MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka wizara ya maliasili na utalii kuendelea kusimamia kwa ukaribu na kuhakikisha shughuli za ujenzi katika...
By Mwandishi WetuApril 25, 2022MWILI wa aliyekuwa Mbunge Viti Maalumu (CCM), Mkoa wa Rukwa nchini Tanzania, Irene Ndyamkama, utazikwa mkoani Rukwa, Ijumaa ya tarehe 29 Aprili...
By Mwandishi WetuApril 25, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi-Bara nchini Tanzania, Abdulrahman Kinana amesema wanachama wanaotafuta uongozi ndani ya chama hicho kwa kutumia fedha, hawana nafasi...
By Gabriel MushiApril 24, 2022JAJI Mstaafu Joseph Warioba ametaja mambo saba yaliyompa heshima Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na kusisitiza kuwa kiongozi huyo alikataa kuitwa...
By Mwandishi WetuApril 23, 2022MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC), wamefungua kesi ya kuomba...
By Gabriel MushiApril 23, 2022KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Konde, limemtaka Msajili wa Jumuiya za Kiraia nchini, kuacha “kuingilia mambo ya ndani...
By Mwandishi WetuApril 23, 2022HATIMA ya Halima Mdee na wenzake 18 kuendelea kuwa wabunge wa viti maalumu itajulikana tarehe 11 Mei 2022, wajumbe wa Baraza Kuu...
By Mwandishi WetuApril 22, 2022MAHAKAMA nchini Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela raia wa China kwa mashtaka ya mateso aliyowafanyia wanaume wanne aliokuwa akiwachapa huku wakiwa...
By Gabriel MushiApril 21, 2022ASKOFU Mkuu Yuda Thaddeus Ruwa’ichi, wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, amesema uchunguzi dhidi ya chanzo cha kifo cha aliyekuwa Mkuu...
By Gabriel MushiApril 21, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
By Gabriel MushiApril 21, 2022MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) nchini Tanzania katika ukaguzi wake kwa mwaka 2020/21 amebaini udhaifu wa usimamizi, ufuatiliaji na ukiukwaji...
By Masalu ErastoApril 20, 2022ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda, ameshauriwa kuwaomba radhi hadharani viongozi wa Serikali, vyama vya siasa,...
By Mwandishi WetuApril 20, 2022SAKATA la kifo cha Padri Francis Kangwa (49) raia wa Zambia aliyekuwa Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Yohanne Paul II, iliyoko Mbezi Mshikamano...
By Gabriel MushiApril 19, 2022CHAMA kipya cha siasa nchini Tanzania kinachojinasibisha na ‘Rais wa Wanyonge’, John Magufuli, kimeanza kuleta sintofahamu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),...
By Mwandishi WetuApril 19, 2022MBUNGE Viti Maalumu, Stella Ikupa, ametishia kushika shilingi katika makadirio ya bajeti ya Wizara Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa mwaka wa fedha wa...
By Regina MkondeApril 19, 2022UTATA umeibuka juu ya kifo cha Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Yohanne Paul II, iliyoko Mbezi Mshikamano, Dar es Salaam, Padri Francis...
By Mwandishi WetuApril 18, 2022MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania, Charles Kichere amesema, ukaguzi alioufanya kwa mwaka 2020/21 amebaini chama kikuu...
By Mwandishi WetuApril 17, 2022MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania, Charles Kichere ameonesha hofu kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
By Mwandishi WetuApril 17, 2022RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2020/21 nchini Tanzania, amebaini kampuni zinazomilikiwa na Chama Cha...
By Mwandishi WetuApril 17, 2022MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris ameeleza mambo mahususi watakayogusia katika mazungumzo yake na Rais Samia Suluhu Hassan ambaye yupo nchini...
By Mwandishi WetuApril 15, 2022RAIS Samia haikuwa bahati mbaya kuzindulia filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania duniani, Royal Tour nchini Marekani bali ni kutokana na nchi...
By Mwandishi WetuApril 15, 2022KIONGOZI wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ametaja mambo mawili yanayoweza kufanyika ili kupunguza wizi ama...
By Mwandishi WetuApril 15, 2022MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema, mvua za masika Machi- Mei mwaka 2022 zinatarajiwa kuwa chini ya wastani hadi wastani...
By Mwandishi WetuApril 13, 2022OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini mkandarasi aliyepewa kazi ya kuongeza kina cha lango na sehemu ya...
By Gabriel MushiApril 13, 2022OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imebaini kiasi cha Sh bilioni 22.64 kilichohamishwa kutoka makao makuu ya Mamlaka ya...
By Gabriel MushiApril 13, 2022Mbunge wa Kongwa na Spika Mstaafu wa Bungela Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kwa mara ya kwanza amehudhuria vikao vya...
By Mwandishi WetuApril 13, 2022MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania, Charles Kichere amebaini balozi nne zilifanya malipo yenye thamani ya Sh.239.56...
By Mwandishi WetuApril 13, 2022WATU watano wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege Tanzania, kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Gabriel MushiApril 12, 2022ZIARA ya Waziri Habari, Mawasiliano na Teknolojia, Nape Nnauye anayoifanya mikoa yote nchini kwa kutumia Helicopter ‘chopa’ kwa lengo la kukagua utekelezaji...
By Mwandishi WetuApril 12, 2022LICHA ya kuwepo kwa mfumuko wa bei za bidhaa duniani Serikali ya Tanzania imesema bei za bidhaa nchini mwake zipo chini ikilinganishwa na...
By Gabriel MushiApril 11, 2022HATIMAYE Bazara la Madiwani Manispaa ya Moshi Mjini Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania limemng’oa Meya wao, Juma Raibu kwa kumpigia kura ya...
By Mwandishi WetuApril 11, 2022MBUNGE wa Kawe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Askofu Joseph Gwajima ameshauri kuanzishwa kwa Dira ya Taifa ili kuwezesha kiongozi...
By Mwandishi WetuApril 11, 2022MAKAMU wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana ameonya viongozi wanaopata nafasi mbalimbali za kuteuliwa au kuchaguliwa kuacha tabia ya kutaka kutukuzwa kwani nafasi...
By Mwandishi WetuApril 10, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM)-Bara, Abdulrahman Kinana ametangaza ziara ya kichama ya mikoa minne atakayoifanya hivi...
By Mwandishi WetuApril 10, 2022KATBU Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amewaonya wanachama wa chama hicho kuacha kupanga safu katika nafasi mbalimbali za uchaguzi wa chama hicho...
By Mwandishi WetuApril 10, 2022CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, leo Jumapili tarehe 10 Aprili 2022, wanampokea Makamu Mwenyekiti...
By Mwandishi WetuApril 10, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS) kuimarisha utendaji kazi wake ikiwemo kuacha kuchelewesha...
By Mwandishi WetuApril 8, 2022MWENYEKITI mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo amekiomba chama hicho kumchukulia hatua mbunge wake wa Kisesa,...
By Mwandishi WetuApril 7, 2022MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kuunda jopo la wataalamu ili kufuatilia upandaji wa bei...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, hadi kufikia Februari 2022 Serikali imekwisha kulipa malipo ya awali ya ununuzi wa ndege mpya...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba ameonya vitendo vya viongozi wa kisiasa kukaribishwa katika madhabahu ya nyumba za ibada, kutoa salamu za...
By Mwandishi WetuApril 5, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amevitaka vyama vya siasa vikubali kushiriki mikutano inayoitishwa kwa ajili ya kujadili masuala ya demokrasia,...
By Mwandishi WetuApril 5, 2022MWENYEKITI wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Zitto Kabwe ameiomba Serikali kuhakikisha mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa yanafanyika kufikia Julai...
By Mwandishi WetuApril 5, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amekitaka kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kujadili na kutoa kwa Serikali mapendekezo yanayotekelezeka. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....
By Mwandishi WetuApril 5, 2022CHAMA cha siasa cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, kimesema hakitashiriki kongamano la haki, amani na maridhiano, lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kikidai...
By Mwandishi WetuApril 4, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema heshima ya utumishi wa umma iliyokuzwa katika awamu ya tano ilikuwa ya woga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...
By Mwandishi WetuApril 2, 2022MAKAMU mpya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema katika uongozi wake atahakikisha haki na demokrasia inaimarika ndani na nje...
By Mwandishi WetuApril 1, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, amekemea vitendo vya ukabila, udini na ukanda, ndani ya chama hicho,...
By Mwandishi WetuApril 1, 2022KATIBU Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Yusuph Makamba, amevitaka vyama vya upinzani nchini, vijitayarishe kuchuana na Rais Samia Suluhu...
By Mwandishi WetuApril 1, 2022