Makala & Uchambuzi

Ukawa watoa onyo kali Uchaguzi wa Meya Kinondoni

MBUNGE wa jimbo la Ubungo, Saed Kubenea kwa niaba ya  vyama vinavyounda  Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ametoa  onyo kwa wabunge na madiwani wa  Zanzibar walio kuja kuongeza idadi ...

Read More »

Idd Azzan amfikisha Mtulia Mahakamani

USHINDI wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia mbunge wake, Maulidi Mtulia unapingwa. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Idd Azzan ambaye alikuwa mgombea ubunge ...

Read More »

Ukawa wajazana kortini kanda ya ziwa

KESI za kupinga matokeo ya ubunge zimezidi kumiminika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mwanza, ikiwamo za kupinga matokeo yaliyompa ushindi Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya (Chadema). Anaandika ...

Read More »

Ndalichako ajitosa Umeya jiji la Dar

DIWANI wa Kata ya Chang’ombe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benjamini Lazaro Ndalichako amejitosa rasmi katika kinyan’ganyiro cha kuwania Umeya wa Jiji la Dar es Saalam. Anaandika Michael ...

Read More »

Kafulila akamilisha sharti la mahakama

ALIYEKUWA Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, jana alitekeleza agizo la Mahakama Kuu Kanda ya Tabora kwa kutoa Sh. 7,500,000 milioni ili kusikilizwa kesi yake. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). ...

Read More »

Utamwa, Fungamtama uso kwa uso na Kafulila

KESI ya matokeo ya ubunge katika Jimbo la Kigoma Kusini iliyofunguliwa na David Kafulila, inamkutanisha uso kwa uso na Jaji John Utamwa lakini pia wakili Kennedy Fungamtama. Anaandika Charles William ...

Read More »

CUF: ZEC tangazeni matokeo, haturudii uchaguzi

WABUNGE wa Chama Cha Wananchi (CUF) wameitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kuendelea na mchakato wa kumtangaza mshindi halali wa Urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu. Anaandika ...

Read More »

Mahakama yawaita walioibiwa kura

WANASIASA ambao walikuwa wakigombea nafasi za ubunge na udiwani, wenye mashaka na kushindwa kwao wanatakiwa kuwasilisha mashauri yao katika mahakama husika ndani ya siku tatu baada ya kutangazwa kwa matokeo. ...

Read More »

ASASI za kiraia zalalama Z’bar

ASASI za kiraia za Zanzibar zimetoa tamko la kutaka dhana ya utawala bora iheshimiwe katika muendelezo wa vikao vya majadiliano vinavyofanyika miongoni mwa viongozi wakubwa Zanzibar. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar ...

Read More »

Chaguzi ndogo, Madiwani viti maalumu hadharani

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza nafasi 1393 za vita maalum za madiwani kati ya nafasi 1407 za nafasi hiyo ambapo nafasi 15 hazijatangazwa kutokana na kuwa majimbo nane ...

Read More »

Subira yachosha Z’bar

MWENENDO wa mambo kuhusu mgogoro wa uchaguzi ulioibuka Zanzibar unazidi kukatisha tamaa wananchi hasa kwa kuhofia ukimya kutawala badala ya hatua za wazi za utatuzi. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar … ...

Read More »

Polisi na Mahakama Kilwa watesa wafuasi wa UKAWA

VIJANA watano wafuasi wa UKAWA wilayani Kilwa kwa wiki tatu sasa wanasota mahabusu kwa sababu ya kunyimwa dhamana kutokana na tuhuma za kufanya kosa la uporaji kwa kutumia silaha. Anaandika ...

Read More »

CCM mnahofia nini – Maalim Seif

MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanasiasa anayepigania haki ya kuongoza Zanzibar baada ya kuchaguliwa na wananchi katika uchaguzi wa Oktoba 25, amesema hakuna sababu ya viongozi wa CCM kumhofia. Anaandika Jabir ...

Read More »

Wakubwa waendeleza majadiliano Z’bar

VIONGOZI wakuu wa kisiasa Zanzibar wameendelea kukutana kwa faragha katika jitihada za mwisho za kuokoa mvurugiko wa amani kutokana na hatua ya kufuta uchaguzi mzima wa Oktoba 25. Anaandika Jabir ...

Read More »

CUF wazidi kuikomalia ZEC kuhusu uchaguzi

WAJUMBE wa Baraza la wawakilishi wa Zanziba kupitia Chama cha Wananchi (CUF), wameitaka tume ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), kutengua tamko la mwenyekiti wa tume hiyo. Anaandika Faki Sosi … ...

Read More »

Mimi ndiye rais wenu – Maalim Seif

KATIBU Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad amewaasa wananchi wa Unguja na Pemba kutambua kuwa chama hicho ndicho kilichopata ushindi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 na wasihadaike na ...

