MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
CHAMA cha NCCR-Mageuzi, kimetengua azimio lake la kutoshiriki mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) na Rais Samia Suluhu Hassan, baada ya...
By Regina MkondeMarch 11, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amepokea orodha ya majina ya awali ya kaya 86 zenye watu 453 ambao wamekubali kuondoka kwenye hifadhi...
By Gabriel MushiMarch 10, 2022NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, imetoa mapendekezo sita yatakayowezesha upatikanaji wa tume huru ya uchaguzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2022CHAMA cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitapeleka barua nyingine kwenda kwenye uongozi wa Bunge, kulitaarifu msimamo wake wa kufukuza uanachama wabunge...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekataa kupokea kielelezo cha Tape iliyofikishwa mahakamani hapo na shahidi wa sita wa Jamhuri, Inspekta...
By Faki SosiMarch 9, 2022MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umempa tuzo ya maisha ya mtetezi wa haki zabinadamu, Mkurugenzi Mstaafu wa Kituo cha...
By Gabriel MushiMarch 9, 2022MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe ametumia takribani dakika 76, kulihutubia Taifa ikiwa ni siku nne baada ya kutoka mahabusu ya Gereza la Ukonga,...
By Gabriel MushiMarch 8, 2022KAMANDA wa jeshi la ardhini nchini Uganda (UPDF), Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ametangaza kustaafu katika jeshi hilo baada ya kuhudumu kwa miaka 28....
By Gabriel MushiMarch 8, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amedai chanzo cha yeye kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi, ni hotuba yake ya uchambuzi...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametahadharisha uwepo wa mfumuko mkubwa wa bei nchini unaosababishwa na kupanda kwa bei...
By Gabriel MushiMarch 8, 2022ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe, ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Benson Bagonza, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitakufa...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2022BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limesema litafanya ziara katika kanda za nchi, kwa ajili ya kuhamasisha ufufuaji...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia, Freeman Mbowe amesema licha ya kuwa ugaidi ni kosa linaloweza kumfungisha mtu maisha lakini alimuomba Mungu...
By Gabriel MushiMarch 6, 2022KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe amesema, kilichomfanya akafutiwa mashtaka ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili ni “nguvu ya...
By Gabriel MushiMarch 6, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imetenga Shilingi trilioni moja katika mpango mahususi wa kuwezesha mabenki kukopesha kwa riba ndogo isiyozidi asilimia 10....
By Mwandishi WetuMarch 5, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo cha Chadema, Freeman Mbowe. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2022SHANGWE zimeibuka katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, baada ya mahakama hiyo kufuta...
By Regina MkondeMarch 4, 2022KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Aikaeli Mbowe leo Ijumaa, tarehe 4 Machi 2022 amehitimisha siku 226...
By Masalu ErastoMarch 4, 2022MKURUGENZI wa Mashtaka (DPP) leo Ijumaa tarehe 4 Machi 2022, amewasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi inayomkabili Mwenyekiti...
By Regina MkondeMarch 4, 2022MWANAUME kutoka Jamhiri ya Kidemokrasia ya Congo ameingia kwenye rekodi ya mfalme Solomoni baada ya kufunga pingu za maisha na mapacha watatu wa...
By Gabriel MushiMarch 3, 2022VIONGOZI wa dini nchini Tanzania, wamemwomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan kutumia mamlaka aliyonayo kumaliza kesi ya ugaidi inayomkabili, kiongozi...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022ALIYEKUWA mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam impe muda...
By Regina MkondeMarch 2, 2022BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa waraka wa Kwaresima wa mwaka 2022 ambao kwa sehemu kubwa umejikita kuzungumzia umuhimu wa upatanisho....
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam nchini Tanzania leo Jumatano tarehe 2 Machi 2022, itasikiliza maombi ya kufungua kesi...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Maridhiano day yatakayofanyika...
By Danson KaijageMarch 1, 2022ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbrod Slaa amesema, anamwombea kwa Mwenyezi Mungu, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ili haki iweze...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2022CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimezindua program maalum iitwayo ‘Join the Chain’ yenye lengo la kukusanya fedha za ujenzi...
By Mwandishi WetuFebruary 25, 2022NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amekutana na kumuaga Balozi wa Vatican nchini, Askofu...
By Gabriel MushiFebruary 23, 2022MWENYEKITI wa Baraza la Wazee la chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Hashim Issa Juma, amekamatwa na Jeshi la Polisi,...
By Kelvin MwaipunguFebruary 23, 2022NI dhahiri sasa kuwa ajira ni tatizo la kidunia. Hakuna ubishi sasa hili ni janga. Nchi zote ulimwenguni zinajaribu kukabiliana na janga...
By Mwandishi MaalumFebruary 23, 2022ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara mkoani Kagera, Severine Niwemugizi amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kushughulikia changamoto sita zinazoikabili wilaya hiyo hususani...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2022ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara mkoani Kagera, Severine Niwemugizi amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan asikubali kamwe kulinganishwa na Mungu kwa namna...
By Mwandishi WetuFebruary 22, 2022KADA mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan...
By Gabriel MushiFebruary 21, 2022KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi, Shaka Hamdu Shaka amesema chama hicho kinaridhishwa na juhudi...
By Mwandishi WetuFebruary 20, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika ziara na mikutano aliyoifanya Barani Ulaya imeifanikisha Tanzania kukwamua miradi iliyokuwa imekwama. Amesema miradi hiyo ilikwama katikati...
By Gabriel MushiFebruary 20, 2022MAHAKAMA KUU, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania, imemkuta na kesi ya kujibu, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...
By Mwandishi WetuFebruary 18, 2022MAMIA ya wanachama wa Chadema, wamefika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam, kusikiliza uamuzi...
By Mwandishi WetuFebruary 18, 2022KWA mara nyingine tena, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka watu wanaokosoa hatua ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kufunguliwa mashtaka...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema nchini Tanzania, Tundu Lissu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kushughulikia kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa chama...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassa amekutana na kuzungumza na Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo- Chadema, Tundu Lissu....
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2022MWILI wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), anayeshughulikia magonjwa yasiyopewa kipaumbele (NTDs), Dk. Mwele Malecela (58), utawasili nchini Tanzania usiku...
By Masalu ErastoFebruary 16, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, Serikali anayoiongoza ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kuzalisha chanjo ya korona (UVIKO-19) na maradhi...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2022MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imefunga kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2022MPELELEZI wa kesi ya uhujumu uchumi namba 16/2021, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, Inspekta Tumaini Swila, amedai mwanasiasa...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2022KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania-Chadema, Freeman Mbowe ameibuka malalamiko mahakamani ya kunyimwa chakula kwa zaidi ya miezi mitano kila...
By Masalu ErastoFebruary 14, 2022PETER Kibatala, Kiongozi wa Jopo la Mawakili wa Utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu,...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2022LEO Jumatatu, tarehe 14 Februari 2022, Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson anazungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2022LEO Jumatatu tarehe 14 Februari 2022 ni siku ya wapendao ‘Valentine Day’ na ndani ya chumba cha Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wahandisi wa Wakala wa Barabara Vijijini (TARURA) kusimamia miradi kwa weledi, uadilifu na uaminifu huku wakizingatia ubunifu...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2022