Makala & Uchambuzi

Mpinzani wa Prof. Jay Mikumi atimkia ACT

MTANGAZA nia ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya kugombea ubunge katika jimbo la Mikumi na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jimboni humo, Onesmo Mwakyambo,  ametangaza kujiengua ...

Read More »

Familia ya Kikwete yaumbuka

FAMILIA ya Rais Jakaya Kikwete, imepata pigo baada ya Bernard Membe kupigwa mweleka katika kinyang’anyiro cha kusaka urais. Anaandika Yusuf Aboud … (endelea). “Kwa zaidi ya miaka minane, familia ya ...

Read More »

Magufuli mgombea Urais CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha Dk. John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais kupitia chama hicho. Anandika Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Katika Mkutano Mkuu uliofanyika usiku wa kuamkia leo mjini ...

Read More »

Wagombea watano wa CCM hawa, CC yapasuka

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC-NEC) imetoa orodha ya wagombea watano bila ya jina la Edward Lowassa kuwemo ndani. Lakini katika hali inayoonesha mpasuko, baadhi ya wajumbe wa ...

Read More »

Kingunge atabiri anguko CCM

KINGUNGE Ngombare Mwiru, ambaye ni kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametabiri anguko na mpasuko mkubwa ndani   chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, endapo chama hicho  kitaacha ...

Read More »

Misuli ya Lowassa yatetemesha CCM

CHAMA Cha Mapinduzi kimeingia katika wakati mgumu kimaamuzi baada wajumbe wengi wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kugomea matokeo yaliyotoka ya Kamati Kuu kuchagua majina matano lakini huku wakimtupa nje ...

Read More »

Lowassa aenguliwa mbio za urais

JINA la Edward Lowassa, mmoja wa wasaka urais kwa udi na uvumba, limeenguliwa katika hatua za awali za kinyang’anyiro hicho. Anaandika Saed Kubenea …(endelea). Taarifa kutoka kwa watu waliokaribu na ...

Read More »

Kikwete akinzana na Profesa Baregu

WAKATI Rais Jakaya Kikwete amejitamba kuwa Katiba Inayopendekezwa ni bora, aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Profesa Mwisigwa Baregu, amekinzana naye akisema kuwa asilimia 85-95 ya maoni ya ...

Read More »

Wapambe wakuu wa Lowassa kitanzini

MAKADA wakuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) walio pia vinara wakubwa wa kumuunga mkono waziri mkuu aliyejiuzulu kwa shinikizo la bunge mwaka 2008, Edward Lowassa, katika kampeni ya kusaka urais ...

Read More »

Chadema yataja vigezo uteuzi wagombea

SIKU chache baada ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu za kugombea nafasi za ubunge na udiwani kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kukamilika katika majimbo yasiyo na wabunge ...

Read More »

Warioba, Polepole, Baregu waipopoa CCM

RAIS Jakaya Kikwete ametakiwa kujivua mapenzi yake kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ili kutenda haki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Mbali na Kikwete ...

Read More »

Butiku: CCM magwiji wa rushwa

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku

JOSEPH Butiku, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), ameapa kufikia kwenye ukweli. Anasema yuko tayari kupoteza maisha kwa kutetea kile anachokiamini. Alisema, “…mimi na Warioba (Jaji Joseph Sinde Warioba), ...

Read More »

Butiku, Jaji Warioba, kuwasha moto Dar kesho

KESHO Jijini Dar es Salaam, moto utawashwa kupitia kongamano liloandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere, ambamo Waziri  Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba na Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Joseph Butiku watawasha ...

Read More »

Utafiti REDET ulioota mbawa wavuja

MPANGO  wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia (REDET),  inaofanywa na idara ya sayansi ya siasa na utawala ya chuo Kikuu cha Dar es Salaam ulihahirishwa ghafla umevuja. Anaandika Faki Sosi, DSJ … ...

Read More »

Ndugai akalia kuti kavu jimboni

WAZEE wa  Kata ya Lenjulu wilayani Kongwa mkoani Dodoma, wamemkataa mbunge wao Job Ndugai  badala yake wamewataka vijana, wanawake pamoja na wazee kuhakikisha wanajitokeza kupiga kura kwa ajili ya kukiondoa ...

Read More »

‘UKAWA tumejipanga kuipeleka nchi pazuri’

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wamejipanga kuitoa nchi kwenye umaskini uliokithiri uliosababisha na Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakichukua dola. Anaandika Sarafina ...

Read More »

JK kuvunja Bunge na wabunge wa CCM pekee

KUTOKANA na hali ilivyo kwa sasa bungeni kuna uwezekano mkubwa wa Rais Jakaya Kikwete akawahutubia wabunge wa Chama kimoja yaani CCM wakati wa kulivunja  bunge. Anaandika Dany Tibason … (endelea). ...

Read More »

Msekwa: Hatutajali umaarufu kumpata mgombea urais CCM

KADA Mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Pius Msekwa amesema, chama hicho hakitampitisha mgombea urais kwa sababu ya umaarufu wake tu. Anaandika  Jimmy Mfuru … (endelea). Msekwa ambaye ni Mwenyekiti ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015 ni 50/50

MADUDU yanayokithiri katika uandikishaji wa Dafta la Wapiga Kura kwa njia ya kielektroniki (BVR) yanauweka Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu njia panda. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Mzunguko wa ...

Read More »

Urais CCM kumekucha, wanne waingia mitini na fomu

PAZIA la uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuomba kuteuliwa kuwania nafasi ya urais ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), limefungwa rasmi jana jioni. Anaandika Dany Tibason … (endelea).  Mpaka ...

Read More »

ACT: Hakuna mgombea atayepita bila kupingwa

CHAMA cha ACT- Wazalendo kimesema hakuna mgombea atakayepita bila kupingwa katika uchaguzi mkuu mwaka huu. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Uchaguzi mkuu ...

Read More »

Mwelekeo Z’bar unatisha

KAMBI Rasmi ya Upinzani Bungeni imesema, hali ya kisiasa Zanzibar inatisha baada ya vikosi vya ulinzi visiwani humo kupewa silaha kisha kuwapiga wananchi wakati wa kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu ...

Read More »

Wasaka Urais CCM wafika 42

ZIKIWA zimebaki siku nne kabla ya kufungwa kwa pazia la kuchukua fomu na kurejesha kwa ajili ya kutafuta wadhamini katika harakati za kugombea nafasi ya kuteuliwa kuiwakilisha CCM kwenye Urais Oktoba ...

Read More »

Kafulila achukuliwa fomu ya Ubunge

DAVID Kafulila, Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi) anatarajiwa kupewa zawadi Sh. 5 milioni na Mtandao wa kampeni ya ” IPTL – Bring Back Our Money”. Anaandika Pendo Omary … (endelea). ...

Read More »

BVR yageuzwa biashara

UANDIKISHAJI wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mfumo wa kielektroniki (BVR), umechukua sura mpya kutokana na baadhi ya watu kuwauzia nafasi wengine katika vituo vya kujiandikishia. Anaandika Ferdinand Shayo ...

Read More »

NEC yaonya wanasiasa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewaonya wanasiasa wanaoingilia zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kupitia mfumo wa mashine za kielektroniki (BVR) na kusababisha vurugu katika ...

Read More »

‘Wasaka urais CCM walaghai’

MBUNGE wa Jimbo la Nyamagana, Mkoa wa Mwanza (Chadema), Ezekiel Wenje amesema, wasaka Urais ndani ya CCM ni walaghai kwa kuwa, hawana sifa na vigezo vya kuwatumikia wananchi. Anaandika Moses ...

Read More »

LHRC yaonesha njia Viti Maalum

WABUNGE wa Viti Maalum wametakiwa kuhakikisha kuwa, utaratibu wa kuwapata unawekwa kisheria ili wasidharauliwe na jamii. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Mkurugenzi wa Utetezi wa Kituo cha Haki za Binadamu ...

Read More »

Marando: UKAWA ni imara

MABERE Marando, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema, Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) upo imara. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Marando ambaye pia ni ...

Read More »

Nyalandu: Ni Watanzania kunufaika na rasilimali

KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Lazaro Nyalandu amesema, umefika wakati Watanzania wakaanza kunufaika na raslimali za taifa lao ikiwemo ardhi, gesi na madini. Anaripoti Moses Mseti … (endelea).  Nyalandu ambaye ...

Read More »

Mwandishi Guardian, ajitosa ubunge Katavi

MWANDISHI   wa  gazeti la The Guardian Gerald Kitabu  amejitosa katika kinyang’anyiro cha ubunge katika Jimbo   la  Nsimbo   Mkoa wa Katavi  kupitia  chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Anaandika Jimmy ...

Read More »

BAWACHA kuikabili rushwa Uchaguzi Mkuu

KATIKA kuendeleza harakati za kumkomboa mwanamke kwenye vishawishi na rushwa mbalimbali kutoka kwa viongozi wa kisiasa, Balaza la Wanawake Chadema (BAWACHA) limegundua mbinu mpya. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Mbinu ...

Read More »

Makongoro: Mafisadi wanapora CCM

UPO uwezekano kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuporwa na mafisadi, vibaka na wezi iwapo hakitakuwa makini. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Makongoro ambaye ni mtoto wa mwasisi wa taifa hili, ...

Read More »

Muslim kumng’oa Zungu Ilala

MJUMBE wa Bodi ya Wadhamini katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Muslim Haiderally Hassanali (32), amerejesha fomu na kutangaza nia yake ya kumng’oa Mbunge wa Ilala, Azani Zungu, katika ...

Read More »

Ya Tundu Lissu yatimia

ILE kauli kuwa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinavuruga katiba ya nchi kwa kuteua makada wake kutumikia serikali kinyume na Katiba ya nchi imetimia. Anaandika Benedict Kibache … (endelea).  Katika Bunge ...

Read More »

Machali amkana Zitto

MBUNGE wa Kasulu Mjini, Mosses Machale (NCCR-Mageuzi) amesema kuwa, hana mpango wa kuhamia katika chama kipya cha ACT-Wazalendo ambacho kiongozi mkuu wake ni Zitto Kabwe.  Mbunge huyo amezungumza na gazeti ...

Read More »

Sumaye asisitiza kuhama CCM

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye, amekitahadhalisha Chama cha Mapinduzi (CCM), kuacha kuteua mgombea Urais, ambae anatumia fedha kuwahonga wananchi ili wamchague katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba. Anaandika Moses Mseti, Mwanza ...

Read More »

Dk.Hoseah awapelekea salamu wagombea

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru),imewapelekea  salamu nzito wagombea  wa nafasi mbalimbali  katika uchaguzi mkuu kuachana na vitendo vya utoaji rushwa kwa kuwa walivyojipanga  haitakuwa na nafasi. Anaandika ...

Read More »

Msajili wa Vyama “ajifunga kitanzi”

JAJI Francis Mutungi-Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, amekunjua makucha na kuvitaka vyama vya siasa kuisoma vyema Sheria ya Gharama za Uchaguzi kabla ya kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu ...

Read More »

Prof. Lipumba afungua pazia urais UKAWA-Bara

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, leo amechukua fomu na kutangaza nia ya kugombea urais kupitia chama hicho huku akiahidi kuunda serikali ya umoja wa kitaifa kukabiliana ...

Read More »

Mwalim aonya watangaza nia Chadema

UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ngazi ya taifa umekutana na watangaza nia katika ngazi ya ubunge Kanda ya Kati. Anaandiaka Dany Tibason … (endelea). Hata hivyo, chama ...

Read More »

Chadema yataka NEC iongeze BVR

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, Salum Mwalim, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuongeza mashine za BVR ili kuongeza kasi ya uandikishaji katika ...

Read More »

Pinda atia guu urais, ajivunia Tamisemi

BAADA ya kutangaza kuanza mbio za urais kimyakimya akiwa jijini London Uingereza, hatimaye Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kuomba uteuzi wa Chama Cha Mapinduzi, akisema hana ...

Read More »

NEC yapigwa jeki

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haina fedha za kutosha kuendesha kampeni mbalimbali za kuhamasisha wananchi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura, hivyo inategemea makampuni mbalimbali kujitolea. ...

Read More »

Wassira: Msiweke nchi rehani

WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, amewataka Watanzania kutoiweka nchi rehani, kwa kuwachagua baadhi ya watangaza nia ya kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao wanatumia fedha ...

Read More »

Mwingine Usalama wa Taifa atia nia urais

DAKTARI Hassy Bessen Kitine – Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), amekuwa kiongozi mwandamizi wa pili kutoka katika taasisi hiyo nyeti kutangaza nia ya kuomba uteuzi ...

Read More »

Wabunge wa CUF kutinga mahakamani

WABUNGE wa Chama cha Wananchi (CUF), wametangaza kuwaburuza mahakamani Ofisa mdhamini wa Vitambusho vya Taifa vya Mzanzibari (ZAN-ID) Pemba, Hamadi Selemani na Ofisa vitambulisho Wilaya ya Mkoani, Omar Ngwali. Anaandika ...

Read More »

Balozi Mahiga atia nia urais, azua hofu

UJIO wa Balozi Augustine Mahiga katika mbio za kuomba uteuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), umetajwa na wachambuzi wa siasa kuwa utabadili upepo wa makada wanaoshinda naye, kutokana na ...

Read More »

NEC: BVR ni tatizo

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imekiri kuwepo kasoro katika mashine za kielektroniki (BVR), zinazotumika kuandikisha wapiga kura katika daftari la kudumu, kutokana na kugoma mara kwa mara hasa sehemu ...

Read More »

Mgombea ubunge CCM azua utata

KAMISHNA wa Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2012, Amina Mrisho Said, leo ametangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kiteto, mkoani Manyara. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Hata hivyo, ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram