Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

ACT- Wazalendo kimenuka, ‘swahiba wa Zitto’ aachia ngazi

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Msafiri Mtemelwa, ametangaza kujiuzulu nyazifa zake, kufuatia kuvuja kwa mazungumzo yake na mbunge wa Moshi Vijijini (Chadema), Anthony Komu. Anaandika Hamis Mguta…(endelea). Akizungumza ...

Read More »

Wito kuhojiwa CCM; Makamba ‘nawasubiri’

Yusuf Makamba

KOMREDI Yusuf Makama, Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameonesha kutotikiswa na wito uliotolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho, ili kumuhoji kwenye Kamati ya ...

Read More »

Bernard Membe ajibu mapigo

WAZIRI wa zamani wa mambo ya nje na mahusiano ya kimataifa nchini Tanzania, Benard Membe amesema, anasubiri kwa hamu, barua ya wito ya kumtaka kufika kwenye Kamati ya Maadili na ...

Read More »

Urais wa Magufuli, wamponza Membe, hatarini kufukuzwa 

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeelekeza wanachama wake watatu, makatibu wastaafu, Yusuf Makamba na Abdulrahaman Kinana, kuhojiwa na kamati yake ya Ulinzi, Usalama  na Maadili. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kinana ...

Read More »

Halima Mdee apeta Chadema

HALIMA James Mdee, ametetea kiti chake cha Uenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) Taifa kwa kupata kura nyingi za ndio. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Mdee ambaye ni Mbunge ...

Read More »

Mbowe: Ya Mwanza sio woga, ajibu ‘tuhuma’

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, amelazimika kutoa ufafanuzi wa kile kilichoonekana woga, baada ya kuomba muafaka kwa Rais John Magufuli. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Amesema, kilichompeleka Mwanza – kwenye ...

Read More »

JPM: Ndege iliyoshikwa Canada, inakuja

RAIS John Magufuli amesema, ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) Bombardier Q400, iliyoshikiliwa nchini Canada, imeachwa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akishiriki kwenye Semina ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha ...

Read More »

Lissu amkingia kifua Mbowe

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametetea uamuzi wa Freeman Mbowe, ‘kuomba maridhiano’ na Rais John Magufuli. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Lissu amesema, wanaompopoa Mbowe ambaye ...

Read More »

Mfungwa agomea msamaha wa JPM

MERAD Abraham, aliyekuwa mfungwa katika gereza kuu la Ruanda, mkoani Mbeya, amegoma kutoka gerezani, kufuatia kupata msamaha wa rais. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa kutoka jijini Mbeya zinanukuu vyanzo mbalimbali, ikiwamo kituo ...

Read More »

Zitto amchambua bilionea Mufuruki, amuombea makazi mema Peponi 

MWILI wa mfanyabiashara mzalendo na ambaye amejipatia umashuhuri mkubwa nchini, Ali Abdul Mufuruki, aliyefariki dunia Jumapili iliyopita, nchini Afrika Kusini, unaagwa leo jijini Dar es Salaam. Unatarajiwa kuzikwa leo leo ...

Read More »

Mbowe atumia Sherehe za Uhuru kupenyeza ujumbe kwa JPM

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (Chadema) amesema sababu za kushiriki katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru ni kutoa ujumbe wa kuwepo kwa ulazima wa ...

Read More »

Bilionea mwingine Tanzania afariki dunia, ni Ali Mufuruki

MFANYABIASHARA mashuhuri na mmoja wa mabilionea wakubwa nchini, Ali Mufuruki (60), amefariki dunia. Alikuwa akisumbuliwa na homa ya mapafu. Anaripoti Saed Kubenea … (endelea). Mufuruki anakuwa mfanyabiashara wa pili mkubwa ...

Read More »

Polisi wamuonya Prof. Lipumba, Maalim Seif

JESHI la Polisi Zanzibar limesema, litashughulika kikamilifu na mfuasi yeyote wa Prof. Ibrahim Lipumba (CUF), ama Maalim Seif Sharif Hamad (ACT-Wazalendo) iwapo watatibua amani iliyopo sasa visiwani Zanzibar. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). ...

Read More »

Mbowe kuongoza kikao cha ‘machinjio’

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anatarajia kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho, cha kuteua wagombea wa nafasi mbalimbali za mabaraza. Anaripoti Regina Mkonde ...

Read More »

Passport ya Bulaya yaahirisha kesi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam, imeahirisha kusikiliza kesi inayowakabili viongozi waandamizi wa Chadema, kutokana na upande wa mashtaka kumtaka mshtakiwa wa tisa, Ester Bulaya, Mbunge wa ...