Read More »

Julius Kalanga, mfalme mpya wa Monduli

Jimbo la Monduli, Arusha lenye historia ndefu ya kisiasa kufuatia kuwahi kuongozwa na mawaziri wakuu wastaafu wawili ambao ni hayati Moringe Sokoine na Edward Lowassa sasa lipo chini ya Julius ...

Read More »

Polisi wang’ang’ania vifaa vya LHRC

JESHI la Molisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeendelea kupiga danadana kesi inayoikabili Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kilichopo Mbezi Beach. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). ...

Read More »

Mchakato wa wabunge viti maalum waiva

TUME ya taifa ya uchaguzi imesema kuwa ndani ya siku tatu kuanzia leo itaweka hadharani majina ya wabunge wa viti maalum na kila chama kitafahamu idadi ya wabunge kiliopata. Anaandika ...

Read More »

Magufuli ala kiapo kuwa Rais wa Tanzania

RAIS wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameapishwa leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Shughuli ...

Read More »

SMZ yafunga kituo cha radio Z’bar

KADHIA ya ufutwaji uchaguzi wa Zanzibar ikiwa haijapatiwa ufumbuzi, kumekuwa na hatua za ukandamizaji wa uhuru wa habari hapa Zanzibar na tayari madhara yametokea. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar … (endelea). ...

Read More »

Tume ya Nyanduga yaingilia mgogoro wa Z’bar

TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUU) inafanya utafiti wa dharura wa mgogoro wa kisiasa ulioanza upya Zanzibar kufuatia hatua isiyotarajiwa ya kufutwa uchaguzi mkuu wa tarehe 25 ...

Read More »

Rais Kikwete akutana na Maalim, ngoma mbichi

MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanasiasa anayepigania haki yake ya kushika uongozi wa Zanzibar baada ya kutamka kuwa amechaguliwa na wananchi, amekutana na Rais Jakaya Kikwete ndani ya Ikulu ya jijini ...

Read More »

TEMCO: Uchaguzi Z’bar ulikuwa huru

TAASISI inayojishughulisha na uchaguzi nchini (TEMCO) imesema, uchaguzi wa Zanzibar ulifanyika kwa uhuru na haki kinyume na taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC). Anaandika Pendo Omary … (endelea). ...

Read More »

CUF kudai majimbo sita

VIONGOZI wa Chama Wananchi (CUF), wamedhamiria kupinga matokeo ya ubunge katika majimbo sita ambayo wamedai yameporwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Anaandika Faki Sosi…(endelea). Akizungumza na waandishi wa habari leo ...

Read More »

Mazombi wahangaika kuvamia CUF

MAKUNDI ya askari wanaotajwa kama kutoka vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakichanganyika na vijana wasiokuwa na mafunzo halisi ya kiaskari wamekuwa wakihaha kutaka kuvamia ofisi kuu za Chama cha ...

Read More »

Maalim Seif akaza kamba

MAALIM Seif Shariff Hamad ambaye anapigania haki yake ya kuongoza Zanzibar baada ya kuchaguliwa na wananchi, anataka kukutana na Rais Jakaya Kikwete “haraka leo kesho.” Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar … ...

Read More »

Polisi yazuia maandamano ya kumpinga Magufuli

JESHI la Polisi mkoani Mwanza, limepiga maarufuku maandamano ya amani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi, Rais mteule wa awamu ya tano, John Magufuli. ...

Read More »

TAHLISO yashauri wapinzani kukubali matokeo

SHIRIKISHO la Vyuo vya Elimu ya Juu nchini (TAHLISO), limetaka vyama vya siasa vya upinzani kukubali matokeo na kuachana na propaganda za kuyapinga. Anaandika Hamisi Mguta …  (endelea). Hayo yameelezwa ...

Read More »

‘Iundwe Serikali ya mpito Z’bar’

BAADHI ya viongozi wa vyama vya siasi nchini wameshauri kuundwa kwa serikali ya mpito itakayoshirikisha kila chama kufuatia mgogoro wa kufutwa matokeo ya Zanzibar. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Wakizungumza na ...

Read More »

Ulingo- Uchaguzi haukuwa wa huru na haki

ULINGO – Taasisi inayofanya kazi ya kuwajengea uwezo wanawake katika siasa, imesema uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 “haukuwa wa huru na haki kwa upande wa wagombea na wapiga kura wanawake.” ...

Read More »

Ukawa wawashushia lawama wakurugenzi

WAGOMBEA ubunge katika majimbo mbalimbali katika kanda ya ziwa kupitia vyama vya upinzani wamelalamikia kitendo walichofanyiwa na wakurugenzi kwa kuwanyima ushindi makusudi. Anaandika Dany Tibason, Bukombe … (endelea). Wabunge hao ...

Read More »

Maalim Seif: Jeshi halitamaliza mgogoro Zanzibar

HUKU hali ya mambo hapa Zanzibar ikiwa haijatulia, Maalim Seif Shariff Hamad leo amesema mgogoro uliosukumwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha utatatuliwa kwa njia ...

Read More »

Kubenea awatia kiwewe CCM

BAADHI ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameonekana kuwa na wasiwasi kwa kitendo cha Mkurugenzi wa Mtendaji wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers, Saed Kubenea kupenya katika uchaguzi mkuu ...

Read More »

Diwani awashukuru wapiga kura, ailaumu NEC

ALIYEKUWA mgombea udiwani Kata ya Makurumla kwa tiketi ya CUF, Omary Thabit maalufu kwa jina la ‘Kijiko’ ametoa shukrani kwa wananchi walioshiriki kumpigia kura na kumfanya kuwa diwani wa kata ...

Read More »

Kiwia kupinga matokeo mahakamani

ALIYEKUWA mgombea ubunge Jimbo la Ilemela, Highnes Kiwia, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametangaza kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliompa ushindi, Angelina Mabula (CCM). Anaandika Moses Mseti, ...

Read More »

Mgombea ubunge Mbagala kutinga mahakamani

MGOMBEA ubunge katika Jimbo la Mbagala JIJINI Dar es Salaam, kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Kondo Bungo amepanga kwenda mahakamani kuzuia ubunge wa Issa Mangungu kutoka CCM. Anaandika Charles William ...

Read More »

Maalim Seif: Tumewashtukia

MGOMBEA wa Chama cha Wananchi (CUF) visiwani Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imepanga kughushi malalamiko ili kujipa uhalali wa kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu ...

Read More »

Anna Mghwira ampa Magufuli ilani ya ACT

ALIYEKUWA Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amekubali kushindwa katika kinyang’amyiro cha Uchaguzi Mkiuu na amemtaka Rais mteule, Dk. John Magufufuli kushughuliki uchumi wa nchi kwa maslahi kwa ...

Read More »

Magufuli ndiye rais wa awamu ya tano wa Tanzania

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza rasmi Dk. John Pombe Magufuli, kuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo wagombea wanane walikuwa kwenye kinyanyiro hicho. Anaandika Faki ...

Read More »

Ubunge Mbagala giza nene

MSISIMAZI Mkuu wa Uchaguzi katika Jimbo la Mbagala, Fortunatus Kagimbo ameshindwa kutangaza matokeo ya jimbo hilo kwa madai ya kutokuwepokwa maelewano miongoni mwa wagombea waliokuwa katika kinyanyaro hicho. Anaandika Faki ...

Read More »

Ukawa wagomea matokeo ya NEC

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kusitisha kutangaza matokeo ya urais yanayoendelea kutangazwa kwani si matokeo halisi bali yamejaa ulaghai na wizi “ni ...

Read More »

Uchaguzi Zanzibar wafutwa

MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi wa Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha ametangaza kufuta matokeo ya uchaguzi wa kisiwani humo bila kutoa sababu za kufanya hivyo. Anaandika Jabir Idrissa, Zanzibar … ...

Read More »

CCM wachukua majimbo yote Dodoma

WAKURUGENZI wa halmashauri mbalimbali katika majimbo ndani ya mkoa wa Dodoma wametangaza matokeo ya majimbo yote ambayo yameenda kwa Chama cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Majimbo ...

Read More »

Maalim Seif ajitangazia ushindi

MGOMBEA wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ameitisha mkutano wa waandishi wa habari na kutangaza matokeo ya kura ya urais visiwani ...

Read More »

NEC yaanza kutangaza matokeo ya urais

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ameanza kutangaza matokeo ya urais kwenye maeneo ambayo uchaguzi umekamilika na kura kuhesabiwa. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Akitangaza leo ...

Read More »

Magufuli: Nitarekebisha makosa ya watangulizi

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema, yapo makosa yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tatu na ya nne na kwamba, anakwenda kuyapatia ufumbuzi. Anaandika Faki ...

Read More »

Kingunge: Kumekucha

“KUMEKUCHA, mambo yanaenda mpoto mpoto, wananchi wamechoka, wanataka mabadiliko na maisha bora ambayo Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameshindwa kuyatekeleza,” ndivyo anavyosema aliyekuwa kada wa CCM, Kingunge Ngombare-Mwiru. Anaandika Sarafina Lidwino ...

Read More »

Sumaye: Ukawa tutaleta katiba ya Wananchi

WAZIRI Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, amesema serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) inatumia vibaya madaraka yake, kutokana na katiba iliyopo kuwa mbovu, hivyo Ukawa ikiingia madarakani itahakikisha inapatikana katiba ya ...

Read More »

Polisi waanza kuibeba CCM

JESHI la Polisi jijini hapa, limeanza kutumika kwa kukibeba Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya askari Polisi, kugeuka wanaccm kwa kuwasimamia wafuasi wa CCM kuchana bendera za Chadema. Anaandika Moses ...

Read More »
error: Content is protected !!