JESHI la Polisi jana tarehe 31 Julai 2019, lilitoa ripoti yake fupi ya uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Miradi ya Umoja...
By Mwandishi MaalumAugust 1, 2019TAREHE 9 Agosti 2017, msajili wa asasi za kiraia alitoa maagizo kwa asasi za kiraia nchini kufanya kuhakiki wa uwepo wao. Uhakiki ulihusu...
By Mwandishi WetuJune 27, 2019NAWASHUKURU sana wote walioguswa na mkasa ulionisibu katika saa ya kujaribiwa kwangu mnamo majira ya 8:30 mchana Jumatatu, tarehe 27 Mei 2019. Anaandika Lazaro...
By Mwandishi MaalumMay 30, 2019NI matarajio yangu kuwa siku historia ya vyombo vya habari katika Tanzania katika robo karne itakayopita itakapoandikwa, basiwaandishi wa historia hiyo watampa nafasi...
By Mwandishi MaalumMay 26, 2019JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri amejaribu kumchora Prof. Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika taswira...
By Bupe MwakitelekoApril 16, 2019UNAPOTAFAKARI kauli zinazotolewa na Job Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri kuhusu sakata lake na Prof. Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...
By Jabir IdrissaApril 15, 2019MAHAKAMA Kuu ya Tanzania kupitia Jaji Benhajj Masoud, imeamua kumhalalisha Lipumba (Pro. Ibrahim Lipumba) kama mwenyekiti halali wa CUF. Sisi tumeendelea kusimamia msimamo...
By Mwandishi WetuMarch 19, 2019NIMESOMA yanayomhusu Joshua Samwel Nassari, mbunge wa Arumeru Mashariki, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuhusu kuvuliwa ubunge wake. Nimeona hapa kuna...
By Mwandishi MaalumMarch 15, 2019NAWAKARIBISHA katika safu hii ya Jamvi la Babu Jongo. Babu yenu niko salama na pia namshukuru Muumba kwa kunijaalia afya na uwezo wa...
By Yusuf AboudMarch 8, 2019NI wachache kati ya wananchi wanaokuwa kwenye ukumbi wa mahakama huendelea kutarajia kusikia hukumu ya kesi wanayoifuatilia baada ya kumuona asiyekuwa jaji msikilizaji...
By Jabir IdrissaFebruary 25, 2019Na Saed Kubenea PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kuwa ndiye mwenyekiti wa Chama...
By Saed KubeneaFebruary 22, 2019KILA mwaka, siku kama ya leo – tarehe 25 Desemba – Wakristo duniani kote, huungana kusheherekea sikukuu ya Krisimasi. Anaandika Mwanadishi Maalum … (endelea)....
By Masalu ErastoDecember 25, 2018NIMELAZIMIKA kujitosa kwenye mjadala unaohusu kujiuzulu wadhifa wa ubunge kwa Abdallah Mtolea, aliyekuwa mbunge wa Chama cha Wananchi (CUF), katika jimbo la Temeke,...
By Saed KubeneaNovember 22, 2018UNAWEZA kujiuliza, kwanini wanadamu wamekuwa na tabia za ovyo zaidi ya wanayama wakali? Nini hasa walichojisahau mpaka kutojali maumivu wanayopata wengine? Anaandika Yusuph Katimba...
By Yusuph KatimbaNovember 8, 2018HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Iringa imetoa hukumu yake katika kesi iliyokuwa inamkabili kiongozi wa Programu ya Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP),...
By Mwandishi MaalumNovember 6, 2018DK. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano, anakaribia kutimiza miaka mitatu kamili madarakani. Aliapishwa tarehe 5 Novemba 2015. Anaandika Sead Kubenea...
By Saed KubeneaOctober 29, 2018UBINAFSISHAJI ni sera ya Benki ya dunia, ulioanza kutekelezwa toka awamu ya pili ya utawala wetu ikiwa ni kipindi cha mpito cha kuondokana...
By Mwandishi MaalumOctober 21, 2018HIVI ninavyojadili haja ya kuiona Zanzibar inarudia asili yake ya kuwa nchi yenye wastaarabu na iliyopiga hatua kubwa ya maendeleo ya kiuchumi, kunatokea...