Read More »

ACT- Wazalendo, CUF waingia tena vitani

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimejigamba kuwa kinawasubiri wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), waliopanga kuchukua kwa nguvu, mali na majengo, wanayodai ni mali yao. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kauli hiyo imetolewa ...

Read More »

Bulaya alipuka na Bunge Kisutu

ESTER Bulaya, Mbunge wa Tarime Mjini ambaye ni mshtakiwa wa tisa, kwenye kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi ...

Read More »

Dovutwa ang’ang’ana na uenyekiti wa UPDP 

FAHMI Nassoro Dovutwa, mwenyekiti wa taifa wa chama cha United People’s Democratic Party (UPDP), anayedaiwa kufukuzwa uongozi wa chama hicho, amegoma kuachia ngazi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Anasema, “mimi bado ni ...

Read More »

Lowassa amkwepa Sumaye

EDWARD Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu, amekwepa kuzungumzia hatua ya Frederick Sumaye, kujitenga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Sumaye, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ...

Read More »

Sumaye abwaga manyanga Chadema

ALIYEKUWA mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye, ametangaza kukihama chama hicho.  Anaripoti Hamis Mguta … (endelea).  Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es ...

Read More »

Chadema yapandisha umaarufu wa Sumaye

HATUA ya Frederick Sumaye, aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, kutumia nembo ya taifa, katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, akizungumzia mkutano wake na wahariri, imekishitua chama hicho. Anaripoti ...

Read More »

Sumaye, Mwambe hukumu yao Desemba 16

FREDERICK Sumaye na Cecil Mwambe, wanasubiri hukumu yao itayotolewa tarehe 16 Desemba 2019, baada ya kujitosa kugombea nafasi ya uenyekiti-Taifa kupitia Chadema. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Tayari wanachama hao, ...

Read More »

Prof. Safari: Bila tume huru, ni vigumu kuingia Ikulu

PROF. Abdallah Safari, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amedai kuwa vyama vya upinzani nchini, haviwezi kuingia Ikulu, bila kuwapo tume huru ya uchaguzi. Anaripoti Faki Sosi … ...

Read More »

Msajili aionya Chadema, Prof. Safari aduwaa

HATUA ya Frederick Sumaye, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (Chadema), Kanda ya Pwani kuangushwa kwenye uchaguzi wa kanda hiyo, imemshtua Prof. Abdallah Safari, makamu mwenyekiti wa chama hicho. Anaripoti ...

Read More »

Sumaye ajitosa kumkabili Mbowe

LICHA ya “vitimbi” vya wafuasi wa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye, bado ameendelea kujitosa katika ...

Read More »

Lissu, Kubenea kuchuana umakamu mwenyekiti Chadema

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo, wamejitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania umakamu mwenyekiti wa chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde ...

Read More »

Mbowe amaliza utetezi, Msigwa aanza 

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwamba chama chake hakina dhamira ya kushika madaraka kwa vurugu wala umwagaji wa damu. Anaripoti ...

Read More »

Fredrick Sumaye: Nimepozwa na uenyekiti wa Mbowe

FREDRICK Tluway Sumaye, ameshindwa katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani, kufuatia kupigiwa kura nyingi za  Hapana. Anaripoti Hamis Mguta, Kibaha … (endelea). Taarifa kutoka ...

Read More »

Sumaye: Nina asilimia chache kupita

FREDERICK Sumaye, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani amewataka wagombea kwenye kanda hiyo, kutojenga chuki pale wanaposhindwa. Anaripoti Hamis Mguta, Kibaha … (endelea). Amesema, yeye mwenyewe ...

Read More »

Membe tishio CCM

CHAMA Chama Mapinduzi (CCM), kina hofu na Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa zilifikia mtandao huu zinaeleza, hatua ya Membe kutekenya nafasi ...

Read More »

CCM yamuonya Bernard Membe

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimemuonya Benard Membe, kutokuwa juu ya katiba ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Onyo hilo limetolewa leo tarehe 27 Novemba 2019 na Dk. Bashiru ...

Read More »

Mwambe: Nataka kumtua mzigo Mbowe, Ajifananisha na Simon Wakirene aliyemtua Msalaba Yesu

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Ndanda, mkoani Mtwara, Cecil Mwambe, amejitosa kwenye kinyang’anyiro cha uenyekiti ndani ya chama chake. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). ...

Read More »

Vituko vitupu uchaguzi serikali za mitaa

KATIKA mitaa 565 jijini Dar es Salaam, kwa mujibu wa tovuti ya mkoa huo, mitaa isiyozidi mitano, iliyoripotiwa kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji, jana tarehe 24 Novemba 2019. Anaripoti Waandishi ...

Read More »

Chadema waanza kupanga mikakati ya kushughulikiana

UHASAMA na siasa za makundi vimeanza kushika kasi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kufuatia baadhi ya viongozi wandamizi wa chama hicho, kuwandalia wabunge wao wawili audio inayolenga ...

Read More »

Bombadier ya Tanzania yakamatwa Canada, Prof. Kabudi achimba mkwara

NDEGE aina ya Bomberdier Q 400 iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania, inashikiliwa nchini Canada, kwa amri ya mahakama. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Hayo amesema Profesa Palamagamba Kabudi, Waziri wa ...

Read More »

Bunge kutotumia neno chama tawala, upinzani 

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri amesema, chombo hicho cha kutunga sheria, kipo kwenye mjadala mzito wa kutafuta majina ya utambulisho kwa wabunge wa chama tawala na upinzani. Anaripoti Danson ...

Read More »

Tuhuma za rushwa ya ngono vyuoni, pasua kichwa

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. Faustine Bee, amewachongea baadhi ya wahadhiri wenzake katika chuo hicho kwa Rais John Pombe Magufuli. Anawatuhumu kujihusisha na vitendo vya ngono ...

Read More »

Mdhamini: Nimewasiliana na Lissu, kanijibu hivi 

MDHAMINI wa Tundu Lissu, Ibrahim Ahmed ametoa msimamo wa mdhaminiwa wake, kwamba amepona na hayuko tayari kurejea nchini. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Ibrahim ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar ...

Read More »

Mdee, Bulaya, Msigwa, Heche waponea chupuchupu

HALIMA James Mdee, John Heche, Peter Msigwa na Ester Bulaya, wametokea kwenye tundu la sindano kufutiwa dhamana. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hakimu Mkuu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, Thomas ...

Read More »

Kilichomkimbiza Meya wa Arusha Chadema, hiki hapa

MEYA wa jiji la Arusha, Calist Lazaro, ametangaza kuondoka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Amewaambia waandishi wa habari, ameelekea Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Read More »

Mikosi Chadema: Mbowe mgonjwa, wabunge wasota mahabusu

HATIMA ya wabunge wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuendelea kusota lupango au kuwa nje kwa dhamana, wakati wakiendelea kusubiria kesi yao inayowakabili, yaweza kujulikana rasmi kesho, Jumatano. ...

Read More »

Lissu ampa kibano IGP Sirro

HATUA ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro kudai uchunguzi wa shambulio la Tundu Lissu unakwama kutokana na kutokuwepo kwake nchini, imejibiwa vikali. Anaripoti Mwandishi Wetu … ...

Read More »

Mbowe kung’oka? Mchakato waanza

MCHAKATO wa kupata viongozi mbalimbali wapya ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umetangazwa kuanza rasmi. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Akizungumzia kuanza kwa mchakato huo, Dk. Vincent Mashinji, katibu ...

Read More »

Mangula ‘awatupia mzigo’ wanasiasa

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Taifa, Philiph Mangula amesema, wasiasa ndio wamekuwa chanzo cha viashiria vya kuteteresha amani ya nchi. Anaripoti Christina Haule…(endelea). Kutokana na hali hiyo, amewataka ...

Read More »

Vyama vilivyosusa uchaguzi: Watanzania jiandaeni kujibu mapigo

VYAMA saba vilivyojitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vimewataka wanachama wake kukaa mkao wa kujibu mapigo, ikiwa mapendezo yao kuhusu uchaguzi huo, hayatafanyiwa kazi na mamlaka husika. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

TAMISEMI yaja na sharti jipya kwa vyama vilivyojitoa

WIZARA ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI imewataka wagombea wa vyama vya upinzani, vilivyojitoa katika uchaguzi wa serikali za mitaa, kuandika barua za kujitoa katika uchaguzi huo, kabla ya saa 10:00 jioni ...

Read More »

Mahakama yaagiza Bulaya, Mdee, Msigwa, Heche kukamatwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imeamuru kukamatwa kwa wabunge wanne wa Chama cha Demokarasia na Maendeleo (Chadema), kufuatia wabunge hao kushindwa kufika mahakamani. Anaripoti Faki Sosi ...

Read More »

Waziri Jafo ‘ashikwa shati’

IMANI kwa Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa (TAMISEMI), imeanza kutoweka. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). “Sisi NLD hatuna imani naye ...

Read More »

CCM yajihami kimataifa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimezitaka Jumuiya za Kimataifa kupuuza malalamiko ya vyama vya wapinzani nchini, kwamba vinahujumiwa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza na wanahabari tarehe 13 Novemba 2019, jijini Dar ...

Read More »

Msimamo wa Jafo, sherehe kwa CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeungana na kauli ya serikali kwamba ‘hakuna kuweka mpira kwapani.’ Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kauli hiyo, ilianza kutumiwa na Selemani Jafo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram