Habari za Siasa

ACT-Wazalendo kuzindua ‘Azimio la Tabora’

JUNI 13 mwaka huu, Chama cha ACT-Wazalendo kinatarajia kuzindua Azimio la Tabora mara baada ya kumaliza kikao chake cha Halmashauri Kuu kitakachofanyika mkoani humo. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Akizungumzia ...

Read More »

‘Vigogo CCM waporaji ardhi’

VIGOGO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa watu wanaojihusisha na uporaji ardhi ya wananchi na baadaye kusababisha migogoro. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo bungeni na ...

Read More »

Kisena ampa wakati mgumu Mshama jimboni

Mbunge wa Nkenge CCM, Assumpter Mshama (kushoto) akiwa na msaidizi wake wa Taasisi ya Nkenge

MBUNGE wa Nkenge CCM, Assumpta Mshama amemuomba Mkurugenzi wa Simon Group, Robert Kisena kutekeleza ahadi yake ya kusaidia Taasisi ya Nkenge Foundation Trust Fund kiasi ya sh. milioni 30 ambazo ...

Read More »

‘Wizara ya Maji inanuka ufisadi’

KAMBI ya upinzani imesema kuwa, Wizara ya Maji imeghubikwa na ufisadi wa kutisha hususan kupitia miradi ya vijiji 10 kwa kila wilaya. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Hayo yalielezwa jana bungeni na ...

Read More »

Mbunge akumbushia ahadi ya Kikwete

MBUNGE wa Nkenge, Assumpter Mshama (CCM) ameibana serikali bungeni na kutaka itoe kauli ya lini itatekeleza ahadi ya Rais Jakaya Kikwete katika ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Omukajunguti. Anaandika ...

Read More »

Chadema yalinyosha bunge

VUTA nikuvute kati ya Bunge na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imefikia tamati baada ya serikali kuagizwa kutoa ripoti ya usajili na uendeshaji tata wa Chuo Kikuu cha Kampala ...

Read More »

Wabunge waibana serikali sekta ya afya

BUNGE limeelezwa kuwa zaidi ya watoto milioni 2.7 nchini, wanakabiliwa na udumavu kutokana na ukosefu wa lishe bora. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Takwimu hizo, zimetolewa na Mbunge wa Viti ...

Read More »

Polisi ifanyie kazi tamko la THBUB- Lipumba

MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amelitaka Jeshi la Polisi kuyafanyia kazi matamko yaliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB). Anaandika Sarafina Lidwino … ...

Read More »

Bunge lampoteza Mwaiposa wa Ukonga

EUGEN Mwaiposa (55)-aliye Mbunge wa Ukonga 2010-2015, amefariki dunia ghafla nyumbani kwake mjini Dodoma, ambapo yupo kwa ajili ya shughuli za Bunge la Bajeti linaloendelea. Mwaiposa ni mbunge wa pili ...

Read More »

Maji Ludewa yatengewa milioni 400/-

SERIKALI imetenga Sh. 400 milioni kwa ajili ya uboteshaji wa miundombinu ya maji katika Mji wa Ludewa mkoani Njombe. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Pia serikali imesema kuwa, itaendelea kuboresha miundombinu ...

Read More »

Mallac ataka barabara zitunzwe

MBUNGE wa Viti Maalum, Annamery Stella Mallac (Chadema), ameitaka Serikali kutenga fedha za kutengeneza mitaro ili kuokoa kiasi kinachotumika kwa ajili ya kukarabati barabara zinazosombwa na maji. Anaandika Dany Tibason … ...

Read More »

Uamsho wamlima barua Pinda

WIKI mbili baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kulieleza Bunge kuwa, hana taarifa za kunyanyaswa kwa viongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar, wanaokabiliwa na kesi ya ...

Read More »

Nyerere alijua CCM itaanguka

KIMSINGI Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, alishakichukia Chama Cha Mapinduzi (CCM) miaka michache kabla ya kifo chake, japo hakupenda kianguke akingali hai.  Nyerere aliposema bila CCM imara Tanzania ...

Read More »

Kafulila: Serikali ya CCM ni “misheni town”

DAVID Kafulila- Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), ameivaa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akisema imechafua taswira ya Tanzania nje ya nchi kutokana na kushindwa kudhibiti vitendo vya ufisadi. Anaandika ...

Read More »

Membe ahofu ugaidi Mashariki ya kati

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amekiri kuwa kushamili kwa vitendo vya kigaidi katika nchi za Mashariki na Kati, kunaleta tishioa la amani kwa nchi ...

Read More »

Mwakyembe: Tumedhibiti uchochezi wa kidini

DAKTA Harrison Mwakyembe- Waziri wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ameliambia Bunge kuwa, kutokana kuwepo kwa viashiria vya uchochezi wa kidini, wizara yake iliratibu kongamano la viongozi wa kidini ...

Read More »

Z’bar wahoji manufaa ya ziara za marais

SERIKALI imebanwa ieleze Zanzibar inanufaikaje na misaada inayotolewa na marais wa matifa marafiki wanapotembelea Tanzania kama alivyofanya Rais Barack Obama wa Marekani. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Swali hilo limeulizwa bungeni ...

Read More »

Bunge lamvaa JK ripoti ya tokomeza

BUNGE limeitaka Serikali iweke hadharani ripoti ya Tume ya kimahakama iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete kuchunguza kilichojiri wakati wa Operesheni Tokomeza. Anaandika Dany Tibason …(endelea). Akiwasilisha maoni na mapendekezo ya Kamati ...

Read More »

Ukawa wamlipua Magufuli bungeni

VYAMA vinavyounda kundi la Umoja wa Katiba (Ukawa) vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi, vimemshambulia Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magofuli kuwa, amekuwa akiainisha miradi mingi ambayo utekelezaji wake haukamiliki kutokana ...

Read More »

Wanasiasa watajwa mauji ya albino

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereila Ame Silima, amesema huenda kuna ukweli wa wanasiasa kuhusika na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino). Anaandika Dany Tibason … ...

Read More »

Bavicha yaita vijana kugombea ubunge

BARAZA la Vijana Taifa wa Chadema (Bavicha), limewataka vijana kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kugombea nafasi za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao Oktoba mwaka huu. Anaandika Pendo Omary … (endelea).. Akizungumza ...

Read More »

CUF wainanga CCM Kondoa

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), aliye pia Mbunge wa Viti Maalum, Magdalena Sakaya, amesema kuwa umasikini uliokithiri kwa Watanzania unatokana na utawala mbovu wa Chama Cha Mapinduzi. ...

Read More »

Bil. 105/- kupanua uwanja Mwanza

JUMLA ya Sh. 105 bilioni zimekadiriwa kutumika katika mradi wa upanuzi wa kiwanja cha ndege cha Mwanza. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo bungeni na Waziri wa Uchukuzi, ...

Read More »

Mwalimu ainanga CCM

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, Salim Mwalimu, amekivaa Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema kinatumia vibaya rasiliamali za taifa. Anaandika Moses Mseti, Mwanza … (endelea). ...

Read More »

CHASO wataka kutambuliwa kikatiba Chadema

UMOJA wa Wanachama wa Chadema ambao ni Wanafunzi wa Vyuo (CHASO) wamekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwaingia kwenye katiba ya chama hicho ili watambulike kisheria ndani ya chama ...

Read More »

Magufuli: Tunajenga barabara si majambazi

DAKTA John Magufuli-Waziri wa Ujenzi, amesema wizara yake inahusika zaidi na ujenzi wa barabara na sio kuzuia majambazi wanaojihusisha na utekaji wa magari. Anaandika Dany Tibason … (endelea). Magufuli ametoa ...

Read More »

Fluoride yaathiri maji mikoa sita

MIKOA ya Kilimanjaro, Manyara, Singida, Mwanza na Arusha, imetajwa kuwa kati ya mikoa ambayo ina vyanzo vya maji vingi vyenye madini mengi ya fluoride. Anaandika Dany Tibason … (endelea) Hayo ...

Read More »

Lissu awasha moto tena bungeni

TUNDU Lissu-Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani bungeni, amewasha upya moto akisema, Rais Jakaya Kikwete ataondoka madarakani bila Katiba mpya aliyowaahidi Watanzania takriban miaka mitano iliyopita. Anaandika Edson Kamukara … (endelea). ...

Read More »

‘Mwalimu Nyerere’ atoa mapendekezo ya kudumisha Amani

VIONGOZI waliokutana katika mkutano wa mashauriano kuhusu amani na utulivu wa nchi, wametoa mapendekezo ya nini kifanyike kudumisha amani na umoja wa taifa. Anaandika Pendo Omary …(endelea). Mkutano huo ulifanyika jana ...

Read More »

THBUB: CUF walidhalilishwa

TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imetoa ripoti ya uchunguzi wa tuhuma dhidi ya Jeshi la Polisi kuwapiga na kuwadhaliliaha viongozi na wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF). ...

Read More »

Zitto ataka ripoti ya CAG ifanyiwe kazi

SIKU moja baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad, kuwasilisha ripoti tano za ukaguzi wa fedha kwa mwaka unaoishia Juni 30, 2014, ikibainisha ...

Read More »

Rage adai jengo la abiria Tabora

MBUNGE wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage (CCM), amehoji mpango wa Serikali wa kujenga jengo la abiria katika uwanja wa ndege mkoani Tabora akitaka kujua utaanza lini. Anaandika Danny Tabason … ...

Read More »

Wapinzani wamng’ang’ania Pinda

KAMBI ramsi ya upinzani bungeni imembana tena Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ikisema ameshindwa kabisa kutatua migogoro mingi ambayo inajitokeza kati ya wakulima na wafugaji. Anaandika Danny Tibason … (endelea). Kauli hiyo ...

Read More »

Mbatia: Ukawa tupo imara

JAMES Mbatia-Mwenyekiti mwenza wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), amesema hakuna mgogoro wowote kati ya vyama vya NCCR – Mageuzi na Chama cha Demokrasia na Maendele (Chadema).  ...

Read More »

Vigogo Serikali, CCM ‘wamkimbia Nyerere’

VIONGOZI wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamefanya tukio la ajabu la kukwepa kuhudhuria mkutano wa kujadili amani, umoja na utulivu nchini ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere. Anaandika Pendo ...

Read More »

Kiwanga ataka Moro igawanywe

MBUNGE wa Viti Maalum, Suzan Kiwanga (Chadema), ameitaka Serikali kuingilia kati mgogoro ambao unaonekana kukua kati ya majimbo ya Ulanga Mashariki na Ulanga Magharibi. Anaandika Dany Tibason …(endelea). Kiwanga alitoa pendekezo ...

Read More »

Waliopisha ujenzi kulipwa mil. 281/-

SHILINGI 281.5 milioni, zitatumika kuwalipa fidia wananchi 55 walioathirika na ujenzi wa barabara ya Arusha – Namaga, Serikali imesema. Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Gerson Lwenge ametoa kauli hiyo bungeni ...

Read More »

Waziri Mahenge azomewa

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Binirth Mahenge, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na wabunge kutokana na kuunga mkono uongozi wa mkoa wa Kigoma ...

Read More »

Tunazo nyumba za kibalozi 97-Kairuki

TANZANIA imesema inayo majengo 97 ya kibalozi katika nchi mbalimbali duniani. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angellah Kairuki amesema hayo ...

Read More »

Taasisi ya Nyerere yabeba dhamana ya amani

HALI tete ya dalili za uwepo wa viashiria vya vurugu na uvunjifu wa amani, vimeishtua Taasisi ya Mwalimu Nyerere na hivyo kuchukua jukumu la kuwakutanisha viongozi wakuu wa Serikali, dini, ...

Read More »

Milioni 43 kufunga umeme Gurungu

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco), limetenga Sh. 43.46 milioni kwa ajili ya kuunganisha umeme katika kijiji cha Gurungu Wilaya ya Manyoni mkoa wa Singida. Anaandika Dany Tibason … ...

Read More »

‘Wastaafu A. Mashariki hawaidai serikali’

WIZARA ya Fedha imesema hakuna madai yoyote ambayo Serikali inadaiwa na wastaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyovunjika. Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima amelieleza Bunge wakati akijibu swali la ...

Read More »

Serikali yakiri uhaba wa nguo za wafungwa

SERIKALI imekiri kuwa, wafungwa wengi hawana nguo za kutosha kutokana na serikali kutokuwa na fedha za kutosha. Anaandika Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa bungeni na Naibu Waziri ...

Read More »

Nyalandu: Nassari hanibabaishi

SIKU moja baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema), kudai kwamba Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kazi yake ni kuzunguka maporini na kupiga picha, amejibu akisema ...

Read More »

Lembeli apigilia msumari Escrow, tokomeza

JAMES Lembeli-Mbunge wa Kahama (CCM), amesema kitendo cha Ikulu kuwasafisha baadhi ya vigogo wanaotuhumiwa kwa kashfa ya uchotwaji mabilioni ya fedha za escrow na ukiukwaji wa oparesheni tokomeza ni kuipeleka ...

Read More »

Nani ataangushiwa gogo CCM?

NDANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumedoda. Hakuna kinachosonga mbele. Mambo hayaendi. Kinachoonekana machoni mwa wengi, kutalamaki vituko na mtikisiko. Mradi wa “Katiba Mpya,” ambao ungetumika kama mtaji mkuu wa ...

Read More »

Chiza: Kigoma imepata milioni 946/-

SERIKALI imesema kuwa, kupitia mpango wa uwezeshaji wananchi kiuchumi, Mkoa wa Kigoma umepata mikopo yenye thamani ya Sh. 946.49 milioni, ambazo zimewanufaisha wajasiriamali 1,407. Kwamba, kati ya wajasiriamali hao, 353 ...

Read More »

Kafumu atetea “askari wa” Kagera

MBUNGE wa Igunga, Dk. Dalali Kafumu, ameibana Serikali ieleze ni lini itawalipa mafao askari walioshiriki vita ya Kagera, iliyokuwa na lengo la kumuondoa dikteta Nduli Idd Amini. Amesema kuwa, askari ...

Read More »

Machali ahoji nyumba za askari

MOSES Machali-Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR-Mageuzi), ameibana Serikali ieleze ni lini itajenga nyumba za askari katika mji wa Kasulu. Katika swali lake lanyongeza bungeni leo, Machali amehoji ni lini serikali ...

Read More »

Escrow yarudi bungeni kwa kishindo

KASHFA ya uchotwaji fedha za Umma katika Akaunti ya Tegeta Escrow Sh. 306 bilioni, iliyofunguliwa kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT) bado haijazimika, licha ya Serikali kujaribu kuwasafisha baadhi ya ...

Read More »
error: Content is protected !!