Makala & Uchambuzi

Kafulila kuitwaa Kigoma Kusini?

HATUA ya Mahakama ya Rufaa, Kanda ya Tabora kutupilia mbali maombi ya kufutwa rufaa ya Davidi Kafulila iliyowasilishwa na mawakili wa Hasna Mwilima, Mbunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo ...

Read More »

Bulaya kuwekwa kikaangoni Jumatatu

ESTER Bulaya, Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, mkoani Mara anatarajia kupanda kizimbani Jumatatu ya tarehe 17 Oktoba, mwaka huu ili kutoa ushahidi wake katika kesi ya kupinga matokeo ya ...

Read More »

Lissu, Bulaya wamliza Wassira

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mwanza, imetupilia mbali maombi mawili yaliyopelekwa kortini kupinga matokeo ya Ubunge wa Jimbo la Bunda mjini katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana, anaandika Moses ...

Read More »

CCM wakwaa kisiki Morogoro

MAHAKAMA kuu ya Tanzania imetupilia mbali mashtaka mawili ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyofunguliwa dhidi ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika majimbo ya Kilombero na Mlimba ...

Read More »

CUF yakwama tena kortini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imesikiliza hoja za kupinga kiapo cha ushahidi kilichotolewa na Muhidin Thabit, shahidi wa Kondo Bungo katika kesi ya kupinga matokeo ...

Read More »

Hukumu kesi ya Kafulila Mei 17

FERDINAND Wambali Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora anatarajiwa kutoa hukumu ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Jimbo la Kigoma Kusini tarehe 17 Mei mwaka huu, anaandika Happiness Lidwino. ...

Read More »

Mei 9 ni CCM au Chadema Njombe

KESI ya Emmanuel Masonga, aliyekukuwa mgombe ubunge katika Jimbo la Njombe Kusini (Chadema) itatolewa uamuzi tarehe 9 Mei mwaka huu, anaandika Wolfram Mwalongo. Akizungumza na Mwanahalisi Online, Masonga amesema, alifungua ...

Read More »

Mapingamizi ya Serikali kesi ya Kafulila yatupwa

FERINAND Wambari, Jaji wa Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora leo ametupilia mbali hoja za mawakili wa Husna Mwilima, Mbunge wa Kigoma Kusini na serikali dhidi ya David Kafulila ambapo waliwasilisha ...

Read More »

CCM chali tena Dar

VYAMA vinavyoundwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimezidi kukinyima raha Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndani ya Jiji la Dar es Salaam baada ya kukibwaga tena katika kinyang’anyiro cha ...

Read More »

Wabunge watano wa jiji hawa hapa

HATIMAYE wabunge watano (5) watakaoingia katika baraza la madiwani la halmashauri ya jiji la Dar es Salaam wamepatikana, anaandika Kondo Tutindaga. Wabunge waliochaguliwa kuingia katika baraza la jiji, ni Halima ...

Read More »

Wenje apigwa mweleka Nyamagana

EZEKIEL Wenje, mbunge wa zamani wa Jimbo la Nyamagana, Mwanza ameshindwa kwenye kesi aliyoifungua katika Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga dhidi ya Stanslaus Mabula, anaandika Moses Mseti. Mahakama hiyo leo ...

Read More »

Fomu No. 21B yatesa ‘ubunge’ wa Wenje

FOMU namba 21B yenye matokeo ya vituo mbalimbali kwenye Jimbo la Nyamagana, Mwanza ndiyo inayomtesa Ezekia Wenje, mbunge wa zamani wa Jimbo la Nyamagana, anaandika Moses Mseti. Kutokana na vuta ...

Read More »

Mrema kilio, Mbatia kicheko

AGUSTINO Mrema (TLP), aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Vunjo (2010-2015) amefuta kesi ya kupinga ushindi wa James Mbatia (NCCR-Mageuzi) kwenye jimbo hilo, anaandika Mwandishi Wetu. Kwenye kesi ya kupinga matokeo ...

Read More »

Nyota ya Kafulila yaanza kung’ara

DAVID Kafulila, aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR- Mageuzi) na ambaye amefungua shauri mahakamani kupinga kutangazwa kwa Husna Mwilima, kuwa mbunge wa jimbo hilo, ameanza kupata ushindi katika shauri lake, ...

Read More »

Balozi Idd ni mpotoshaji – Awadh

SIKU moja baada ya Balozi Seif Ali Idd, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, kusema kuwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) iko palepale, Awadh Ali Said, Wakili wa Mahakama ...

Read More »

NEC yaiongezea ‘power’ Chadema

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekiongezea nguvu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kukipa mbunge mmoja mpya, anaandika Wolfram Mwalongo. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Jimbo la Kijitoupele visiwani ...

Read More »

Ukawa wainyuka CCM umeya Dar

ISAYA Mwita Charles, mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameshinda Umeya wa Jiji la Dar es Salaam, anaandika Hapyyness Lidwino. Kwenye uchaguzi huo uliofanyika katika Ukumbi wa Karimjee ...

Read More »

‘Dk. Shein haiwezi Z’bar bila CUF’

WAKATI Dk. Ali Mohamed Shein akisubiri kuapishwa kuendelea na wadhifa wake wa urais, imeelezwa kwamba hawezi kuiendesha Zanzibar bila Chama cha Wananchi (CUF), anaandika Faki Sosi. Kitila Mkumbo, Mhadhiri wa ...

Read More »

Kisasi cha Uchaguzi Mkuu CCM chaanza

KISASI cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kushughulikia wanachama na viongozi wake wanaotuhumiwa kusaliti chama hicho wakati wa uchaguzi mkuu kimeanza kutekelezwa, anaandika Christina Raphael. Mkoani Morogoro viongozi 21 wameng’olewa madarakani kutokana ...

Read More »

Mahaba ya Jecha kwa Dk. Shein yatimia

KILELE cha mahaba ya Jecha Salim Jecha, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yametimia baada ya kumtunuku Dk. Ali Mohammed asilimia 91 ya ushindi, ...

Read More »

CUF: Tunahofia mauaji Z’bar

CHAMA cha Wananchi (CUF) kinahofia mauaji visiwani Zanzibar endapo kitatoa kauli ya kuwataka wanachama na wananchi kusaka haki yao kutoka mikononi mwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Happyness ...

Read More »

Sugu: CCM inatia doa nchi

WAKATI Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ikiendelea kusimamia uchaguzi haramu wa marudio visiwani humo, Joseph Mbilinyi, Waziri Kivuli wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo anasema, Serikali ya CCM inatia doa ...

Read More »

Uchaguzi Zanzibar ‘doroo’

VIJANA wamegoma kujitokeza na kushiriki uchaguzi wa marudio visiweani Zanzibar na kusababisha zoezi hilo kuzorota, anaandika Mwandishi Wetu. Katika mitaa mbalimbali Unguja na Pemba kuna hali ya utulivu huku maofisa ...

Read More »

CUF waruka kihunzi

WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakihaha kuendesha propaganda chafu kuhalalisha uchaguzi haramu, Chama cha Wananchi (CUF) kimefanikiwa kuteka wanachama wake, anaandika Michael Sarungi. “Wanahaha ...

Read More »

Z’bar ni aibu

KWA hakika mambo yanayofanywa na Jeshi la Polisi visiwani Zanzibar ni aibu tupu. Maisha ya Wazanzibari yamepoteza mwelekeo sababu kuu ni mkakati wa jeshi hilo kukisaidia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ...

Read More »

Uchaguzi wa Meya Dar waota mbawa

UCHAGUZI wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam bado ni kitendawili licha ya Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kuwa na idadi kubwa ya wajumbe kuliko Chama ...

Read More »

Rafu za CCM zawaliza CUF

RAFU zinazofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) zinawaumiza viongozi, wananchi na wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), anaandika Happyness Lidwino. ...

Read More »

Mgogoro Z’bar watikisa Kanisa

MTIKISIKO wa hali ya kisiasa Zanzibar umebisha hodi katika Kanisa ambapo Jukwaa la Wakristo Tanzania limetoa onyo, anaandika Pendo Omary. Viongozi wa wa Dini ya Kikristo kupitia Jukwaa la Wakristo Tanzania ...

Read More »

Mchezo mchafu Z’bar

MAANDALIZI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushika dola visiwani Zanzibar yanafanywa kwa kutumia vitisho vya kijeshi, anaandika Mwandishi Wetu. Mwandishi wa habari hizi aliyepo visiwani humo anaarifa kwamba, kinachofanywa kwa ...

Read More »

Mshindo wa Maalim Seif Z’bar Machi 19

  SIKU moja kabla ya kile kinachoitwa uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar, Chama cha Wananchi (CUF) kimepanga kubadilisha upepo, anaandika Faki Sosi. Taarifa kutoka ndani ya chama hicho zinaeleza kwamba, CUF ...

Read More »

Wamechanganyikiwa

DALILI zote za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuukosa Umeya wa Jiji la Dar es Salaama zimedhihiri na sasa wamechanganyikiwa, anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa kutoka Ofisi ya CCM Mkoa wa Dar ...

Read More »

Maalim Seif: Hatutavumilia

MAALIM Seif Sharif Hamad, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF) visiwani Zanzibar ameanza kuitia kiwewe Zanzibar, anaandika Mwandishi Wetu. Amesema, tabia ya mazombi visiwani humo kuendelea kushambulia wananchi ...

Read More »

Mkurugenzi wa Jiji awakwepa Ukawa

SARAH Yohana, Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam amekwepa kukutana na Wabunge na Madiwani wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), anaandika Faki Sosi. Wawakilishi hao ...

Read More »

Ukawa wavamia Ofisi za Jiji

WABUNGE na Madiwani wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) katika Jiji la Dar es Salaam wamevamia Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji hilo wakitaka kujua tarehe ya uchaguzi ...

Read More »

Mdee: Watake wasitake wataachia

HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe amesema, hekaheka zinazofanywa na Serikali, Jeshi la Polisi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi yao ni kutaka kutwaa Umeya wa Jiji la Dar es Salaam ...

Read More »

Mahakama: Hatukusimamisha uchaguzi wa Meya

MGOGORO wa uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam umeingia katika sura mpya baada ya Mahakama kukana kutoa amri ya zuio la kufanyika kwa uchaguzi huo, anaandika Regina ...

Read More »

CCM inatikiswa Z’bar

MSIMAMO wa Chama cha Wananchi (CUF) kutoshiriki uchaguzi uliovurugwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kwa kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) bado unatikisa, anaandika Faki Sosi. Taarifa ndani ya chama ...

Read More »

Uchaguzi wagawa majeshi Zanzibar

Baada ya kuwepo fununu za mgawanyiko ndani ya Vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar juu ya usimamizi wa amani katika uchaguzi wa marudio utakaofanyika machi 20 mwaka huu, uongozi wa ...

Read More »

CCM, Ukawa ngoma nzito umeya Dar

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wanashiriki kuvuruga utaratibu wa uchaguzi wa Meya wa Jiji hilo, anaandika Happyness Lidiwno. Sara Yohana, Kaimu ...

Read More »

Timbwili uchaguzi Meya Dar es Salaam

UCHAGUZI wa Meya wa Jijini la Dar es Salaam umegeuka kitendawili baada ya Kaimu Mkurugenzi wa Jiji kuahirisha kwa mara ya nne, anaandika Happyness Lidwino. Kumekuwepo na sintofahamu ya kupatikana kwa ...

Read More »

CCM yashtukiwa uchaguzi wa meya Dar

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka wananchi kutohofia vitisho vilivyopangwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es Salam unaotarajiwa kufanyika kesho, anaandika ...

Read More »

Kambaya ambana mbavu Jecha

BAADA ya kuonekana hajui utaratibu wa sheria, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha amebanwa na CUF aoneshe fomu ambayo Maalim Seif Shariff Hamad alijaza kuingia kugombea ...

Read More »

CUF:  Kauli ya Jecha haiathiri msimamo wetu  

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema taarifa iliyotolewa jana na Jecha Salim Jecha, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ya kutotambua uhalali wa kujitoa kwa baadhi ya wagombea ...

Read More »

Mkanganyiko CCM Z’bar

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeingia tena katika mvutano na wanachama wake waliokabidhiwa vyeti vya ushindi wa uwakilishi na udiwani katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka jana, kwa kushikilia kuwa ...

Read More »

Haramu kwa haramu Z’bar

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) inasaka wateja wa kushiriki uchaguzi wa tarehe 20 Machi mwaka huu ili kukivusha Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Faki Sosi. Haramu huende kwa haramu, ndivyo ...

Read More »

Mshindo wa CUF Z’bar

KIMYA cha viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) kina mshindo visiwani Zanzibar, hata hivyo chama hicho kinasema kinapambana na sera za kibabe za Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika ...

Read More »

Magufuli agonga mwamba Z’bar

LICHA ya kauli za vitisho zilizotolewa na Rais John Magufuli wakati akizungumza na wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jijini Dar es Salaam wiki iliyopita kwamba, atawashughulikia watakaoleta fyokofyoko, Wazanzibari ...

Read More »

MAWIO lamponza Lissu

TUNDU Lissu, Mwanasheria wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pia Mbunge wa Singida Magharibi leo jijini Dar es Salaam amehojiwa na Jeshi la Polisi kuhusu hoja alizozitoa kwenye Gazeti ...

Read More »

Fedha za CCM zavuruga vyama Z’bar

FEDHA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinatumika kuvuruga mwelekeo na msimamo wa vyama vya upinzani visiwani Zanzibar, anaandika Regina Mkonde. Kazi hiyo inafanywa kwa ustadi mkubwa na maofisa wa CCM ...

Read More »

ADC watifuana uchaguzi Z’bar

MGOGORO wa kushiriki ama kutoshiriki uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar unatokota ndani ya Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), anaandika Happyness Lidwino. Taarifa zilizopatikana ndani ya chama hicho zinaeleza ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram