MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
JINA la Kiongozi wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, limetajwa katika kesi iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu,...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2022MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imedhamiria kufanikisha maono ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kufanya mageuzi makubwa ya uchumi wa...
By Masalu ErastoOctober 13, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa siku 14 kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwasilisha majibu yake dhidi...
By Gabriel MushiOctober 13, 2022SERIKALI imesema ina mkakati wa kuhakikisha kila wilaya ina chuo kimoja cha ufundi stadi (VETA) itakayowezesha vijana wasio na uwezo wa kulipia vyuo...
By Gabriel MushiOctober 13, 2022MBUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mussa Hassan Mussa Silima wa Jimbo la Amani Zanzibar (CCM) amefariki dunia leo...
By Gabriel MushiOctober 13, 2022MBUNGE Viti Maalum, Grace Tendega, amedai Katibu Mkuu wa Chama cha Chadema, John Mnyika, alishiriki kikao cha Sekretarieti ya Baraza la Wanawake la...
By Gabriel MushiOctober 13, 2022KESI namba 36/2022 ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama Cha Chadema, iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee, inaendelea...
By Regina MkondeOctober 13, 2022SERIKALI imeunda kamati ya watu saba itakayochunguza sakata la matokeo ya mtihani wa uwakili katika Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (Law...
By Gabriel MushiOctober 12, 2022JINAMIZI la ajali limeendelea kuandama mkoa wa Mbeya baada ya watu watano kufariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya gari aina ya...
By Gabriel MushiOctober 11, 2022WATU watatu akiwemo mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja wakazi wa kijiji cha Rushungi wilayani Kilwa mkoani Lindi wamefariki dunia baada ya kula...
By Gabriel MushiOctober 11, 2022WANANCHI wilayani Mafia wameilalamikia kukosekana kwa huduma ya usafiri wa kuvuka kuingia na kutoka kisiwani humo kwa zaidi ya siku tatu huku...
By Faki SosiOctober 11, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema wamekubaliana mambo saba kati yake na Rais wa Kenya, Dk. William Ruto na kusisitiza kuwa ziara kiongozi wa...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2022RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto jana jioni tarehe 9 Oktoba, 2022 amewasili Tanzania kuanza ziara rasmi ya siku mbili. Ruto atakutana na...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2022BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), imeandaa maonesho ya huduma za kihasibu ikiwa sehemu ya shamra shamra za maadhimisho ya...
By Kelvin MwaipunguOctober 9, 2022WAZIRI Mkuu Kivuli kutoka ACT-Wazalendo, Dorothy Semu amesema viongozi na wanachama wa chama hicho, hawataacha kuikosoa na kuishauri Serikali kwa kuhofia kukosa nafasi...
By Seleman MsuyaOctober 7, 2022MAWAKILI wa Chama cha Chadema, wameanza kuwahoji maswali ya dodoso wabunge viti maalum nane kati ya 19, dhidi ya malalamiko waliyoweka katika...
By Regina MkondeOctober 7, 2022JUKWAA la Asasi za Kiraia (RCSF) za Ukanda wa Nchi za Maziwa Makuu Afrika (ICGLR) limetakiwa kusimamia mambo nane ambayo yatagusa jamii...
By Seleman MsuyaOctober 5, 2022BEI ya mafuta ya petroli imeendelea kushuka kwa miezi miwili mfululizo baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji kutangaza bei mpya...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeelaani vikali kile kilichodai ni ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na Jeshi la Polisi nchini Tanzania katika operesheni zake...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2022WAZIRI wa Madini Dk. Doto Biteko amefurahishwa na namna Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ilivyojipanga kufanya kazi kwa ukaribu na wachimbaji wadogo wadogo ...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amewapa maelekezo mawaziri ikiwemo kutunza siri na kubeba jambo lolote linaloamuliwa na Serikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amefanyia mabadiliko madogo, baraza lake la mawaziri. Katika mabadiliko hayo, mwanadiplomasia mashuhuri nchini, Balozi Liberata Mulamula, ameachwa kwenye baraza...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2022SHULE ya Hazina ya Magomeni jijini Dar es Salaam, imeendelea kutesa kwenye matokeo ya utahimilifu (moko) Mkoa wa Dar es Salaam, ambapo...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema lishe duni ndiyo chanzo kikubwa cha uwepo wa watu wenye matatizo ya afya ya uzazi na...
By Jonas MushiSeptember 30, 2022WAKILI Mkuu wa Serikali, Gabriel Malata, ameomba kuanzishwa kwa kituo cha Usuluhisho wa migogoro nchini kwa lengo la kutatua mizozo mbalimbali inayo zikabili...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonesha kutoridhika na masharti ya sheria ya kulinda uwekezaji inayoweka ulazima wa mzozo baina ya mwekezaji...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2022WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu ametoa tahadhari ya ugonjwa wa Ebola na kuagiza wakuu wote wa mikoa kujiandaa endapo itatokea kisa chochote au...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimefuta chaguzi tano za umoja wa vijana (UVCCM), pamoja na kusimamisha chaguzi tatu za Jumuiya ya Wanawake ya...
By Regina MkondeSeptember 27, 2022TAASISI inayotoa huduma za kifedha nchini Tanzania ya Letshego imezindua akaunti maalum kwa ajili ya wajasiriamali wadogo na wakati na akaunti ya...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2022PADRI wa Kanisa Katoliki Parokia Teule ya Mtakatifu Deonis Aropagita, Jimbo la Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, Sostenes Bahati Soka amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2022BIBI wa miaka 85 Tumu Haji Mbonde, anahofia kuporwa ardhi yake ya hekari tano iliyoko kijiji cha Mgomba Kaskazini, wilayani Ikwiriri mkoa wa...
By Regina MkondeSeptember 26, 2022IKIWA ni siku moja tangu kupinduliwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, leo amekutana na zengwe jingine baada ya kuzuiwa kufanya...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2022MKUTANO Mkuu wa dharura wa Chama cha NCCR -Mageuzi uliofanyika leo tarehe 24 Septemba, 2022 umemtimua aliyekuwa mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia...
By Gabriel MushiSeptember 24, 2022MAKAMU Mwenyekiti Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Massoud Othman amewataka wanachama kuimarisha chama chao ili kuwa imara zaidi hatimae kuibuka na ushindi katika...
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2022LICHA ya Mahakama Kuu Masjala ya Dar es Salaam kuweka amri ya zuio la muda la kutofanyika kwa mikutano ya Chama cha...
By Faki SosiSeptember 24, 2022SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameitaka Serikali iweke utaratibu mzuri wa kusimamia mifuko ya hifadhi ya jamii, ili iwabane waajiri wasiowasilisha michango...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2022WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amesema mashauri ya kikodi ya Sh 360 trilioni yalifutwa kufuatia makubaliano ya Serikali na kampuni...
By Jonas MushiSeptember 23, 2022SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amewataka wabunge tisa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), kusimamia maslahi ya Tanzania pamoja na...
By Regina MkondeSeptember 22, 2022MBUNGE wa Geita Mjini, Joseph Kasheku ‘Msukuma’, ameibua vicheko bungeni, huku baadhi ya wabunge wakimtunza fedha, kufuatia hatua yake ya kumuuliza swali Mhandisi...
By Gabriel MushiSeptember 22, 2022MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, ameibana Serikali bungeni, kuhusu hatma ya kesi 1,097 za malimbikizo ya kodi yenye thamani ya Sh. 360 trilioni...
By Gabriel MushiSeptember 22, 2022MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Rukwa, Rainer Lukala, anadaiwa kumtwanga ngumi Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM)...
By Gabriel MushiSeptember 21, 2022MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Sheria ndogo, Jasson Rweikiza amesema baadhi ya kanuni za sheria ndogo zilizotungwa na kutumiwa Mamlaka ya Udhibiti...
By Gabriel MushiSeptember 21, 2022BAADA ya kufanikiwa kuishawishi Serikali kwa hoja yake ya kutaka kuwepo kwa tozo za miamala ili kuongeza mapato, Naibu Spika na Mbunge wa...
By Gabriel MushiSeptember 21, 2022CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema mwitikio wa wadau mbalimbali kuchangia ujenzi wa mabweni ya wasichana katika kampasi yake mkoani Mbeya...
By Mwandishi WetuSeptember 21, 2022BAADA ya kilio cha zaidi ya mwaka mmoja kutoka kwa Watanzania na wadau mbalimbali, hatimaye Serikali imefuta tozo kwenye miamala ya kielektroniki uamuazi...
By Gabriel MushiSeptember 20, 2022SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameiagiza serikali kuchukua hatua za haraka kudhibiti uhalifu unaoendelea kufanywa na vijana katika mikoa ya Dar...
By Mwandishi WetuSeptember 15, 2022MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) amepinga uanzishwaji wa mahabusu za watuhumiwa wa dawa za kulevya pamoja na masharti ya kumuweka mtu...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2022KWA wanaofahamu jinsi serikali inavyofanya kazi, wanaofahamu kutungwa kwa muswada, kufikishwa kwa mswada huo bungeni na hadi kuwa sheria, hakuna shaka kuwa...
By Mwandishi MaalumSeptember 14, 2022SAA chache baada ya kuapishwa kuwa Rais wa tano wa Kenya, Dk. William Ruto ameonekana kuanza kazi kwa kasi ya ajabu, baada...
By Mwandishi WetuSeptember 13, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuahidi Rais mpya wa Tano wa Kenya, Dk. William Ruto kufanya kazi kwa kushirikiana kwa karibu katika...
By Gabriel MushiSeptember 13, 2022