Tuesday , 23 April 2024

Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Habari MchanganyikoTangulizi

Bila kusafiri hupati Paspoti – Uhamiaji

IDARA ya Uhamiaji nchini Tanzania imeeleza, ili mtu yeyote aweze kupewa hati ya kusafiria (paspoti), ni lazima awe na kusudio la kusafiri. Anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto ‘achambua’ kauli ya Mama Samia, Majaliwa

  ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, amesema kauli ya Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania na Waziri Mkuu,...

Habari za SiasaTangulizi

Mama Samia abeba ahadi ya Rais Magufuli Tanga

  MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani ameahidi kusimamia ujenzi wa barabara ya Korogwe Vijijini hadi Tanga Mjini, ili kutekeleza ahadi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kesi ya Kambole kufutwa uwakili yapigwa kalenda

  KESI ya Wakili Jebra Kambole na mwenzake Edson Kilatu kufutiwa uwakili, iliyopangwa kusikilizwa leo Jumatatu tarehe 15 Machi 2021, katika Mahakama Kuu...

BurudikaTangulizi

Wizkid, Burnaboy wan’gara tuzo za grammy, Beyonce aweka rekodi

  TUZO kubwa ulimwenguni, zinazotolewa nchini Marekani maarufu ‘Grammy,’ zimeshuhudia gwiji wa muziki, Beyonce akiweka rekodi kwa kushinda na kufikisha tuzo 28 tangu...

Habari za SiasaTangulizi

Kiwanga ajitosa kuwania ‘kiti cha Mdee’

  JINA la Susan Kiwanga, limeingia kwenye orodha ya wanachama wa Chadema wanawania nafasi ya Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la chama...

Habari za SiasaTangulizi

Mama Samia: Ni wakati muhimu Watanzania tushikamane

  MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, hakuna kipindi ambacho taifa hilo, lipanaswa kujenga umoja, kama kipindi hiki cha sasa....

Tangulizi

Maangamizi Myanmar, waliouawa wafika 126

  IDADI ya wananchi waliouawa nchini Myanmar tangu jeshi la nchi hiyo kupora madaraka na kuanza kwa mandamano tarehe 1 Februari 2021, wamefika...

Habari za SiasaTangulizi

NCCR-Mageuzi yajitosa sakata la Rais Magufuli

CHAMA cha upinzani nchini Tanzania – NCCR-Mageuzi – kimekoleza moto katika mjadala unaohusu mahali alipo Rais John Pombe Magufuli. Anaripoti Matrida Peter Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Akamatwa kwa kusambaza taarifa ‘JPM mgonjwa’

CHARLES Majura (35), fundi simu na mkazi wa Dar es Salaam, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, kwa madai ya kusambaza...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wamsaka Kigogo

  JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Dar es Salaam linamsaka mwanaharakati anayejiita jina la Kigogo katika mtandao wa Twitter. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wahoji alipo Rais Magufuli, Majaliwa awajibu

CHAMA cha Demokrasia na Mandeleo (Chadema), kimeitaka serikali ya Tanzania kuvuja ukimya juu ya mahali alipo Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

RC Chalamila: Nimezungumza na Rais Magufuli

  MKUU wa Mkoa wa Mbeya (RC), Albert Chalamika amesema, Rais wa Tanzania, John Magufuli yuko salama na anaendelea na majukumu yake kama...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yaanika mwelekeo wa bajeti, deni la taifa lazidi kupaa

  WAZIRI wa fedha na mipango wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango amesema, serikali imekopa kiasi cha dola za Marekani 463.8 milioni (Sh. 1.1...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yatimua wafuasi wengine wa Mdee

  WANACHAMA saba wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mara wamevuliwa uanachama huku watatu wakiwekwa chini ya uangalizi kwa muda wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwanamke wa Kitanzania aliyekwapua mamilioni NBC

  SARAH Martin Simbaulanga, alivuma katika vichwa vya habari nchini Tanzania, miaka ya 1987, baada ya kuiibia Benki ya NBC, mamilioni ya shilingi,...

Habari za SiasaTangulizi

Uteuzi wa Dk. Bashiri utata mtupu

  KATIBU Mkuu Kiongozi (CS) wa Tanzania, Dk. Bashiru Ally, ameibua utata mpya wa kisheria, kufuatia kuendelea kuhudumu katika wadhifa wake wa katibu...

Habari za SiasaTangulizi

Mrema: Mimi ni mzima

  MKURUGENZI wa Itifaki na Mawasiliano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania John Mrema amesema, “mimi ni mzima wa afya.”...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mgahawa wa viziwi unavyovutia wengi Iringa

  KUKOSA kiungo kimoja katika mwili wako ama kuwa na ulemavu sio mwisho wa maisha. Anaripoti Hamis Mguta, Iringa…(endelea). Kauli hii inathibitishwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Maajabu kaburi la Maalim Seif

  BAADHI ya watu wanaokwenda kuzuru kaburi la Maalim Seif Sharif Hamad (77), aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, wanadaiwa kuchota mchanga...

Tangulizi

Vifurushi: Kampuni za simu zapewa siku 30

  SERIKALI ya Tanzania, imetoa mwezi mmoja kwa kampuni za mawasiliano ya simu za mkononi nchini humo, kuanza kutumia bei elekezi za vifurushi....

MichezoTangulizi

Simba yamfukuzisha Kaze Yanga

  MCHEZAJI wa zamani wa klabu ya Yanga, Ally Mayai amesema ubora wa kikosi cha Simba kwa sasa umechangia na kusukua, uongozi wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Usiyoyajua kuhusu Panya wapima TB

  MAMBO yanabadilika kadri teknolojia inavyozidi kukua. Panya ni mnyama mwenye historia ya uharibifu tu akiingia ndani ya nyumba, lakini hii ni tofauti....

MichezoTangulizi

Kaze, Nizar halfani watimuliwa Yanga

  UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kuvunja benchi lote la ufundi sambamba na kusitisha mkataba na aliyekuwa kocha wao Cedric Kaze na...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Mahindi Kenya Vs Tanzania: Zitto aonesha njia

  WAKATI Serikali ya Tanzania ikilalamikia hatua ya Kenya kuzuia mahindi yake kuingia nchini humo, Zitto Kabwe ameshauri diplomasia itumieke. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

COVID-19: Prof. Lipumba ‘watu wana hofu’

  PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) amesema, wataalamu na wanasayansi Tanzania wamekuwa na hofu ya kueleza hali halisi kuhusu...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif aliacha siri nzito

  MANSOUR Yusuf Himid (53), mmoja wa wanasiasa machachari visiwani Zanzibar, ndiye aliyekuwa chaguo la kwanza la Maalim Seif Sharif Hamad, kutaka kurithi...

Habari za SiasaTangulizi

Katibu Mkuu mpya CCM huyu hapa

MJADALA wa nani atakayeshika nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), umeanza kushika kasi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...

Habari za SiasaTangulizi

Corona yatinga Z’bar, Rais Mwinyi: Imeathiri watu wetu

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekiri hadharani kuwa visiwa hivyo, ambavyo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, vinakabiliwa...

Habari za SiasaTangulizi

Bandari ya Kigoma yaipiku Mwanza

  MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusidedit Kakoko amesema, maboresho makubwa yaliyofanywa katika Bandari ya Kigoma yameanza...

MichezoTangulizi

Yanga yapigwa tatu na Simba, yashushwa kileleni

  TIMU ya Simba Queen imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0, dhidi ya Yanga Princess kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake....

HabariTangulizi

La Chaaz yateketea

  BAA maarufu ya La Chaaz, iliyoko Sinza Mori, mkoani Dar es Salaam imeteketea kwa moto leo Ijumaa, tarehe 5 Machi 2021. Anaripoti...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Chadema: Serikali itoe taarifa sahihi za corona, chanjo

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali ya Tanzania, kupima na kutoa takwimu za maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Othman Masoud apitia njia ya Maalim Seif

  MAKAMO wa Kwanza wa Rais Visiwani, Othman Masoud Othman, ameonyesha kuwa ataendeleza kwa vitendo, matamanio na mwelekeo wa mtanguzi wake katika nafasi...

MichezoTangulizi

Yanga yapotea Tanga, yakubali kichapo cha mabao 2-1

  BAO la dakika ya 85 lilofungwa na Mudathir Abdallah lilitosha kuipatia ushindi wa mabao 2-1, timu ya Coastal Union dhidi ya Yanga...

MichezoTangulizi

Simba yabadilishiwa muda wa mechi Sudan, sasa kukipiga saa 9

KIKOSI cha wachezaji 25 wa Simba pamoja na viongozi kimewasilini jijini Khartom nchini Sudan kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya mabingwa barani...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mwinyi amteua Dk. Mkuya, Nassor Mazrui

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi amewaingiza kwenye baraza lake la amwaziri Dk. Saada Mkuya Salum, Nassor Ahmed Mazrui na Omar Said...

Habari za SiasaTangulizi

Mrithi wa Maalim Seif ataja ‘kilichombeba’

  OTHMAN Masoud Sharif, Makamu wa Kwanza wa Rais visiwani Zanzibar, ametaja mambo matatu yaliyombeba kuteuliwa katika nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mapadri 25, Masista 60 waaga dunia Tanzania

  TAKRIBANI mapadri 25, masista, manesi na madaktari 60 wa Kanisa Katoliki Tanzania, wamefariki dunia kutokana na tatizo la kupumua, ndani ya kipindi...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Mwinyi amwapisha mrithi wa Maalim Seif

  RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, amemwapisha Othuman Masoud Othuman wa chama cha ACT-Wazalendo kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais visiwani humo. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mrithi wa Maalim Seif aahidi haya

  OTHMAN Masoud Othman (58), Makamu wa Kwanza wa Rais Mteule visiwani Zanzibar, amewapa ahadi Wazanzibari. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea). Ahadi hiyo ameiweka kwenye...

MichezoTangulizi

Simba yaichapa Jkt, Yaisogelea Yanga

  USHINDI wa mabao matatu walioupata Simba dhidi ya JKT Tanzania, ulitosha kuwafanya kuibuka na pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Mwinyi ateua mrithi wa Maalim Seif

  RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, amemteua Othuman Masoud Othuman wa ACT-Wazalendo kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais visiwani humo, kuchukua nafasi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Mwinyi: Nileteeni anayefanana na Maalim Seif

  SIKU chache baada ya Maalim Seif Shariff Hamad (71), aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais visiwani humo kufariki dunia, Rais wa Zanzibar,...

Habari za SiasaTangulizi

Jina la mrithi wa Maalim Seif, lafikishwa kwa Rais Mwinyi

  KIONGOZI Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema, chama chake, tayari kimekabidhi kwa Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, jina...

Habari za SiasaTangulizi

Mrithi wa Maalim Seif, siri nzito

  MCHAKATO wa kumtafuta mrithi wa Maalim Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Makamo wa Kwanza wa Rais Visiwani, umemalizika. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli amuapisha Katibu Mkuu Kiongozi mpya

  DK. Bashiru Ally, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameapishwa rasmi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru: Nilipata taarifa za uteuzi mitandaoni

  DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu Kiongozi amesema, taarifa za kuteuliwa kwake, kwa mara ya kwanza alizipata kupitia mitandaoni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli amteua Dk. Bashiru kumrithi Balozi Kijazi

  RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaan … (endelea). ...

Habari za SiasaTangulizi

Saa 48 baada ya Maalim Seif kuzikwa

  Saa 48 baada ya kuzikwa kwa Maalim Seif Sharif Hamad (77), aliyekuwa Makwamu wa Kwanza wa Rais, wa Serikali visiwani Zanzibar, Taifa...

error: Content is protected !!