Thursday , 28 March 2024

Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aonya viongozi wanaosubiri maelekezo kutoka juu

RAIS Samia Suluhu Hassan leo jumapili amewaonya viongozi wa umma kuacha ‘kujidogosha’ kwa kutekeleza majukumu yao kwa kusubiri maelekezo kutoka juu badala yake...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mikoa 16 kupata umeme kwa mgawo kuanzia leo

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO)  limetangaza kuzimwa kwa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa Kilovoti 220 Kidatu -Kihansi kwa tarehe 26 hadi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Askofu Dk. Alex Malasusa mkuu wa KKKT mpya mteule

Wajumbe wa Mkutano Mkuu 21 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wamemchagua Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dk. Alex...

Habari MchanganyikoTangulizi

TMA yatabiri uwepo wa mvua za juu ya wastani hadi wastani msimu wa vuli katika maeneo mengi ya nchi

  MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za juu ya wastani hadi wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mikoa ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Ngorongoro aachiwa, asema harudi nyuma, ashangaa kukamatwa bila kibali cha Spika

HATIMAYE Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai (CCM) ambaye alidaiwa kushikiliwa na polisi tangu tarehe 21 Agosti 2023 ameachiwa huru leo huku akisisitiza...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sekta mbalimbali zatakiwa kuchukua hatua stahiki uwepo wa El Nino

MKURUGENZI Msaidizi (Operesheni na Uratibu), Idara ya Menejimenti ya Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera , Bunge na Uratibu), Luteni Kanali Selestine Masalamado...

Habari za SiasaTangulizi

Mchungaji Lusekelo awavaa maaskofu Katoliki, awataka wakae kimya

MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi jijini Dar es Salaam (GRC), Antony Lusekelo ameukosoa waraka wa Baraza la Maaskofu Katokili Tanzania (TEC) na kudai...

Habari za SiasaTangulizi

Njama za kuvuruga mkutano KKKT zafichuka

KUNA njama zinasukwa za kutaka kuvuruga mkutano mkuu wa Kanisa Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), kupitia kinachoitwa, “Kanisa Moja, Katiba Moja.” Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

KKKT latoa msimamo kuhusu sakata la bandari

  KANISA la Kiinjili La Kilutheri Tanzania (KKKT), limemtaka Rais Samia Suluhu Hassan, kutumia busara katika kutafuta suluhu kuhusu sakata la uwekezaji bandarini,...

Habari MchanganyikoTangulizi

KKKT yalia utapeli makanisa ya kisasa

  WAUMINI wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), wametakiwa kujiepusha na makanisa yaliyoibuka hivi karibuni, yanayodaiwa kutoa mafundisho ya kitapeli kinyume...

Habari za SiasaTangulizi

Kikwete: Tuwanyanyapae wanaochanganya dini, siasa

RAIS Mstaafu Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kuwanyanyapaa viongozi wanaochanganya dini na siasa kwa kuwa ni jambo hatari kwa ustawi wa amani na utulivu...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Msiogope mabadiliko, hakuna atakayepoteza ajira

RAIS Samia Suluhu Hassan amewatoa hofu waajiriwa katika taasisi na mashirika ya umma yatakayofutwa kutokana na sababu mbalimbali kwamba watahamishiwa kwenye mashirika mengine...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aonya taasisi, mashirika ya umma yanayokopa kutoa gawio

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema anataka kuona taasisi na mashirika ya umma yakichangia mfuko mkuu wa serikali kutokana na kipato kinachozalishwa kwa kutekeleza...

Habari za SiasaTangulizi

Mwabukusi, Mdude nao waachiwa kwa dhamana

  HATIMAYE Wakili, Boniphace Mwabukusi na Kada wa Chasema, Mpaluka Saidi Nyangali maarufu kama ‘Mdude’ nao wameachiwa huru na Jeshi la Polisi mkoani...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kanisa Katoliki ‘lashusha kombora’ DP World

  BARAZA la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), limepinga mkataba wa usimamizi na uendelezaji wa bandari nchini, kati ya Tanzania na kampuni ya...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa: Sitarudi nyuma, nimetimiza wajibu wangu

  BALOZI Dk. Willibroad Slaa leo Ijumaa amesema kitendo cha polisi kumkamata kinguvu tarehe 13 Agosti 2023 kisha kutuhumiwa kwa uhaini, hakitamrejesha nyuma...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa aionya Serikali marekebisho sheria ya rasilimali asilia

  BALOZI Dk. Willibroad Slaa amedai kuwa katika Mkutano wa 12 wa Bunge unaotarajiwa kuanza tarehe 29 Agosti 2023, iwapo marekebisho ya muswada...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa aachiwa kwa dhamana, Mwabukusi, Mdude kitendawili

HATIMAYE Balozi Dk. Wilbroad Slaa leo Ijumaa mchana ameachiwa huru baada ya kutimiza masharti ya dhamana aliyoagizwa na Jeshi la Polisi Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa asafirishwa usiku Dar, Polisi waita wadhamini

WAKILI Dickson Matata amethibitisha kuwa Balozi Dk. Wilbroad Slaa amerejeshwa Dar es Salaam na kutakiwa kuwa na wadhamini wawili wenye barua za utambulisho...

Habari za SiasaTangulizi

Wakili: Mwabukusi mgonjwa, ana mshono

WAKILI Philip Mwakilima ambaye anasimamia kesi inayomkabili ya Wakili Boniphace Mwabukusi na wenzie leo Alhamisi amesema mteja wake anaumwa hivyo Jeshi la Polisi...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Dk. Slaa na wenzake: Polisi kuburuzwa kortini

MAWAKILI wa Dk. Willibord Slaa na wenzake watatu, wako mbioni kufungua shauri Mahakama Kuu, Kanda ya Mbeya, kuomba amri ya kuwataka jeshi la...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awapangia vituo mabalozi 3, Kipilimba, Migiro warejeshwa

RAIS Samia Suluhu Hassan amewapangia vituo vya kazi Mabalozi watatu na kumbadilishia kituo cha kazi Balozi mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Pia Balozi...

Habari za SiasaTangulizi

Nape adai Dk. Slaa, wenzie wamekamatwa kwa tuhuma za uhaini, si kukosoa mkataba DP World

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Dk. Willibrod Slaa, Boniface Mwabukusi na Mpaluka Nyangali ‘mdude’ wamekamatwa kwa tuhuma...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jukwaa la wahariri lasikitishwa waandishi kushambuliwa, laonya wasiasa kuhamasisha vurugu

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limesikitishwa na tukio lililofanywa na vijana wa Kimasai (morani) zaidi ya 200 katika Kata ya Enduleni, wilayani Ngorongoro...

Habari za SiasaTangulizi

Mabalozi mtegoni, Samia akerwa balozi aliyekataliwa kwa ugoigoi

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka mabalozi wapya aliowaapisha leo Jumatano kuelekea kwenye vituo vyao vya kazi wakiwa wamekamilika kwa sababu muda wowote wanaweza...

Habari za SiasaTangulizi

Wakazi Mbeya washinikiza Mwabukusi, Slaa waachiwe huru

BAADHI ya wakazi wa jijini Mbeya wamepaza sauti zao kwa serikali na kuiomba iwaachie huru au kuwafikisha mahakamani Wakili Boniface Mwabukusi, Mpaluka Said...

Habari za SiasaTangulizi

Watetezi haki za binadamu walaani kukamatwa wanaopinga mkataba DP World

WADAU wa haki za binadamu nchini na mashirika ya kimataifa wamelaani kitendo cha kukamatwa kwa wanasiasa na wanaharakati wanaopinga mkataba ushirikiano wa kiuchimi...

Habari za SiasaTangulizi

Balozi Dk. Slaa naye adaiwa kukamatwa

BALOZI na Mwanasiasa maarufu nchini, Dk. Wilbroad Slaa anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi nyumbani kwake Mbweni jijiji Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Polisi: Tumemkamata Mwabukusi, Mdude kwa mahojiano

Jeshi la Polisi nchini limethibitisha kuwakamata Wakili Boniface Mwabukusi na Mpaluka Said Nyagali maarufu kama Mdude kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi....

Habari za SiasaTangulizi

Wakili Mwabukusi mbaroni, yumo pia Masonga na Mdude

MWANASHERIA mahiri nchini na Wakili wa kujitegemea, Boniface Mwabukusi amekamatwa na jeshi la Polisi. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali, akiwamo...

Habari za SiasaTangulizi

IGP Wambura acharuka, asema kuna watu wanataka kuiangusha Serikali, “wasitikise kiberiti”

MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillius Wambura amesema kuna kundi la watu ambao wamepanga kuandaa maandamano nchi nzima ili kuiangusha Serikali ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwabukusi ataja sababu 3 kukata rufaa kupinga hukumu kesi DP World

  WAKILI Boniface Mwabukusi anayeongoza jopo la mawakili waliosimamia kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wananchi wanne mkoani Mbeya, ametangaza kukata rufaa kupinga hukumu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mahakama kuu yabariki mkataba DP World, yadai haujakiuka Katiba

  MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Mbeya Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya leo Alhamisi imetupilia mbali kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wananchi wanne wakiongozwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Abiria ABOOD walionusurika ajalini, wazua timbwili, Mbunge Abood ang’aka

KAMPUNI ya mabasi ABOOD imeingia matatani baada ya uongozi wa kampuni hiyo kuwalazimisha abiria zaidi ya 50 kusafiri kwa basi bovu lililopata ajali...

Habari za SiasaTangulizi

Samia: Serikali haijafunga mipaka kuuza mazao nje ya nchi

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haijafunga mipaka kuuza mazao nje ya nchi, bali inataka kuwe na mfumo wa ununuzi, uuzaji na usafirishaji...

Habari za SiasaTangulizi

Chongolo awachongea wakuu wa mikoa, wilaya kwa Rais Samia

KATIBU Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoa kauli kuhusu wakuu wa wilaya na mikoa ambao wameshindwa kuthibiti kikundi...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yaahirisha hukumu ya kesi ya ‘DP Word’

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Mbeya, leo Jumatatu, imeahirisha kutoa uamuzi wa shauri la madai lililofunguliwa na raia watano, wanaopinga makubaliano ya kibiashara na...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia: Ofisi msajili vyama vya siasa haina uwezo kusimamia upatikanaji Katiba mpya

JAMES Mbatia, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, amesema Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, haiwezi kushughulikia mchakato wa upatikanaji katiba mpya,...

BiasharaTangulizi

Wafanyabiashara waitwa Bandari ya Dar es Salaam

  WAFANYABIASHARA wametakiwa kutumia Bandari ya Dar es Salaam, kusafirisha mizigo yao badala ya kutumia bandari za mbali, ili kuokoa muda na gharama....

Habari MchanganyikoTangulizi

Mzee amuangukia Majaliwa kutekwa kwa mwanaye, “bora nife”

KATIKA hali isiyo ya kawaida Mzee Isaac Mwasilu mkazi wa Kata ya Iyela – Mbeya Mjini mkoani Mbeya, amesema bora arudi nyumbani na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Uhaba wa dola wapaisha bei ya petroli

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia...

Habari za SiasaTangulizi

Vyama vya siasa vyaomba Chadema ifutwe, msajili atoa kauli

BAADHI ya vyama vya siasa vya upinzani nchini vimeitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, ivifutie usajili vyama vinavyokiuka sheria katika...

KimataifaTangulizi

Rais awatimua mawaziri kwa kuchelewa kikaoni

RAIS wa Kenya, William Ruto amemtimua Waziri wa Biashara, Moses Kuria na mwenzake wa Usalama wa Ndani Kithuri Kindiki baada ya kuchelewa kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto aitaka Serikali kutoa elimu kwa wanasiasa kuhusu mkataba DP WORLD

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameitaka Serikali itoe elimu kwa vyama vya siasa, kuhusu mkataba wa uwekezaji bandari nchini, ili kuondoa...

AfyaTangulizi

Puto lampunguza Msechu kilo 17, aongezewa maji

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili Mloganzila imesema hadi sasa imetoa huduma ya kupunguza uzito kwa watu 128 wenye uzito uliopitiliza kwa kutumia puto maalum...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaijibu CCM mashambulizi dhidi ya Rais Samia

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema maridhiano yanayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, hayatazuia kuikosoa Serikali yake katika mikutano ya hadhara. Anaripoti...

Tangulizi

Makamba awataka Watanzania kuvumilia machungu ya mageuzi Tanesco

WAZIRI wa Nishati, Januari Makamba amewataka wananchi wawe na subira wakati Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), linafanya mageuzi ya utendaji kazi wake. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Makamba: ‘Madalali’ nifuateni mimi, iacheni Tanesco

WAZIRI wa Nishati, January Makamba amewataka watu wasiingize siasa katika utendaji wa wizara yake, kwa kuwa kitendo hicho kinaathiri maendeleo ya nchi. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mitumbwi 2 yazama Ziwa Victoria, 14 wafariki dunia

WAUMINI 14 wa Kanisa la KTMK, Kijiji cha Ichigondo, wilayani Bunda, Mkoa wa Mara, wamefariki dunia, huku 14 wakijeruhiwa baada ya mitumbwi waliyokuwa...

KimataifaTangulizi

Raila, Ruto sasa kupatanishwa na Obasanjo

RAIS mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo ataongoza kamati ya watu 10 katika mazungumzo kati ya Rais wa Kenya, William Ruto na kiongozi wa...

error: Content is protected !!