WANASIASA wa upinzani wameishauri Serikali iondoe miswada ya marekebisho ya sheria za uchaguzi bungeni jijini Dodoma, ili iboreshwe kisha irudishwe upya, kwa madai...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2023SERIKALI ya Tanzania, imesema haitumii nguvu katika kuwaondoa wananchi jamii ya kimasai wanaoishi Hifadhi ya Ngorongoro, bali inawaondoa kwa hiari ili kuilinda hifadhi...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2023Serikali imeridhia mapendekezo ya timu ya wataalam katika awamu ya kwanza na kuelekeza kuunganishwa kwa mashirika na taasisi 16 na kufuta mashirika na...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2023BUNGE la Umoja wa Ulaya (EU), limetaka uchunguzi huru ufanyike dhidi ya mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa Wilaya za Ngorongoro na...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2023MASHEIKH sita wamehukuwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha, baada ya kukutwa na hatia katika kesi ya ugaidi iliyokuwa inawakabili...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), kimesema kinawasiliana na mawakili wake ili kuangalia namna ya kufanyia kazi hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu, Masjala Kuu...
By Regina MkondeDecember 15, 2023Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema wamejulishwa na Serikali ya Israel kwamba Joshua Mollel, kijana wa...
By Mwandishi WetuDecember 14, 2023MAHAKAMA Kuu Tanzania Masjala ya Dar es Salaam imebatilisha uamuzi wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lililobariki uamuzi wa...
By Faki SosiDecember 14, 2023Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kuwa Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ni mfano...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2023Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amezindua Ofisi za kisasa za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Bukombe mkoani...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2023JOEL Mwinza (44), Daktari Bingwa wa Mifupa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI), Joel Mwinza ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi...
By Faki SosiDecember 13, 2023Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na jiji la Dodoma imetoa Hati Miliki za ardhi 3,156 na kuwahudumia wananchi...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2023Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi kama ifuatavyo: Uteuzi wa Katibu Tawala wa Mkoa Amemteua Maryam Ahmed...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulurhaman Kinana amesema mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia...
By Gabriel MushiDecember 12, 2023MKUU wa shule ya sekondari Udinde iliyopo kijiji na kata ya Udinde katika Halmashauri ya wilaya Songwe mkoani Songwe, Mwalimu Amani Kilagoa amemuomba...
By Mwandishi WetuDecember 12, 2023CHAMA cha Wananchi (CUF), kimelaani hatua ya Jeshi la Polisi kukizuia kufanya mikutano ya hadhara katika baadhi ya maeneo, bila sababu za msingi....
By Regina MkondeDecember 12, 2023SAKATA la mzabuni, Maarifa Nampela ‘aliyelizwa’ Sh milioni 25 na Halmashauri ya wilaya ya Liwale, mkoani Lindi, limetua mikononi mwa Waziri Mkuu, Kassim...
By Mwandishi WetuDecember 12, 2023WATENDAJI wa Mahakama ya Tanzania, wametakiwa kuweka mikakati itakayosaidia kurejesha imani ya wananchi kwa mahakama, ili kuimarisha utoaji haki nchini. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeDecember 11, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha Sh 50 milioni katika uzinduzi wa taasisi ya Professa Jay Foundation pamoja na kuahidi kumgharamia matibabu...
By Faki SosiDecember 11, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa ni muumini namba moja wa maridhiano nchini...
By Mwandishi WetuDecember 10, 2023MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amejitokeza leo Jumapili jijini Dodoma na kuwaelezea waumini wa Katoliki Parokia...
By Faki SosiDecember 10, 2023WAKATI Tanganyika ikiadhimisha miaka 62 tangu kupata uhuru, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewataka watanzania kuongeza jitihada za...
By Regina MkondeDecember 9, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewasamehe wafungwa 2,244, huku akiwabadilishia hukumu wafungwa wawili kutoka adhabu ya kifo na kuwa kifungo cha maisha jela....
By Mwandishi WetuDecember 9, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo juu ya uboreshaji dira mpya ya taifa ya maendeleo (2025 hadi 2050), huku akitaka iweke masuala yatakayosaidia...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2023Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali ipo kazini kuhakikisha suala la kukatika kwa umeme linashughulikiwa kikamilifu na hakuna hujuma yeyote kama...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2023Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Hassan Iddi Mwamweta amewasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa mji mdogo wa Katesh, wilayani Hanang, Mkoa wa Manyara, waliokumbwa na maafa ya maporomoko ya...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023UJUMBE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), unaoongozwa na mwenyikiti wake Taifa, Freeman Mbowe, umedai kuzuiwa na Jeshi la Polisi kutembelea wahanga...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kinajiandaa kushiriki chaguzi zijazo, huku kikiweka wazi kuwa, kitatoa msimamo mzito ifikapo Januari 2024, iwapo Serikali...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023Naibu Waziri wa Nishati,Judith Kapinga, kwa Niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amesema Wizara ya Nishati imetoa mafuta...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kazi ya kuondoa tope inaendelea na shughuli kubwa inayofanyika kwa sasa ni kufungua mitaa yote ya mji...
By Danson KaijageDecember 6, 2023KATIBU tawala mkoani Songwe, Happines Seneda ametoa siku 21 kwa Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Ileje, Nuru Kindamba kumpatia majina ya...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa wito kwa viongozi mbalimbali Serikalini kuhakikisha kazi walizonazo wanazifanya kwa bidii na...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2023SERIKALI imesema kumeguka kwa sehemu ya Mlima Hanang ambao ilikuwa una miamba dhoofu iliyonyonya maji ndio chanzo cha maporomoko yaliyoleta maafa katika eneo...
By Faki SosiDecember 5, 2023Loy Thomas Sabaya ambaye ni Baba wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameshinda nafasi ya Uenyekiti wa...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023SERIKALI imeagiza uchunguzi ufanyike ili kubaini chanzo cha maporomoko ya udongo ya Mlima Hanang mkoani Manyara, yaliyosababisha mauji ya watu zaidi ya 50...
By Regina MkondeDecember 4, 2023RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amekatisha ziara yake za kikazi jijini Dubai kwa ajili ya kurejea nchini kushughulikia maafa yaliyotokana na...
By Regina MkondeDecember 4, 2023Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amesema kuwa Serikali imepeleka wataalamu wa miamba ambao watatoa taarifa...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, yuko nchini Marekani katika ziara ya kikazi ya siku nne, itakayoanza tarehe...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023CHAMA cha ACT Wazalendo kimeelezza kupokea kwa mshtuko na simanzi kubwa taarifa za vifo vya watu 47 na majeruhi 85 vilivyotokea wilayani Hanang...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amefanya kikao kazi na Wakurugenzi wa Kanda na Mameneja wa Mikoa wa Shirika...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023KWETU sisi tuliowahi kusoma sekondari, iwe O levo au A levo, nani aliwahi kusikia tangazo la wavuta bangi kujumuika pamoja au tangazo la...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023RAIS wangu Samia Suluhu Hassan tunaendelea kumshukuru Mungu kwamba wote hatujambo na kwamba Yeye anazidi kutujalia afya ya roho na mwili mpaka dakika...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023BUNGE la Jamhuri linaloendelea mjini Dodoma, kwa wiki nzima limetawaliwa na mjadala juu ya ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023JUMATATU ya tarehe 16 Oktoba 2023 itabaki kuwa siku ya kumbukumbu kwa wananchi wa kizazi hiki wakazi wa mkoa wa Singida. Hiyo ndiyo...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amekosoa miswada ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi, akidai mapendekezo yake hayalengi...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia itakayosaidia wanawake barani Afrika (AWCCSP) kesho Jumamosi katika Umoja...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Dk. Eliezer Feleshi, ameagiza Kamati ya Maadili ya Mawakili, kuwachukulia hatua mawakili wanaokiuka maadili yao pamoja na kuipotosha...
By Regina MkondeDecember 1, 2023JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, amekitaka Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kuwafikisha mbele ya kamati ya maadili wanachama wake watakaobainika...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023KATIBU Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema changamoto zilizojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa 2020, kama hazitajadiliwa kwa uzito...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2023