Thursday , 28 March 2024

Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua baraza la mawaziri

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri, kwa kuteua mawaziri na manaibu waziri wapya. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Dk Mpango: Sitakua kama Yuda, niko tayari nitume

  MAKAMU mpya wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, amemuahidi Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kuwa katika utekelezaji wa majukumu...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru akaa Ikulu siku 32, apewa ubunge

  DAKTARI Bashiru Ally, aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, amehudumu nafasi hiyo nyeti ndani ya Ikulu ya Tanzania kwa siku 32. Anaripoti Matrida Peter,...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mpango aapishwa makamu wa Rais Tanzania

  JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amemwapisha Dk. Philip Isdor Mpango, kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

HabariTangulizi

Takukuru tumekuta milioni 8.5 kwa bosi wa bandari

  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanania, imesema imepekua nyumbani kwa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari Tanzania (TPA), Desdedit...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ampendekeza Dk. Mpango kuwa makamu wa Rais

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Dk. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Jina hilo,...

HabariTangulizi

Mambo 6 yajayo Bunge la Bajeti

  SAFARI ya siku zaidi ya 90 ya mkutano wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaanza kesho Jumanne saa 3:00 asubuhi,...

HabariTangulizi

Toba ya UVCCM yaibua mjadala

  HATUA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), kuwaomba radhi Watanzania, imewaibua wanasiasa na wanaharakati. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

HabariTangulizi

NGO’s zamuahidi Rais Samia mambo 18

  ASASI za Kiraia (AZAKI) na Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO’s), nchini Tanzania, zimemuahidi mambo 18, Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan,...

HabariTangulizi

Kufungiwa akaunti: THRDC wampa neno Rais Samia

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, iwape nafasi ya watu kujitetea, mashirikia...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mifumo ya ukusanyaji mapato kufumuliwa

  MAMA Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania ameagiza mifumo ya kielektroniki ya ukusanyaji mapato ya Serikali, kufumuliwa mara moja, ili kudhibiti mianya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Samia aomba ripoti fedha zilizotolewa hazina Januari-Machi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Prof. Florence Luoga na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia amtumbua kigogo TPA

  RAIS Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko, ili kupisha uchunguzi wa ubadhirifu...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia kupokea ripoti za CAG, Takukuru

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumapili tarehe 28 Machi 2021, atapokea taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

Habari za SiasaTangulizi

Mama Janeth Magufuli, ameonesha njia Ikulu

  JANETH, Mjane wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amejiandikia historia yake. Haiba yake, haifanani na watangulizi wake, katika nafasi hiyo,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kitabu cha John Magufuli chafungwa rasmi

  WEWE ni mavumbi na mavumbini utarudi. Ndivyo unaweza kusema, baada ya mwili wa Dk. John Pombe Joseph Magufuli, kulazwa kwenye nyumba yake...

Habari za SiasaTangulizi

Jenerali Mabeyo amhakikishia utii Rais Samia, kuitwa Amri Jeshi Mkuu

  VYOMBO vya ulinzi na usalama nchini Tanzania, vimemhakikishia ulinzi Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai amkaribisha Rais Samia bungeni

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amemkaribisha bungeni, Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Anaripoti Mwandishi Wetu, Chato…(endelea). Spika Ndugai...

Habari MchanganyikoTangulizi

Safari ya mwisho ya Hayati Magufuli Chato

  MWILI wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli unazikwa leo Ijumaa tarehe 26 Machi 2021, katika makaburi ya nyumbani...

Habari za SiasaTangulizi

Mwili wa Hayati Magufuli kuzikwa leo, Rais Samia atoa shukrani

  WAKATI mwili wa Hayati John Pombe Joseph Magufuli, ukizikwa leo Ijumaa tarehe 26 Machi 2021, nyumbani kwao, Chato mkoani Geita, Rais wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Baba aliyefiwa watoto, mke atoa yamoyoni

  MAMIA ya wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam, wamejitokeza kwa wingi katika mazishi ya wanandugu watano, wanaodaiwa kufariki dunia katika shughuli...

Habari za SiasaTangulizi

Z’bar wamtaka Rais Mwinyi aongoze kama Magufuli

  MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema, vijana wengi visiwani humo, wanataka Serikali ya Rais Hussein Mwinyi, iongoze...

Habari MchanganyikoTangulizi

Saa 48 za mwili wa Magufuli Chato

  WANANCHI wa Chato, mkoani Geita leo Alhamisi tarehe 25 Machi 2021, watauaga mwili wa mpendwa wao, Dk. John Pombe Joseph Magufuli. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Chato walivyoupokea mwili wa Magufuli, kulazwa kwake

  MWILI wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, umewasili nyumbani kwao, Chato Mkoa wa Geita ukitokea Mwanza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Chato...

Habari MchanganyikoTangulizi

Magufuli aisimamisha Mwanza, mwili wazungushwa mara 5 uwanjani

  MWILI wa Dk. John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tanzania, umezungushwa mara tano, ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tukio la Adhana: Uhuru awakosha Waislam Kenya

  BARAZA la Waislam la Kenya (SUPKEM), limempongeza Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo, kwa kusimamisha hotuba yake wakati Adhana iliposomwa. Anaripoti Mwandishi...

HabariTangulizi

Dk. Hoseah ajitosa urais TLS

  ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru), Dk. Edward Hoseah, amejitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania urais...

HabariTangulizi

Mwili wa Magufuli wapokea kishujaa Mwanza

  NYUMBANI ni nyumbani. Hivi ndivyo unaweza kuelezea, jinsi wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wameupokea kishujaa mwili wa Dk. John...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Mwinyi: Tumempoteza mtetezi wa wanyonge

  RAIS wa Zanzibar na Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi amesema, Bara la Afrika limepoteza kiongozi mwanamapinduzi, kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais...

Habari za SiasaTangulizi

Mwili Magufuli wawasili Z’bar, Uwanja wa Aman wafurika

  WANANCHI wa Zanzibar, wamejitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, aliyefariki dunia tarehe 17 Machi...

HabariTangulizi

Marais tisa wamuaga Dk. Magufuli

  MARAIS tisa katika nchi za Bara la Afrika, wameshiriki shughuli ya kitaifa ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atuma salamu kwa wanaombeza

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wale wote wenye shaka ya uongozi wake kutokana na jinsia yake ya mwanamke, kukaa mguu...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Magufuli aacha watoto 7, siri jina la Pombe…

  ALIYEKUWA Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Joseph Magufuli (61), hadi mauti yanamfika saa 12:00 jioni ya Jumatano tarehe 17 Machi 2021,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mama Janeth Magufuli amtoa machozi Rais Samia

  SIMANZI iliyotanda usoni mwa Janeth, Mjane wa Aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli (61), amemfanya Rais Samia Suluhu Hassan, kutokwa chozi....

HabariTangulizi

Kifo cha Magufuli: Spika Ndugai amwangukia Mama Samia

  SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amemuomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani, kukamilisha ndoto za aliyekuwa rais wa taifa hilo, Hayati John...

Habari MchanganyikoTangulizi

Spika Ndugai awashukia wanaofurahia kifo cha Magufuli

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewashukia watu wanaofurahia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli (61), kilichotokea Jumatano...

Habari MchanganyikoTangulizi

Vilio vyatawala wabunge wakimuaga Dk. Magufuli

  VILIO vimetawala viwanja vya Bunge jijini Dodoma, wakati wabunge wakiaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli (61). Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Utaratibu kumuaga Dk. Magufuli wabadilishwa

  UMATI mkubwa wa waombolezaji wanaofika kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, umeifanya Serikali kutangaza utaratibu mpya wa kumuaga. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Marais 10 Afrika kumuaga Magufuli

  MARAIS 10 wa Barani Afrika wanatarajiwa kuhudhuria shughuli ya kitaifa ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli...

Habari za SiasaTangulizi

Kishindo cha Magufuli saa 48 Dar

  JOHN Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tanzania, ameliteka Mkoa Dar es Salaam na viunga vyake, katika maeneo mbalimbali hususan, Uwanja wa Uhuru....

Habari za SiasaTangulizi

Uhuru yafurika kumuaga Dk. Magufuli, vilio vyatawala

  MAELFU ya wakati wa mkoa wa Dar es Salaam na maeneo jirani, wamejitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania,...

Habari za SiasaTangulizi

Majaliwa amwaga chozi mbele ya mwili wa Dk Magufuli

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amejikuta akibubujikwa machozi, mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Dk. John...

Habari za SiasaTangulizi

Kuagwa Magufuli: Vilio vyatawala uwanja wa Uhuru

  VILIO na simanzi vimetawala Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam, baada ya jeneza lenye mwili wa Hayati Rais John Pombe Magufuli...

Habari za SiasaTangulizi

Maelfu wajipanga barabarani kumuaga Dk. Magufuli

  MAELFU ya waombolezaji wamefurika katika viunga vya barabara ya Ali Hassani Mwinyi na Kawawa mkoani Dar es Salaam, kutoa heshima za mwisho...

HabariTangulizi

Hali ilivyo St. Peter kwenye Ibada ya Dk. Magufuli

  VIKOSI vya usalama vimeimarisha ulinzi kila mahali, waombolezaji na watu mbalimbali wanaingia kwa kutumia mlango mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu Kila anayeingia eneo...

Habari za SiasaTangulizi

Mwili wa Dk. Magufuli kupelekwa Z’bar, kuzikwa Ijumaa Chato

  MWILI wa Hayati Rais wa awamu ya tano, John Pombe Magufuli (61), utazikwa Ijumaa ijayo ya tarehe 26 Machi 2021, badala ya...

HabariTangulizi

Rais Samia: Tuzike tofauti zetu

  RAIS wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassani, amewataka Watanzania kuzika tofauti zao na kwamba, sasa ni wakati wa kujiamini kama Taifa. Anaripoti...

HabariTangulizi

Ratiba mazishi Dk Magufuli hii hapa, siku 2 za mapumziko

  RATIBA yamazishi ya Dk. John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeelekeza kiongozi huyo atazikwa tarehe 24 Machi...

HabariTangulizi

Huyu ndiye Mama Samia, Rais wa kwanza mwanamke Tanzania

  MAMA Samia Suluhu Hassan, ameapishwa kuwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ikulu, jijini Dar es Salaam. Anaandika Regina...

error: Content is protected !!