By Jabir IdrissaOctober 15, 2018WAKATI wa Rais Jakaya Kikwete alipoingia madarakani mwaka 2005, alianza kwa makeke yaliyomsisimua kila Mtanzania.Anaandika Mhode Mkasimongwa … (endelea). Moja ya makeke hayo...
By Mwandishi MaalumOctober 10, 2018UKIWAKUTA walevi wanasifiana unaweza ukashangaa ni jinsi gani wamehitimu katika sanaa ya kupeana ujiko. Ni kama mashindano ya nani anaweza kutoa sifa zaidi...
By Mwandishi MaalumOctober 2, 2018NAWAKUMBUSHA tu wale mahodari wa kutuma salaam za rambirambi, na wakukataza majanga ya ajali yasigeuzwe mtaji wa kisiasa, wakumbuke na Kisiwa cha Mafia...
By Yusuf AboudSeptember 25, 2018WAPENDWA tuanze maandiko ya leo kama tulivyoanza maandiko ya mara ya mwisho. Tulikumbushana kuwa sisi wote tumekutana katika nchi hii pasipo wenyewe kuridhia!...
By Mwandishi MaalumSeptember 24, 2018WAPENDWA sisi wote tumekutana katika nchi hii pasipo wenyewe kuridhia! Anaandika Mwalim Mkuu wa Walimu…(endelea). Hakuna kati yetu aliyeomba azaliwe katika nchi hii...
By Mwandishi MaalumSeptember 17, 2018ZANZIBAR katika maisha yake, imepigwa mapigo ya aina kwa aina. Imepigwa kwenye pande zote za kimaendeleo; pembe zote – Kaskazini, Kusini, Mashariki na...
By Jabir IdrissaSeptember 13, 2018WACHINA walilia hata kufikia hatua ya kukufuru kuwa aliyeaga dunia ni mungu wao. Walikuwa wakiomboleza msiba wa muasisi wa taifa lao, Mao Tse...
By Faki SosiSeptember 5, 2018NDANI ya Baraza la Wawakilishi lililoanza mkutano wake wa kujadili na ikibidi kuidhinisha bajeti ya serikali ya mwaka mpya wa fedha unaoanza mwezi...
By Jabir IdrissaSeptember 1, 2018RAIA wa nchi za Afrika wanazo sababu nyingi za kutamani na hata kupanga kubadili tawala zao zilizoasi. Ni mabadiliko ambayo yatawezesha kufikia kilele...
By Yusuph KatimbaAugust 30, 2018KITABU cha “The Prince” kilichoandikwa na Machievelle imeelezwa kuwa, kufaulu au kutofaulu kwa mtawala yeyote hutegemea anavyoweza kuwateua wasaaidizi wake. Anaandika Yusuph Katimba...
By Yusuph KatimbaAugust 28, 2018MFUMO wa uendeshaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC) unalalamikiwa – kwa muda mrefu sasa kutokana na madai ya kushindwa kubeba...
By Yusuph KatimbaAugust 21, 2018MANENO ya mwisho ya Mwalimu Julius Nyerere ambapo yaliyopata kuandikwa ni pamoja na haya, “Najua ugonjwa huu sitapona, Watanzania watapata shida, lakini nitawaombea kwa Mungu.”...
By Mwandishi WetuAugust 16, 2018NI kweli kuwa, taifa si mtu mmoja kwa maana kwamba, akiondoka wengine watashika nafsi na siku zitasonga mbele. Anaandika Mchambuzi Wetu … (endelea). Lakini...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2018VYAMA vingi vya siasa vimejaa ubinafsi, tamaa ya madaraka na kutaka kushinda uchaguzi ili kutawala. Ajenda hiyo ni rahisi mno. Anaandika Faki Sosi...
By Faki SosiAugust 2, 2018NINAZIONA jitihada za nguvu na waziwazi za uongozi wa serikalini kuwasukumia wafanyakazi wa Shirika la Meli Zanzibar lawama na shutuma kuhusu kulala kwa...
By Jabir IdrissaAugust 1, 2018CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kina mkondo ambao kila ajaye lazima aupite. Tusijidanganye kwamba, yupo anayeweza kubadili taswira na mfumo ndani ya CCM. Anaandika Ndoimba Nainda...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2018BABA utufundishe kusema lakini kusema sawasawa. Kusema ni kukiri na kukana kwa wakati mmoja. Serikali ya watu husema na watu wake. Anaandika Mwalimu...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2018KUNA watumiaji wachache wa mtandao maarufu wa facebook wanaofahamu kwamba, mtandao huu unatumia lugha ya Kiswahili kuandaa mikataba ya kulinda taarifa zao za...
By Yusuph KatimbaJuly 28, 2018IMEKUWA utaratibu uliozoeleka maeneo mengi duniani, kwamba kila kiongozi wa nchi anapoingia madarakani vyombo vya habari humpachika jina “jepesi,” mbali na majina yake...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2018NI jabari gani wa kuthubutu kujitokeza leo na akatamka hadharani kuwa, ameikosea Zanzibar kwa vitendo vyake vya kuifisidi kiuchumi? Anaandika Jabir Idrissa …...
By Jabir IdrissaJuly 24, 2018UMASIKINI katika jamii si msamiati mgeni, hasa wakati huu ambapo kumekuwepo na jitihada mbalimbali za kitaifa na za kimataifa za kuuangamiza. Anaandika Mbonea...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2018MJADALA juu ya umuhimu wa katiba mpya na “tume huru ya uchaguzi nchini,” bado ungali mbichi. Anaandika Saed Kubenea … (endelea). Ubichi huu unatokana...
By Saed KubeneaApril 2, 2018KOMBA amepewa sifa nyingi za ujanja. Kwa wanaomjua wanampa sifa nyengine, nayo ni ya ujasiri. Anaandika Othman Masoud Othman … (endelea). Anapotafuta anachokitaka, hachelei...
By Mwandishi MaalumFebruary 23, 2018IMANI sugu za ushirikiana mkoani Iringa ni mojawapo ya chanzo cha imani potofu zinazochochea vitendo viovu vya ubakaji, ulawiti na udhalilishaji wa watoto...
By Faki SosiFebruary 7, 2018ALIYEKUWA “mchungaji mkuu” wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), msemaji wa chama hicho na muumini wa itikadi yake iliyokufa ya ujamaa, Kingunge Ngombale-Mwiru (87),...
By Saed KubeneaFebruary 6, 2018MAULID Said Mtulia, mwanasiasa kijana aliyejiuzulu ubunge ghafla, na kuhamia CCM hivyo kusababisha fadhaa upande wa upinzani, anaweza kutangazwa mshindi tena katika uchaguzi...
By Jabir IdrissaJanuary 27, 2018KAULI ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kwamba utaratibu wa kukidhi gharama za matibabu ya mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu unaendelea kushughulikiwa,...
By Jabir IdrissaJanuary 2, 2018TAASISI za dini ni miongoni mwa wadau wakubwa wanaochangia kuwapo na kuendelea kustawisha amani ya nchi yetu ya Tanzania. Anaripoti Richard Makore …...
By Masalu ErastoDecember 29, 2017BARAZA la Wawakilishi la Zanzibar limwepitisha muswada wa sheria wa kurekebisha vifungu vya Sheria ya Uchaguzi ya Zanzibar pasina mabadiliko ya msingi yanayohusu...
By Jabir IdrissaDecember 14, 2017Kalamu ya Jabir Idrissa SIASA visiwani Zanzibar ni ada kimaisha. Siasa ni kila kitu kwa wananchi. Na kila kitu ni siasa Zanzibar. Kila...
By Jabir IdrissaNovember 8, 2017Na Rashid Abdallah KILA nyakati huwa na mbwembwe zake. Nyakati za sasa katika uwanja wa siasa nazo zinazo. Ni mbwembwe nyingi; vituko vingi;...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2017KILICHOITWA na watawala, “Operesheni Tokomeza” iliyoishia kujiuzulu kwa waziri mmoja na kufutwa kazi mawaziri watatu wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete, yaweza kuwa...
By Saed KubeneaOctober 30, 2017