MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano nwa Tanzania, Job Ndugai ameiagiza Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje kuwaita viongozi wa...
By Gabriel MushiNovember 2, 2021FREDY KAPARA (38), shahidi wa tano upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
By Kelvin MwaipunguNovember 2, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazaendo – Zanzibar, Juma Duni Haji maarufu kama ‘Babu Duni’ amejiuzulu wadhifa wake ndani ya chama...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2021USAHIHI wa saini ya shahidi wa nne wa Jamhuri, Anita Varelian Mtaro (45), mfanyabiashara wa kuuza mbege, katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa...
By Regina MkondeNovember 1, 2021SHAHIDI wa nne wa Jumhuri, Anita Varelian Mtaro (45), mfanyabiashara wa kuuza mbege, Rau Madukani mkoani Kilimanjaro ameelezea jinsi Adam Kasekwa na...
By Regina MkondeNovember 1, 2021KIONGOZI wa chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, Zitto Kabwe amesema, kikao baina ya Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan na viongozi...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2021KIONGOZI wa chama cha siasa cha upinzani cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amekumbushia machungu ya uchaguzi mkuu uliopita wa Oktoba 2020 akisema, chama...
By Mwandishi WetuOctober 31, 2021BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA), limesema asilimia 81.97 ya wanafunzi 1,107,460, waliotunukiwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba, uliofanyika tarehe 8...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2021BARAZA la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA), leo limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (Darasa la Saba) mwaka 2021....
By Mwandishi WetuOctober 30, 2021SHAHIDI wa tatu wa Jamhuri, Koplo Hafidhi Abdllah Mohammed, katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa chama...
By Regina MkondeOctober 29, 2021KOPLO Hafidh Abdallah Mohamed, mwenye namba F 5914 D ambaye ni shahidi wa tatu upande wa Jamhuri, ameanza kutoa ushahidi katika kesi...
By Regina MkondeOctober 29, 2021MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, amewaangukia viongozi wa dini, kisiasa na Watanzania kwa ujumla, akiwaomba wapaze sauti zao ili mamlaka zimuache huru...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2021SHAHIDI wa pili wa Jamhuri, Justine Elia Kaaya leo Alhamisi tarehe 28 Oktoba 2021, ameendelea kutoa shahidi katika kesi inayomkabili kiongozi wa...
By Regina MkondeOctober 28, 2021MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imemuamuru Mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba kumlipa aliyekuwa Waziri mambo ya nje, Bernard Membe kiasi cha...
By Masalu ErastoOctober 28, 2021KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu Geita (GGML) imekabidhi rasmi zana/vifaa mbalimbali kwa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA Moshi...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2021MAWAKILI wa utetezi, Jeremiah Mtobesya na John Mallya wamembana shahidi wa pili wa Jamhuri, Justin Elia Kaaya kuhusu maelezo aliyoyatoa kuhusu kesi...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema atawapima Waziri wa Sanaa, Michezo na Utamaduni, Inocent Bashungwa pamoja na naibu wake, Pauline Gekul kwa kuwa...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2021JUSTIN Elia Kaaya, shahidi wa pili wa Jamhuri ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam,...
By Regina MkondeOctober 27, 2021JUSTIN Elia Kaaya, aliyekuwa mfanyakazi wa Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, ameanza kutoa ushahidi wake katika kesi...
By Regina MkondeOctober 27, 2021KIONGOZI mwandamizi katika mhimili mmoja wa Dola nchini Tanzania, anaweza kuitwa mahakamani kuwa shahidi katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2021KAMANDA wa Polisi Kinondoni, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Ramadhan Kingai amehitimisha kutoa ushahidi wake katika kesi ya uhujumu uchumi yenye...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2021MAHOJIANO aliyoyafanya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) na kugusia kesi inayomkabili kiongozi wa chama...
By Kelvin MwaipunguOctober 26, 2021KLABU ya Soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam, imevunja mkataba na aliyekuwa kocha wake Mkuu, Didier Gomes Da Rosa, mara...
By Kelvin MwaipunguOctober 26, 2021KESI inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, imeanza kusikilizwa tena katika Mahakama...
By Kelvin MwaipunguOctober 26, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania, kesho Jumanne tarehe 26 Oktoba 2021, itaendelea kusikiliza kesi inayomkabili kiongozi wa...
By Regina MkondeOctober 25, 2021SIMBA ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania imetolewa katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika kwa kipigo cha 3-1, katika Uwanja wake...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2021BAADHI ya viongozi, watumishi wa umma wa vijiji, vitongoji na kata zinazozunguka msitu wa Mkwiva uliopo wilayani Kilosa mkoani Morogoro, nchini Tanzania...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2021Klabu ya Geita Gold inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na aliyekuwa kocha wa kikosi hiko Ettiene Ndayilagije,...
By Kelvin MwaipunguOctober 24, 2021SERIKALI ya Tanzania imetenga Sh.2 bilioni kwa ajili ya kutengeneza bango na geti la kuingilia kwenye Pori la Akiba la Swagaswa lililoko...
By Danson KaijageOctober 24, 2021MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameuagiza Umoja Wanawake ya chama hicho (UWT), umpatie ripoti inayoonesha maendeleo ya mwanamke...
By Regina MkondeOctober 23, 2021NCHI za Tanzania na Burundi, zimekubaliana kuongeza ushirikiano katika mambo 10 muhimu ili kuimarisha uchumi wa pande zote mbili. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeOctober 22, 2021TIMU ya Simba ya jijini Dar es Salaam imejizoelea tuzo kibao za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) huku watani zao wakiambulia...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2021JOHN Raphael Bocco, Nahodha wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba, ametwaa tuzo ya mchezaji bora (MVP) wa msimu 2020/21. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguOctober 22, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibua hoja zaidi ya kumi, kuhusu kasoro zilizojitokeza kwenye uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu, Divisheni ya...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeomba kuzungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, ili kupata suluhu ya sintofahamu zinazojitokeza nchini kwenye masuala...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2021CHAMA kikuu cha upinzania nchini Tanzania cha Chadema, kimesema hakijaridhishwa na uamuzi wa Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu...
By Regina MkondeOctober 20, 2021JAJI Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mustapha Siyani amejitoa kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kupanga njama za ugaidi...
By Regina MkondeOctober 20, 2021MAHAKAMA KUU, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, nchini Tanzania imeyatupa mapingamizi mawili ya upande wa utetezi katika kesi inayomkabili kiongozi wa...
By Regina MkondeOctober 20, 2021KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe amesema, kiongozi wa mwisho wa Taifa hilo ni Hayati Baba...
By Regina MkondeOctober 20, 2021ASKOFU wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Emmaus Mwamakula, ameendesha maombi maalum katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu...
By Regina MkondeOctober 20, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania, kesho Jumatano, tarehe 20 Oktoba 2021, inatarajia kutoa uamuzi wa...
By Regina MkondeOctober 19, 2021CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi kimesema, hakitashiriki kikao kilichoitishwa na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa na...
By Jonas MushiOctober 18, 2021SIKU tatu baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka 30, yeye na wenzake wawili kwa makosa ya unyang’anyi wa kutumia silaha, aliyekuwa Mkuu...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021WENYEVITI wa mikoa ya chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Chadema wamesema, kilichomtokea Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai,...
By Jonas MushiOctober 18, 2021ALIYEKUWA mbunge wa Viti Maalum, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Vick Kamata Servacius Likwelile, ameibuka na kueleza mambo mazito ambayo yeye na...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amempa miezi mitatu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu mkoani Arusha (DED), Karia Rajabu,...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2021ALIYEWAHI kuwa Diwani wa Sombetini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ally Bananga, ametangaza kurejea katika chama tawala cha Mapinduzi (CCM),...
By Regina MkondeOctober 17, 2021MSEMAJI Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa, amesema Jeshi la Polisi nchini humo, linaendelea kufanya uchunguzi kuhusu tukio la kupotea kwa...
By Kelvin MwaipunguOctober 17, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan aendelee kusimama katika yale...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai...
By Mwandishi WetuOctober 15, 2021