Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Ndugai agomea milioni 43 matibabu ya Lissu.

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametua nchini akitokea nchini Kenya anapomuuguza Mbunge wa Singida Mashariki ( Chadema), Tundu Lissu na kufunguka kwamba Spika Job Ndugai ...

Read More »

Polisi, Bunge walivyomtesa Kubenea

SAED Kubenea Mbunge wa Ubungo, amerejeshwa Jijini Dar es Salaam kutoka Mjini Dodoma ilhali afya yake ikiwa sio shwari, anaandika Faki Sosi. Kubenea aliwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa ...

Read More »

Kamati ya Bunge yashindwa kumhoji Kubenea, alazwa kliniki ya Bunge

KAMATI ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka ya Bunge, imeshindwa kumhoji mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea, baada ya kuona hali yake ya kiafya imezorota, anaandika Dany Tibason. Mwenyekiti wa ...

Read More »

Sinema ya Kubenea kama ya Mbowe, Bulaya

SINEMA ya kukamatwa wabunge wa upinzani na kuwasafirisha kwa ndege wakiwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi imejirudia leo  baada ya  Mbunge wa Ubungo,  Saed Kubenea (Chadema), kusafirishwa  alfajiri kwenda ...

Read More »

Bombidier za Magufuli wazidi kupata hitilafu

ABIRIA zaidi ya 50 waliokuwa wakitarajia kusafiria na ndege ya Bombidier  jijini Mwanza, wameshindwa kusafiri kutokana na ubovu wa ndege hiyo kitendo kilichosababisha abiria wengi kulalamika, anaandika Moses Mseti. Hiyo ...

Read More »

Serikali yafungia gazeti la MwanaHALISI

Read More »

Kina Kibamba waishika pabaya Serikali

KUPITIA bajeti  ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa miaka miwili mfululizo (2016/2017 na 2017/2018) serikali ilitazamiwa kutenga fedha kwa ajili ya ukamilishaji wa mchakato wa katiba mpya, anaandika Pendo  ...

Read More »

Nyumba ya Zitto Kabwe yateketea kwa moto

TAARIFA zilizotufikia muda huu ni kuwa nyumba ya Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe iliyopo  Mwandiga, Kigoma imeungua moto, anaandika Mwandishi wetu. Taarifa hizo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ...

Read More »

Spika  Ndugai asema usalama Tanzania ni sifuri

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amewataka wabunge kuwa makini pindi wawapo majimboni kwao au nje ya jimbo kutokana na hali ya usalama kutokuwa shwari hapa nchini, anaandika Dany Tibason. Ndugai ...

Read More »

Yusuf Manji aachiwa huru, DPP afuta kesi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia Huru Mfanyabiashara Yussuf Manji na wenzake kwenye uhujumu Uchumi baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka DPP kuwasilisha hati ya kutoendelea na Mashtaka mahakamani hapo, anaandika ...

Read More »

‘Watu wasiojulikana’ wamuibua  Mkuu wa Majeshi

SAKATA la uvamizi na kupigwa risasi na watu wasiojulikana limemuibua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Venance Mabeyo ambaye amesema vyombo vya dola vinaendelea na uchunguzi wa matukio hayo, ...

Read More »

Chadema yazidi kumtekenya Magufuli, wasema anahusika kumdhuru Lissu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeituhumu serikali ya rais John Magufuli kuwa inahusika na tukio la shambulio la kifo dhidi ya Tundu Lissu, anaandika Hellen Sisya. Akizungumza na waandishi wa ...

Read More »

Mkwara wa Lipumba wapagawisha wabunge wa CCM

HOFU ya wabunge kuvuliwa uanachama na kusababisha wapoteze nyadhifa zao za ubunge sasa imeanza kutanda ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Dany Tibason. Wabunge wa CCM wakizungumza na Mwanahalisi ...

Read More »

CUF ya Lipumba yaunda kambi yao ya upinzani bungeni

CHAMA cha Wananchi (CUF) kinachomuunga mkono Prof. Ibrahim Lipumba wametangaza kuunda kambi yao Bungeni tofauti na Kambi Rasmi Bungeni inayoundwa na UKAWA, anaandika Dany Tibason. Imeelezwa kuwa Naibu Katibu Mkuu ...

Read More »

Maalim Seif aililia amani

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesihi Rais John Magufuli aitishe kikao cha dharura kitakachoshirikisha watendaji mahsusi wa kiserikali pamoja na viongozi wa dini na ...

Read More »

Tundu Lissu apigwa risasi Dodoma, viongozi wanena

NI taharuki, vilio na simanzi katika hospitali ya mkoa wa Dodoma, baada ya Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na MBunge wa Singida Mashariki, kuvamiwa na watu wasiojulikana na kupigwa ...

Read More »

Mawaziri Simbachawene, Ngonyani wang’oka, Prof. Mruma abebwa

MAWAZIRI wawili wa serikali ya awamu ya tano, wameachia ngazi muda mfupi baada ya Rais John Magufuli kuwataka kufanya hivyo leo asubuhi, anaandika Irene David. Waziri wa Nchi Ofisi ya ...

Read More »

Kamati ya Bunge yamparura Simbachawene, Muhongo

KAMATI teule za Bunge za kuchunguza madini ya Almasi na Tanzanati leo zimewasilisha ripoti hiyo kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai huku baadhi ya vigogo wakiwa wamekalia kuti bovu, anaandika ...

Read More »

Chadema watetea wabunge wasiwe ombaomba

VICENT Mashinji, Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amelituhumu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuvunja Katiba ya nchi na kuomba fedha kwa Serikali bila ...

Read More »

Chadema watishia ‘Nyau’ kuhusu Ukuta

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetonesha kidonda kilichopona baada ya kusisitiza kwamba bado kina dhamira ya kufanya maandamano kwa nchi nzima waliyoyapa jina la Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania ...

Read More »

Pigo lingine kwa Manji, avuliwa Udiwani

YUSUF Manji, diwani wa CCM katika Kata ya Mbagara, amevuliwa udiwani kutokana na kushindwa kuhudhuria vikao vitatu mfululizo bila sababu za msingi, anaandika Mwandishi Wetu. Taarifa zinasema, Manji amevuliwa wadhifa ...

Read More »

Kambi ya Lipumba yapata ajali, wanne wafariki

WAFUASI wanne wa Chama cha Wananchi wamefariki katika ajali iliyotokea leo alfajili waliokuwa wakitoka kwenye sherehe za kuapishwa kwa wabunge wanane wa CUF, anaandika Faki Sosi. Wafuasi hao wanaodaiwa kutoka ...

Read More »

Wabunge wa Lipumba wasusiwa na wapinzani bungeni

SPIKA wa Bunge,  Job Ndugai amewapiga vijemba wapinzani muda mfupi baada ya kumalizika kazi ya kuwaapisha wabunge 8 wa viti maalum walioteuliwa na Cuf kupitia Mwenyekiti  Ibrahim Lipumba anayetambulika na ...

Read More »

Mradi wa kuuvuruga Ukawa waiva

MBUNGE wa Kaliua, Magdalena Sakaya, ametoa mwaliko kwa wabunge wote wa Chama Cha Mapinduzi, kuhudhuria tafrija na sherehe kubwa ya kuapishwa wabunge saba walioteuliwa na anayejiita, “mwenyekiti wa CUF,” Ibrahim ...

Read More »

Mbivu na mbichi za ‘dikteta uchwara’ Oktoba 4

UAMUZI mdogo kuhusiana na kesi ya “dikteta uchwara” inayomkabili Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu unatarajiwa kutolewa Oktoba 4, mwaka huu, anaandika Hellen Sisya. Mahakama ...

Read More »

Freeman Mbowe afunguka uchaguzi Kenya

MWENYEKITI  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amefunguka na kumsifu Rais Uhuru Kenyatta kuwa mvumilivu na kuheshimu Wakenya baada ya kumalizika uchaguzi mkuu mwezi uliopita, anaandika Mwandishi ...

Read More »

Polisi wazima maandamano Bavicha

MAGARI ya doria yenye askari wa jeshi la polisi, yamewatisha vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kushindwa kuandamana kama walivyokuwa wametangaza, anaandika Hamisi Mguta. Doria hiyo ilianza jana ...

Read More »

Lisu kupamba tamasha la injili

MWIMBAJI wa nyimbo za injili, John Lisu anatarajia kutikisa katika tamasha la uamsho lililoanza ambalo litashirikisha watui wote bila kujali itikadi za dini zao, anaandika Dany Tibason. Katika mahojiano maalumu ...

Read More »

Chadema yasisitiza kufanya maandamano kesho

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesisitiza kwamba maandamano ya amani ambayo yalipangwa kufanyika kesho nchi nzima yatafanyika, anaandika Hellen Sisya. Akizungumza na MwanaHalisi Online, Edward Simbeye, katibu mwenezi wa ...

Read More »

Mawakili wamtosa Lissu Dar

SAKATA la Mawakili binafsi kutakiwa kugoma kufanya kazi leo limetibuka baada ya kubainika baada ya baadhi yao wamekaidi agizo la Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Tundu Lissu la ...

Read More »

Jerry Muro asiye na fadhila

NIMESOMA kilichoitwa na Jerro Muro, “ushauri kwa wanasheria nchini ” juu ya msimamo wao wa kutohudhuria mahakamani leo (Jumanne) na kesho, anaandika Saed Kubenea. Hatua ya mawakili hao, imefuatia kuvamiwa ...

Read More »

Wakili Manyama ajitenga na TLS

WAKILI wa kujitegemea ambaye pia ni mwanachama wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Leonard Manyama, amekataa agizo la Rais wa TLS, Tundu Lissu la kuwataka wanachama wake ambao ni mawakili ...

Read More »

Kampuni ya Wakili Fatuma Karume yapigwa mabomu

KAMPUNI ya Mawakili ya IMMMA ya jijini Dar es Salaam, imevamiwa na watu wasiojukana na kulipuliwa kwa mabomu usiku wa kuamkia leo, anaandika Faki Sosi. Jengo hilo lililopo eneo la ...

Read More »

Hospitali ya Bugando kupata matumaini mpya

HOSPITALI ya Rufaa ya Bugando (BMC), inakabiliwa na uhaba wa vifaa mbalimbali vya tiba pamoja na ugunduzi vikiwamo Xray na CT Scan hatua ambayo inachangia utoaji wa huduma usioridhisha, anaandika ...

Read More »

Hatma ya wabunge nane wa CUF kula kiapo kutolewa leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajiwa kutoa uamuzi wa kuapishwa wabunge wanane walioteuliwa na Profesa Ibrahim Lipumba au wasiapishwe, anaandika Faki Sosi. Kwa mujibu wa Spika wa ...

Read More »

Tundu Lissu aachiwa huru kwa dhamana

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, ameachiwa kwa dhamana ya Polisi kwa masharti ya kurudi tena polisi Jumatatu ya Agosti 28, mwaka huu, anaandika Hamisi Mguta. Akizungumza na waandishi wa ...

Read More »

Sinema ya Lissu na Polisi yaendelea Dar

JESHI la polisi limeendelea kumshikilia Mwanasheria mkuu wa Chama cha Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu aliyekamatwa juzi jijini Dar es Salaam na kushikiliwa katika kituo kikuu, anaandika Hellen Sisya. Mwanasheria huyo ...

Read More »

Chadema watangaza ‘Black Thursday” nchi nzima

BARAZA la Vijana la Chadema Taifa (Bavicha), limetangaza mgogoro na Jeshi la Polisi Nchini, huku likitoa siku saba kwa Mkuu wa Jeshi hilo (IGP), kutoa kauli kama kuwapo kwa vyama ...

Read More »

Polisi wamaliza upekuzi kwa Lissu, waambulia patupu

MAKACHERO wa jeshi la polisi ambao walienda nyumbani kwa mwanasheria mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu kumpekua tayari wameondoka nyumbani kwake bila kukuta chochote, anaandika Hellen ...

Read More »

Polisi watinga nyumbani kwa Lissu kusaka barua ya Bombardier

MAOFISA wa jeshi la polisi wamekwenda nyumbani kwa mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpekua, anaandika Hellen Sisya. Jana Lissu alikamatwa ...

Read More »

Bunduki zatumika kumkamata Lissu

ASKARI 17 wa Jeshi la Polisi wametumika kumkamata Tundu Lissu, Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS, eneo la Kisutu, Dar es Salaam, anaandika Hellen Sisya. Miongoni mwa watu hao, ...

Read More »

Serikali ya JPM yapigwa ‘dongo’

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ametoa tuhuma nzito kwa serikali ya awamu ya tano huku akisema kuwa haizingatii misingi ya sheria pamoja na kuheshimu utawala bora, anaandika Hellen Sisya. Amesema ...

Read More »

Sumaye asema serikali inamfanyia visasi

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amevunja ukimya na kutamka bayana kwamba watawala wanaendesha nchi  kwa visasi ndiyo maana tangu ahame Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia ...

Read More »

Walioshikilia Bombadier wamlima barua JPM

KAMPUNI ya mawakili nchini Canada – Irving Mitchell Kilichman (IMK) – imemlima barua Rais John Magufuli, iliyosheheni masharti mazito ya kuachiwa ndege yake aina ya Bombadier Q400, anaandika Saed Kubenea. ...

Read More »

Tundu Lissu aivuruga serikali ya JPM

SERIKALI imekiiri kuzuiliwa ndege aina Bombardier ( Q400-Dash 8) iliyonunuliwa hivi karibuni kutokana na deni inalodaiwa na kampuni ya ujenzi, anaandika Faki Sosi. Hayo yameelezwa leo na Naibu Msemaji wa ...

Read More »

Tundu Lissu afunguka Bombardier ilivyokamatwa

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amelitaka Bunge kumshitaki Rais Magufuli kwa kusababisha hasara kubwa wakati akiwa waziri, anaandika Hamisi Mguta. Lissu amesema kuwa Rais ...

Read More »

Bombardier ya Magufuli kupigwa mnada

NDEGE iliyonunuliwa na Rais John Magufuli, nchini Canada, aina ya Bombardier Q400, imekamatwa nchini humo na iko hatarini kuuzwa kwa mnada, anaandika Saed Kubenea. Taarifa kutoka Montreal, Canada na wizara ...

Read More »

Vigogo wa CCM Mwanza ‘wavuana nguo’

MSUGUANO wa Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire (CCM) na Mkurugenzi wa jiji hilo, Kiomoni Kibamba, limefikia katika hatua mbaya baada ya wawili hao kutuhumiana hadharani, kila mmoja akimtupia ...

Read More »

Madiwani wa CCM wamkataa Meya wao

MADIWANI 19 kati ya 25 wa baraza la madiwani Jiji la Mwanza, wamesaini waraka wa kutokuwa na imani na Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire, wakimtuhumu kutumia vibaya mabaya ...

Read More »

Ikulu yavunja ukimya wa ‘matrilioni’ ya makinikia

IKULU ya Tanzania imesema kuwa majadiliano baina ya Kamati maalumu ya Tanzania na wawakilishi kutoka kampuni ya Barrick Gold Corporation unaendelea hadi sasa ikiwa ni siku ya 15,anaandika Irene Emmanuel. ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram