Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Polisi tuhumani kwa mauaji Mwanza

ASKARI Polisi jijini Mwanza wanatuhumiwa kwa kumpiga na kumuua Danny Jalali, mkazi wa Kata ya Kirumba Wilaya ya Ilemela, anaandika Moses Mseti. Tukio hilo lilitokea tarehe 13 Juni mwaka. Kuuawa ...

Read More »

Maalim Seif: Prof. Lipumba ‘stop’

JUHUDI za Prof. Ibrahim Lipumba, kurejea katika nafasi yake ya uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), zimegonga mwamba, anaandika Pendo Omari. Maalim Seif Sharif Hamad, katibu mkuu wa chama hicho ...

Read More »

Mkapa: Najuta

RAIS Mstaafu, Benjamin Mkapa haachi kujuta kutokana na baadhi ya yale aliyoyatenda kwenye utawala wake, anaomba Watanzania wamsamehe, anaandika Wolfram Mwalongo. Kinachomfanya kujuta ni hatua ya utawala wake kukabidhi ‘injini ...

Read More »

Prof. Lipumba kuiua CUF?

HATIMAYE Prof. Ibrahim Lipumba, aliyekuwa Mwenyekti wa Chama cha Wananchi (CUF) ametangaza kurejea kwenye nafasi yake ya uenyekiti-taifa wa chama hicho, anaandika Faki Sosi. Amesema, anarejea kwenye nafasi hiyo baada ...

Read More »

Mkakati wa Magufuli, Dk. Tulia ‘kuua’ Ukawa

  MIKAKATI inayofanywa na Serikali ya Rais John Magufuli dhidi ya vyama vya upinzani nchini, inalenga kudhoofisha upinzani huo kabla ya uchaguzi mkuu 2020, anaandika Dany Tibason. Miongoni mwa matukio yanayoakisi ...

Read More »

Rais Magufuli una ujasiri jukwaani tu?

  Mheshimiwa Rais John Magufuli, sijawahi kukuandikia barua, ama ya sanduku la posta au ya mtandaoni. Leo nakuandikia kupitia gazetini kwa sababu mbili, anaandika Ansbert Ngurumo. Kwanza, natambua kuwa wewe ni ...

Read More »

Wabunge walizwa, Zitto akoleza

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo amekoleza moto wa wabunge kukatwa kodi katika fedha za kiinua mgogo, anaandika Dany Tibason. Wakati hayo yakifanyika, Serikali ya Rais John Magufuli ...

Read More »

Serikali yaumbuka–Bajeti hewa

SERIKALI ya Dk John Magufuli imeumbuliwa na kambi ya upinzani, imeumbuka kwa kupeleka bajeti hewa itakayopitishwa na wabunge wengi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Josephat Isango.  David Silinde, Waziri ...

Read More »

Bajeti 2016/17 yakera CCM

BAJETI ya serikali kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 iliyosomwa jana, imekera wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Faki Sosi. Wabunge hao wameonesha kukerwa na bajeti hiyo pale Dk. Philip ...

Read More »

Dk. Malasusa, Mchungaji Leita hapatoshi

SAKATA la tuhuma za uzinzi kati ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli (KKKT), dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), Dk. Alex Malasusa, linazidi kuchukua sura mpya, anaandika ...

Read More »

Chadema wala kiapo

SIKU moja baada ya mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuzuiwa, chama hicho kimeapa kutofuata ‘upuuzi’ wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Happiness Lidwino. “Lengo la Serikali ya CCM ...

Read More »

Mbowe: Haturudi nyuma

KAZI imeanza. Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya Serikali ya Rais John Magufuli jana kusababisha vurugu kubwa Kahama mkoani Shinyanga, anaandika Faki Sosi.   NI kwa mara ya kwanza ndani ya ...

Read More »

Polisi yakurupua ‘vita’ ya Chadema, CCM

  JESHI la Polisi nchini limeingilia kati ‘vita’ ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Faki Sosi. Taarifa ya Nsato Mssanzya, Kamishna wa Polisi Operesheni ...

Read More »

Dk. Tulia asota Dodoma

Dk. Tulia Ackson, Naibu Spika wa Bunge anaonja maumivu kutoka kwa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), anaandika Dany Tibason. Kila anapokuwepo Dk. Tulia, Ukawa wanaondo na hata kusababisha ...

Read More »

Kutoka Bungeni leo

GEORGE Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) amesema, tabia ya wakuu wa mikoa na wilaya kuomba mafuta kwa wakurugenzi hairuhusiwi kwa kuwa, ...

Read More »

Moto wawaka KKKT

WAKATI Asime Modern Mwakilima, Muumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani akitafakari kuhama Ukristo na kuingia Uislam, waraka uliosambaza ndani ya kanisa hilo ...

Read More »

Ni Prof. Lipumba ama Taslima CUF

NI Prof. Ibrahim Lipumba ama Twaha Taslima ndani ya Chama cha Wananchi (CUF). Jibu litapatikana Agosti mwaka huu, anaandika Regina Mkonde. Agosti mwaka huu, chama hicho kimepanga kuitisha Mkutano Mkuu ...

Read More »

Mpango kuteka nchi wapangwa

MKAKATI wa kuteka nchi unapangwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anaandika Happiness Lidwino. Ni kwa kufanya ziara nchi nzima kwa lengo la kukukumbusha wananchi kwamba, nchi inapaswa kuendeshwa ...

Read More »

Mohammed Ali afariki dunia

MOHAMMED Ali, aliyekuwa bondia wa kwanza maarufu na mwenye asili ya Kiafrika, Raia wa Marekani, amefariki leo asubuhi. Bondia huyo amefariki leo akiwa na umri wa miaka 74. Taarifa kutoka ...

Read More »

Rais Magufuli azua gumzo ziarani UDSM

ZIARA ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli kukitembelea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) leo imezua gumzo, anaandika Charles William. Ziara hiyo yenye lengo la ...

Read More »

Sheikh Ponda ‘asakwa’

  SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini, bado anawindwa na mawakili wa serikali, anaandika Faki Sosi. Mawakili hao wanapinga hukumu yake iliyotolewa na Richard Kabate, ...

Read More »

Zamu ya Dola kumdhibiti Maalim

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar kimeshindwa kumdhibiti Maalim Seif Sharif Hamad na sasa dola kutumika, anaandika Faki Sosi. Wabunge wa CCM kupitia Baraza la Wawakilishi (BLW) visiwani humo jana ...

Read More »

Maalim Seif pasua kichwa

SERIKALI ya Dk. Ali Mohammed Shein haipati usingizi. Ni kutokana na Maalim Seif Shariff Hamad kuumiza vichwa vyao, anaandika Hamisi Mguta. Jeshi la Polisi visiwani humo leo limemuhoji Maalim Seif, ...

Read More »

Ukawa watibua tena, Naibu Spika kukiona

DK. Tulia Ackson, Naibu Spika wa Bunge ‘ataisoma namba’. Ni baadaya ya Bunge kusimamisha wabunge saba kutoka vyama vya upinzani, anaandika Regina Mkonde. Wabunge wa vyama vya upinzani leo wametoka ...

Read More »

Kimenuka, Bunge laahirishwa

BUNGE la Tanzania limeahirishwa. Ni kutokana na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kugomewa kuwasilisha hoja binafsi kuhusu wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kusimamishwa, anaandika Faki ...

Read More »

Askofu Malasusa kuibua gogoro KKKT

DK. Alex Malasusa, Askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), ameanza mchakato wa kubadilisha katiba ya kanisa lake ili kuzuia kung’olewa ...

Read More »

Chozi la Kabwe kwa Makonda limetua

PAMOJA na kuelezwa kuwa umauti hauna adui, lakini kwa msiba huu wa Wilson Mbonea Kabwe umekuwa tofauti. Una maadui, tena maadui wasiofahamu maisha yake, utendaji na uadilifu wake katika kazi, ...

Read More »

Mshauri wa Rais anaswa akila uroda na mwanaye

SERIKALI ya Dk. Ali Mohammed Shein imezama kwenye aibu, ni baada ya mshauri wake Dadi Faki Dadi kukamatwa kwa tuhuma za kufanya ngono na mwanaye, anaandika Pendo Omary. Faki alikuwa ...

Read More »

Dk. Shein, Maalim Seif wamyumbisha Mrema

AGUSTINO Mrema, Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) ‘amerusha mkuki msituni,’ ni baada ya kulalamikia wanasiasa wanaochochea uvunjifu wa amani visiwani Zanzibar bila kutaja majina yao, anaandika Aisha ...

Read More »

Magufuli afumua TCU, St. Joseph yaponza wengi

RAIS John Magufuli amevunja Kamisheni  ya Tume vya Vyuo Vikuu (TCU) na kuwasimamisha kazi watendaji wakuu wa tume hiyo baada ya kubainika kudahili wanafunzi wasio na sifa na kuwapa mikopo, ...

Read More »

Aibu ya Makonda msibani

ANNA Kabwe, binti wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe amegoma kumpa mkono Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, anaandika Wolfram Mwalongo. Tukio ...

Read More »

Maalim Seif amtia kiwewe Dk. Shein

KIWEWE cha Serikali ya Dk. Ali Mohammed Shein kinakomaa, matokea ya kukanyagwa demokrasia visiwani Zanzibar yanatesa utawala wake, anaandika Faki Sosi. Kutokana na Maalim Seif Shariff Hamad, aliyekuwa mgombea urais ...

Read More »

Ukawa wasaka majangili bungeni

OPERESHENI Tokomeza Ujangili iliyofanyika tarehe 4 Oktoba 2013 haijafika kikomo. Vyama Vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) leo bungeni vimedai idadi ya majangili waliokamatwa, anaandika Faki Sosi. Ni kwa ...

Read More »

Maalim Seif awindwa Z’bar

TAARIFA zimevuja. Wanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanatajwa kushinikiza Jeshi la Polisi kumkamata Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), anaandika Regina Mkonde. Si Maalim ...

Read More »

Chadema: JPM anachukia pombe kuliko ufisadi?

HATUA ya Rais John Pombe Magufuli kumtimua kazi Charles Kitwanga, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi imeibua maswali,” anaandika Pendo Omary. Miongoni mwa maswali hayo ni pamoja na kwamba, ...

Read More »

CCM yavuliwa nguo bungeni

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) leo imeivua nguo Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) bungeni, anaandika Regina Mkonde. Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imeeleza kwamba, Serikali ya ...

Read More »

Aliyetumbuliwa na Rais Magufuli afariki

WILSON Kabwe, aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam amefariki dunia usiku wa kumakia leo jijini Dar es Salaam, anaandika Pendo Omary. Kabwe amefikwa na mauti akiwa kwenye matibabu ...

Read More »

Mnyika aibuka na IPTL, Escrow, Richmond bungeni

MAAZIMIO ya Bunge kuhusu Richmond, Akaunti ya ‘Escrow’ pamoja na umiliki wa Kampuni ya IPTL yameibuka tena bungeni na kuipa serikali wakati mgumu, anaandika Faki Sosi. Akiwasilisha Hotuba ya Msemaji ...

Read More »

Mauaji msikitini

NDANI ya Msikiti wa Rahma ‘Masjid Rahma’ mkoani Mwanza mauaji yametokea, watu watatu waumini wa msikiti huo wamepoteza maisha, anaandika Moses Mseti. Watatu wakiwa wamepoteza maisha huku mmoja akiwa amejeruhiwa ...

Read More »

Chadema: Magufuli anayo siri ya Lugumi

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeeleza kuamini kwamba, Rais John Magufuli anayo siri ya Kampuni ya Lugumu na INFOSYS hivyo anapatwa kigugumizi kuchukua hatua, anaandika Happiness Lidwino. Pia chama ...

Read More »

Rais Magufuli mambo hadharani

  KASHFA zimeanza kumiminika baada ya Dk. John Magufuli wakati akiwa Waziri wa Ujenzi katika Serikali ya Awamu ya Nne kudaiwa kuridhia ununuzi wa Kivuko cha Mv. Dar es Salaam ...

Read More »

Tumbua tumbua yamgeuka Magufuli

  DHANA ya utumbuaji majipu sasa imemgeukia Rais John Magufuli kutokana na kuongoza wizara iliyotawala na ubadhirifu wa fedha za umma, anaandika Regina Mkonde . Katika Serikali ya Awamu ya Nne ...

Read More »

Chungu ya Lema kwa Magufuli hii hapa

HOFU ya Mussa Azzan Zungu, Mwenyekiti wa Bunge kuruhusu Hotuba ya Godbless Lema, Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ni pamoja na ...

Read More »

Kilichotibua bunge hiki hapa

MUSSA Azan Zungu, Mwenyekiti wa Bunge leo asubuhi aliahirisha bunge mpaka saa 10 jioni baada ya kuzuia usomwaji wa Hotuba ya Godbless Lemba, Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ...

Read More »

Lema atibua, Bunge laahirishwa

HOTUBA ya Godbless Lema, Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imezuia, anaandika Faki Sosi. Bunge limeahirishwa mpaka saa 10 jioni baada ya ...

Read More »

Maalim Seif ‘alianzisha’ kwa Dk. Shein

HALI ya hewa visiwani Zanzibar haijatulia, vidonda vya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 25 Oktoba mwaka jana vinaendelea kutafuna visiwa hivyo, anaandika Happiness Lidwino. Maalim Seif Shariff Hamad, aliyekuwa mgombea urais ...

Read More »

Aibu, Fedheha ya Dart, Jiji, Manispaa Dar

IKIWA ni siku tano kupita baada ya mabasi ya mwendo kasi kuanza kusafirisha abiria katika Jiji la Dar es Salaam, hali ya vituo vyake inatisha, anaandika Happiness Lidwino. Baadhi ya ...

Read More »

Nape aangukia pua bungeni

ILE kauli kwamba ‘muosha huoshwa’ imedhihiri bungeni baada ya wabunge kumkalia kooni Nape Nauye, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo, anaandika Faki Sosi. Jana wabunge hao wamesema kwamba, ...

Read More »

Sukari imetusahaulisha Lugumi?

SAKATA la kukosekana sukari limeshika kasi nchini.Tatizo la kukosekana sukari lilianza baada ya Rais John Magufuli kupiga marufuku uingizaji wa sukari kutoka nje ya nchi kwa kile alichosema ni kulinda ...

Read More »

Prof. Lipumba amchoka Rais Magufuli

PROFESA Ibarahim Lipumba, mchumi mbobezi ndani na nje ya nchi ameeleza kuchoshwa na utendaji wa Rais John Magufuli katika kukabiliana na changamoto za kiuchumi, anaandika Regina Mkonde. Mchumi hiyo aliyekuwa ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram