Kitaifa

Aliyeongoza kumng’oa  Rais al-Bashir Sudan ajiuzulu

MKUU wa Jeshi la Sudan, Awad Ibn Auf aliyeongoza mapambano ya kumng’oa madarakani Rais wa nchi hiyo, Omar al-Bashiri amejiuzulu katika wadhifa wa uongozi wa Baraza la Jeshi linalo ongoza ...

Read More »

Uchaghuzi Mkuu upo pale pale – NEC

HATIMAYE Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imekata mzizi wa fitna. Inasema kuwa haina mpango wowote na wala haikusudii kuahairisha uchaguzi mkuu ujao Oktoba mwaka huu, kutokana na sababu yoyote ...

Read More »

Ulingo kuwafunda wanawake 2000

ULINGO- Taasisi inayofanya kazi ya kuwajengea uwezo wanawake katika siasa, inatarajia kufanya mafunzo kwa wanasiasa wanawake 2000 nchini nzima. Anaandika Pendo Omary … (endelea). Kauli ya Ulingo inakuja ambapo tayari ...

Read More »

Chadema: Serikali iwajibike

Waziri Kivuli wa Elimu na Ufundi, Suzan Lyimo

SUZAN Lyimo-Waziri kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, ameitaka Serikali iwajibike kwa kushindwa kuwalipa wazabuni wanaosambaza chakula katika shule za umma badala ya inawabebesha lawama wakuu wa shule, zilizofungwa ...

Read More »

Hotuba ya Zitto Kabwe ya kujivua ubunge

Mheshimiwa Spika, nilijiunga na Bunge lako tukufu mwaka 2005 nikiwa kijana mdogo mwenye malengo ya kupaza sauti ya vijana kwenye masuala yanayohusu nchi yetu na pia kutetea maslahi ya wananchi ...

Read More »

Uchaguzi mkuu ACT-Tanzania shakani

HATIMA ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), iko mikononi mwa Jaji Mwandambo wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Hii ...

Read More »

Mtikila azuia Mahakama ya Kadhi

MCHUNGAJI Christopher Mtikila, leo amefungua kesi ya kikatiba namba 14 ya mwaka 2015 katika Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga muswada wa mabadiliko ya sheria kwa ajili ya kuitambua rasmi Mahakama ...

Read More »

Barabara ya ‘flyover’ ya Tazara yaja

SERIKALI imepata mfadhili wa kugharamia mradi wa ujenzi wa barabara ya juu (flyover) ambayo itakuwa ya kwanza nchini. Makubaliano ya ufadhili huo yamesainiwa jijini Dar es Salaam leo kati ya ...

Read More »

Rais Kikwete abebeshwa mzigo ajali ya Mafinga

CHAMA cha Alliance For Democratic Center (ADC), kimeitaka serikali kuwachukulia hatua kali za kinidhamu askari wote wa usalama barabarani, waliokuwa zamu kwenye eneo la barabara ya Mafinga, Mkoani Iringa, kulikotokea ...

Read More »

NCCR wataja mgombea wao urais

CHAMA cha NCCR- Mageuzi, kimemtangaza Dk. George Kahangwa, mkuu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama hicho, kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu wa mwishoni mwa mwaka ...

Read More »

Membe, Pinda ‘wajiengua’ mbio za urais

MIZENGO Pinda na Bernard Membe, tayari wamejiengua katika orodha ya wanaosaka urais kupotia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Saed Kubenea…(endelea). Ni vigumu kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri, Mizengo Pinda na ...

Read More »

CCM kuwatumia Mrema, Cheyo kunadi Katiba mpya

MKAKATI wa siri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), “kulazimisha” kura ya maoni ya “Ndiyo” kwa Katiba Inayopendekezwa umevuja. Wanaandika Edson Kamukara na Deusdedit Kahangwa…(endelea). Hatua hiyo inakuja wakati ambapo Tume ...

Read More »

Rais Jakaya Kikwete aenda Rwanda

RAIS Jakaya Kikwete ameondoka nchini asubuhi ya leo, kwenda Kigali, Rwanda kwa ziara ya siku moja nchini humo kwa mwaliko wa Rais Paul Kagame. Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya ...

Read More »

Chadema: CCM iache kuweweseka

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kauli ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya kulalamikia mafunzo ya maadili ya uzalendo kwa vijana wao maarufu kama “Red Brigade”, ni hatua ya ...

Read More »

Wanne wahukumiwa kifo kwa kuua Albino

HATIMAYE Mahakama imetenda haki kwa familia ya marehemu Zawadi Magindu (22)-mlemavu wa ngozi (Albino), aliyeuwa na kisha baadhi ya viongo vyake kunyofolewa mwaka 2008. Anaandika Mwandishi wetu…(endelea). Sasa watu wanne; ...

Read More »

Pinda ahimiza fursa za kibiashara Mbeya

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amesema Mkoa wa Mbeya unaweza kupaa kiuchumi kama utazingatia fursa za kibiashara ilizonazo na kuwekeza zaidi kwenye viwanda vya usindikaji mazao ya kilimo na mifugo. Anaandika ...

Read More »

Chenge kuiburuza CCM mahakamani

MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, yuko njiani kukifikisha mahakamani Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Saed Kubenea… (endelea). Anapinga kusimamishwa ujumbe wa mkutano wa Halmashauri Kuu ya taifa (NEC) wa ...

Read More »

Safari ya mwisho ya Komba

MAJONZI, vilio na simanzi vimetawala kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba. Anaandika Pendo Omary…(endelea). Rais ...

Read More »

Rais Kikwete kukutana na Albino

RAIS Jakaya Kikwete, wiki ijayo anakutana na baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino) ili kuweka “mkakati ya pamoja” wa kukabili vitendo vya ...

Read More »

Walivyosema kuhusu Komba

VIONGOZI mbalimbali wa kisiasa, wameungana na familia, ndugu na jamaa, kuomboleza kifo cha Mbunge wa Mbinga (CCM), John Damian Komba, aliyefariki dunia Jumamosi, 28 Februari 2015. Anaandika Pendo Omary … ...

Read More »

Kigogo Ikulu ashitakiwa kwa Kinana

MBUNGE wa Tabora Kaskazini (CCM), Sumar Shaffin Ahmedali, amewasilisha malalamiko kwa katibu mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana, kuchafuliwa katika jibo lake. Sumari anamtuhumu Almasi Athumani Maige, kuanza kampeni kabla ya ...

Read More »

Rais Kikwete aungana na mamia kuombeleza msiba wa Komba

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Mrisho Kikwete, ameungana na mamia ya wananchi kuombeleza msiba wa John Damian Komba. Anaripoti Saed Kubenea…(endelea). Kikwete alifika nyumbani kwa Komba asubuhi ya ...

Read More »

Mbowe: Serikali iwajibike mauaji ya albino

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman, ameitaka Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwasaka na kuwakamata wauaji wa walemavu wa ngozi (albino) na vikongwe. Anaandika Mwandishi wetu…(endelea). ...

Read More »

Makonda aanza kwa tambo

MKUU wa Wilaya wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam, Paul Makonda, ameainisha kero nne atakazoanza kuzipatia ufumbuzi. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea) Kero hizo ni afya, elimu, ardhi na maji ...

Read More »

Mkakati wa UKAWA waiva

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), viko kwenye hatua za mwisho za kuweka utaratibu wa pamoja kwa ajili ya kuwapata wagombea wake katika nafasi za urais, ubunge na ...

Read More »

Walimu wageuza shule ya umma mradi binafsi

WALIMU katika Shule ya Msingi Kigogo Fresh iliyopo kata ya Pugu, Manispaa ya Ilala, nje ya jiji la Dar es salaam, wamelalamikiwa kugeuza mpango wa serikali wa kutoa elimu bure ...

Read More »

Chama cha Albino kumshitaki Rais Kikwete UN

CHAMA cha Albino Tanzania (TAS), kimetoa miezi mitatu kwa Rais Jakaya Kikwete kuingilia kati vitendo vya mauaji ya albino yanayoendelea nchini. Akishindwa kuchukua hatua, watamshitaki Umoja wa Mataifa (UN). Anaripoti ...

Read More »

Kiongozi wa vijana wa JKT atekwa

GEOGE Mgoba, kongozi wa vijana waliomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), waliokuwa wakishinikiza serikali ya kutekeleza ahadi yao ya kupatia ajira ametekwa. Taarifa zinasema, Geoge ametekwa na wanaodaiwa ...

Read More »

Matumizi ya BVR kura ya maoni kushidwa

MRADI wa vitambulisho vipya vya kupigia kura, vitakavyotumika kupitishia Katiba Pendekezwa, umekwama. Anaripoti Pendo Omary…… (endelea). Vitambulisho hivyo vipya vinavyoandaliwa kupitia teknolojia mpya ya “Biometric Voters Registration (BVR), havijafunguliwa na ...

Read More »

Sitta akabidhiwa mgogoro wa CHAKUA, SUMATRA

MGOGORO unafukuta kati ya Chama cha kutetea abiria nchini (CHAKUA) na Mamlaka ya usafirishaji wa majini na nchi kavu (SUMATRA). Mgogoro wa sasa, unahusu gharama za usafirishaji abiria baada ya ...

Read More »

Simbachawene amkubali mbaya wa Prof. Muhongo

WAZIRI mpya wa Nishati na Madini, George Simbachawene amekabidhiwa rasmi ofisi na harakaharaka akatambua mchango wa Dk.   Reginald Mengi, ambaye alikuwa adui mkubwa kwa mtangulizi wake Profesa Sospeter Muhongo. Anaripoti ...

Read More »

Pigo la pili Dk. Mahanga, Mtaa wa Migombani waapishana

ILE sinema ya kuvutia iliyomfikisha kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa jimbo la Segerea, Dk Makongoro Mahanga, kunusurika na kipigo cha “umma” kwa kuokolewa na Polisi, ...

Read More »

‘Uhaba wa vifaa, walimu wa sayansi shida’

WAKATI matokeo ya mitihani ya kidato cha pili yanaonesha kwamba kuna tatizo kubwa la watoto kutoelewa masomo ya sayansi, baadhi ya wakuu wa shule wanasema hawana tatizo hilo, anaripoti Sarafina ...

Read More »

Jaji Chande: Mahakama ngono tupu

CHAMA cha Majaji wanawake Tanzania (TAWJA), kimeazisha mtandao maalumu wa kupambana na rushwa ya ngono zinazoshamiri katika sekta ya umma, anaripoti Sarafina Lidwino. Miongoni mwa maeneo ambayo rushwa ya ngono ...

Read More »

Mgogoro wa ACT sasa watinga mahakamani

HATIMAYE yametimia. Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), chama kipya cha siasa nchini na ambacho kilitarajiwa kuongozwa na Zitto Zuberi Kabwe, mbunge wa Kigoma Kaskazini, kimemfungulia kesi Samson Mwigamba na ...

Read More »

Ukwapuaji wa Escrow, Rutazibwa na Theophilo waburuzwa mahakamani

SAKATA la akaunti ya Tegeta Escrow imechukua sura mpya, baada ya Mwanasheria wa RITA, Bw. Rutazibwa na Kaimu Kamishna wa Nishati na Petroli Mambo ya Ndani, Mheshimiwa Theophilo Bwakea, kufikishwa katika ...

Read More »

Mauaji ya Albino, waganga, wapiga ramli wapigwa marufuku

WAGANGA wapiga ramli, wamepigwa marufuku kufanya shughuli zao nchini. Marufuku hiyo imekuja baada ya uchunguzi kubaini, wanahusika na mauaji ya walemavu wa ngozi (albino), anaripoti Sarafina Lidwino. Marufuku hiyo imetolewa ...

Read More »

Mkakati wa kumfukuza Lowassa CCM waiva

MBUNGE wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa, aweza kuvuliwa uwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), muda wowote kutoka sasa. Saed Kubenea, anaripoti. Hoja ya kumvua uanachama Lowassa imepangwa kuwasilishwa katika kikao ...

Read More »

Rugemalira aibua mapya sakata la Escrow

JAMES Rugemarila, anaendelea kumshawishi Rais Jakaya Kikwete, kutotekeleza maazimio ya Bunge juu ya ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi katika akaunti ya Escrow. Anatafsiri mazimio ya Bunge kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza ...

Read More »

ACT chazidi kupasuka, Prof. Kitila, Mwigamba wawatimua kina Limbu

UPDATE 12:39 CHAMA cha ACT-Tanzania, kimepasuka. Waliofukuzwa uwanachama, Samson Mwigamba na Prof. Kitila Mkumbo, wamedai kumsimamisha unyekiti wa chama hicho, Kadawi Lucas Limbu. Anaandika Sarafina Lidwino. Maamuzi ya kumsimamisha Limbu ...

Read More »

Zitto Kabwe: Kinara wa vurugu ACT-Tanzania

KAMATI Maalum ya chama cha ACT-Tanzania, kimepitia kwa pamoja azimio la kuwafukuza kutoka ndani ya chama hicho, viongozi wake watatu wajuu, Samson Mwigamba, katibu mkuu, Prof. Kitila Mkumbo, mjumbe wa ...

Read More »

Mansour anogesha siasa Zanzibar

SAFARI ya kihistoria ya mwanasiasa kijana wa Kizanzibari, Mansour Yussuf Himid, ndio kwanza inanoga. Baada ya kutulia akibakia asiye chama tangu alipofukuzwa CCM zaidi ya mwaka sasa, hatimaye amejiunga rasmi ...

Read More »

Prof. Tibaijuka aponzwa na urais 2015

SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Anne Makinda, hakumnyima nafasi ya kujieleza bungeni, Prof. Anna Tibaijuka, kwa bahati mbaya. Alikusudia ili kumuangamiza kisiasa. Sarafina Lidwino anaripoti. Anne Makinda, Spika wa Bunge, ...

Read More »

Kashfa ya IPTL: Familia ya Kikwete imo

Rais Kikwete anamfahamu fika Harbinder Singh Sethi wa IPTL kwa kuwa singasinga huyo alitokea ikulu kabla ya kukwapua mabilioni ya shilingi kutoka akaunti ya Escrow katika Benki Kuu. Saed Kubenea ...

Read More »

Maoni ya wananchi kufuatia hotuba ya Rais Jakaya Kikwete

BAADA ya hotuba ya Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jakaya Kikwete kupitia kwa Wazee wa Dar es Salaam, kulizuka mijadala mbalimbali huku kila mmoja akisema lake kutokana ...

Read More »

Chadema yamvaa Kikwete

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kuwa Rais Jakaya Kikwete, amepatwa kigugumizi kushughulikia watuhumiwa wakuu wa ufisadi katika Akaunti ya Escrow kwa kuwa yeye ni sehemu ya wizi huo. ...

Read More »

Kikwete kulinda watuhumiwa Escrow

RAIS Jakaya Kikwete, amepanga kulinda na kutetea watuhumiwa wakuu katika ukwapuaji wa zaidi ya Sh. 321 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow, ndani ya Benki Kuu ya Taifa (BoT), MwanaHALISI ...

Read More »

Prof. Tibaijuka atema cheche

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, amedai kuna njama zinazolenga kumchafu kisiasa kwa kumhusisha na ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi katika Akaunti ya Escrow, MwanaHALISI ...

Read More »

‘Tumbili’ amtimua ‘Mwizi’

MWANASHERIA Mkuu aliyeitwa “mwizi” bungeni amejiuzulu. Ni Jaji Fredrick Werema, mwenye hasira fupi na msamiati finyu; na hivyo kuvimba fundo haraka kooni. Anatarajiwa kufuatiwa na mawaziri waliotajwa katika kashfa ya ...

Read More »

Dangote hafungamani na Prof. Muhongo

DOKTA Aliko Dangote, raia wa Nigeria, ni tajiri Na. 1 barani Afrika; wakati Profesa Sospeter Muhongo ni Mtanzania aliyebobea elimu ya miamba (jiolojia). Wote hao wanapojadili dhana ya uwekezaji kwenye ...

Read More »
error: Content is protected !!