MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
KLABU ya Soka ya Yanga wameibuka kidedea kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya watani wao Simba Sc na kubeba Ngao ya...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021MSHITAKIWA wa pili katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kupanda njama za ugaidi, Adam Kasekwa amedai mara baada ya kukamatwa...
By Regina MkondeSeptember 24, 2021ADAM Kasekwa, mshtakiwa wa pili katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi amieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu...
By Regina MkondeSeptember 24, 2021UPANDE wa Jamhuri kwenye kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ya uhujumu uchumi, inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania...
By Regina MkondeSeptember 24, 2021KESI ndogo katika kesi ya uhujumi uchumi, yenye mashtaka ya kula njama za kufanya vitendo vya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 24, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameihakikishia dunia kuwa Tanzania ni ileile yenye amani na ushirikiano na nchi zote. Anaripoti Glory Massamu,...
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaeleza wajumbe wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA), kwamba Serikali...
By Regina MkondeSeptember 23, 2021MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imeifuta kesi ya kikatiba Na.21/2021, iliyofunguliwa na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo cha Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 23, 2021CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), “kimeendelea kukaidi,” maelekezo ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi, aliyeomba kusitishwa kwa mikutano...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2021BAADA ya miaka 30 kupita pasina uongozi wa juu wa Zambia kualikwa White House ya Marekani, hatimaye Rais mpya wa Taifa hilo,...
By Masalu ErastoSeptember 23, 2021WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Tanzania, George Simbachawene amesema, kwa sasa hakuna umuhimu wa Katiba mpya kwani iliyopo inajitosheleza na imeivusha...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021MABINGWA wa kihistoria wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam imeipiga bao Simba kwa kuingiza mashabiki wengi viwanjani pamoja...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021KESI ya jinai Namb. 208/2016 iliyohusu mashitaka ya uchochezi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu...
By Regina MkondeSeptember 22, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameshiriki ufunguzi wa Mjadala Mkuu katika Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa...
By Mwandishi WetuSeptember 22, 2021SHEIKH wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Alhad Mussa Salum amebainisha mambo mawili ambayo dini za Kiislamu na Kikristu zinatofautiana...
By Masalu ErastoSeptember 21, 2021MKUTANO wa wadau wa vyama nchini Tanzania, unatarajiwa kufanyika tarehe 21 Oktoba 2021, jijini Dodoma. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...
By Regina MkondeSeptember 21, 2021JOTO la miamba ya soka nchini Tanzania maarufu Kariakoo Derby limeanza kushika kasi kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutangaza viingilio ambavyo...
By Masalu ErastoSeptember 21, 2021SHAHIDI namba tatu wa Jamhuri, katika shauri dogo la kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Askari Polisi H4323 Msemwa,...
By Regina MkondeSeptember 21, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) uliojadili athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi yanayoikumba dunia...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imeahirisha kusikiliza kesi ndogo ya kesi ya uhujumu uchumi,...
By Regina MkondeSeptember 20, 2021KIONGOZI wa jopo la mawakili wa utetezi katika shauri dogo la kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Peter Kibatala,...
By Masalu ErastoSeptember 20, 2021SHAHIDI wa pili katika shauri dogo la kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, kwenye Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa...
By Regina MkondeSeptember 20, 2021ANAFUATA nyayo za Hayati Mwalimu Nyerere? Ndilo swali linaloibuka miongoni mwa Watanzania baada ya Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema kuelekea nchini Marekani...
By Masalu ErastoSeptember 20, 2021KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, leo Jumatatu, tarehe 20 Septemba 2021, watafikishwa tena...
By Regina MkondeSeptember 20, 2021WAKATI Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC), ikisema Chama upinzani cha Wananchi (CUF), kitashiriki uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde, Zanzibar,...
By Regina MkondeSeptember 19, 2021VYAMA vya siasa 16, vimejitokeza kushiriki uchaguzi mdogo katika Jimbo la Ushetu mkoani Shinyanga, huku Jimbo la Konde, visiwani Zanzibar, vikijitokeza vyama...
By Regina MkondeSeptember 19, 2021MARA baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0, dhidi ya FC Horsed kutoka Somalia, klabu ya soka ya Azam FC, sasa...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021SERIKALI ya Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendeleza ujenzi wa Vyuo vya Ufundi Stadi (Veta) kwa kila halmashauri. Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho Jumamosi tarehe 18 Septemba, 2021 anaondoka kwenda New York nchini Marekani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuSeptember 18, 2021MAMBO matatu yamejirudia kwenye kesi ya uhujumu uchumi namba 16/2021, inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 17, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imekubali ombi la mawakili wa utetezi katika kesi inayomkabili...
By Regina MkondeSeptember 17, 2021MFANYABIASHARA James Rugemalira leo tarehe 16 Septemba, 2021 ameachiwa huru Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP)...
By Mwandishi WetuSeptember 16, 2021WAKILI wa utetezi katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, katika Mahakama ya Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa...
By Regina MkondeSeptember 16, 2021TUNDU Lissu, Makamu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania amepinga uamuzi wa kesi ya kiongozi wa chama hicho, Freeman Mbowe...
By Mwandishi WetuSeptember 16, 2021RAMADHAN Kingai, aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Arusha, ameanza kutoa ushahidi katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhunumu...
By Regina MkondeSeptember 15, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka wanawake wote Tanzania kuweka mipango vizuri ili katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 wamuweka rais mwanamke madarakani...
By Masalu ErastoSeptember 15, 2021JAJI Mustapha Siyai, anayesikiliza kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu ameiahirisha...
By Regina MkondeSeptember 15, 2021KAMANDA wa Polisi wa Kinondoni (RPC), Ramadhan Kingai ambaye ni shahidi namba 2 upande wa Jamhuri katika kesi inayomkabili kiongozi wa chaa...
By Regina MkondeSeptember 15, 2021KESI ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa chaa kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na...
By Regina MkondeSeptember 15, 2021CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimewataka wadau mbalimbali wakiwemo vyama vya siasa, asasi za kiraia na vyombo vya habari...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kwa kuwa zoezi la sensa sio geni… muda utakapofika kila Mtanzania ajitokeze kuhesabiwa kwani sensa...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021MKURUGEZI Mkuu wa ofisi ya Takwimu Tanzania (NBS), Dk. Albina Chuwa amesema sense ya watu na makazi itakayofanyika Agosti mwaka 2022, ni ya...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwapambanisha manguli wa Bongofleva nchini, Diamond Platnumz na Alikiba ambao imekuwa nadra kukutana kuperfome katika jukwaa moja....
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021CRESCENTIUS Magori, mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Mohamed Dewji amesema, kifo...
By Masalu ErastoSeptember 13, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaagiza wakuu wa mikoa na wilaya nchini, wawapange wafanyabiashara ndogo ndogo ‘wamachinga’, katika maeneo rasmi. Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 13, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya baraza lake la mawaziri kwa kuteua mawaziri wanne na kuwaweka kando watatu. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 12, 2021MABINGWA wa kihistoria wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam wameanza vibaya safari ya michuano ya klabu bingwa Afrika...
By Kelvin MwaipunguSeptember 12, 2021RIPOTI ya uchunguzi wa ajali ya moto katika Soko la kimataifa la Kariakoo jijini Dar es Salaam, inatarajiwa kuwasilisha kwa Rais wa...
By Gabriel MushiSeptember 12, 2021ZAKARIA Hanspope, Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara 2020/21, Simba ya Dar es Salaam, amefariki dunia....
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imeridhia ombi la mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman...
By Regina MkondeSeptember 10, 2021