Makala & Uchambuzi

Mgombea ubunge CCM azua utata

KAMISHNA wa Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2012, Amina Mrisho Said, leo ametangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kiteto, mkoani Manyara. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Hata hivyo, ...

Read More »

Makamba: Nitamaliza matatizo ya msingi ya Watanzania

JANUARY Makamba, mtoto wa katibu mkuu mstaafu wa CCM, Luteni Yusufu Makamba, ameingia katika orodha ya wasaka urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akija na kauli kuwa urais kwake ...

Read More »

Membe: Nitaanza na afya

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (62) leo ameingia katika safari ya watangaza nia ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku kipaumbele chake ikiwa ...

Read More »

Nyalandu, Nyalali, Mulenda wachukua fomu

LAZARO Nyalandu, aliye Waziri wa Maliasili na Utalii, amekuwa miongoni mwa makada watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokabidhiwa fomu za kuomba uteuzi wa kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa ...

Read More »

Kigwangala: Tanzania tuitakayo ni hii hapa

TAIFA huru lililo na misingi imara katika kupambana na rushwa, kuinua kilimo, bajeti isiyo tegemezi, ukusanyaji mzuri wa kodi ndiyo Tanzania tuitakayo. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo ...

Read More »

Uhaba BVR walalamikiwa Ipagala

Msimamizi wa mashine za kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura (BVR) akimuandikisha mpiga kura

WANANCHI wa Kitongoji cha Swaswa Bwawani katika Kata ya Ipagala, wamelalamikia uhaba wa mashine za uandikishaji (BVR) na kudai kuwa, wananchi wengi wa kitongoji hicho wasiweze kuandikishwa. Anaandika Dany Tibason ...

Read More »

Nyalandu: Tutawekeza kwanza kwenye rasilimali watu

LAZARO Nyalandu (44), Waziri wa Mali Asili na Utalii, emetangaza nia ya kuingia katika mbio za kuomba uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili apitishwe kugombea urais kwenye uchaguzi mkuu ...

Read More »

Maalim Seif aiteka Zanzibar

SHUGHULI mbalimbali zilisimama kwa muda wakati wa mkutono wa Chama cha Wananchi (CUF) uliohutubiwa na Katibu Mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad. Anaandika Mwandishi Wetu Zanzibar … (endelea). Maalimu Seif ...

Read More »

Nchemba: Nitafukuza wala rushwa

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba na mke wake Neema Mwigulu wakifurahia kukabidhiwa kwa fomu za kugombea urais.

HEKAHEKA za makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchukua fomu ili kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zimeshika kasi. Anaandika Dany ...

Read More »

Chadema yashtukia hujuma BVR Dodoma

Msimamizi wa mashine za kuandikisha daftari la kudumu la wapiga kura (BVR) akimuandikisha mpiga kura

ZOEZI la uandikishaji wananchi katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR limeingia dosari katika Manispaa ya Dodoma, baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA),kudai kuhujumiwa na ...

Read More »

Rioba: CCM inawauzia wananchi mbuzi kwenye gunia

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) na Katibu Mwenezi na Itikadi, Nape Nnauye wakisalimia wananchi

MHADHIRI wa Chuo Kikuu Shule ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano (SJMC),Dk.Ayoub Rioba amesema kitendo cha Chama Cha Mapinduzi kuwataza wagombea wa nafasi ya urais kushiriki midahalo sawa na kuuzia ...

Read More »

Wasomi wamshangaa Kingunge

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), sio taasisi tena, kimegawanyika, kimeparanganyika na hakiwezi kuongoza tena. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Hali hiyo, imetajwa kudhihirishwa na kitendo cha mwanasiasa mkogwe, mwenye ushawishi mkubwa ndani ...

Read More »

Ngeleja atumia mafanikio ya wizara kuomba urais

Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja akitangaza nia ya kuwania Urais kupitia CCM

MBIO za kuomba uteuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kuwania urais Oktoba mwaka huu, zinazidi kupamba moto, ambapo Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, William ...

Read More »

Sitta aingia uwanjani na hoja 5

WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta, ametangaza nia ya kuutaka urais wa Tanzania huku akiahidi kushughurikia kero za muungano, mchakato wa Katiba, uchumi, rushwa na kuimarisha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika ...

Read More »

Balozi Amina Salum atia mguu, Makongoro achukua fomu

MWANASIASA mashuhuri Visiwani Zanzibar, Balozi Amina Salum Ally, ameandika historia ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa mwanamke wa kwanza kuchukua fomu ya kuomba uteuzi wa kuwania urais katika ...

Read More »

Prof. Mwandosya, Wassira wachukua fomu kwa tambo

MAWAZIRI wawili katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete- Stephen Wassira (Kilimo, Chakula na Ushirika) na Prof. Mark Mwandosya (Ofisi ya Rais-Kazi Maalum), wamekuwa makada wa mwanzo kuchukua fomu za kuomba ...

Read More »

Dk. Mwakyembe: Msijifiche kwangu kumsema Lowassa

WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe, amewataka wanasiasa kuacha kujificha mgongoni kwake kwa lengo la kumshambulia Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa. Anaandika Mwandishi ...

Read More »

Sumaye: Nitaboresha uchumi kwanza

WAZIRI Mkuu mstaafu, Fredrick Tluway Sumaye (65), amesema walioatanagaza nia ya kugombea urais ndani ya CCM, hawawezi kuboresha elimua kama kipaumbele namba moja bila kuboresha uchumi wa nchi kwanza. Anaandika Pendo ...

Read More »

Prof. Muhongo aja kisayansi, aikana Escrow

PROFESA Sospeter Muhongo-Waziri wa Nishati na Madini aliyejiuzulu kwa kashfa ya uchotwaji wa mabilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow, ametangaza nia ya kuomba uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili ...

Read More »

Kamani aja na usimamizi rasilimali, kukuza uwekezaji

DAKTA Titus Kamani-Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, ametangaza nia ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuomba uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili agombee urais Oktoba mwaka huu, huku ...

Read More »

Mwigullu “amvua nguo” Kikwete

MWIGULU Nchemba, Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete amesema, ili serikali iweze kufufua viwanda vya nguo, maguni na samaki, ni sharti wananchi wafunge mikanda. ...

Read More »

Mpina atia mguu urais, aahidi kuongeza mapato

Mbunge Luhaga Mpina, akiwa katika mkutano wa hadhara

MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, atangaza nia ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuomba uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili agombea urais wa nchi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka ...

Read More »

Wassira: Mwenye harufu ya rushwa hana nafasi Ikulu

WAZIRI Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, ametangaza rasmi nia ya kuomba uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, huku akionya kuwa ...

Read More »

Mwakyembe: Lowassa hana sifa ya kuwa Rais

WAZIRI wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe, ameapa kupambana kufa au kupona, kumzuia Edward Lowassa, kuingia Ikulu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Katika andishi lake alilolituma ...

Read More »

Lowassa aja na mchaka mchaka wa maendeleo

EDWARD Lowassa- Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, ametangaza rasmi nia ya kuomba uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kugombea urais, huku akijipambanua kwamba anataka kuleta uongozi wa mchaka ...

Read More »

Mbwembwe si kipimo cha uongozi- wasomi

WACHAMBUZI wa masuala ya kisiasa, wamekosoa mbwembwe zinazofanywa na baadhi ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotangaza nia ya kuomba uteuzi wa kugombea urais kupitia chama hicho, wakisema sio ...

Read More »

Maalim Seif aahidi neema Z’bar

MOJA ya hoja kuu alizozitoa Maalim Seif Shariff Hamad katika kuendelea kusaka urais wa Zanzibar ni kukubalika kwake kutokana na imani ambayo haijachuja aliyopewa na Wazanzibari. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea). ...

Read More »

Mbassa apinga mizengwe BVR

DAKTA Antony Mbassa – aliye mbunge wa Biharamulo (Chadema), ameitaka Serikali ieleze kwanini uandikishaji katika daftari la kudumu la mpiga kura umekuwa na mizengwe na kusababisha wananchi kukata tamaa. Anaandika ...

Read More »

Siku ya uchaguzi yamponza waziri

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Jenister Mhagama, amepata wakati mgumu alipokuwa akitetea kuwa, siku ya Jumapili haiwezi kubadilishwa kuwa ya kupiga kura hadi pale ...

Read More »

Lowassa ajipalia makaa CCM

SIKU moja baada ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, kuzungumza na waandishi wa habari na kumbeza Rais Jakaya Kikwete, kuhusu sera ya kilimo na makada wa CCM, Samuel Sitta na ...

Read More »

Picha za mauaji Kenya zaumiza wahariri

USIOMBE kuona picha za mwenendo wa matukio ya ghasia yaliyotokea baada ya uchaguzi mkuu wa Kenya wa Disemba 2007. Zinaumiza kuliko kawaida, kuliko mtu unavyoweza kufikiria. Anaandika Jabir Idrissa … (endelea) . ...

Read More »

Shivji: Msitafute madaraka bila malengo

MHADHIRI mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Issa Shivji, amevionya vyama vya siasa vinavyotafuta madaraka bila kujua lengo mahususi ya wanaotaka kuwaongoza. Anaandika Pendo Omary … (endelea).  ...

Read More »

Lowassa “aanza vita” na Kikwete

WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond mwaka 2008, Edward Lowassa ameanza safari ya kujiimarisha kisiasa kuelekea mbio za urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwashambulia waziwazi viongozi wenzake, akiwemo ...

Read More »

Wadau: Ratiba ya NEC inaibeba CCM

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa ratiba ya uteuzi wa wagombea urais, ubunge na madiwani, kampeni na siku ya kupiga kura huku ikiacha mashaka makubwa. Anaandika Edson Kamukara … ...

Read More »

Kura za maoni: Vigogo CUF waanguka

MAWAZIRI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMS), kutoka Chama cha Wananchi (CUF); wabunge wengine kadhaa wakongwe wa chama hicho na baadhi ya wawakilishi, wameangukia pua katika kura za maoni za ...

Read More »

Lowassa amtisha Rais Kikwete

EDWARD Lowassa, mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliojiapiza kufia katika urais, amekimega chama hicho vipande viwili. Anaripoti Yusuf Aboud … (endelea). Lowassa aliyekuwa mmoja wa wanachama sita ...

Read More »

Viongozi “wajifunga” kutunza amani

MKUTANO wa kujadili amani na utulivu Tanazania umemalizika chini uongzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere na kuwashirikisha viongozi vya vyama vya siasa, wazee, viongozi wa dini na viongozi wastaafu wa ...

Read More »

Heche amshukia Lowassa

MWENYEKITI mstafu wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), John Heche, amemvaa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kwamba amekuwa akitumia nyumba za ibada kujisafisha dhambi ...

Read More »

Mwandosya atangaza nia ya urais kiaina

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya ametangaza kung’atuka ubunge wa Rungwe Mashariki, akisema kwamba sasa anahitaji kulitumikia Taifa katika majukumu mengine mazito. Anaandika Edson Kamukara ...

Read More »

Tutavuna wabunge 5, madiwani 16 CCM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Morogoro, kimejinasibu kuwa kwa jinsi upepo wa kisiasa unavyokiendea kombo kwa Chama cha Mapinduzi (CCM), watanyakua wabunge watano na madiwani 16 watakaochoshwa na ...

Read More »

Kikwete atakiwa kuingilia kati BVR

RAIS Jakaya Kikwete, ametakiwa kuhakikisha wananchi wote wanaandikishwa katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Chama cha ...

Read More »

Serikali “yajivika mwiba” wa BVR

PAMOJA na kazi ya uandikishaji wapiga kura katika daftari la kudumu kwa mfumo wa kielektroniki (BVR) kuambatana na kasoro lukuki, Serikali imeahidi kuwa kazi hiyo itakamilika ndani ya siku 60. ...

Read More »

Membe atangaza nia kiaina

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ametangaza nia ya kuusaka Urais kiaina ili kukwepa rungu la chama chake cha CCM. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Membe ...

Read More »

Fomu za Urais Chadema Sh. 1 mil

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza gharama za fomu za kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, kwa ngazi ya Udiwani, Uwakilishi, Ubunge na Urais. Anaandika Sarafina Lidwino ...

Read More »

Hamadi Rashid ajihalalisha ADC

HAMADI Rashid Mohammed-Mbunge wa Wawi, aliye katika mgogoro na Chama chake cha Wananchi (CUF) kwa zaidi ya miaka miwili sasa, leo ametangaza rasmi bungeni kugombea urais wa Zanzibar kupitia Chama ...

Read More »

Uchaguzi watawala Bunge la Bajeti

MKUTANO wa 20 wa Bunge la 10, umeanza leo kwa mbwembwe za aina yake, huku joto la uchaguzi mkuu wa mwaka huu, likionekana kutawala mjadala kati ya wabunge wa upinzani ...

Read More »

Maombi ya majimbo mapya Mei 31

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema kuwa, kati ya tarehe 13 Mei hadi 31 mwaka huu, ndio muda uliotengwa kwa ajili ya kupokea mapendekezo ya ugawaji wa majimbo. Anaandika ...

Read More »

Mbunge wa CCM agawa “rushwa” usiku

WAKATI wabunge wakihaha kutetea majimbo yao katika uchaguzi mkuu mwaka huu, Mbunge wa Kwimba mkoani Mwanza, Shanif Mansoor (CCM), anadaiwa kugawa fedha wa wafuasi wake usiku wa manane katika nyumba ...

Read More »

NEC kugawa upya majimbo ya uchaguzi

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imepanga kuyagawa upya majimbo ya uchaguzi nchini. Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Damian Lubuva amesema, tume yake tayari imekamilisha ugawaji majimbo hayo na muda ...

Read More »

CUF yathibitisha UKAWA

UONGOZI wa juu wa Chama cha Wananchi (CUF) umefanya uamuzi wa kihistoria wa kulisabilia jimbo la Kikwajuni kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) utakapofanyika uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu. ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram