MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hivi karibuni wakuu wa wilaya wataanza kutimuana tena kwa ajili ya usimamizi wa ujenzi wa madarasa 8000 ya...
By Gabriel MushiAugust 6, 2022WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema hatma ya mkataba Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makasha (TICTS) itajulikana mwezi Septemba mwaka...
By Seleman MsuyaAugust 4, 2022HATIMAYE Mahakama Kuu Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, imemuachia huru aliyekuwa diwani wa Chadema katika Kata ya Isengule wilaya ya Tanganyika mkoa...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2022MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Kilwa Kusini Selemani Said Bungara (Bwege) amealikwa nchini Kenya kumpigia kampeni mgombea wa Azimio la Umoja, Raila...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2022MAREKANI imeipa nasaha Zanzibar kuendeleza moyo wa maridhiano ya kisiasa kwa kuamini kuwa ni fursa nzuri ya kuimarisha umoja na mshikamano ambao ni...
By Jabir IdrissaAugust 4, 2022MECHI inayo vikutanisha vigogo wa soka la Tanzania Simba na Yanga (Kariakoo Derby) katika Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2022/23, inatarajiwa...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2022BEI ya mafuta imepanda tena mwezi huu na kuivuka ile ya Julai licha ya Serikali kuendelea kutoa ruzuku ya Sh bilioni 100 kwa...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2022KLABU ya Soka ya Simba hii leo tarehe 31 Julai 2022, imezindua rasmi wiki yao kuelekea kwenye tamasha kubwa la Siku ya...
By Kelvin MwaipunguJuly 31, 2022KAMATI tendaji ya klabu ya Yanga imebadiliki ombi la kutoongeza mkataba ambalo liliwasilishwa na mtendaji Mkuu wa klabu hiyo Senzo Mbatha. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguJuly 30, 2022MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa amri ya wito kwa Halima Mdee na wenzake saba kufika mahakamani hapo Tarehe 26...
By Faki SosiJuly 29, 2022SERIKALI imesema nyongeza ya kima cha chini cha asilimia 23.3 kinanuafaisha asilimia 75 hadi 78 ya watumishi ambao wana mihahara midogo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2022SERIKALI kupitia wizara ya elimu, sayansi na teknolojia imetenga kiasi cha Sh bilioni tatu katika mwaka huu wa fedha 2022/2023 kufadhili wanafunzi ambao...
By Gabriel MushiJuly 29, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajia kutoa tamko la Serikali kuhusu nyongeza ya mishahara ya watumishi wa umma iliyoanza Julai mwaka...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2022MSHITAKIWA namba moja katika kesi namba mbili yam waka 2022 ya uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya ofisi, Lengai Ole Sabaya, ametinga mahakama...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2022Wizara ya Afya nchini Tanzania imetangaza kuisha kwa visa vya homa ya mgunda baada ya wagonjwa 17 kupona kabisa huku kukiwa hakuna kisa...
By Jonas MushiJuly 29, 2022MKURUGENZI wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Dk. Respicious Boniface amesema si kweli kwamba majeruhi wa ajali za bodaboda hukatwa miguu...
By Danson KaijageJuly 28, 2022MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile amesema kusudio la maboresho ya sheria za habari nchini, yanalenga kuwaondoa wanahabari na...
By Faki SosiJuly 28, 2022KESI ya waliokuwa wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18, ya kupinga kuvuliwa uanachama wa...
By Faki SosiJuly 28, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amewateuwa Raphael Chegeni, aliyekuwa Mbunge wa Busega na Peter Serukamba, aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Mjini, kwenye wadhifa wa ukuu...
By Mwandishi WetuJuly 28, 2022WIZARA ya Afya kupitia Baraza la Tiba asili na Tiba mbadala limeifungia dawa ya Hensha ambayo ni maarufu kwa jina la Mkongo yenye...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoa wa Dar es Salaam – Kisutu imefunga jalada la kesi mbili kati ya tatu za uhujumu uchumi...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2022RAIS wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhokya, amesema kitendo cha kumwongezea mtu Sh. 8,000 licha ya kutoongezewa mshahara...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa Serikali imedhamiria kwa dhati kuendeleza maono ya shujaa Hayati Mwalimu Julius Nyerere kwamba makao makuu ya...
By Danson KaijageJuly 25, 2022SERIKALI inatarajia kukutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) kwa lengo la kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitatumia Rasimu ya Katiba Pendekezwa katika mchakato wa upatikanaji Katiba mpya, watahamasisha wananchi waikatae...
By Gabriel MushiJuly 23, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limeanza uchunguzi wa vifo vya vijana mapacha waliofahamika kwa jina la Khalifu na Khalifa,...
By Gabriel MushiJuly 23, 2022HALIMA Mdee na wenzake 18, wamefungua kesi katika Mahakama Kuu Masijala Kuu ya Dar es Salaam kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, baada...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2022RAIS wa heshima wa Klabu ya Simba SC, Mohamed Dewji ‘Mo’ leo taerehe 22 Julai, 2022 amempongeza kiungo mshambuliaji wa timu hiyo...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2022RAIS wa Jamhuri ya Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Uhuru Kenyatta amesema wananchi wa Jumuiya hiyo wakiungana na kushirikiana...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2022WAKUU wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamesema ili mataifa hayo yaendelee inatakiwa kuwe na miundombinu bora ya usafirishaji pamoja...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, ameshauriwa kushirikisha wadau katika uundaji wa kamati ya kushauri namna bora ya ufumuaji wa vyombo vya haki jinai...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2022WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk. Damas Ndumbaro amesema licha ya kuwa Katiba iliyopo inafaa lakini ina mapungufu yake ndio maana Serikali...
By Faki SosiJuly 20, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameunda Kamati ya watu 12 na sekretarieti ya watu watano kwaajili ya kuchunguza na kumshauri muundo mzuri wa...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2022WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk. Damas Ndumbaro amesema licha ya kuwa Katiba iliyopo inafaa lakini ina mapungufu yake ndio maana Serikali imetoa...
By Gabriel MushiJuly 20, 2022RAIS wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan, amemteuwa Camillus Mongoso Wambura, kuwa mkuu mpya wa jeshi la polisi nchini (IGP). Anachukua nafasi ya...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2022WAZIRI Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya amesema ingependeza iwapo mchakato wa Katiba mpya ungefikia mwisho, ili kuruhusu Watanzania kufanya kazi, huku akisisitiza elimu ya...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022WAKILI wa Halima Mdee na wenzake, Edson Kilatu, amesema wako katika hatua za mwisho za kufungua kesi ya wabunge hao viti maalum, kupinga...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022NI Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi tu. Hivyo ndivyo unaweza kusema kutokana na walivyosema watoa maoni wengi waliofika mbele ya Kikosi Kazi...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema ugonjwa wa homa ya Mgunda uliogundulika huko Ruagwa mkoani Lindi unaweza kuzuilika na unatibika. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Gabriel MushiJuly 18, 2022WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa upimaji wa sampuli za wagonjwa waliokuwa wakiugua Ugonjwa Usiojulikana katika Wilaya ya Ruangwa katika Mkoa wa...
By Gabriel MushiJuly 18, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amechambua uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassana ambapo amesema kwa kipindi cha mwaka mmoja...
By Gabriel MushiJuly 17, 2022CHAMA cha NCCR-Mageuzi upande unaongozwa Haji Ambar Khamis umesema chombo cha habari kinachomtambua James Mbatia kama Mwenyekiti, watakishtaki. Anaripoti Faki Ubwa… ( endelea)....
By Gabriel MushiJuly 17, 2022SHIRIKA la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limemuandikia barua Rais Samia Suluhu Hassan, kutaka kusitishwa kwa oparesheni ya kuweka alama za...
By Gabriel MushiJuly 17, 2022‘COUPLE’ maarufu wa Bongofleva, William Lyimo ‘Billnass’ na Faustina Mfinanga ‘Nandy’ leo tarehe 16 Julai, 2022 wamefunga ndoa takatifu katika Kanisa la...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2022JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amewataka mahakimu wasijihusishe na masuala ya siasa, kwani yamepigwa marufuku na Ibara ya 113 A...
By Regina MkondeJuly 16, 2022MWANASHERIA Mkuu mstaafu wa Tanzania(AG), Andrew Chenge, amesema mapendekezo ya mfumo na muundo uliopendekezwa kwenye rasimu ya Katiba mpya kupata wajumbe wa...
By Seleman MsuyaJuly 15, 2022MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Dk. Edmund Mndolwa, meupiga madogo uongozi uliopita kwa kile alichoeleza kuwa ni kupitia kipindi kigumu...
By Danson KaijageJuly 15, 2022TANZANIA imepokea chanjo ya UVIKO-19 aina ya Sinopharm dozi milioni tatu ambazo zitasaidia kuwakinga wananchi milioni 1.5 dhidi ya maambukizi ya ugonjwa...
By Mwandishi WetuJuly 15, 2022MWENYEKITI wa Chama cha (TLP), Augustine Mrema amesema ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki ni lazima kuwepo tume huru ya uchaguzi,...
By Seleman MsuyaJuly 14, 2022MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chadema, John Heche, ameonesha kushangazwa na matumizi ya Serikali yasiyo na tija huku ikiwaeleza wananchi kuwa hali...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2022