Tuesday , 19 March 2024

Makala & Uchambuzi

Makala & Uchambuzi

Vijana wanavyoandaliwa kuziba pengo la ujuzi sekta ya madini

MOJAWAPO ya sekta ambazo katika miaka ya 2000 hazikuwa na vijana wenye ujuzi wa kutosha kutekeleza shughuli mbalimbali, ni ya uchimbaji wa madini....

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Lowassa: Mwanasiasa aliyetikisa CCM, Chadema

WAZIRI Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa (70) amefariki Dunia tarehe 10 Februari 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Jijini (JKCI)...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Uongozi wa Samia kuendelea hadi 2030

KWETU sisi tuliowahi kusoma sekondari, iwe O levo au A levo, nani aliwahi kusikia tangazo la wavuta bangi kujumuika pamoja au tangazo la...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Bado askari wastaafu wanaonewa

RAIS wangu Samia Suluhu Hassan tunaendelea kumshukuru Mungu kwamba wote hatujambo na kwamba Yeye anazidi kutujalia afya ya roho na mwili mpaka dakika...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Tunastawisha ufisadi na kuchukia matunda yake

BUNGE la Jamhuri linaloendelea mjini Dodoma, kwa wiki nzima limetawaliwa na mjadala juu ya ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Wamesahau aliyofanya Magufuli

JUMATATU ya tarehe 16 Oktoba 2023 itabaki kuwa siku ya kumbukumbu kwa wananchi wa kizazi hiki wakazi wa mkoa wa Singida. Hiyo ndiyo...

Makala & UchambuziTangulizi

Makonda ametonesha vidonda

JE  wajuwa? Paul Makonda amerejea kwenye ulingo wa siasa. Huyo ndiye Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Hamashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi...

Makala & UchambuziTangulizi

Tunastawisha ufisadi na kuchukia matunda yake

BUNGE la Jamhuri linaloendelea mjini Dodoma, kwa wiki nzima limetawaliwa na mjadala juu ya ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za...

Makala & UchambuziTangulizi

Mzaha, mzaha, kazi iendelee

RIPOTI za ukaguzi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mwaka wa fedha 2021/ 2022 zimejadiliwa bungeni. Je, umefurahishwa na...

Makala & Uchambuzi

Local content inavyonufaisha wawekezaji wazawa katika sekta ya madini

MNYONGE mnyongeni lakini haki yake mpeni! Ni usemi unaoshabihiana na mabadiliko makubwa yaliyoanzishwa na Rais wa awamu ya tano Dk. John Magufuli katika...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Mohammed Deif: Paka mwenye roho tisa anayeongoza kundi Hamas

WAKATI vita kati ya Israel na Palestina ikizidi kushika kasi na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 2000, asilimia kubwa ya wafuatiliaji wa...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Prof Mwafenga ulijiamini katika utendaji wako na degree zako 10 – Maige

KIFO cha Prof Hadley Mpoki Mwafenga- Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu Daraja la kwanza wa kitengo cha ubia kati ya Sekta umma na...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Hii ndio sura halisi ya Rais Samia

KILA zama na kitabu chake. Hizi ni zama za Rais Samia Suluhu Hassan na kitabu anachotumia ni tofauti na kilichotumiwa na mtangulizi wake...

Makala & Uchambuzi

Safari ya Siah Malle katika uhandisi inavyoibua vipaji vipya vya wanawake

Siah Malle ni mfano mzuri wa mwanamke ambaye amefanikiwa kuvunja dhana iliyojengeka na kuwagawa wanawake na wanaume kwenye uwanja wa taaluma mbalimbali duniani....

Makala & Uchambuzi

Rekodi ya watalii kuandikwa Desemba 2023

  WIZARA ya Maliasili na Utalii imesema ifikapo Desemba 2023 watakuwa wamefikia malengo ya Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali ya...

Makala & Uchambuzi

Haya ndio maeneo 12 ambayo Tanzania itafaidika uwekezaji DP World bandarini

MJADALA kuhusu makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai ambayo inatarajiwa kuwekeza katika Bandari ya Dar es Salaam umezidi kushika...

Makala & Uchambuzi

Jinsi GGML inavyovunja ukimya juu ya usafi wa hedhi

HEDHI ni sehemu ya maisha ya kawaida na yenye afya, lakini kwa watu wengi wanaopata hedhi, ni chanzo cha aibu, hofu na ubaguzi....

Makala & UchambuziTangulizi

Profesa Hoseah ajitosa sakata la Tanga Cement

  “HAKUNA namna ambayo serikali yaweza kukimbia maamuzi ya Mahakama kwa kutekeleza kile ambacho kimeamriwa kisimame; na au kinyume cha sheria. Pale ambapo...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Jeshi la Sudan lasitisha mazungumzo na wanamgambo wa RSF

  JESHI rasmi la serikali ya Sudan, limesitisha ushiriki wake katika mazungumzo ya kusimamisha mapigano kati yake na wanamgambo wa Rapid Support Forces...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Nimekomaa zaidi kisiasa katika miaka 9 ya ACT Wazalendo

  LEO tarehe 5 Mei, ni ACT Dei. Ni siku ambayo Chama cha ACT Wazalendo kilipata usajili wa kudumu. Tunaadhimisha siku hii kwa...

Makala & Uchambuzi

Ulinzi hifadhi za Taifa uwe wa kila mtu

UJANGILI wa wanyamapori bado ni tatizo kubwa katika hifadhi za Taifa. Kwa nchi yetu tuna jumla ya hifadhi 22 zinazosimamiwa na Shirika la...

Makala & Uchambuzi

Miradi inayofadhiliwa na GGML inavyoleta mageuzi ya kiuchumi Geita

TANGU kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), ambayo ni kampuni tanzu ya AngloGold Ashanti ilipoanzishwa mwaka 2000 nchini Tanzania, imekuwa kampuni kinara...

Makala & Uchambuzi

Ripoti CAG; Hii ndio sababu REA kujiendesha kwa hasara

UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA). CAG ameimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020. Ukaguzi umefanyika kwa maombi ya wafadhili;...

Makala & Uchambuzi

Kama Ripoti ya CAG ni nzuri, Rais ni mzuri

  MJADALA wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) unaoendelea baada ya kuwasilishwa kwake bungeni Dodoma wiki hii,...

Makala & Uchambuzi

Ripoti za CAG: Ufisadi haujazidi nchini, kilichozidi ni uhuru

  RIPOTI za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali (CAG) zimeibua mjadala mkubwa na mpana nchini tangu zitolewe hadharani siku chache zilizopita. Anaripoti...

Makala & Uchambuzi

Kondomu zinavyotumika kufukuza Tembo

MIKUMI ni miongoni mwa hifadhi za Taifa, inashika nafasi ya 9 kwa ukubwa kati ya hifadhi 22 zinazosimamiwa na Shirika la Hifadhi za...

Makala & Uchambuzi

Ujio wa Kamala Harris: Fahamu uhusiano uliopo baina ya Tanzania na Marekani

  TANZANIA ni miongoni mwa nchi tatu ambazo zimebahatika kutembelewa na Makamu wa Rais wa Marekani ziara ambayo inatajwa kuwa ya kihistoria kutokana...

Makala & Uchambuzi

ZITTO: Hii ndio sababu Malaysia kuushinda umasikini kupitia kilimo, Tanzania ikikwama

  MNAMO Februari 2017, miaka sita sasa imepita, niliandika, kupitia ukurusa wangu wa Facebook, makala haya kuelekea kuadhimisha miaka 50 ya Azimio la...

Makala & Uchambuzi

Ruth Zaipuna: Sekta ya kibenki imeimarika maradufu miaka miwili ya Dk. Samia

Tarehe 19 ya mwezi Machi, ni siku muhimu sana kwa taifa letu, watu wake na historia ya nchi yetu. Kama nchi, tunaungana kusherehekea...

Habari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

Miaka miwili ya Rais Samia, TMA yaimarika, yatoa utabiri kwa usahihi

MACHI 19, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan anatamiza miaka miwili ya kuiongoza Tanzania baada ya kifo cha Rais wa awamu ya tano, John...

Habari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

Zanzibar inahitaji sheria kumaliza udhalilishaji na ukatili wa kijinsia

  DAKTARI Sikujua Omar Hamdan anaamini Zanzibar inahitaji “sheria za pamoja” za kushughulikia tatizo linalokua la udhalilishaji na ukatili wa kijinsia dhidi ya...

Makala & Uchambuzi

Uthubutu, uwezeshaji kielimu unavyopaisha wanawake GGML

MTU anapojitambulisha kuwa anafanya kazi mgodini, watu wengi hudhani kuwa kazi zilizopo ni kuingia chini ya ardhi kutafuta madini pekee. Dhana hiyo imesababisha...

Makala & Uchambuzi

Hawa ndio wanawake wanaotikisa, wanaoigusa jamii ya Watanzania

MACHI 8 kila mwaka Siku ya Kimataifa ya Wanawake duniani ambayo huadhimishwa kwa lengo kuongeza chachu katika harakati za mapambano ya kuleta usawa...

Makala & Uchambuzi

Kampuni ya Shanta Gold Mine inavyounga mkono Serikali kwa huduma za jamii

  KAMPUNI ya uchimbaji wa dhahabu Shanta Gold Mine kupitia mgodi wake wa New Luika iliyoko kata ya Mbangala wilayani Songwe mkoani hapa...

ElimuMakala & Uchambuzi

Waraka maalumu kwa NECTA, “hawapaswi kuungwa mkono”

HATUA iliyotangazwa na Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), ya kufuta utaratibu wa kutangaza shule bora na wanafunzi bora katika matokeo ya mitihani...

ElimuMakala & UchambuziTangulizi

Shule ya msingi yajengwa miaka 25 bila kukamilika, wanakijiji wachoka kuchangia

  Wakazi wa Kijiji cha Makomba kilichopo kata ya Makazi katika wilaya ya Uyui mkoani Tabora wameililia serikali kwa kuwatenga katika miradi ya...

Makala & UchambuziTangulizi

Hawatatukana watafufua makaburi

  VYAMA vya siasa nchini Tanzania vimefunguliwa kutoka katika kifungo cha takribani miaka sita baada ya katazo lisilo la kikatiba wala kisheria la...

Habari za SiasaMakala & UchambuziTangulizi

Panda, shuka ya Diwani Athuman kabla na baada ya kung’olewa Ikulu

  HUENDA tarehe 5 Januari 2023, ikawa ni siku chungu kwa Kamishna Diwani Athuman, baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wake...

Makala & Uchambuzi

Kwa nini walemavu wasioona wanalilia kondomu za nukta nundu?

KWENYE moja ya vikao vya kamati ya watu wenye ulemavu nchini Tanzania, hoja iliyogusa hisia kubwa za wengi ni ya watu wenye ulemavu...

Makala & UchambuziTangulizi

Vifo vilivyotikisa dunia 2022

WAKATI ikiwa imesalia  siku moja kwa 2022 kufika tamati, dunia haitosahau vifo vya watu mashughuri vilivyotikisa ndani ya mwaka huo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Makala & Uchambuzi

Mwaka 2022: Dk. Samia ameongoza kasi ukuaji mahusiano ya kidiplomasia na uchumi kati ya Tanzania, China

TUNAPOELEKEA kufunga mwaka 2022, ubalozi unatoa shukrani za dhati kwa wadau mbalimbali kwa ushirikiano wao uliowezesha utekelezaji wa Majukumu ya Ubalozi. Katika Mwaka...

Makala & Uchambuzi

Haya yafanyike kuvutia wawekeza sekta ya habari

  NI ukweli usiopingika  kwamba vyombo vya habari ni mhimili wa nne wa nchi, ambao una mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya taifa...

ElimuMakala & UchambuziTangulizi

Mwanachuo aliyepasuliwa korodani na Polisi afichua mazito

  MWANACHUO wa Chuo Kikuu cha SAUT mkoani Mwanza, Warren Lyimo anayedaiwa kupigwa na kuteswa  na Polisi hadi kupasuka korodani, amesimulia mambo mazito na...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Mkutano wa SCO ni suluhu la ubinafsi na kukidhi haja ya unganiko hilo?

  INAELEZWA kuwa kuna mzozo wa kwa nchi wanachama wa SCO unatokana na kuteteleka na kushindwa kufanya mkutano wa pamoja wa kujadili tishio...

Makala & Uchambuzi

Madiwani Moshi wadaiwa kuunda mtandao wa kula rushwa, kuruhusu ujenzi holela

NI KASHFA! Ndivyo unavyoweza kuelezea kile kilichojiri mkoani Kilimanjaro katika Manispaa ya Moshi mjini ambapo madiwani wa Kata nne za manispaa hiyo, wamedaiwa...

Makala & UchambuziTangulizi

Kosa la Mwigulu ni nini?

  KWA wanaofahamu jinsi serikali inavyofanya kazi, wanaofahamu kutungwa kwa muswada, kufikishwa kwa mswada huo bungeni na hadi kuwa sheria, hakuna shaka kuwa...

Makala & UchambuziTangulizi

Ndoto ya Odinga kuwa rais wa Kenya ‘imezima’

NDOTO ya Raila Odinga, mtoto wa makamu wa rais wa Kwanza wa Kenya, Jaramogi Odinga, kuwa rais wa Jamhuri ya Kenya imeonekana kuzima...

Makala & UchambuziTangulizi

Uchaguzi mkuu Angola kuzika zama za chama kimoja?

WAPIGA  kura nchini Angola wanapiga kura leo tarehe 24 Agosti, 2022 kumchagua rais mpya. Uchaguzi huo umetajwa kuwa na ushindani mkali kuwahi kushuhudiwa tangu...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Juliana Cherera; kigogo tume ya uchaguzi anayetia mchanga ushindi wa Ruto

Jina la Juliana Cherera ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka kutoka nchini Kenya (IEBC), limepata umaarufu mkubwa baada...

KimataifaMakala & Uchambuzi

Namna Ruto alivyomshinda Odinga uchaguzi mkuu Kenya

  KAMPENI za wafuasi wengi zilizoegemezwa katika simulizi kali za ma-hustlers (watafutaji) sambamba na uungwaji mkono kutoka kwa maeneo yenye utajiri wa kura...

error: Content is protected !!