MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
MWENYEKITI mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja amewafananisha wanaopinga chanjo ya korna (UVIKO-19) na magaidi na kuitaka...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2021ALIYEKUWA Afisa Habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa sababu za kufanya biashara na kampuni zingine na umaarufu...
By Kelvin MwaipunguAugust 4, 2021Winga wa kimataifa wa Malawi Peter Banda, amekuwa mchezaji wa kwanza kufungua dirisha la usajilin ndani ya klabu ya Simba mara baada...
By Kelvin MwaipunguAugust 4, 2021BARAZA la Vijana la chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Chadema (Bavicha), limedai kauli ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro,...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2021ELIAS Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) nchini Tanzania, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2021KLABU ya soka ya Yanga, imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji Yusuph Athuman Akitokea klabu ya Biashara United, Mara iliyokuwa inashiriki Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguAugust 2, 2021INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amekitaka chama kikuu cha upinzani nchini humo, Chadema na wadau wengine, kuiachia mahakamana...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2021SHEHA Mpemba Faki, Mbunge mteule wa Konde Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amejiuzulu nafasi hiyo ikiwa ni siku 15, tangu alipotangazwa...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa,Miji na Wilaya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2021KLABU ya Azam FC imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji raiawa kidemokrasia ya Congo, Idris Mbombo kwa mkataba wa miaka miwili. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea)...
By Kelvin MwaipunguJuly 31, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimedai kwamba Serikali ya Zanzibar, chini ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , inakwenda kinyume na maridhiano yao ya kuanzisha...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, amuagize Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu, amuondolee mashtaka ya...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2021RAIS wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu Hassan, anakabiliwa na kibarua kigumu cha kujisafisha kwenye mioyo ya wananchi na jumuiya ya kimataifa,...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2021SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL), limesema changamoto ya mrundikano wa madeni inaathiri utendaji wake na kusababisha lijiendeshe kwa hasraa. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeJuly 30, 2021Mfanyabiashara na mwekezaji ndani ya klabu ya Simba, Mohammed Dewji (MO), ameweka rasmi kiasi cha pesa shilingi 20 bilioni, kama sehemu ya uwekezaji...
By Kelvin MwaipunguJuly 30, 2021Wachezaji Bernad Morrison wa klabu ya Simba na Mukoko Tonombe kutoka Yanga wamefungiwa kutocheza michezo mitatu na kamati ya mashindano ara baaada...
By Kelvin MwaipunguJuly 30, 2021WIZARA ya Afya nchini Tanzania, imesema huduma ya chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), itaanza kutolewa kwa wananchi kuanzia Jumanne, tarehe 3...
By Regina MkondeJuly 30, 2021KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeelekeza makada wake wanaokiuka mienendo na maadili ya chama hicho, wachukuliwe hatua za kinidhamu. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2021HALMASHAURI nchini Tanzania, zimetakiwa kubuni vyanzo vipya vya mapato ya ndani, ili zipate fedha za kutoa huduma kwa wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2021BARAZA la Wanawake la Chadema (Bawacha), limeiandikia barua Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, likiitaka uingilie kati tukio la kushikiliwa kwa Mwenyekiti wa...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezindua zoezi la utoaji chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), kwa kuchanjwa aina ya Johnson &...
By Regina MkondeJuly 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka watu wanaopinga chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), wakajifunze katika mikoa iliyoathirika na janga hilo....
By Regina MkondeJuly 28, 2021SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kuingiza aina tano za chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), ili kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa huo kwa...
By Regina MkondeJuly 28, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka mabalozi wasikae kimya taswira ya Tanzania inapochafuliwa kimataifa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Rais...
By Regina MkondeJuly 27, 2021MKUU wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania na Afrika Mashariki, Askofu Emmaus Mwamakula, ameitisha maombi maalumu ya siku saba, kwa ajili...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2021SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kujenga viwanda vya kuzalisha chanjo za magonjwa ya mlipuko. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa...
By Regina MkondeJuly 27, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam na...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, amewataka wananchi wa Mkoa wa Mtwara, kuwa makini dhidi ya wanamgambo wa kundi la...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mwenyekiti wake Taifa, Freeman Mbowe, anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetoa mwongozo mpya wa kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa korona (UVIKO-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam, … (endelea)....
By Regina MkondeJuly 26, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)- Tanzania Bara, Tundu Lissu amesema, anashauriana na viongozi wa chama hicho, namna ya...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, mpaka sasa wagonjwa 29 walioambukizwa virusi vya corona (COVID-19), wamefariki dunia. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam …...
By Hamisi MgutaJuly 23, 2021HATIMA ya kufanyika au kutofanyika kwa kikoa cha Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), utajulikana kesho Jumamosi, tarehe 24...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021MAKAMU mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanania cha Chadema, Tundu Lissu amesema, tukio la kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama hicho, Freeman...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021KAMATI Ndogo ya Mambo ya Nje ya Afrika ya Baraza la Wawakilishi nchini Marekani, imeiomba Serikali ya Tanzania, imuache huru Kiongozi wa...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021VYAMA vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vya NCCR-Mageuzi na ACT-Wazalendo, vimeiomba Serikali nchini humo kukaa pamoja na vyama vya siasa, kwa...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021DUDLEY, mtoto wa Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania- Chadema, Freeman Mbowe ameshangazwa na tuhuma zinazomkabili baba yake. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021WAGONJWA wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19), nchini Tanzania, imeongezeka kutoka 408 hadi kufikia 682....
By Faki SosiJuly 23, 2021JESHI la Polisi nchini Tanzania limesema, linamshikiliwa kiongozi wa chama cha kikuu cha upinzani nchini humo cha Chadema, Freeman Mbowe kwa tuhuma...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemlilia aliyekuwa mwenyekiti wake wa kwanza, Anna Mghwira, kikisema kwamba kifo chake kimeacha pigo katika medani za kisiasa nchini...
By Regina MkondeJuly 22, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, aliyekamatwa jijini Mwanza alfajiri ya jana, anahojiwa na Jeshi la Polisi Kanda...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2021ANNA Elisha Mghwira, Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, amefariki dunia leo Alhamisi, tarehe 22 Julai 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha …...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2021KIKOSI cha klabu ya Yanga kimetua rasmi mkoani Kigoma, kwa ajili ya mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguJuly 22, 2021CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania-Chadema, kimeitisha kikao cha dharura cha kamati kuu, kwa ajili ya kumtafuta mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, ambaye...
By Regina MkondeJuly 21, 2021HAJI Manara, Msemaji wa mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21, Simba ya Dar es Salaam, ametangaza kung’atuka katika nafasi hiyo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2021JESHI la Polisi mkoani Mwanza, limezingira Ukumbi wa Tourist Hotel, ambao Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema), kilipanga kufanya kongamano lake...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2021KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania-Chadema, Freeman Mbowe na wenzake zaidi ya 10, wanadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2021KONGAMANO la kudai katiba mpya, lililoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), liko njia panda baada ya Mkuu wa Mkoa wa...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2021MIKAKATI mipya ya Halima Mdee na wenzake 18, kutaka kuendelea kuwa bungeni kinyume cha sheria na kukivuruga Chama cha Demokrasia na Maendekeo...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2021FREEMAN Mbowe amesema, watafanya kongamano la Katiba jijini Mwanza keshokutwa Jumatano, tarehe 21 Julai 2021 na mikoa mingine yataendelea “hadi Katiba mpya...
By Mwandishi WetuJuly 19, 2021