MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
KITENDO cha baadhi ya wezi wa fedha za umma kutochukuliwa hatua za kisheria, kimewachefua baadhi ya wabunge ambao wametaka sheria mahususi itungwe itakayoweka...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2023SERIKALI imekamilisha kazi ya mapitio ya mitaala ya elimu kuanzia ngazi ya msingi, sekondari hadi ualimu, huku ikiendelea na mapitio ya mitaala na...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2023KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amempa miezi sita Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, atatue migogoro ya ardhi inayowakabili wananchi.Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya amefika mbele ya Mahakama ya Rufani jijini Arusha, kusikiliza rufaa iliyofunguliwa na...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023MUSWADA wa Bima ya Afya kwa Wote wa 2022, umewasilishwa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu na kusomwa kwa mara...
By Regina MkondeNovember 1, 2023MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za nishati ya mafuta nchini ambazo zimeanza kutumika leo Novemba...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2023RAIS wa Shirikisho la Ujerumani, Dk. Frank Walter Steinmeier, ameahidi kufanya mazungumzo na watu walioathiriwa na ukoloni uliofanywa na taifa hilo, juu ya...
By Regina MkondeOctober 31, 2023HAFLA ya 67 ya Ballon d’Or ilifanyika usiku wa Jumatatu tarehe 30 Oktoba 2023 kwenye ukumbi wa Théâtre du Châtelet jijini Paris, Ufaransa...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2023NAIBU Spika wa Bunge, Azzan Zungu, amesema kilichofanya Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, achaguliwe kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023SERIKALI imemtaka Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, kutumia nafasi hiyo kuhakikisha analinda maslahi ya Tanzania katika jumuiya za...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2023CHAMA cha ACT Wazalendo kimelinda kiti cha uwakilishi jimboni Mtambwe lakini kimelalamikia mbinu chafu za makada wa Chama Cha Mapinduzi zilizolenga kulazimisha...
By Jabir IdrissaOctober 29, 2023MAMLAKA ya Mapato Tanzania imetoa wito kwa Watanzania kujiepusha na matumizi ya risiti na stempu feki ambazo zinaikosesha serikali mapato. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Gabriel MushiOctober 28, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema uchaguzi mdogo wa uwakilishi jimboni Mtambwe, unaooigwa kesho, ni alama...
By Jabir IdrissaOctober 27, 2023Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Zelote Stephen amefariki dunia jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Mwandishi WetuOctober 27, 2023RAIA wawili wa Tanzania na mmoja wa Afrika Kusini, ni miongoni mwa mateka 224, wanaoshikiliwa na wanamgambo wa Hamas, baada ya mashambulizi...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2023Naibu Wazirj Mkuu, Dk. Doto Biteko amesema migodi zaidi ya 350 ya wachimbaji wadogo imeunganishwa na umeme wa gridi ya Taifa na hivyo...
By Gabriel MushiOctober 25, 2023Mahakama Kuu ya Tanzania Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki Temeke kimetoa uamuzi juu ya urithi wa mali za marehemu Augustino Lyatonga Mrema ambapo...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2023RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewataka wafanyabiashara wa Zambia, kuitumia Bandari ya Dar es Salaam, kwa kuwa sasa inafanyiwa maboresho ili...
By Regina MkondeOctober 24, 2023MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imepanga tarehe 14 Disemba 2023 kutoa uamuzi wa kesi iliyofunguliwa na wabunge viti Maalum 19...
By Regina MkondeOctober 24, 2023UTEUZI wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, katika nafasi ya ukatibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2023Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa leo Jumapili amesema kwa kawaida Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hukusanya tozo...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usimamizi Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa leo Jumapili amesema katika mikataba hiyo mitatu, serikali itakuwa inapata ada na tozo...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema katika kutekeleza mkakati wa Serikali wa kuimarisha shughuli za bandari Dar es Salaam,...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023HATIMAYE aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameteuliwa na Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Katibu wa...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Sophia alikuwa...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaasa wachimbaji wadogo kuachana na vitendo vya utoroshaji madini. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea)....
By Mwandishi WetuOctober 21, 2023Mfanyabishara maarufu nchini, Rostam Aziz, kupitia kampuni yake ya Taifa Group, ameingia nchini Zambia ambako ameanza kuwekeza kwenye sekta ya uzalishaji umeme kwa...
By Gabriel MushiOctober 21, 2023TANGU vita baina ya taifa la Israel na wanamgambo wa Hamas kutoka Ukanda wa Gaza nchini Palestina viibuke tarehe 7 Okotoba 2023, kumeripotiwa...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023CHANZO cha ajali ya moto ulioteketekeza Soko la Kariako eneo la Mnadani na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara zaidi ya 550, kimetajwa kuwa...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa hali ya utoshelevu wa mafuta nchini kwa kipindi cha mwezi Julai...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2023Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amewataka wananchi kupuuza taarifa iliyosambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2023ZAIDI ya watu 500 wameripotiwa kuuawa usiku wa leo Jumanne kwenye shambulizi ambalo limetokea hospitalini Ahli Arab katika Ukanda wa Gaza. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023BAADHI ya wahubiri na makasisi wamesema hatua ya serikali ya Kaunti ya Kisii nchini Kenya kuanza kutoza ushuru makanisa na wahubiri itarudisha nyuma...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023MUME anayedaiwa kumteka nyara mkewe na kumficha katika Kaunti ya Meru nchini Kenya, amefikishwa kortini. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …(endelea). Abdullahi Mohammed Gullei...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023KAMA ulidhani madadapoa hufurika mikoa ya Kanda ya Ziwa pekee pindi wakulima wanapovuna na kuuza pamba, umekosea kwani hali kama hiyo pia imetokea...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amezitaka wizara nchini zibane matumizi katika fedha za miradi ya maendeleo ili zilete matokeo yenye tija. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewaomba viongozi wa dini wasimamie haki kwa kuwa inainua taifa.Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka watanzania wadumishe amani na upendo kuelekea kipindi cha uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023KUFUATIA kuendelea kuzorota kwa hali ya usalama nchini Israel na maeneo mengine ya jirani, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeandaa mpango...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ameagiza apewe ripoti ya hatua zilizochukuliwa dhidi ya watumishi wa umma waliohusika katika usimamizi wa miradi saba yenye...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki misa ya kumuombea Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, aliyefariki dunia tarehe 14 Oktoba 1999. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wananchi kwa ujumla na kampuni ambazo kwa asili ya majukumu na kazi zao, matumizi ya mtandao binafsi...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesema viongozi wa umma wanaofanya vibaya katika utekelezaji wa majukumu yao, hawatapewa nafasi nyingine serikalini. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023JENGO la Dakhalia la Skuli ya Sekondari ya Hasnuu Makame ilioko Kibuteni Wilaya ya Kusini Unguja, limeungua moto sehemu ya juu, imeripotiwa....
By Mwandishi WetuOctober 12, 2023ALIYEKUWA Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Dk. Rugemeleza Nshala leo Alhamisi amehojiwa na katika Kituo cha Polisi Kanda Maalumu Dar Es Salaam...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2023Katika kuhakikisha Tanzania inalinda rasilimali madini ili zichangie maendeleo ya nchi na kuinua uchumi wa watanzania, Serikali imesimamisha leseni zote nchini za Kampuni...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2023WAKILI Boniface Mwabukusi amedai Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limemhoji kuhusu tuhuma za kutumia wimbo wa chama kingine ambacho kinatajwa kuwa ni Chadema...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2023HALI za wapalestina waishio ukanda wa Gaza, imezidi kuwa mbaya kufuatia mashambulizi ya anga na mabomu yanayoendelea kufanywa na Israel, ambayo yamesababisha...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru,...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2023JESHI la Polisi mkoani Mbeya, limemwachia Wakili Boniface Mwabukusi, baada ya kumshikilia kwa saa kadhaa tangu alivyoitikia wito wa kuripoti ili kuhojiwa...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2023