Makala & Uchambuzi

Maalim Seif: Askari, wanajeshi acheni kutumiwa na CCM

VIKOSI vya Ulinzi na Usalama na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) zimetakiwa kuacha kutumiwa kisiasa na kwenda kinyume na sheria zinazoongoza kazi zao. Anaandika Pendo Omary … (endelea). ...

Read More »

Uandikishaji BVR giza nene

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetakiwa kurekebisha kasoro zinazojitokeza katika uandikishaji wananchi kwenye daftari la kudumu la mpiga kura kwa mfumo wa Biometric Voter Registration (BVR). Anaandika Pendo Omary … ...

Read More »

Chadema yafungua milango kwa wagombea

HATIMAYE Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefungua milango kwa wanachama wake wenye sifa za uongozi kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa kugombea wa udiwani, ubunge na urais katika uchaguzi mkuu ...

Read More »

Rais Kikwete akana kujiongezea muda

RAIS Jakaya Kikwete, amesema hakuna mpango wa kujiongeze muda madarakani kama inavyodaiwa na vyama vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Anaandika Mwandishi wetu … (endelea) Kauli ya Kikwete ...

Read More »

Mwakyemba naye atumia makundi kusaka urais

KAMA ambayo baadhi ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanatumia makundi ya kijamii kujipigia debe la urais wakidai kuombwa kugombea, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Herrison Mwakyembe, ...

Read More »

Lema: CCM wanataka kumbakiza JK hadi 2019

GODBLESS Lema-Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), amewasihi wananchi kuipigia kura ya ‘hapana’ Katiba inayopendekezwa, akidai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kinataka kutumia udhaifu wa katiba hiyo kumbakiza Rais Jakaya Kikwete, ...

Read More »

Kahangwa apewa fomu ya urais NCCR-Mageuzi

CHAMA cha NCCR-Mageuzi, kimemkabidhi, Dk. George Kahangwa, Mkuu wa Idara ya Itikadi na Uenezi wa chama hicho, fomu ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Anaandika Pendo ...

Read More »

Watanzania wako tayari kununua utumwa?

TUNAPOELEKEA katika uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu, Watanzania wanapaswa kujiuliza kama wako tayari kuuza uhuru wao na kununua utumwa kwa kukubali kudanganywa kwa fedha na maneno matamu. Wako viongozi wabovu ambao wako ...

Read More »

Sababu 40 za kuipinga Katiba inayopendekezwa

ZIPO sababu zaidi ya 100 za kuikataa katiba inayopendekezwa, kwa leo tutaangazia sababu 40 za kupinga katiba hiyo. Sababu hizo zimegawanyika katika sehemu mbili kimchakato na kimaudhui. Sababu ya kwanza ...

Read More »

Serikali “yawaziba midomo” viongozi wa dini

SERIKALI sasa imefungua makucha yake kwa viongozi wa dini. Hatua hii inatokana na matamko ya viongozi hao ya kuipinga Katiba inayopendekezwa pamoja na kuchangishana fedha za kumshaiwishi Waziri Mkuu aliyejiuzulu, ...

Read More »

Ukawa: Tumejielekeza kwenye daftari la wapigakura

Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umesema kuwa, ajenda yao kubwa sasa ni kuwahamasisha wananchi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapigakura na si vinginevyo. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Kwa ...

Read More »

Jaji Lubuva: Hakuna kura ya maoni

RAIS Jakaya Kikwete alikosea kutangaza tarehe ya upigaji kura ya maoni kuhusu Katiba Mpya inayopendekezwa. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Aliyepewa Mamlaka ya kutangaza tarehe ya upigaji kura ni “Tume ...

Read More »

Wabunge wa Ukawa wasitisha Bunge kwa muda wakihoji BVR

SPIKA wa Bunge-Anne Makinda, amelazimika kulihairisha Bunge kwa dharura hadi hapo baadaye kutokana na wabunge wa upinzani kutoka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutaka Serikali itoe ufafanuzi ...

Read More »

CUF: Serikali inaandaa vurugu

SERIKALI imedaiwa kuandaa vurugu wakati wa kupiga kura za maoni na uchaguzi mkuu mwaka huu. Anaandika Pendo Omary …. (endelea). Kauli hiyo imetolewa  leo jiji Dar es Salaam na Adual ...

Read More »

Ni vigumu kura ya maoni kufanyika Aprili 30

BADO siku 41 kufika 30 Aprili 2015, tarehe ambayo taifa lilitarajia kupiga kura ya maoni kuhusu katiba iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba. Anaandika Pendo Omary…(endelea) Dalili za mkwamo wa ...

Read More »

Kanisa lataka CCM isichaguliwe 2015

JUKWAA la Wakristo nchini limetaka waamini wake, kutopigia kura Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu. Anaandika Saed Kubenea…(endelea). ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram