Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Mnyika amchokonoa Rais Magufuli

JOHN Mnyika, Mbunge wa Kibamba jijini Dar es Salaam ameanza kumchokonoa Rais John Magufuli kwamba, ahuishe Mchakato wa Katiba Mpya na kurejesha maoni ya wananchi, anaandika Regina Mkonde. Amesema, hakuna ...

Read More »

Dk. Shein amechagua kuishi kwa kitanzi

DK. Ali Mohamed Shein ametamba kuwa anafuta Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kwa kuwa wananchi wa Zanzibar waliikataa. Ukweli ni kwamba Wazanzibari walimkataa yeye, anaandika Mwandishi Wetu. Chama Cha ...

Read More »

Ukawa walamba bingo

JIJI la Dar es Salaam linaloshikiliwa na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), linakarabatiwa, anaandika Faki Sosi. Rais John Magufuli leo ameweka jiwe la msingi kwenye uzinduzi wa ...

Read More »

Ukawa wasoma bajeti ya Maendeleo Kinondoni

VYAMA vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi, (Ukawa) kwa mara ya kwanza vimesoma bajeti yake huku wananchi wa manispaa hiyo wakipewa nafuu katika huduma za afya, na kipaumbele kikiwa ni ...

Read More »

Takukuru yalia na rushwa Mahakama ya Kisutu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imelalamikiwa kuwa inaendekeza vitendo vya rushwa katika utoaji haki, anaandika Faki Sosi. Akizungumza baada ya kuachiliwa huru Williamu Mhando aliyekuwa Mkurugenzi ...

Read More »

Mahakama yampa masharti Kubenea

HATIMAYE hukumu ya kesi iliyofunguliwa na Jamhuri dhidi ya Saed Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo pia Mkurugenzi wa Hali Halisi Publishers akidaiwa kumtolea lugha ya matusi Paul Makonda, Mkuu ...

Read More »

Rais Magufuli aanza kufilisi Ukawa

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) jijini Dar es Salaam vimeanza kufilisiwa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Happiness Lidwino. Mpango wa Serikali ya Rais John ...

Read More »

Magufuli usiumbe maneno kwa moyo

NINA orodha ndefu ya kauli za Rais John Magufuli, hasa zilizo tata. Zile zinazozua mjadala katika jamii, anaandika Ansbert Ngurumo. Kama alivyokiri mwenyewe wiki kadhaa zilizopita mbele ya viongozi wenzake ...

Read More »

Rais Magufuli ammwaga Anne Kilango

RAIS John Magufuli amemfuta kazi Anne Kilango Malecela, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga na Abdul Dachi, Katibu Tawala wa mkoa huo kwa kusema uongo, anaandika Faki Sosi. Rais Magufuli ...

Read More »

Maalim Seif: Sinunuliki

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad amesema yeye si mwanasiasa mwepesi wa kuweza kununuliwa na hakuna kiongozi hata mmoja kutoka CCM aliyepata kumfikia kwa lengo ...

Read More »

Udhaifu wa JK, siyo uimara wa JPM

MPAKA sasa, sifa kuu ya Serikali ya Awamu ya Tano, inayoongozwa na Rais John Magufuli ni kujenga ufuasi wa kushangiliwa kwa kila jambo, anaandika Gululi Kashinde. Washangiliaji wako kila kona. ...

Read More »

Dk. Shein ‘amfuata’ Magufuli Baraza la Mawaziri

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein leo ametangaza baraza lake jipya la mawaziri ambapo amepunguza kutoka wizara 16 na kuwa 13, anaandika Faki Sosi. Hatua ya Dk. Shein kupunguza ...

Read More »

Ukawa yaitunishia msuli CCM

SERA ya ubabe inayotekelezwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) inakwaza demokarasia nchini, anaandika Happiness Lidwino. Ukawa sasa wamesusa kushiriki chaguzi ...

Read More »

‘Huu ni unafiki Z’bar’

SIKU moja baada ya Watanzania kuadhimisha Kumbukumbu ya kifo cha Hayati Abeid Aman Karume, Rais wa Kwanza Zanzibar, baadhi ya Wazanzibari wamesema, kinachofanyika ni unafiki, anaandika Faki Sosi. Wamesema, hakuna ...

Read More »

Figisufigisu za Umeya zahamia Tanga

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kinatuhumiwa kupoka ushindi wa Meya wa Jiji la Tanga, na sasa madiwani wa Chama cha Wananchi (CUF) wamegoma kuendelea na shughuli za baraza la madiwani jijini ...

Read More »

Dk. Dau sasa matatani

DK. Ramadhan Dau, aliyekuwa mkurugenzi wa Shirila la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), anatarajiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote kutoka sasa. Anaandika Pendo Omary…(endelea). Dk. Dau anatuhumiwa kuingiza NSSF hasara ...

Read More »

Fomu No. 21B yatesa ‘ubunge’ wa Wenje

FOMU namba 21B yenye matokeo ya vituo mbalimbali kwenye Jimbo la Nyamagana, Mwanza ndiyo inayomtesa Ezekia Wenje, mbunge wa zamani wa Jimbo la Nyamagana, anaandika Moses Mseti. Kutokana na vuta ...

Read More »

Dk. Shein, Balozi Seif waumbuana

MATOKEO ya kunajisiwa kwa Katiba ya Zanzibar kulikomuweka Dk. Ali Mohammed Shein (CCM) madarakani baada ya uchaguzi wa marudio wa tarehe 20 Machi mwaka huu, yanaanza kudhihiri, anaandika Happiness Lidwino. ...

Read More »

Ukawa wamwandama Rais Magufuli

RAIS John Magufuli anaandamwa, sasa anatakiwa kuwachukulia hatua wakurugenzi, watendaji na makatibu tawala wa mikoa waliosababisha kuwepo kwa watumishi hewa, anaandika Aisha Amran. Wabunge na viongozi wa vyama vinavyounda Umoja ...

Read More »

Zanzibar kinakaribia kunuka

MAALIM Seif Shariff Hamad, anayeaminika kuwa ndiye mshindi halali wa uchaguzi mkuu wa 25 Oktoba, amegoma kufanya mazungumzo yoyote na Dk. Ali Mohamed Shein, aliyetangazwa kuwa mshindi wa urais, anaandika ...

Read More »

Maalim Seif: Namhurumia Dk. Shein

TAREHE 20 Machi 2016, kulifanyika uchaguzi wa marudio wenye utata katika visiwa vya Zanzibar, ambao ulisuswa na chama kikuu cha upinzani visiwani humo, Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar (CUF). Aliyetangazwa ...

Read More »

CCM kuifanyia jeuri Ukawa

KISIRANI cha viongozi wa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushindwa kwenye uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam kinaendelea, anaandika Happyness Lidwino. Sasa hivi CCM na viongozi ...

Read More »

CCM yapeleka ‘msiba’ kwa Lugola, Ndasa, Mwambalaswa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza harakati za kuwatema makada wake wanaotuhumiwa kujihusisha na vitendo vya rushwa kwa madai ya kuonesha taswira hasi kwa wananchi, anaandika Moses Mseti. Shaka Hamudu Shaka, ...

Read More »

‘Magufuli anasafiria nyota ya Kikwete’

LICHA ya Serikali ya Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kutuama katika tuhuma ya uzembe, ufisadi na rushwa, sehemu ya utawala wake unatajwa kumbeba Rais John Magufuli, anaandika Regina Mkonde. Hatua ya ...

Read More »

Mbunge mwingine wa CCM, kizimbani kwa rushwa

RICHARD Mganga Ndassa, mbunge wa jimbo la Sumve (CCM), amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka la tuhuma ya kuomba rushwa ya Sh. 30 milioni, anaandika Faki ...

Read More »

Serikali yajikanganya kuhusu misaada ya MCC

SIKU mbili tangu Marekani iifutie Tanzania misaada kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia, viongozi wa serikali ya Tanzania wamekuwa na misimamo inayojikanganya, anaandika Happiness Lidwino. Wakati Dk. Philip Mpango, Waziri wa ...

Read More »

Balozi Idd ni mpotoshaji – Awadh

SIKU moja baada ya Balozi Seif Ali Idd, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, kusema kuwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) iko palepale, Awadh Ali Said, Wakili wa Mahakama ...

Read More »

Meya wa kihistoria aapishwa Dar

ISAYA Mwita, Meya wa Jiji la Dar es Salaam, ameapishwa leo, akiwa meya wa 17 tangu mwaka 1949, anaandika Happyness Lidwino. Mwita, Diwani wa Kata ya Vijibweni (Chadema), Kigamboni, ni ...

Read More »

Wanafunzi 500, walimu wao wajisaidia migombani

ZAIDI ya wanafunzi 500 na walimu watatu wa Shule ya Msingi Luholole kwenye Kata ya Kibuko, Wilaya ya Morogoro Vijijini, wako hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na kukosa ...

Read More »

Makonda: Simwogopi Magufuli

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amedai kwamba hafanyi kazi kwa kumwogopi Rais John Magufuli, anaandika Regina Mkonde. “Nafanya kazi zangu ipasavyo na si kwa woga wa ...

Read More »

Zanzibar chini ya mtutu wa bunduki

SERIKALI ya Umoja wa Kitaifa (SUK) katika Visiwa vya Zanzibar imefikia tamati, anaandika Yusuph Katimba. Uchambuzi wa kisheria unaonesha kuwa utawala wa sasa wa Zanzibar haufuati katiba, na kwamba hata ...

Read More »

Msife moyo, uchaguzi ni mchakato, si tukio – Mbowe

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewashauri Watanzania wasife moyo kwa matokeo mabaya ya uchaguzi yaliyopinduliwa; na kwamba matokeo hayo yawe chachu ya kufanya  vizuri zaidi ...

Read More »

Mgogoro wa Zanzibar, kumuumbua Kikwete?

HATIMAYE, Dk. Ali Mohamed Shein ametangazwa kuwa “mshindi wa urais” Zanzibar. Aliapishwa Alhamisi iliyopita, anaandika Mwandishi Wetu. Urais wa Dk. Shein unatokana na kilichoitwa “uchaguzi wa marudio” Visiwani uliofanyika 20 ...

Read More »

CUF yauona ugaidi Z’bar

JOTO la kisiasa visiwani Zanzibar halijapoa na sasa Chama cha Wananchi (CUF) kinakuja na tamko zito hivi karibuni, anaandika Michael Sarungi. Chama hicho kinaeleza kuwa, maisha ya dhiki, wasiwasi, mashaka na ...

Read More »

Fatma Karume: Dk. Shein siyo rais Zanzibar

MJUKUU wa rais wa kwanza wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, Abeid Amani Karume, amepinga hatua ya kumtangaza Dk. Alli Mohammed Shein, kuwa rais Visiwani, anaandika Pendo Omary. Fatma Amani ...

Read More »

Dk. Shein aiomba radhi CUF

DAKTARI Ali Mohammed Shein amekiomba radhi Chama cha Wananchi (CUF) kiaina wakati wa sherehe za kuapishwa kwake kuwa Rais wa Zanzibar leo kwenye Uwanja wa Aman Abeid Karume, Zanzibar, anaandika ...

Read More »

‘Rais Magufuli ni mchochezi’

RAIS John Magufuli anatajwa kuwa ni rais mchochezi na anayefanya mambo yake ili kuonesha anaendesha mapambano dhidi ya wapinzani wake, anaandika Happyness Lidwino. Dk. Azaveli Lwaitama, Mhadhiri wa Josiah Kibira ...

Read More »

Maalimu Seif afunguka

SIKU mbili tangu kufanyika kwa uchaguzi wa marudio Zanzibar, na siku moja kabla ya kuapishwa Dk Ali Mohamed Shein, Maalim Seif Shariff Hamad, Mgombea wa Urais wa Zanzibar katika uchaguzi ...

Read More »

Lowassa amshinda Magufuli

EDWARD Ngoyai Lowassa, sasa anaongoza rasmi jiji la Dar es Salaam. Ni baada ya Isaya Chares Mwita, aliyekuwa mgombea wa kiti cha umeya, kutangazwa kuwa mshindi wa kiti hicho, anaandika ...

Read More »

Ukawa wainyuka CCM umeya Dar

ISAYA Mwita Charles, mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameshinda Umeya wa Jiji la Dar es Salaam, anaandika Hapyyness Lidwino. Kwenye uchaguzi huo uliofanyika katika Ukumbi wa Karimjee ...

Read More »

‘Dk. Shein haiwezi Z’bar bila CUF’

WAKATI Dk. Ali Mohamed Shein akisubiri kuapishwa kuendelea na wadhifa wake wa urais, imeelezwa kwamba hawezi kuiendesha Zanzibar bila Chama cha Wananchi (CUF), anaandika Faki Sosi. Kitila Mkumbo, Mhadhiri wa ...

Read More »

Mahaba ya Jecha kwa Dk. Shein yatimia

KILELE cha mahaba ya Jecha Salim Jecha, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yametimia baada ya kumtunuku Dk. Ali Mohammed asilimia 91 ya ushindi, ...

Read More »

Msafara wa Kamati ya Bunge wapata ajali

WATU sita wamefariki dunia, wengine saba ni majeruhi, katika ajali iliyohusisha magari manne, mawili yakiwa katika msafara wa Kamati ya Bunge Utawala na TAMISEMI, katika eneo ya Kerege, Bagamoyo Pwani, ...

Read More »

CUF: Tunahofia mauaji Z’bar

CHAMA cha Wananchi (CUF) kinahofia mauaji visiwani Zanzibar endapo kitatoa kauli ya kuwataka wanachama na wananchi kusaka haki yao kutoka mikononi mwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Happyness ...

Read More »

Uchaguzi Zanzibar ‘doroo’

VIJANA wamegoma kujitokeza na kushiriki uchaguzi wa marudio visiweani Zanzibar na kusababisha zoezi hilo kuzorota, anaandika Mwandishi Wetu. Katika mitaa mbalimbali Unguja na Pemba kuna hali ya utulivu huku maofisa ...

Read More »

Mwandishi wa Z’bar aliyetekwa asakwa

SALMA Said, mwandishi wa Gazeti la Mwananchi linalomilikiwa na Kampuni ya Mwananchi Communication (MCL) anasakwa na wadau wa habari nchini, anaandika Faki Sosi. Mwandishi huyo ambaye pia ni mwakilishi wa ...

Read More »

Mrithi wa Dk. Dau huyu hapa

HATIMAYE Rais John Magufuli amefanya uteuzi wa nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ambapo Profesa Godius Kahyarara ameteuliwa kushika nafasi hiyo, anaandika Charles William. Pamoja na ...

Read More »

Z’bar ni aibu

KWA hakika mambo yanayofanywa na Jeshi la Polisi visiwani Zanzibar ni aibu tupu. Maisha ya Wazanzibari yamepoteza mwelekeo sababu kuu ni mkakati wa jeshi hilo kukisaidia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ...

Read More »

Rais Magufuli kumvua nguo Kikwete

SERIKALI ya Rais John Magufuli muda wowote kuanzia sasa inaweza kukamata maofisa waliofanya kazi na Rais Jakaya Kikwete na kuwaburuza kortini, anaandika Happyness Lidwino. Mkakati huo unaelekea kukamilika baada ya ...

Read More »

Chadema: Sura ya Magufuli ni hii

RAIS John Magufuli anatajwa kuwa mtawala anayeendekeza kisasi cha kiutawala kwa wananchi walioamua kupigia kura vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), anaandika Regina Mkonde. Jana wakati Rais Magufuli ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram