Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Abdul Nondo arejea UDSM

ZIMEBAKI siku mbili kwa Abdul Nondo, Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) kurejea chuoni (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDSM) baada ya hekaheka na hata kusimamishwa chuo. Anaripoti Faki ...

Read More »

Mchungaji: Mkristo kukwepa kodi ni dhambi kubwa

MCHUNGAJI Kiongozi wa kamisa la Evangelisim Assembless Of God Tanzania (EAGT) Ipagala, Evanci Chande amewaonya wakristo wafanyabiashara ambao wamekuwa wakikwepa kulipa kodi ya serikali. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Matukio ya michezo/sanaa yaliyotikisa 2018

MWAKA 2018 unafikia tamati, katika miezi 12 inayokamilika leo wapo watu wanauaga mwaka kwa machungu yasiyosahaulika kwenye maisha yao milele lakini wapo wanaouona kuwa, ni mwaka wa neema kwao. Anaandika ...

Read More »

Chungu na tamu ya siasa 2018

TAMATI ya mwaka 2018 inakaribia, yapo yaliyofurahisha na kuchukiza. mwaka inakwisha huku taifa likibeba matukio mengi. miongozini mwayo yanahuzunisha na hata kuumiza mtu mmoja mmoja ama taifa kwa ujumla, lakini ...

Read More »

Serikali yaanika hali ya uchumi nchini

PAMOJA na watanzania wengi kuendelea kulalamika kwa madai kuwa wana hali mbaya ya kiuchumi serikali imesema kuwa uchumi wa taifa huko imara na ukikua kwa asilima 7.1 ikilinganishwa na miaka ...

Read More »

Katibu Mkuu Chadema, wenzake saba ‘wasukumwa ndani’

KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk. Vincent Mashinji ‘amesukumwa ndani’ na wenzake saba mkoani Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Jeshi la Polisi mkoani humo lilitumwa kukamata viongozi hao jana kwa madai ...

Read More »

Kwa heri Pascal Ndejembi, utakumbukwa kwa mengi

WINGU zito limetanda katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, kutokana na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa  Chama hicho Mkoani hapa na Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chama hicho mkoani Dodoma, ...

Read More »

Kiza kinene kimeikumba nchi

GIZA limetanda katika maeneo yote yanayopata umeme kupitia gredi ya taifa jijini Dar es Salaam na mikoa mingine nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa iliyotolewa na Shirika la Umeme ...

Read More »

Magufuli asalimu amri kwa wafanyakazi

HATIMAYE Rais John Pombe Magufuli, amesikia kilio cha wafanyakazi nchini. Amefuta angalau kwa muda, matumizi ya kanuni mpya ya kikokotoo cha mafao ya wastaafu nchini.Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kabla ...

Read More »

Rais Magufuli kukata mzizi wa fitina kikokotoo cha mafao

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli leo tarehe 28 Desemba 2018 atakutana na viongozi wa vyama vya wafanyakazi nchini, watendaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii ...

Read More »

Fastjet, serikali sasa hapatoshi

SIRI kuu juu ya kampuni ya ndege ya Fastjet, kusitisha shughuli zake za usafirishaji wa abiria nchini, imefichuka. Anaripoti Regina Mkonde …. (endelea). Taarifa kutoka ndani ya serikali zinasema, mamlaka ...

Read More »

Nusura ya MV. Nyerere kutokea Mafia

IKIWA ni miezi minne tangu Tanzania kupoteza zaidi ya watu 200 katika Ziwa Victoria kwenye ajali ya MV. Nyerere, watu 75 wamenusurika kufa katika Bahari ya Hindi wakienda kisiwani Mafia. ...

Read More »

Makonda: Bila Neno la Mungu, Magereza, polisi hawatatosha

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, Magereza na Polisi hawatatosha iwapo Neno la Mungu halitafanya kazi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Amesema kuwa, gharama za kujenga uzio mkubwa, ...

Read More »

Chadema waanza kupanga safu yao ya uongozi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza maandalizi ya uchaguzi ndani wa ndani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Wakati harakati hizo zikiendelea Mwenyekiti wa chama hicho anaendelea kusota mahabusu kutokana ...

Read More »

Ujumbe wa manung’uniko, kilio kusomwa makanisani

LEO si Sikukuu ya Krismasi ambapo waumini Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) zaidi Mil 6.5 wanatarajia kusomewa waraka huo uliobeba manung’uniko, majonzi kulingana na hali ilivyo kwa sasa. ...

Read More »

Mahakama yamzua Lipumba kukomba ruzuku

PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amegonga mwamba mahakamani. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kwa mujibu ...

Read More »

Sumaye: Muswada wa siasa ukiachwa utawatafuna mpaka CCM

BARAZA Kuu la Chadema Kanda ya Pwani limetaka serikali kuuondoa muswada wa vyama vya siasa uliowasilishwa bungeni, kwa sababu unakiuka katiba kwa kuwa baadhi ya vifungu vyake vinaua demokrasia ya ...

Read More »

Membe amburuza kortini Musiba

ALIYEPATA kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, katika utawala wa Jakaya Mrisho Kikwete, Bernard Membe, amemburuza mahakamani Cyprian Musiba. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Membe amefungua ...

Read More »

Mbowe, Matiko sasa kula Krismass, Mwaka Mpya gerezani

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe na mbunge wa chama hicho katika jimbo la Tarime Mjini, Esther Matiko, waweza kulazimika kulia sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya ndani ya gereza kuu ...

Read More »

Lowassa, Sumaye, Maalim Seif, Zitto kumfuata Mbowe Kisutu kesho

VIGOGO watatu wa kisiasa nchini, Edward Lowassa, Maalim Seif Sharif Hamad na Fredrick Suamye, kesho Ijumaa, wataongoza mamia ya wafuasi wa upinzani, kuelekea kwenye Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es ...

Read More »

Kikokotoo pasua kichwa kila kona

CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) wametoa tamko la kuunga mkono msimamo wa TUCTA kuhusu mkanganyiko Kikokotoo cha mafao ya pensheni yanayotolewa na mfuko wa hifadhi ya ...

Read More »

Rais Magufuli amtolea nje Mnyika

RAIS John Magufuli amemgomea John Mnyika, Mbunge wa Kibamba na Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo kuhusu ombi lao la kuitaka serikali kuwalipa fidia wakazi wa Kimara na Mbezi waliobomolewa nyumba ...

Read More »

Kesi ya Mbowe: Chadema yalia na JPM, AG, DPP

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinaimani kuwa, kuzuiwa kwa dhamana ya Mwenyekiti wake wa Taifa, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini kinakwenda kinyume na taratibu za kimahakama. Anaandika ...

Read More »

Mfumo wa GePG mwarobaini kwa ‘wapiga dili’

MAMLAKA ya Maji safi na usafi wa Mazingira (Mwauwasa) mkoani Mwanza imesema kuwa mfumo mpya wa kielektroniki wa malipo ya serikali wa GePG umesaidia kupunguza upigaji wa fedha za umma ...

Read More »

Watumishi TAA walia njaa, Waziri awapotezea

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Richard Mayogela, amesema wafanyakazi wa Mamlaka hiyo wanakabiliwa na njaa (ukata) licha ya kuwa wanaonekana kupendeza wanapokuwa wamevaa suti wakiwa katika ...

Read More »

Hukumu ya Uenyekiti wa Prof. Lipumba Januari mwakani

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imehalisha kutoa uamuzi juu ya uhalali wa Msajili wa vyama vya siasa nchini kumtambua Profesa Ibrahim Lipumba kama Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi ...

Read More »

Waziri Ummy aijia juu MSD

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeitaka Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) kuhakikisha wanakamilisha kuleta vifaa vyote vinavyohitajika katika vituo vya Afya vinavyoboreshwa ...

Read More »

Vigogo Chadema wagonga mwamba mahakamani

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, imekubaliana na maombi ya Jamhuri ya kughairisha usikilizaji wa rufaa ya mwenyekiti wa Chadema, Freman Mbowe na Mbunge wa Tarime, Ester Matiko. Anaripoti ...

Read More »

Kesi ya dhamana ya Mbowe, Matiko kiza kinene

MAHAKAMA Kuu, kanda ya Dar es Salaam, inatarajiwa kutoa maamuzi muda mfupi ujao, iwapo maombi ya Freeman Mbowe na Ester Matiko ya kupewa dhamana yaendelee kusikilizwa ama yasubiri maamuzi ya ...

Read More »

Mbowe, Matiko waruka kihunzi

JAJI wa Mahakama Kuu, Sam Rumanyika, ametupilia mbali, mapingamizi ya serikali yaliyolenga kumzuia Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko, kutoka gerezani. Anaripoti Faki Sosi ...

Read More »

Ngono, ngono, ngono UDSM

LEO yaweza kuwa siku ngumu kwa utawala na baadhi ya wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) iwapo Dk. Vicensia Shule ataamua ‘liwalo na liwe.’ Anaripoti Faki Sosi ...

Read More »

Kesi ya Mbowe, Matiko yalala tena, Mawakili wavutana

JAJI wa Mahakama Kuu, Sam Rumanyika, amepanga kutoa umauzi wa pingamizi la awali kwenye kesi iliyofunguliwa na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko. Anaripoti ...

Read More »

Kesi ya Mbowe, Matiko kuanza kusikilizwa kesho

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imepanga kusikiliza shauri la madai ya kufutiwa dhamana lililofunguliwa mahakamani hapo na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko, kesho Alhamisi ...

Read More »

Magufuli: Lowassa ni ‘Super Man,’ wengine wataishia magerezani

EDWARD Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ametajwa kuwa ni miongoni mwa wanasiasa wanaofaa kuigwa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). ...

Read More »

Fao la kustaafu laitafuna serikali

CHOZI la aliyekuwa mbunge wa Chadema katika jimbo la Buyungu, Mwalimu Samson Kasuku Bilago, juu ya kiinua mgongo cha wafanyakazi wa umma, waliojiunga kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, bado ...

Read More »

Sababu za Mbowe, Matiko kutupwa magerezani hizi hapa  

HAKIMU Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, Wilbard Mashauri, ametoa sababu kubwa tano alizofikia kufanya maamuzi ya kufuta dhamana za viongozi wawili wandamizi wa Chama cha ...

Read More »

Lukuvi atumbua watatu Arusha

WAZIR wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewasimamisha kazi watumishi watatu wa sekta ya ardhi katika Halmashauri ya Jiji la Arusha. Anaripoti Mwandishi Maalum … (endelea). Maofisa ...

Read More »

Tigo Fiesta yahairishwa

KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Tigo Fiesta 2018 imesitisha tukio la kilele cha msimu wa tamasha hilo lililopaswa kufanyika leo tarehe 24 Novemba 2018. Anaripori Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Read More »

Mbowe, Matiko wafutiwa dhamana

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imewafutia dhamana, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na mbunge wa chama hicho katika jimbo la Tarime ...

Read More »

Mahakama yawaachia Bwege na wenzake, Polisi yawang’ang’ania

MAHAKAMA ya Mkoa wa Lindi imewaachia kwa dhamana viongozi waandamizi wa Chama cha Wananchi (CUF), waliokamatwa juzi kwenye kampeni za udiwani Kata ya Kivinje, Kilwa huku Jeshi la Polisi likiendelea ...

Read More »

Mungu msamehe Mtolea

NIMELAZIMIKA kujitosa kwenye mjadala unaohusu kujiuzulu wadhifa wa ubunge kwa Abdallah Mtolea, aliyekuwa mbunge wa Chama cha Wananchi (CUF), katika jimbo la Temeke, jijini Dar es Salaam. Anaandika Saed Kubenea ...

Read More »

Bwege, Vigogo wa CUF wahamishiwa Lindi

JESHI la Polisi limewasafirisha viongozi watatu waandamizi wa Chama cha Wananchi (CUF), waliowakamata juzi jioni baada ya kampeni za udiwani kwenye kata Kivinje kutoka kilwa mpaka Lindi. Anaripoti Faki Sosi ...

Read More »

Usafiri wakwamisha kesi ya Rugemalira, Seth

TATIZO la usafiri limekwamisha kesi ya Harbinder Seth na mfanyabiashara James  Rugemalira iliyokuwa ikitajwa leo Alhamisi Novemba 22, 2018 lakini imeshindikana kutoka na washitakiwa hao kutokuwepo mahakamani. Anaripoti Faki Sosi ...

Read More »

Dk. Slaa, Rais Magufuli wateta Ikulu

BALOZI wa Tanzania nchini Sweden, Dk. Willibroad Slaa, amerejea jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Rais John Pombe Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Haikuweza kufahamika mara moja, ...

Read More »

Mbunge Bwege atiwa mbaroni na polisi

VIONGOZI watatu wandamizi wa Chama cha Wananchi (CUF), wamekamatwa na jeshi pa polisi, wilayani Kilwa, mkoani Lindi, kwa tuhuma “zisizojulikana.” Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Miongoni mwa waliokamatwa, ni pamoja ...

Read More »

Kigogo ofisi ya RC Mwanza mikononi mwa Takukuru

KIGOGO katika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Mwanza amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa mfanyabiashara wa ...

Read More »

Waraka wa Maulid waibua mauaji haya

WARAKA wa Maulid (Sikukuu ya Maulid) uliotolewa na Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania umeibuka na matukio mbalimbali yaliyotokea nchini. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Waraka huo umetolewa leo Jumanne ...

Read More »

Waitara: Wathubutu waone

NAIBU Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara amesisitiza kuwa, marufuku ya wazazi kuchangishwa michango ya wananfunzi shuleni ibaki pale pale na kwamba, walimu wasithubutu ...

Read More »

Mbunge aliyefyatua risasi bungeni apelekwa ICC

MBUNGE Alfred Yekatom maarufu kama Rambo, aliyekamatwa na vyombo vya dola baada ya kufyatua risasi bungeni nchini Afrika ya Kati (CAR) amefikishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita ...

Read More »

CUF Lipumba yakaza kamba

WAKATI uchaguzi wa Serikali za Mitaa ukiendelea kukaribia mwakani, Chama cha Wananchi (CUF) kambi ya Prof. Ibrahim Lipumba imeeleza kuwa, ‘atakaye ajiunge nao.’ Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Abdul Kambaya, ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram