MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars ) imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) baada...
By Kelvin MwaipunguJanuary 28, 2021DAKIKA tatu zilizotosha kumfanya Bernard Morisson kuibuka mchezaji bora wa mechi mara baada ya kupachika mabao mawili kwenye mchezo wa Kombe la...
By Kelvin MwaipunguJanuary 27, 2021YUDA Thaddaeus Ruwa’ichi, Askofu Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam nchini Tanzania, amewaomba waumini kuchukua tahadhari juu ya...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema, hana mpango wa kuifungia nchi (lock down), kutokana na hofu ya maambukizi ya virusi vya corona...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2021BARAZA la Maaskofu la Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), limetoa tahadhari kwa wananchi kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona na ugonjwa wa...
By Saed KubeneaJanuary 26, 2021RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ametangaza msahama wa wafungwa na mahabusu 1,789 wa Ethiopia wanaoshikiliwa katika mahabusu na magereza mbalimbali nchini...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2021WAKATI kikosi cha Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara kikiingia kambini hii leo kujiandaa na michezo ya mzunguko wa pili...
By Kelvin MwaipunguJanuary 25, 2021KATIKA kuchukua tahadhari dhidi ya kusambaa kwa maambukizo ya virusi vya corona (COVID-19), Sahle – Work Zewde, Rais wa Ethiopia amepimwa joto...
By Hamisi MgutaJanuary 25, 2021UONGOZI wa klabu Simba umemtambulisha, Didier Gomes raia wa Ufaransa kuwa kocha mpya wa klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguJanuary 24, 2021ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Daniel Ngoyi Mulunda, sasa yuko gerezani anakotumikia kifungo chake. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2021KAMATI Nidhamu ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam, imemkuta na hatia kiungo wa klabu hiyo, Jonas Mkude ya utovu wa...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2021BARAZA la Uuguzi na Ukunga Tanzania, limemwondoa kwenye orodha ya wauguzi na wakunga Tanzania, Valentine Kinyanga wa kituo cha afya Mazwi, Sumbawanga Mkoa...
By Hamisi MgutaJanuary 23, 2021UINGEREZA imepiga marufuku abiria kutoka Tanzania na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kuingia nchini humo, ili kuzuia maambukizo ya aina mpya ya...
By Masalu ErastoJanuary 22, 2021MTENDAJI Mkuu wa klabu ya Simba, Barbara Gonzalez amemaliza sintofahamu juu ya winga wa timu hiyo, Bernard Morrison kuhusu taarifa zilikuwa zinaeleza...
By Kelvin MwaipunguJanuary 22, 2021SHIRIKA la Viwangoa Tanzania (TBS), limeshindwa kueleza iwapo gari litashindwa kukaguliwa ndani ya siku saba, tozo ya kuhifadhi gari hilo bandarini zitatolewa...
By Masalu ErastoJanuary 22, 2021TIMU ya Simba ya Dar es Salaam, imetangaza michuano ya Kimataifa ‘Simba Super CUP’ ikihusisha timu tatu Simba, TP Mazembe ya Congo...
By Kelvin MwaipunguJanuary 22, 2021ISAAC Aman, Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha amewataka Watanzania kutomjaribu Mungu katika kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2021MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesihi Wazanzibari kuendelea kustahamili shida kabla ya kutarajia matokeo ya haraka ya...
By Hamisi MgutaJanuary 21, 2021KUIBUKA upya kwa ugonjwa wa Corona ulimwenguni, kunaweza kusababisha mataifa kadhaa ya Ulaya, kufunga mipaka yake, ili kuzuia kusambaa kwa ugonjwa huo. Anaripoti...
By Saed KubeneaJanuary 21, 2021KIUNGO wa timu ya Simba na Taifa ya Tanzania, Jonas Mkude ameomba radhi kwa viongozi, wanachama pamoja na mashabiki wa klabu hiyo mara...
By Kelvin MwaipunguJanuary 21, 2021MHANDISI Deusdedit Kakoko, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA) amesema, yeye ni miongoni mwa watu wanaochunguzwa katika sakata la kuisababishia hasara serikali....
By Masalu ErastoJanuary 21, 2021TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeitaka Marekani kueleza namna Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ulivyoingiliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2021HATA kabla ya saa 24 kupita tangu kuapishwa kwake kuwa Rais wa 46 wa Marekani, Joe Biden tayari amebatilisha baadhi ya sera za...
By Masalu ErastoJanuary 21, 2021WAKATI Ligi Kuu England ikiendelea tena leo ikiendelea leo kwa michezo miwili kupigwa, haki imeonekana si shwari kwa timu kugombania nafasi nne za...
By Kelvin MwaipunguJanuary 20, 2021DONALD Trump, ametoa hotuba yake ya mwisho akiwa Rais wa Marekani akisema, “Tumefanya kile ambacho tulikuja kukifanya na tumefanya mambo mengine mengi.” Inaripoti...
By Masalu ErastoJanuary 20, 2021KAMPUNI ya LZ Nickel Limited ya nchini Uingereza, imefuata nyayo za Kampuni ya Madini ya Barrick Gold Corparation, kwa kuingia ubia na Serikali...
By Regina MkondeJanuary 19, 2021HATIMAYE Naghenjwa Kaboyoka, aliyekuwa mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), amerejeshwa tena kuongoza nafasi hiyo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...
By Danson KaijageJanuary 19, 2021ALIYEKUWA katibu mkuu wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), nchini Tanzania, Grace Tendega, amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Kamati...
By Danson KaijageJanuary 18, 2021MSHAMBULIAJI na Nahodha wa timu ya FC Barcelona, Lionel Messi ameoneshwa kadi nyekundu kwa mara ya kwanza tangu alipoanza kuitumikia klabu hiyo kwenye...
By Kelvin MwaipunguJanuary 18, 2021RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ameutaka uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuhakikisha inamaliza tatizo la wanafunzi wa Shule ya Msingi,...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2021CHAMA cha NCCR- Magezi, nchini Tanzania, kimefanya mabadiliko makubwa katika uongozi wake wa kitaifa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Katika mabadiliko hayo, Martha Chiomba, ambaye alikuwa...
By Hamisi MgutaJanuary 17, 2021RAIS John Magufuli amewataka Watanzania, kulima mazao hasa ya chakula, ili kuzisaidia nchi ambazo zinashindwa kulima kutokana na kufungiwa ndani, kujikinga na maambukizi...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2021KAZI ya kumwaga sumu ya ubaguzi miongoni mwa Wazanzibari, inayofanywa na Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na makamu wake wa kwanza...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2021JOSEPH Mafuru, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, amewataka wananchi wanaokwenda kununua ardhi jijini humo kutuliza akili, vinginevyo watanunua sehemu zilizotengwa kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2021CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, NCCR-Mageuzi “Katiba Mpya ni takwa la lazima kwa Watanzania, penda usipende.” Anaripoti Hamis Mguta, Dar es...
By Hamisi MgutaJanuary 16, 2021BARAZA Mitihani la Tanzania (Necta), limetangaza matokeo ya mthani wa kidato cha nne, uliofanyika mwaka 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...
By Masalu ErastoJanuary 15, 2021BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la nne uliofanyika 2020. MATOKEO YA DARASA LA NNE HAYA HAPA
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2021BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya kidato cha nne uliofanyika Novemba 2020. MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2021BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya kidato cha pili uliofanyika tarehe 23 Novemba hadi 11 Desemba 2020. MATOKEO YA KIDATO...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2021DAKTARI John Magufuli, Rais wa Tanzania amemwomba Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kumsaidia Dk. Hussein Ali Mwinyi, rais...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2021BONIFACE Amani Gichina, Mchungaji wa Kanisa la Living Faith Church maarufu Winners’ Chapel International, nchini Kenya amefungwa jela miaka 140 kwa kuwapa mimba...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2021MTANDAO wa kijamii wa Facebook umefungia akaundi zinazoshabikia Chama Tawala cha Uganda, NRM kinachoongozwa na rais wa nchi hiyo, Yoweri Museveni. Inaripoti mitandao...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2021TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imefanya mabadiliko ya uongozi, sambamba na kuanzisha huduma inayotembea (Mobile PCCB), kwa ajili ya...
By Regina MkondeJanuary 13, 2021WAZIRI wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Geofrey Mwambe amesema, kupanda kwa bei ya mafuta ya kula, kumesababishwa na mfumuko wa bei ya...
By Regina MkondeJanuary 12, 2021RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, amewaomba Wazanzibar kushirikiana na Serikali yake kufanya mageuzi ya kiuchumi, ili kuyaenzi mapinduzi matukufu ya tarehe 12 Januari...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2021RAIS mstaafu wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, ameanza kujiandikia kitabu kitakachoeleza historia ya maisha yake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...
By Regina MkondeJanuary 12, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema Wilaya ya Chato iliyoko mkoani Geita, ilianza kujengwa na Baba wa Taifa, Hayati Julius Nyerere. Anaripoti Mwandishi...
By Hamisi MgutaJanuary 11, 2021MARAIS John Magufuli wa Tanzania na Filipe Nyusi wa Msumbiji, wametoa maagizo kwa watendaji wanaosimamia ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2021MAALIM Seif Sharif Hamad, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, amewataka watumishi wa ofisi yake, wanakuwa nadhifu kuanzia mavazi mpaka maeneo yao...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2021NDEGE ya Kampuni ya Sriwijaya Air, aina ya Boeing 737 imepoteza mawasiliano na haijulikani ilipo. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Taarifa zinaeleza, ndege hiyo...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2021