More »

Chadema yaweka wazi msimamo kuhusu midahalo

CHAMA cha Demokrasi na Maelendeleo (Chadema), kimetoa ufafanuzi wa suala la kutohudhuria kwa mgombea urais kupitia mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kwa tiketi ya chama hicho, Edward ...

Read More »

Magufuli akumbana na nguvu ya Ukawa Mwanza

MGOMBEA wa Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, jana alikumbana na nguvu ya Ukawa, wakati akisalimiana na wakazi wa kata ya Mabatini jijini hapa. Anaandika Moses Mseti, ...

Read More »

Amri ya mita 200 yalalamikiwa

WANANCHI walalamikia kauli ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ya kuwataka wananchi kuondoka umbali wa mita 200 sawa na viwanja viwili vya mpira kuwa ni kukandamiza demokrasia. Anaandika Faki ...

Read More »

Kondo Bungo: Lindeni kura zenu

MGOMBEA ubunge wa Mbagala kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Kondo Bungo ametaka wapigakura wa jimbo hilo wasibabaishwe na amri haramu za mawakala wa CCM, badala yake wabakie karibu na vituo ...

Read More »

Walioitosa CCM wapambisha kampeni

MAKADA wawili waliokihama Chama Cha Mapinduzi (CCM), mmoja akiwa waziri wa zamani na mwingine mwenyekiti wa mkoa, wamefanya kampeni ya nguvu ya kumtakia kura nyingi Edward Lowassa kwenye mkutano mkubwa ...

Read More »

NCCR: NEC fuateni sheria muondoe utata

“TAMKO lolote linalotoka kwa mtu yeyote lisilofuata Katiba na Sheria kuhusu mwananchi akishapiga kura Oktoba 25, halikubaliki,” anasema Faustine Sungura, Mkuu wa Idara ya Kampeni na Uchaguzi wa Chama cha ...

Read More »

CUF wapigania ushindi wa Chadema

MGOMBEA udiwani Kata ya Makurumla, Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CUF, Omary Thabit amesema mwaka huu wananchi wa jimbo hilo wanabahati kubwa kupata wagombea mashuhuri akiwemo mgombea Ubunge wa ...

Read More »

Dakika 150 kupima wagombea Urais

JUMLA ya dakika 150 sawa na saa mbili na nusu zitatumika kwenye mdahalo wa wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Oktoba 18 mwaka huu. Anaandika Charles William … ...

Read More »

Vijana waaswa kuchagua kwa amani

VIJANA wametoa angalizo kwa wanaoshabikia vyama vya siasa kufanya ushabiki bila ya vurugu kufuatia siku chache zilizobaki kuelekea uchaguzi mkuu Octoba 25 mkwaka huu. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Hayo ...

Read More »

Lowassa ambana Kikwete

EDWARD Lowassa, mgombea urais wa Tanzania anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), amesihi utawala uliopo chini ya Rais Jakaya Kikwete kuwa makini usije ukasababisha vurugu kwa sababu ya kutaka ...

Read More »

UKAWA: Daftari la wapigakura chafu

WAKATI Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiwa ndio kwanza imelikabidhi Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa vyama vya siasa na wadau wengine wa uchaguzi, ili kufanyiwa uhakiki, uchunguzi ...

Read More »

Dk. Emmanuel Makaidi aaga dunia

MWENYEKITI wa Chama cha National League for Democracy (NLD) ambaye pia ni mgombea ubunge Jimbo la Masasi mkoani Mtwara, Dk. Emmanuel Makaidi amefariki dunia mchana huu. Anaandika Pendo Omary … (endelea). ...

Read More »

Rais atulie, hajui sheria – Mallya

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unashikilia msimamo wa kuelekeza wananchi kubaki vituoni wakishapiga kura na kumtafadhalisha Rais Jakaya Kikwete asiwatishe kwa sababu hilo ni suala la sheria ambayo “si ...

Read More »

Mgombea Chadema kujenga sekondari ya mfano

MGOMBEA ubunge wa jimbo la Arumeru Magharibi kupitia Chadema, Gibson Meiseyeki amesema kuwa endapo atachaguliwa kuongoza jimbo hilo atahakikisha anajenga shule ya sekondari ya mfano katika kata ya Kiutu, Arumeru. ...

Read More »

Rais Kikwete atisha wananchi

RAIS Jakaya Kikwete amewatisha wananchi wanaohamasishwa na viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kubakia nje ya vituo ili kulinda kura zao dhidi ya kuibwa na Chama ...

Read More »

JK atangaza vita watakaosubiri matokeo vituoni

RAIS Jakaya Kikwete ametangaza vita na wapigakura watakaobakia maeneo ya vituo vya uchaguzi baada ya kupigakura zao, akisema watakuwa wanavunja sheria za nchi. Anaandika Charles William … (endelea). Akiwa ni Amiri Jeshi ...

Read More »

Mgombea Chadema hukumu tatu

MGOMBEA ubunge jimbo la Kilombero, mkoani Morogoro, Peter Lijualikali ambaye ana hukumu mbili anazozitumikia kwa sasa, kesho anatarajiwa kusikiliza hukumu ya tatu katika kesi inayomkabili kwenye Mahakama ya Wilaya Kilombero. ...

Read More »

Mtandao hatari wa CCM wanaswa

MCHEZO na mbinu chafu zinazotajwa kuratibiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) za kuwagawia vijana bia ‘fake’ ili wasiamke siku ya kupigakura Oktoba 25, zimebainika. Anaandika Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Taarifa ...

Read More »

Mgombea CUF arusha kombora CCM

MGOMBEA udiwani katika Kata ya Sandali iliyopo Temeke, Dar es Salaam kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Khalidi Yahaya amekituhumu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutumia rasilimali za nchi kwa manufaa ya ...

Read More »

Askofu atoa elimu kwa wapiga kura

MAKAMU wa Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, Chesco Msaga, amewataka watanzania kushiriki uchaguzi mkuu na kuwachagua viongozi wanaowataka kwa utulivu na amani kwa kufuata misingi aliyoiacha Baba wa Taifa ...

Read More »

NEC, UNDP zazindua mawasiliano ya mpiga kura

IKIWA zimebaki siku 10 kufikia Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Kimataifa (UNDP) leo wamezindua ...

Read More »

Ulimwengu awapa somo waandishi

MWANDISHI mkongwe nchini, Jenerali Ulimwengu amewataka wamiliki wa vyombo vya habari na waandishi kuipinga rushwa kwa vitendo hasa wakati huu wa uchaguzi mkuu. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Amesema, waandishi ...

Read More »

CCM ipo taabani Kilwa – Bwege

MTETEZI wa kiti cha ubunge, jimbo la Kilwa Kusini, Suleiman Bungara “Bwege” anasema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina hali mbaya katika jimbo hilo na hakuna namna yoyote ya kukiokoa na ...

Read More »

Magufuli: Lipeni urais Tingatinga

MGOMBEA wa Urais wa CCM Dk. John Magufuli amejinadi kuwa anaomba Urais kwa kuwa yeye ni ‘tingatinga’ linaloweza kuleta maendeleo kwa watanzania kwa kasi inayohitajika. Anaandika Hamisi Mguta … (endelea). Akizungumza katika ...

Read More »

Nyalandu atinga kwenye mdahalo kwa chopa, azomewa

WAZIRI wa Malialisili na Utalii na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amezomewa na wananchi kwenye mdahalo uliofanyika Ukumbi wa parokia ya Ilongero 11 Oktoba mwaka huu. ...

Read More »

CDA yazidi kumtafuna mbunge wa CCM

MZIMU wa mgombea Ubunge jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde (CCM) kuwa ni wakili wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA), umezidi kumwandana licha ya kujitetetea mara kwa mara kuwa ...

Read More »

Walimu wamkaba koo Lusinde

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) tawi la shule ya sekondari Mvumi Makulu, Dodoma, kimetoa siku tatu kwa mgombea ubunge wa jimbo la Mtera Livingston Lusinde (CCM), kuomba radhi kutokana na ...

Read More »

Vyuo vikuu hawatapiga kura – NEC

TUME ya taifa ya Uchaguzi sasa imethibitisha kuwa wanafunzi wa Vyuo vikuu hawatapiga kura katika uchaguzi mkuu ujao. Anaandika Josephat Isango … (endelea). Akizungumza katika kipindi cha kikaangoni kinachorushwa na ...

Read More »

Walemavu waitaka NEC iwajali

WATU wenye ulemavu nchini wameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuangalia uwezekani wa kuangalia changamoto zinazowakabili kulingana na mahitaji ya kila kundi ili kuwatengenezea mazingira mazuri ya kupiga kura ...

Read More »

BVR zilizokamatwa zagonganisha Chadema, NEC

TUME ya Taifa ya uchaguzi imesema itatoa ufafanuzi kuhusu kinachodaiwa kuwa ni mashine za BVR zilizokamatwa jana kwa ushirikiano wa jeshi la polisi na Maofisa wa Chadema huku chama hicho ...

Read More »

Maalim Seif ‘afufua’ matumaini Z’bar

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema, wananchi wakimchaguliwa kushika wadhifa huo atahakikisha vijana wote wanapata ajira zenye heshima zitakazowawezesha kuwa na maisha ...

Read More »

Kinana azidi kuinanga CCM, adai wanatumia `mabavu`

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema kuwa ndani ya chama hicho, wamejaa watu wanaotumia vibaya madaraka yao na wanaofuja fedha za umma kwa masrahi yao binafsi. ...

Read More »

Chifu Bilingi aimaliza kabisa Dodoma

DIWANI aliyemaliza muda wake kupitia Chadema kata ya Dodoma Makulu, Chifu Ally Bilingi amewataka wananchi wa kata hiyo kuhakikisha wanamchagua mbunge wa Chadema Jimbo la Dodoma Mjini, Benson Kigaila, Rais ...

Read More »

Mgombea udiwani Mikocheni aahidi neema

MGOMBEA udiwani Kata ya Mikocheni kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kimei Bethel (Mama Langa) ameahidi kuimarisha upatikanaji wa huduma iwapo atachaguliwa kuongoza kata hiyo. Anaandika Pendo Omary … (endelea). ...

Read More »

Lembeli, Nyerere, Wenje kubomoa ngome za CCM

KIKOSI kazi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikiongozwa na James Lembeli anayegombea Jimbo la Kahama Mjini, Vicent Nyerere wa Jimbo la Musoma Mjini na Wenje wa Nyamagana wote ...

Read More »

NEC kuvuruga uchaguzi, watoa takwimu za uongo

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unaoundwa na vyama vinne vya upinzani vimedai kubaini mchezo mchafu ambao unataka kufanywa na serikali ya CCM kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi ya ...

Read More »

Kesi za uchaguzi kuamliwa ndani ya miezi nane

IKIWA zimebaki siku chache kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, Majaji wametakiwa kuhakikisha kila shauri la pingamizi litakalofunguliwa ambalo linalohusu masuala ya uchaguzi mwaka huu liamuliwe kwa muda unaotakiwa. Anaandika ...

Read More »

Magufuli: Mimi si mwanasiasa

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema, hajui siasa na kwamba, anachojua yeye ni kusimamia kazi za serikali. Anaadika Hamisi Mguta … (endelea). “Mimi sio mwanasisa ...

Read More »

TACCEO yamshangaa Rais Kikwete

MTANDAO wa asasi za kiraia wa kuangalia chaguzi Tanzania (TACCEO) umeeleza kumshangaa Rais Jakaya Kikwete kwa kuteua watendaji wapya ikiwa zimebaki siku chache kabla ya taifa kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu. ...

Read More »

Kishoa: Nikichaguliwa Iramba itanyooka

MGOMBEA ubunge Jimbo la Iramba Magharibi kupitia Chadema, Jecsa Kishoa amesema akichaguliwa kuongoza jimbo hilo, Halmashauri ya Iramba itanyooka. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Amesema, kukomaa kwa vitendo vya rushwa ...

Read More »

Chadema wazidi kuibana NEC

NAIBU Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), John Mnyika ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kujibu hoja zinazoibuliwa kuhusiana na Uchaguzi Mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Octoba 25 na sio kupotosha kwa ...

Read More »

Mgombea CCM amdhulumu meneja wake mamilioni

MGOMBEA Ubunge jimbo la Dodoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Anthony Mavunde anadaiwa kumdhurumu aliyekuwa kampeni meneja wake, Sospeter Mzungu fedha Sh. 3.6 milioni. Anaandika Dany Tibason, ...

Read More »

Wenje, Nyerere waivuruga CCM Mwanza

MGOMBEA Ubunge wa jimbo la Nyamagana, Ezekia Wenje (Chadema), amesema Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imechangia kuiuwa elimu na imeshindwa kutafuta mbinu na mikakati ya kuikomboa isiangamie. Anaandika Moses ...

Read More »

Lowassa: Nataka kura milioni 14

MGOMBEA urais aliyeteuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa ametangaza rasmi kuwa ana shida ya kura milioni 14 ili atangazwe ...

Read More »

Lissu ambana Kikwete

MWANASHERIA Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema Rais Jakaya Kikwete anapaswa kutangaza msimamo wake iwapo yuko tayari kukabidhi serikali kwa wapinzani iwapo watashinda uchaguzi mkuu ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram