Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Tuhuma za CAG: CUF yamtwisha zigo Maalim Seif

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemtupia lawama Maalim Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu wake, kikidai kuwa, alisababisha kikiuke sheria kwa kuhamisha fedha za ruzuku kiasi cha Sh. 300 milioni, kutoka ...

Read More »

Nani kampa sumu Mangula? Hakuna jibu

NANI aliyempa sumu Mzee Phillip Mangula, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)? Ni swali ambalo halijapatiwa majibu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Hata hivyo, Jeshi la Polisi limewataka ...

Read More »

Mbowe aeleza siri ya Dk. Mahanga Chadema

MOJA ya jambo kubwa na la kipekee kwa marehemu Dk. Makongoro Mahanga, ni kuwa mtu wa kujifunga na kutokuwa na haya katika kubadilika. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

CAG abaini madudu CUF, CCM

CHAMA cha Wananchi (CUF) na Chama Mapinduzi (CCM), vinatajwa kwa matumizi mabaya ya fedha katika Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali katika Mwaka wa Fedha 2018/19. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma ...

Read More »

Shitaka hili limemtibua Lema

SHITAKA la kusababisha kuibua taharuki linalomkabili Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini, limemtibua. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida … (endelea). Nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida, leo tarehe 25 Machi ...

Read More »

Wapiga dili CCM kuhenyeshwa

ROBERT Mwinje (39) na  Nyemo Malendaa(20), wote makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma wanatarajiwa kupandishwa kizimbani muda wowote kutoka sasa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Mwinje aliyekuwa Mwenyekiti wa ...

Read More »

Mbowe athibitisha mwanawe kupata Corona

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, amekiri kuwa mmoja wa watoto wake, Dudley Mbowe, amekutwa na ugonjwa wa Corona. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Katika taarifa yake kwa umma aliyoitoa ...

Read More »

Mdee, Bulaya, Jacob wabebeshwa tuhuma saba

JUMLA ya viongozi na wafuasi 27 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamepandishwa kizimbani wakituhumiwa kutenda makossa saba. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … (endelea). Watuhumiwa hao wamepandishwa ...

Read More »

Mwingine aondoka Chadema, aelekea NCCR- Mageuzi

NDIHOLEYE Zuberi Kifu, Mratibu wa Umoja wa Wanafunzi wa Vyuo vikuu nchini (CHASO), kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Kilimanjaro, amejiondoa kwenye chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu kutoka ...

Read More »

Shahidi: Kwa sasa ni kawaida polisi kuua

MUSA Bakari, shahidi wa tano kwenye kesi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo ameiambia mahakama kwamba ni kawaida polisi kuua. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … ...

Read More »

Uchaguzi 2020: Membe aungana na wapinzani kuiangamiza CCM

BERNARD Membe, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, ameungana na hoja ya wapinzani ya kudai Tume Huru ya Uchaguzi, itakayowezesha Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2020, kuwa wa huru na ...

Read More »

Zitto, Wakili wa Serikali wamuibua Azory mahakamani

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amedai kuwa amefurahi kumsikia wakili wa Serikali anakiri kuwa Mwandishi wa habari za uchunguzi, Azory Gwanda amefariki. Anaripoti Mwanandishi Wetu, Dar es Salaam ...

Read More »

Wagonjwa wa corona waongezeka nchini, wafikia watatu

WAGONJWA wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-2019) nchini Tanzania wameongezeka kutoka mmoja hadi kufikia watatu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza tathimini ...

Read More »

Corona yabadili mwelekeo CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesitisha shughuli zenye mikusanyiko ya watu wengi, ikiwa ni hatua za kudhibiti kuenea kwa virusi vya ugonjwa wa homa ya mapafu (COVID-19), unaosababishwa na virusi vya ...

Read More »

Mbowe: Tumefika ukomo

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kwa kuwa serikali imeweka pamba masikioni, nao wamefika ukomo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Hivyo, ameagiza viongozi ...

Read More »

Kubenea atumia mkutano mkuu ACT- Wazalendo, kutema nyongo

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amekimwagia sifa Chama cha ACT-Wazalendo, kufuatia hatua yake ya kuruhusu mchakato huru wa uchaguzi. Anaripoti Kevin ...

Read More »

Safu ‘nzuri ACT-Wazalendo

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimepata viongozi wa juu wawili, walioridhiwa na wanachama wa chama hicho usiku wa manane kuamkia leo tarehe 15 Machi 2020. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Kwenye ...

Read More »

Membe atajwa Mkutano mkuu ACT-Wazalendo

JINA la Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, limetajwa katika Mkutano Mkutano Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, unaoendelea katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Anaripoti ...

Read More »

Zitto aweka hadharani sababu 10 za kuing’oa CCM 2020

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameeleza sababu 10 za kuking’oa Chama cha Mapinduzi (CCM), katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … ...

Read More »

Mch. Msigwa: Niligoma kutoka jela

MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini, aligoma kutoka jela. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza na wanahabari katika Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ...

Read More »

Chadema wamaliza kazi, Mbowe kuliona jua leo

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekamilisha mchakato wa kumtoa kifungoni mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, aliyekuwa anatumikia kifungo cha miezi mitano kwenye Gereza la Segerea, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Hamis ...

Read More »

Rais Magufuli azua tafrani Chadema

RAIS John Pombe Magufuli, ametoa kiasi cha Sh. 38 milioni kati ya Sh. 40 milioni, zinazotakiwa kulipia faini ya Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Peter Msigwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ...

Read More »

Mbowe mfungwa Na. 305, apigwa ‘para’

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, tayari amevishwa gwanda na kuwa mfungwa rasmi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Mbowe na wenzake wengine wanne, ...

Read More »

Ujumbe wa Dk. Mashinji baada ya kutoka jela

DAKTARI Vincent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mwanachama mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametuma salamu za pongezi kwa wanachama wa chama chake ...

Read More »

Faini Mbowe, wenzake: 108 Mil zakusanywa usiku kucha

ZAIDI ya Tsh. 108,262,000 tayari zimekusanywa ndani ya saa 12, tangu faini ya Freeman Mbowe na wenzake kuwa wazi jana tarehe 10 Machi 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam ...

Read More »

Baada ya kuhukumiwa kulipa mamilioni, Mbowe na wenzake walala Segerea

VIONGOZI wanane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiongozwa na mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, wamenusurika kufungwa gerezanibaada ya kuamriwa kulipa faini ya fedhataslimu zaidi ya Sh. 350 milioni kwakukutwa na ...

Read More »

Polisi wazoa wafuasi wa Chadema

WAKATI kesi Na. 112/2018 ya uchochezi inayowakabili Freeman Mbowe na viongozi wenzake wa Chadema, Jeshi la Polisi limeendesha zoezi la kuwasomba wafuasi wa chama hicho katika viunga vya Mahakama ya ...

Read More »

Kesi ya Chadema: Nusura ‘kiwake’ Kisutu

VURUGU, vuta nikuvute na kurushiana maneno vimetawala kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakati wa kusikiliza kesi ya viongozi wa Chadema. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam ...

Read More »

Ujumbe mzito wa Mbowe kabla ya hukumu

IKIWA zimesalia saa kadhaa kwa viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuhukumiwa katika Kesi ya Jinai Na. 112/2018, inayowakabili kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wametoa waraka ...

Read More »

Mangula anyweshwa sumu

PHILIP Mangula, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, amenyweshwa sumu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa zaidi zinaeleza, Mangula aliugua ghafla mwishoni mwa Februari mwaka huu, ...

Read More »

Dk. Bashiru ‘ashughulikiwa’

KAULI ya Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwamba chama kinachoondoka madarakani wakati kina dola ni uzembe, imetibua wengi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … ...

Read More »

Wapinzani kutinga Ikulu, Mbowe atuma ujumbe kwa JPM

ZIARA za baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kuteta na Rais John Magufuli  Ikulu jijini Dar es Salaam,  zimemuibua Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na ...

Read More »

Kosa la Mbatia ni lipi?

MIJADALA kwenye mitandao ya kijamii, imekoleza tuhumadhidi ya Mwenyekiti wa taifa wa chama cha NCCR- Mageuzi, James Francis Mbatia, kwamba anatumika na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kudhoofisha upinzani. Anaandika Yusuph ...

Read More »

Dk. Bashiru aeleza namna dola inavyoibeba CCM

WAKATI Rais John Magufuli akiahidi uchaguzi huru na haki, Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anashangazwa namna vyama vilivyo madarakana kushindwa kuendelea kubaki madarakani kwakutumia dola. ...

Read More »

Mbatia awavuruga CCM, Chadema Mbeya   

MWENYEKITI wa chama cha NCCR- Mageuzi, James Mbatia, aliyeko mkoani Mbeya, ameanza kwa kishindo ziara yake mkoani humo, kufuatia maelfu ya watu kujitokeza kutaka kujiunga na chama chake. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Membe ‘aitwa’ ACT-Wazalendo

BERNALD Membe, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Mambo ya Nje katika serikali ya awamu ya nne, amekaribishwa ndani ya Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar ...

Read More »

Maalim Seif aonesha njia ya ushindi 2020

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, ushirikiano ndio njia muhimu ya kushinda kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Kutokana ...

Read More »

Mbowe avamiwa

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, yupo kwenye wakati mgumu jimboni kwake Hai, Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro…(endelea). Akiwa kwenye mkutano jana tarehe 3 Machi ...

Read More »

Maalim Seif amfuata JPM Ikulu

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ametinga Ikulu, jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Dk. Bashiru: CCM msifurahie kufukuzwa kwa Membe

DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amewataka wanachama wa CCM kutosherehekea uamuzi huo na kuwataka kuweka akiba ya maneno, kufuatia kumfukuza uanachama, Bernard Membe, Waziri wa ...

Read More »

Uchaguzi 2020: Maalim Seif aitesa CCM Zanzibar

CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimeonesha wasi wasi wake juu ya harakati za Maalim Seif  Shariff Hamad, za kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar ...

Read More »

Mbowe amvuruga DC Sabaya Hai

LENGAI Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai, Kilimanjaro anatajwa kama mtu mnyanyasaji kwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu, Hai … (endelea). Freeman Mbowe, ...

Read More »

Kauli ya Membe baada ya kufukuzwa CCM

BERNARD Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, amezungumzia hatua ya kufukuzwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), iliyochukuliwa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho, kufuatia tuhuma ...

Read More »

Membe afukuzwa CCM, Kinana chini ya uangalizi

BERNARD Membe, Waziri wa Mambo ya Nje mstaafu amefukuzwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), huku Abdulrahman Kinana, aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, akiwekwa chini ya uangalizi kwa muda ...

Read More »

Rugemalira kuruka kihunzi hiki?

JAMES Rugemalira, mfanyabiashara na Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP na mmiliki wa zamani wa Kampuni ya IPTL, anapambana kujinasua katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili. Anaripoti Faki Sosi, Dar es ...

Read More »

Zitto ‘kupigwa chini’ ACT-Wazalendo?

ISMAIL Jussa, Mwenyekiti wa Kamati ya Mikakati, Usimamizi na Ufuatiliaji ya Chama cha ACT-Wazalendo, anataka nafasi aliyonayo Zitto Kabwe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kwa sasa Zitto ni ...

Read More »

Kampuni za upimaji zapigwa ‘stop,’ Goba yawa mfano

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameagiza kampuni za upangaji na upimaji kutochukua kazi mpya kabla ya kumaliza kazi za awali. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam ...

Read More »

A-Z kilichotokea kesi ya kabendera

SAFARI chungu ya Erick Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi kitaifa na kimataifa, katika kesi ya uhujumu uchumi imetamatika leo tarehe 24 Februari 2020. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). ...

Read More »

Mbivu, mbichi za Membe, Kinana, Makamba 

TAARIFA ya matokeo ya mahojiano yaliyowahusu Bernard Membe, Abdulrahman Kinana na Mzee Yusuph Makamba, inayosubiriwa kwa hamu kubwa nadani na nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inakaribia kutoka. Anaripoti Danson Kaijage, ...

Read More »

Dk. Mashinji aonja machungu Chadema

SIKU sita baada ya Dk. Vicent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo ameonja machungu. Anaripoti Faki Sosi, Dar ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram