Friday , 29 March 2024

Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

MichezoTangulizi

Chama arejea, Manula, Lwanga ‘Out’ dhidi ya Mbeya City

Mara baada ya kukosekana Uwanjani kwa wiki tatu, kiungo wa klabu ya Simba, Clatous Chama amerejea Uwanjani, huku mlinda mlango wa klabu hiyo...

Habari za SiasaTangulizi

Othuman: Viongozi wanaapa kulinda katiba yenye tatizo

  MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othuman Masoud Othuman amesema, Katiba ya sasa ya Tanzania haitoi mwelekeo wa Taifa unakwenda wapi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Ma-DC wapya Dar wapewa majukumu matano

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewakabidhi majukumu matano wakuu wa wilaya za mkoa huo, walioteuliwa na Rais Samia...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kherry James atoa ahidi nzito

  SIKU mbili baada ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, Kherry James amesema ‘sintokuwa mtawala bali mtumishi wa...

MichezoTangulizi

TFF yathibitisha Tanzania kupeleka timu nne CAF

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limethibitisha kuwa msimu ujao wa mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa (CAF), Tanzania...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia amuapisha RC Tabora, RAS Shinyanga

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, awaapisha Balozi Batlida Buriani kuwa Mku wa Mkoa wa Tabora (RC) na Zuwena Omari Jiri kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kamati Kuu ACT-Wazalendo yamchambua Rais Samia, yatoa maazimio

  KAMATI Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, jana tarehe 19 Juni 2021, iliuchambua uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita ya Tanzania, chini...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ateua Ma DC, wamo waliounga juhudi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya katika Mikoa ya Tanzania Bara. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Othuman amzungumzia Maalim Seif, ashiriki kamati kuu ACT-Wazalendo

  MAKAMU wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othuman Masoud Othuman amekishukuru chama chake cha ACT-Wazalendo kwa kumpendekeza kwenye nafasi hiyo huku akiwaahidi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Benki ya NMB yatoa gawio la 21.8 bilioni kwa Serikali

  SERIKALI imepokea gawio la kiasi cha Sh. 21.8 bilioni, kutoka benki ya makabwela – National Microfinance Bank (NMB) – ikiwa  ni sehemu...

MichezoTangulizi

Yanga yamfungia Metacha, mwenyewe aomba radhi

  MARA baada ya uongozi wa klabu ya Yanga kumfungia mlinda mlango wake Metacha Mnata, kwa kosa la utovu wa nidhamu, mchezaji huyo...

ElimuTangulizi

Mambo tisa yaibuka kwenye mjadala mabadiliko mifumo ya elimu

  TAKRIBANI mambo tisa, yameibuka katika mkutano wa wadau, wa kujadili namna ya uboreshaji mitaala ya elimu nchini Tanzania. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sabaya asomewa shtaka la kumpora diwani CCM Sh. 390,000

  LENGAI Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro na wenzake wawili, wamesomewa mashtaka mawili ikiwemo unyang’anyi wa kutumia silaha,...

Habari za SiasaTangulizi

DPP Mwakitalu atangaza uamuzi mgumu

  MKURUGENZI mpya wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu, ametangaza neema kwa mahabusu, wafungwa na watuhumiwa wengine wanaokabiliwa na mashtaka ya jinai...

Habari MchanganyikoTangulizi

Masheikh Uamsho wamwangukia Samia, waeleza walivyotoswa na JK, JPM

  MASHEIKH 18 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), wameeleza namna Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete na aliyekuwa Rais wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Masheikh Uamsho walipwe fidia

  MWENYEITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameiomba Serikali iwalipe fidia viongozi 18 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia afanya uteuzi, Anne Makinda…

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wenyeviti wanne wa  Bodi za Wakurugenzi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa iliyotolewa na Jaffar Haniu,...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge laagiza uchunguzi ‘Super Market’

  BUNGE la Tanzania, limeiagiza Serikali ifanye uchunguzi katika maduka makubwa ‘Super Market’, ili kuondoa biadhaa za kughushi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Agizo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Masheikh Uamsho wafutiwa mashtaka, DPP afunguka

  MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu, amewafutia mashtaka viongozi 18 kati ya 36, wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sethi amalizana na DPP, kutoka leo

  MFANYABIASHARA Harbinder Sethi, anayesota rumande kwa takribani miaka minne, akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, anatarajiwa kutoka baada ya kumalizana na Mkurugenzi...

Habari MchanganyikoTangulizi

Masheikh wa Uamsho waachiwa

  MASHEIKH wawili kati ya 51, wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar, waliokuwa wanakabiliwa na makosa ya ugaidi kwenye Kesi...

Habari MchanganyikoTangulizi

DPP azungumza na Masheikh wa uamsho

  MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu, amefanya mazungumzo na Masheikh wanaokabiliwa na tuhuama za ugaidi, ikiwemo Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia awatumbua DC, DED Morogoro

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemfukuza kazi Mkuu wa Wilaya ya Maorogoro, Bakari Msulwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia azindua ujenzi SGR, ataja faida tano

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa kipande cha tano cha Reli ya Kisasa (SGR), kutoka...

Habari za SiasaTangulizi

Hukumu ya Mdude yahairishwa, kutoka Juni 28

  HUKUMU ya kesi ya Jinai Na. 36/2020, inayomkabili kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali, katika Mahakama ya Hakimu...

MichezoTangulizi

Gari lakwamishwa pambano la Twaha kiduku na Dulla Mbabe

  PAMBANO la mchezo wa ngumi lililofahamika kwa jina la ‘Payback Night’ kati ya mabondia, Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’ na Twaha Kassim ‘Twaha...

MichezoTangulizi

Mkude achukua maamuzi magumu

  Wakati sakata lake la utovu wa nidhamu likiwa bado kwenye mikono ya kamati ya nidhamu ya klabu hiyo, kiungo wa klabu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Madini ya Tanzanite: Rais Samia ampa maagizo Biteko

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemwagiza Waziri wa Madini, Doto Biteko kukaa na wawekezaji ili kuangalia njia bora ya kuyalinda madini...

Habari MchanganyikoTangulizi

Prof. Baregu afariki dunia

  MWANAZUONI na mwanasiasa mahiri nchini Tanzania, Prof. Mwesiga Baregu, amefariki dunia, usiku wa kuamkia leo Jumapili, tarehe 13 Juni, 2021, katika Hospitali...

Habari za SiasaTangulizi

Sabaya bado anakinga mshahara

  WAKATI mkuu wa wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, akifikishwa mahakamani na kutupwa katika mahabusu ya gereza la Kisongo, mkoani...

MichezoTangulizi

Kubenea amchukulia fomu Allly Saleh ‘Alberto’

ALIYEKUWA Mbunge wa jimbo la Ubungo Saed Kubenea jana alijitokeza kwenye makao makuu ya Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) kumchukulia fomu ya nafasi...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mwigulu awachambua Kikwete, Hayati Magufuli na Samia

  WAZIRI wa Fedha na Mipango wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, amewafananisha waliokuwa marais wa Taifa hilo, Jakaya Mrisho Kikwete na Hayati John...

Habari za SiasaTangulizi

Katiba mpya: Mbowe atangaza J’mosi kuvaa sare za Chadema

  FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani, Tanzania- Chadema amesema, Jumamosi zote kuanzia kesho, tarehe 12 Juni 2021, atakuwa akivaa sare...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua wakuu wa mikoa, Chalamila atoswa

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Ijumaa tarehe 11 Juni 2021, amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa mikoa ya Mara, Mwanza...

Habari za SiasaTangulizi

Bajeti 2021/22 yamuibua Zitto

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema hatua ya Serikali kufanya uhakiki wa madeni ya wastaafu katika mifuko ya hifadhi ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ushuru bidhaa ya bia kupunguzwa 2021/22

  WAZIRI wa Fedha na Mipango Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba amependekeza kufanya ushuru wa bidhaa ikiwemo bia kuanzia mwaka wa fedha 2021/22. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bilioni 328 kugharamia Sensa 2022

  WAZIRI wa Fedha na Mipango, nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba amesema, Sh.328.2 bilioni, zinatarajiwa kutumika kugharamia sensa ya watu na makazi kwa...

MichezoTangulizi

Mzanzibari kuwania urais TFF

  MWANASOKA maarufu nchini, Ally Salehe ‘Alberto,’ amejitosa katika mbio za kuwania urais ndani ya shirikisho la soka nchini (TFF). Anaripoti Saed Kubenea...

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai aomba Rais Samia aitishe mkutano wa wanaume

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amemwomba Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kufanya kikao maaluma na wanaume pekee. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Bajeti 2021/22 EAC kuwasilishwa Leo

  LEO Alhamisi, tarehe 10 Juni 2021, nchini za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zitawasilisha Bajeti za nchi zao, ikiwemo Tanzania. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Sabaya wenzake wanusa miaka 200 jela

  MASHITAKA sita yanayomkabili Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro, nchini Tanzania, aliyesimamisha kazi, Lengai ole Sabaya, yaweza kumuweka kwenye kifungo cha...

Habari MchanganyikoTangulizi

Lissu afanyiwa upasuaji wa 25

  TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, nchini Tanzania, amefanyiwa upasuaji wa 25. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

MichezoTangulizi

Kiongozi Simba amchukulia fomu Karia

  Aliyekuwa Mwenyekiti wa klabu ya Simba Swedy Nkwabi pamoja na Philemon Ntahilaija wamejitokeza kwenye makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu...

MichezoTangulizi

Tuzo BET: Elfu 19 wampinga Dimaond

  KAMPENI ya kuhakikisha msanii wa muziki nchini Tanzania, Nasibu Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’ anaondolewa kwenye mbio za kuwania tuzo za Black Entertainment...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia atoa utaratibu mpya maiti kutokuzuiwa

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Waziri wa Afya, Dk. Dorothy Gwajima, aandae utaratibu mpya wa malipo ya madeni ya gharama...

MichezoTangulizi

Wadau kumchukulia Karia fomu Urais TFF

  BAADA ya kufunguliwa kwa zoezi la uchukuaji fomu kwa ajili ya uchaguzi Mkuu ndani ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),...

Habari za SiasaTangulizi

Wanawake wamkabidhi changamoto sita Rais Samia

  WANAWAKE wa Mkoa wa Dodoma, wamemkabidhi changamoto sita Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakimuomba azitatue ili kuleta ustawi wa kundi hilo...

Habari za SiasaTangulizi

LIVE: Rais Samia anazungumza na wanawake Dodoma

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Jumanne, tarehe 8 Juni 2021, anazungumza na wanawake wa Mkoa wa Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

MichezoTangulizi

Kisa utovu wa Nidhamu, Mkude kufanyiwa vipimo

  KAMATI ya nidhamu ya klabu ya Simba, iliyokuwa chini ya Mwenyekiti wake Seleman Kova, imeuagiza uongozi wa klabu hiyo, kumfanyia vipimo vya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Hatma kesi ya wadhamini ‘kumtosa’ Lissu kujulikana Julai 5

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kutoa uamuzi wa pingamizi la Jamhuri dhidi ya kesi Na. 2/2020, iliyofunguliwa na wadhamini wa Tundu...

error: Content is protected !!